AJALI NYINGI MWISHO WA MWAKA, KWANINI?

  Рет қаралды 2,489

WACHOKONOZI

WACHOKONOZI

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@koniasalingo2165
@koniasalingo2165 2 сағат бұрын
Hiii mijamaaa mihuniii
@koniasalingo2165
@koniasalingo2165 2 сағат бұрын
Hawa ni wapinga kristo na wanatumiwa na mapep
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 13 сағат бұрын
Sauti ya uhakika💪💪💪🙌🙌🙌
@josephjulio6112
@josephjulio6112 13 сағат бұрын
Tumegongwa na gari jana Mungu mwema tumenusurika
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 12 сағат бұрын
Watu wenyewe awa amini uwepo wa MUNGU
@mhabimina4023
@mhabimina4023 8 сағат бұрын
🔥🔥🔥👌
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 4 сағат бұрын
Mtakuja kunielewa tu Siku moja, nikiwaambia hawa jamaa wanawajaza, waongo sana, wanachanganyachanganya sana vitu. Wao ni kupinga dini tu! Na kuhubiri upagani!
@EmmanuelMagesa-u1g
@EmmanuelMagesa-u1g 2 сағат бұрын
tutakuelew bila hoja kwelii
@ulimwengumaulid7397
@ulimwengumaulid7397 2 сағат бұрын
​@@EmmanuelMagesa-u1g kwan wao wana hoja gani au akili yako haifanyi kazi
@EmmanuelMagesa-u1g
@EmmanuelMagesa-u1g Сағат бұрын
@@richardkonzo5717 mbna makasiliko kwenye page za watu kama haikufaiii toka huku tofaut na hapo hutaendeleah kuelewa chchte
@EmmanuelMagesa-u1g
@EmmanuelMagesa-u1g Сағат бұрын
@@richardkonzo5717 harf uwe unaskiliza ttzo lako unaskia
@JomoKilawe
@JomoKilawe Сағат бұрын
​@@ulimwengumaulid7397😳😳Mtumish Mbona Pov😂😂😂
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 2 сағат бұрын
Jamaa wako poa sana hawa
@amridollar130
@amridollar130 11 сағат бұрын
Mimi mpaka sasa sijaelewa mnapotoa hayo madini nyie mabraza Sema nawakubali kinoma
@JomoKilawe
@JomoKilawe Сағат бұрын
🤔🤔
@kasimur9422
@kasimur9422 13 сағат бұрын
❤❤
@PROMOTERTVPLUS-r3o
@PROMOTERTVPLUS-r3o 9 сағат бұрын
Wachokoniziii naomba no yeni mm nipo hapo CHUO UDSM but vipindi vyenu ni vizr
@DonJ-z3s
@DonJ-z3s 12 сағат бұрын
Tupo pamoja
@elgringo8592
@elgringo8592 13 сағат бұрын
Tuko pamoja
@AbbasSaid-fp5rg
@AbbasSaid-fp5rg Сағат бұрын
Wanaosema yesu alimwaga damu msalabani kwani sijamwaga damu jandoni mbona hamnisifii
@QueenLilianMushi
@QueenLilianMushi 12 сағат бұрын
Hiyo elimu ya kuzimu ITAWACODT NYIE VIJANA.
@peterconrad6546
@peterconrad6546 13 сағат бұрын
Walete walete
@humphreyhassan8197
@humphreyhassan8197 13 сағат бұрын
😅😅😅
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 13 сағат бұрын
Hua sipitwi na vipindi vyenu mpo sawiya
@thomascharles4467
@thomascharles4467 12 сағат бұрын
Leo cjaelewa kabsa
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Сағат бұрын
😂
@WTC492
@WTC492 Сағат бұрын
Mhubiri 1 : 4 Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima. Huyo anayeidumisha Dunia ni nani? Ni Mungu.
@AbbasSaid-fp5rg
@AbbasSaid-fp5rg 2 сағат бұрын
Kwasababu wajinga wengi wanasafiri mwisho wa mwaka
@DanielJames-of7yr
@DanielJames-of7yr 13 сағат бұрын
Kutoa kafara kujiungamanisha na ulimwengu hiyo pia ni dini,usifundishe watu umizimu
@allynizam7138
@allynizam7138 Сағат бұрын
Neno mizimu nineno lakitumwa lililotokana na dini zilizoletwa kwaajili yautawala nasio neno asilia
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 5 минут бұрын
Kwan wale watakatifu wa wakatorik na mohamad wapo hai ​@@allynizam7138
@ulimwengumaulid7397
@ulimwengumaulid7397 Сағат бұрын
Dah, No logic, false arguments, mnabumba bumba maneno tu ili mradi muwalete watu kwenye hoja au conclusion mnayoitaka, Wanaowafata wote hawana akili ni wajinga na wapumbavu na ni watumwa wa fikra kama nyie wachokonozi ni watumwa wa fikra na mawazo ya watu, kwa mfano hizo sheria za ulimwengu watu ndio wameziweka kwa lengo maalumu za kueneza upagani,
@JomoKilawe
@JomoKilawe Сағат бұрын
😳😳Mtumish Mbona Povu..😂😂😂😂
@ulimwengumaulid7397
@ulimwengumaulid7397 43 минут бұрын
@JomoKilawe Mim sio mtumishi acha Bangi😀😀😀😀😀😀 tunawaelekeza nini bendera fata upepo kazi yenu kulike na kucoments tu hamushughulishi ubongo wenu
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 4 минут бұрын
​@@ulimwengumaulid7397kwan ww sio bendera mfuata islam
SAMAHANI ASANTE |ep 15|
22:04
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 20 М.
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
Euronews по-русски
Рет қаралды 132 М.
What will happen in 2025? - The Global Story podcast, BBC World Service
38:19
WACHOKONOZI WAFUNGUKA MENGI
1:19:09
Platform Media
Рет қаралды 4,8 М.
CHRISTMASS NI SIKUKUU YA MASHOGA
30:14
WACHOKONOZI
Рет қаралды 11 М.