She's so creative, I have never thought of this. It's the original sugar and natural
@Jaynenesty1042 күн бұрын
Yaani a true servant of God , Dan huwaga hachagui kabila wala nchi... Be blessed
@hansstephenotomchief681510 күн бұрын
Thank you Apostle Dan for visiting her and blessing her.
@lucyoyiela671810 күн бұрын
May God bless u Dan wema na wengine wote wanao toa wakiwasaidia the poor people may God bless them more and more
@gachabeachgirl12558 күн бұрын
Super Pastor tummjengee shosho, asiende tena kibarua. Na asikule miwa tena..
@jannymash574810 күн бұрын
😢😢 wooi since she can't chew the sugar cane she has to boil it God remember her
@aronkoech117210 күн бұрын
Team Dan wema. Let us do samething necessary by channel contributing samething small
@janekamiri91110 күн бұрын
Dan Wema, good job, but l was suggesting, if these people can also be helped to develop these good God-given land,to plant bananas and other crops, some might end this poverty.
@WacuMbugua10 күн бұрын
A very good idea
@marylinebarasa176411 күн бұрын
To un xtend shosho akaimba❤❤❤❤ may God bless you
@irenekiptala1239 күн бұрын
I must be a blessing to this ministry
@beatricenkirote169210 күн бұрын
God bless you abundantly apst dan wema
@MKuria-y1w11 күн бұрын
😢bless you apostle dan wema ❤🙏🏼🛐🙌🏼🇬🇧✈️🇰🇪
@Lydiah-wk3lm10 күн бұрын
May GOD bless this shosh
@elizanafula11 күн бұрын
Hii nayo imeniguza... I must send something small apostle.
@esthermakau810610 күн бұрын
Nibariki mungu na Mimi nibariki wengine
@InnocentAutumnTrees-ux1jj10 күн бұрын
Hiyo skari yenye iko kwa miwa ndio ichujike ikue skari kwenye chai ooh My good Father you never fail your too faithful na kila ulikokwenda ulitenda mema pia kwa shosh yetu naamini vile umefika utamtendea mema
@skitahmorara120010 күн бұрын
So sad 😢😢😢😢 story inauma sana
@Magdalene25410 күн бұрын
Nothing bad ,usomeshe watoto ama kulea watoto alafu kusahau wazazi akiii,it's painful 😢😢😢😢😢,kuona mzazi anasuffer na ako na watoto
@valenakomba76868 күн бұрын
Mungu awarehemu.
@sikukuudena292911 күн бұрын
Waah😢😢😢hki ubarikiwe dan ❤❤❤
@EuniceEnon11 күн бұрын
May God bless you
@TeresiaMburu-h4d9 күн бұрын
May this shosh never lack in Jesus Name
@lucywanjikumandziuk161110 күн бұрын
Ata kama I came back from Kenya 2 weeks ago, sijalipwa but I will try my best n send something yawa 😢😢😢
@janethjelagat164710 күн бұрын
May God bless you Dan wema
@JESCAMUHANJI10 күн бұрын
Aki watu wako na maisha ngumu aki
@MukhwanaChrispean10 күн бұрын
Waa😢 aki kweli mungu anajua watu wake
@roseandeyo443411 күн бұрын
Whaaa ubarikiwe Dan
@janetkiende279810 күн бұрын
GOD akubless dan
@rindkin185610 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@maggieokooba904710 күн бұрын
God bls u Dan Wema
@fidellsonko62410 күн бұрын
Walai Mungu bariki huyu😊
@annewangari346610 күн бұрын
Muthoni Mimi nimekuwa nikifuatalia na kushiriki. . Watu Wana shida.
@PhiloyceAlividza11 күн бұрын
AKi hii ameniliza kiukweli 😮 eti nachemsha miwa nikunywe chai, God remember your people
@CindyKatila-fc5zw10 күн бұрын
Mamayangu asiwaifika hapa nikikumbuka mum alikua anangangana ndo nipate pads ndo nkule ata watu waseme mbona sizai wacha nmutoe katika hiyo hali na yangu ndo nizae wacha ningangane na mwarabu
@emorutnicholas189311 күн бұрын
Mungu tukumbuke, tutimizie haja ya mioyo zetu
@Daqueenbosiborinyabika10 күн бұрын
Mungu. hawe nawe
@busenasalome985711 күн бұрын
Forgive me lord I complain alot
@joanwangui96739 күн бұрын
Gosh...... people are going through alot.
@LucidDreams-i5n10 күн бұрын
Kazi nzuri Sana lakini usiwe ukisema "niwe Malaika kwako" waeza sema tu niwe mwema kwako inatosha
@MargaretNgangaNetwork10 күн бұрын
It's true what amesema. Mungu anaweza tumia binadamu kama Malaika ,his a destiny connector
@jontecaros3194Күн бұрын
hio ni maoni yake, haina shida kusema malaika🤣
@lusajoholland707210 күн бұрын
Sara Wanyonyi.... Daniel Wanyonyi...❤!!
@sophiasophie527610 күн бұрын
Yes...
@senjeschola192111 күн бұрын
Apostle unauliza ati ni nni walai pia mmi nakumbuka maisha nilipitia kuetu umaskini ni mbaya tuliwai chemsha miwa kama chai nimekumbuka life ya mamangu hadi nikalia😭😭😭 Rest in peace mum
@emorutnicholas189311 күн бұрын
Courage
@MagdaleneMukanda10 күн бұрын
So true, tulikuwa tuna shinda Kwa shamba ya MTU ukimaliza anakwambia Kesho na hakuna kitu mliacha Kwa nyumba thanks to my mother amezoea kupanda miwa hata saa hii. Tulikuwa tuna chemsha tunakunywa na siku inasonga, makosa ni watoto kumwacha.
@lucywanjikumandziuk161110 күн бұрын
Oh my goodness 😢😢😢😢
@Chep-oj7o11 күн бұрын
God help your people
@blessedone31569 күн бұрын
Haki gogo kwani hana watoto😢
@valenakomba76868 күн бұрын
JAMAANI.
@VioletMbaisi11 күн бұрын
Mjengee kaa nyumba....
@CatherineAgote-b7l11 күн бұрын
Aki Mungu kunbuka watu wako
@liliankariuki770810 күн бұрын
Kwani hana ata watoto aki hii shinda Mungu wangu woi
@godsfavour566511 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢ghaiiiiii
@SurprisedBirdBath-qh2nn10 күн бұрын
God watu wanayapitia xna hivi jamani
@mbabazifoster11 күн бұрын
Aki people are suffering
@HermanKilusungu11 күн бұрын
Wanyonyi, huyu ni wapili sasa.(kwa majina) Haki sisi watoto hatuwatendei haki wazazi wetu. kila mzee analalamika watoto kutoroka! Vijana vipi?
@AbdoAli-z3f10 күн бұрын
Hii nayo sijawahi ona kitu kama hii Iko na huruma
@CharityMuthoni-s5p10 күн бұрын
Haki watu wanaumia Sana SASA huyu mama aki imagine kuchemcha miwa
@happyjulius709211 күн бұрын
Aiseee bibi yangu kafurahi jamani
@Chep-oj7o11 күн бұрын
Watoto wake wako wapi mutumishi wa mungu
@alicenalulwe8411 күн бұрын
Microphone dan
@Elizabeth-g1x11 күн бұрын
Dan are you single
@MagdaleneMukanda10 күн бұрын
Wololo
@MagdaleneMukanda11 күн бұрын
Eeh hatasisi yukikuwa hiyo tulikunywa Sana
@Edgybhthjklew10 күн бұрын
Watoto waliamua kuachilia wazazi wao kabisa yaani huyu shosh ata ameisha kabisa aki 😢
@edinahimali10 күн бұрын
Never joke with some children 😢
@MureithiGithinji9 күн бұрын
You can't tell for sure. Maybe wanateseka kama mama yao tu huku nje.
@nancybenedetta72597 күн бұрын
Mostly luhya from the look of things
@Edgybhthjklew7 күн бұрын
@@MureithiGithinji hamuwezi kua mnateseka vile ata mama yenu atafikia hapa all the children no way
@Edgybhthjklew7 күн бұрын
@@nancybenedetta7259 yeah almost all videos their mothers are really struggling wooi 😭
@la-ry1ms11 күн бұрын
Please connect this old mams with the Govt program that pays old people some money itamsaidia
@abdallagakweli636610 күн бұрын
Which gvt are talking about???
@winniemuyonga594310 күн бұрын
Hiyo pesa kasongo alitoa
@abdallagakweli636610 күн бұрын
@@winniemuyonga5943 nashindwa kama haijui hii serikali yao
@lillianoloo363710 күн бұрын
Next intake will be after 2 years
@CharopolaKatana10 күн бұрын
Mbona huyo jamaa haonekani anajificha kwa nini watumishi wa Mungu hukaa mwangazani aonekane anajifanya kusaidia ili atumiwe pesa jitokeze uonekane acha kukaa pembezoni
@sophiasophie527610 күн бұрын
Wacha kinyongo
@jontecaros3194Күн бұрын
77 years?? are there no leaders here? mca, mp, woman rep? na kina Atwoli ni mdomo tu wakiwa na wetangula na madvd nkt nkt
@CharopolaKatana10 күн бұрын
Lakini mbona hiyo Dani huwa anajificha hataki kuonekana kabisa hapa ni wizi unaendelea mama peke yake ndo😮v
@jomamwaoliver563610 күн бұрын
Ingia kwa channel yake umuone vizuri
@blessedone31569 күн бұрын
We unafikiria tu wizi huoni huyo mama amezaidika
@fernandesmailu10 күн бұрын
Pesa ya uzee kwani apati
@nantaembanusurupia567410 күн бұрын
Itoke wapi😢
@Zainab-f9w5x10 күн бұрын
Kama madawa hos hakuna yy ndio atapata msaada kwa serkali hii ya majambazi
@bellaki439210 күн бұрын
Ruto cancelled
@Roz-m2z11 күн бұрын
Weee
@ndettothejuice309410 күн бұрын
Mimi huwa najiuliza,makanisa huwa wapi?Kila Sunday twavaa vizuri na tunaenda KANISANI lakini ukiingia vijijini unakutana na mambo ka MN a haya.