Allahu Akbar. At: (7:41) Sheikh (Hafidullah) amesema yakuwa, alikuwa amepanga (katika niya yake) yakuwa azungumzie hiyo Ayah katika Chapter 59, (Al-Hashr), lakini Imam/Qaadi (Hafidullah) bila yeye kujuwa mipango ya Shekh, na niya yake, akaisoma hiyo Ayah katika Salah. Hiyo Ina onyesha yakuwa MOLA wetu (Allah-Almighty) anajuwa kila jambo letu na mipango yetu. KABLA YA WATU KUPANGA, YEYE (ALLAH - ALMIGHTY) huwa amesha Tupangia. SUBHAN ALLAH. Baarak Allahu feekum.
@Som-Hanoolaato10 жыл бұрын
Masha Allah , Hafidullah Hiyo story ya Atakae pita hapa ndie mwizi wa viatu, sasa watu wata ngoja atakaye ingia (mwizi wa viatu). lol :) Baarak Allahu feekum for sharing.