AJALI SINGIDA: LORI LAGONGA BASI LA ABIRIA NA KULIANGUSHA, WATU 28 WAJERUHIWA, MASHUHUDA WASIMULIA..

  Рет қаралды 33,525

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@JosephMusakahindi
@JosephMusakahindi 4 ай бұрын
Aise polen sana MUNGU awajalie afya njema waja wake, Amina.
@SamsonMaige-rk9ms
@SamsonMaige-rk9ms 5 ай бұрын
Mungu awaponye kwa damu ya yesu ❤
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 5 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa hili...majeruh wapone haraka 🤲🙏
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Poleni sana wandugu❤
@OmanOman-m9n
@OmanOman-m9n 4 ай бұрын
polen sana ndugu zangu mungu amewanusuru ndugu zangu muombeni Sana mungu nawale majerui atapona kwa uwezo wa mungu
@Salimu-g9o
@Salimu-g9o 2 ай бұрын
Poleni sana singida
@HeriSabuni
@HeriSabuni 5 ай бұрын
Toka uvira Kongo, poleni sana ndugu zetu.
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu Mwenyezi Mungu awaponye wote
@allykassim1120
@allykassim1120 5 ай бұрын
poleni sana majeluhi kiukweli basi nazo muwe mnapunguza taa zenu sasaivi mnafunga taa za Busta! halafu hawapunguzi full mwanzo mwisho ni full
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 5 ай бұрын
Nikweli jamaa wa bas awapunguz taa me ndo wamesababisha nimefungua booster kwenye taa zangu na me nawachomea full 😂😂
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 5 ай бұрын
Ina boa sana bhana kilasiku bongo ajali tuu halafu za tokana na uzembe tuu haupo palestina ni mauwaji ya vita bongo ajali duuuuh upuuzi sana chanzo Cha ajali mara kisijulikane duuh pole yetu kwakweli
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 5 ай бұрын
Kila nchi Kuna ajari bob akuna inch isio na ajari
@LucyAloyce-ew9jf
@LucyAloyce-ew9jf 4 ай бұрын
Mtangazaji fedi
@MdAr-q7i
@MdAr-q7i 5 ай бұрын
Poleni sana mungu yupamoja nanyi mswali sana
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp 4 ай бұрын
Madereva wamaloli wamekua wakicheza sana naroho za Abiria wa mabasi ata tarehe 25_7_24 nami nilikua nasafiri nagari la kandahari kuelekea manjoni tukafika kijiji cha nkui Mara dereva walori akawa anatulea lori ili amzibe wabasi akos pakupita. Mara wakaanza kipigana tens mbele yamaaskari
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 ай бұрын
Mungu awaponye wote
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 5 ай бұрын
mshukuruni ALLAH kwanza,kisha and dereva!!
@NajmaMomo
@NajmaMomo 5 ай бұрын
Poleeni ndugu zetu
@ashaabubakari
@ashaabubakari 5 ай бұрын
Poleni sana
@alphanmarcus
@alphanmarcus 5 ай бұрын
❤❤1
@chikujuma18
@chikujuma18 5 ай бұрын
Polen jaman singida kwetu malor yamezidi
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Atakua amechokaaa !! Wanasafiri bila kupumzikaa kisa afikkishe mzingo, poleni sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 ай бұрын
Dereva w Lori wa nalalaga au pombe,usingiz au Tingo aliendesha
@FaidhaHamisi-kf3py
@FaidhaHamisi-kf3py 4 ай бұрын
Dereva jamn anaendeleaje
@hamadmbarouk-o4p
@hamadmbarouk-o4p 4 ай бұрын
polen san
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 5 ай бұрын
polen ndugu zanguni
@PETERLUKAS-kc8el
@PETERLUKAS-kc8el 5 ай бұрын
Poleni
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 5 ай бұрын
KWA MARA YA KWANZA NMESKIA DELEVA ANAPONGENZWA ILA POLEN SANA
@RehemaKassim-nm9zc
@RehemaKassim-nm9zc 5 ай бұрын
Pole xana
@emmanuelzawadiel5320
@emmanuelzawadiel5320 5 ай бұрын
Yakitokea malori ndio Yana makosa mabasi hayanaga makosa kuna madereva wenye fujo kama wamabasi?
@EmmanuelMushi-r3n
@EmmanuelMushi-r3n 5 ай бұрын
Usingizi huo
@salehegiza3305
@salehegiza3305 5 ай бұрын
Hao ndo abiri wa bus wao ndo wanavipimo kwenye akili zao.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Kuwa nyuma ya dereva (kulia) kuelekea Mza unagongwa kushoto ?!? Hiyo jografia imekaaje ?
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 5 ай бұрын
Polenisanna
@JescaChami-nl7oj
@JescaChami-nl7oj 5 ай бұрын
😢😢😢😢
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 5 ай бұрын
😩😩😩😭
@erickashindi2666
@erickashindi2666 5 ай бұрын
Tarehe pia ni muhimu
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 5 ай бұрын
😢😢
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 5 ай бұрын
DAH POLEN XANA
@mussansoleziplutnumz2097
@mussansoleziplutnumz2097 5 ай бұрын
Kongole kwa dele
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 5 ай бұрын
Wewe ulikaa nyuma ulionaje,nyie ndio mnaovateki vibaya. Eti kajitahidi Mungu amewalinda. Pia nyie busi lenu lilikua speed sana ndio maana kashindwa kusimama
@ZaiMuna-n2x
@ZaiMuna-n2x 5 ай бұрын
Kakwambia nyuma ya dereva mgumu kuelewa ww
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 ай бұрын
Zuberi au Zube??
@Alawsalmin
@Alawsalmin 5 ай бұрын
Ni zube
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 5 ай бұрын
Poleni sana
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 5 ай бұрын
Poleni sana
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 20 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 38 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 14 МЛН
Новости дня | 14 декабря - дневной выпуск
4:54
Euronews по-русски
Рет қаралды 141 М.
Most Heartbreaking Moments in Football
8:33
Football IQ
Рет қаралды 4,3 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 20 МЛН