Madreva wa malori mara nyingi wapo maikini sana, ila hawa gari ndogo hizi, tena namba E, 😢😢😢😢
@shalomchaula44202 сағат бұрын
Mungu awakumbuke watu wote wanaosafiri nyakati hizi za mwisho wa mwaka watoto wetu wanafunzi na wasafiri wote wanaokwenda nyumbani kuona wazazi na ndugu kwaajili ya sikukuu mwezi huu 12 na 1 naomba Mungu awakumbuke wasafiri wote wanao safiri kwa shuguli za hapa na pale kwaajili ya utafutaji na wote mnaosoma coment Hii Mungu wa mbinguni awalinde tuvuke salama mwaka 2024 na kuanza 2025 salama na ukiwa unaungana na mim kwa imani maombi haya andika au type amen na mshukuru Mungu kwakuwa uko ai na ujue tu ni upendo wa Mungu.
@madelynillu38182 сағат бұрын
Ameeeeen
@florageorge5770Сағат бұрын
Amen
@leokamil6284Сағат бұрын
Amen
@VictoriaCosmasСағат бұрын
Ameeen
@KomboHawa20 минут бұрын
Amina
@mohamedsalim6086Сағат бұрын
Daaah mwenye gari hata hajaliona ndo kwanza alikuwa anapelekewa, limeondoka na maisha ya watu 😢😢😢
@chittamileissa16502 сағат бұрын
Polen sana familia kwa misiba ya wapendwa wetu… Ila naomba nitoe ushauri kidogo, jaman ndugu zangu huu ni mwisho wa mwaka ajali zinakuwaga nyingi sana, tuchukue tahadhar kadri iwezekanavyo na kumtanguliza MUNGU wakat wote, pia kuna kitu kimoja watu wengi hawaelewi ila ngoja niwaibie siri, Kuna tofauti ya dereva wa mjini na dereva wa safar, kuendesha gar safar ndefu sio jambo rahis na ndio maana kuna baadhi ya watu wakishajua wana safar ndefu wanatafuta dereva wa kumuendesha, lakn akiwa mjini anaendesha tu mwenyewe. Lakin pia madereva wa malori wapo makin sana, sio wote ila wengi wao wapo makin sana japo kuwa watu wengi wanaona kama wanavibur ila sio kweli, lakin hao ndugu zangu na mm hao ………. Wao kila muda wana haraka tu, tubadilike
@hemedisalim55222 сағат бұрын
Kwa kilometers hizo ilikuwa lazma dereva achoke Na ukute alikua anaendesha mwenyewe kutoka Dar paka Apo walipofika So Sad
@josephatkiliko25462 сағат бұрын
Madereva wa magari makubwa uwa hawapishi magari madogo
@hassanmlawa-o6s3 сағат бұрын
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema pepon aamin
@issaalfani1030Сағат бұрын
We dereva wa Roli hapo unaongea vizuri kwakua ajali omesababiswa na dereva wa Gari dogo ila nyie pia hamfai kilasiku mnatukosakosa humu njiani na hamna utu kabisa
@shabanijuma48872 сағат бұрын
Gari ndogo ni nyepesii sana kuhama.
@greenwellnsyukwe47293 сағат бұрын
Poleni sana Wapendwa.
@Dullah_tz47 минут бұрын
Kupumzika muhim madereva
@tobiaswilson736229 минут бұрын
Dereva wa Garu dogo hajatajwa jina,
@TeacherBoda3 сағат бұрын
Mi mwenyewe huwa nasinzia sana..Muda mwingine najikuta nishavuka hadi traffic light haf usiku nikiwa nimesinzia haf ndo nastuka nasimama naanza kujiuliza hivi pale nimepitaje? Najiuliza sipati majibu kisha naendelea na safari kwa umakini mana ni mungu tuu huwa ananiepusha.
@rachelsimon28762 сағат бұрын
Siku nyingine ukisikia usingizi paki gari pembeni lala angalau lisaa limoja hata nusu saa ukiamka usingizi unakata kabis unaemdelea na safari mme wang anafanyaga hivyo
@georgenorasko586Сағат бұрын
Na wewe ni mtuhumiwa😂😂
@leokamil6284Сағат бұрын
R.I.P poleni sana 😭😭😭
@JahedaSalminСағат бұрын
Innaalilah wainnaa ilayh raajiuun 😢😢
@JacksonTulito3 сағат бұрын
poleni sana jamani 😢
@maryamomar20343 сағат бұрын
Alikuwa anasinzia😢😢
@allymwakomola44703 сағат бұрын
Wakulaumiwa watu wanaotoa license
@DudddyWhyCant2 сағат бұрын
Wewe unahisi kilicho sababisha ajali leseni? 😮😮😮
@mercykagaruki3 сағат бұрын
Jamani hii mbaya Sana
@saidhamza53182 сағат бұрын
Iliwahi nitokea hii ya kusinzia nikiendesha nikahama upande wa kulia nikapitiliza hadi porini ..sitahau nashukuru Mungu nilinusulika ingawa gari iliharibika vibaya maana niligonga miti... Isee.👀😳
@israelkisaila8401Сағат бұрын
Mwenyewe ilishawahi nitokea Barbara ya makambako mbeya 2018,halafu nipo nafamilia ,acha tu ni MUNGU😢😢,Tangu mwaka huo mpaka Leo sijaendesha gari na nilichukia gari ,wanaendesha wanafamilia wengine,na sipandi gari moja safari ndefu na ndugu ,sitaki ,kila mtu aende na usafiri wake,tukutane tunakokwenda.😢
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur2 сағат бұрын
muda wa makafara na ajali za mapepo na majini .
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur2 сағат бұрын
Nazipasua ajali Izo Kwa JINA LA YESU ALIE HAI
@shabanimbega40Сағат бұрын
Ukiwa Na usingizi usiendeshe gari
@shabanimbega40Сағат бұрын
Huyo alikuwa na usingizi na haraka
@shaabanramadhan67702 сағат бұрын
Innaa lillah wainnaa ilayh raajiuun
@vusumuzi_mathumo3 сағат бұрын
tanzania ni inchi maskini sana poleni
@CasmirKiwale2 сағат бұрын
Wewe ndo maskini sio Tanzania
@bluecloud731345 минут бұрын
😢
@MamkweNjau4 сағат бұрын
Wapumzike kwa amani
@jassonnelly34453 сағат бұрын
Sasa mtu mzima unakuwa kama mtoto asee ukiona umechoka si unaweka gari kando unapumzika hilo sio bus ukichoka unalala ndio maana ya private car sasa unakomaa matokeo yake una cost uhali wa watu kizembe usingizi si kitu unakisikia kabisa
@Mrmohadi.OFFICIAL4 сағат бұрын
😢 da pole
@israelkisaila8401Сағат бұрын
Amen,Amen
@NardhisMhagama-sy3eq3 сағат бұрын
Unajuwaje kama alikuwa anasinzia na wewe ulikuwa haupo ni kubahatisha kuongea
@mercykagaruki3 сағат бұрын
Amehama upande wake
@TeacherBoda3 сағат бұрын
Kwa madereva tunaelewa ila asie dereva hawez elewa
@stanymccary71363 сағат бұрын
Mimi nikishaanza kuskia usingizi napaki gari nalala kwanza