"Akileta hiyo pesa chukueni maanake hiyo pesa ni yenu ambayo wameiba" ~ Raila Odinga

  Рет қаралды 95,825

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Raila Odinga, Governor Joho among other leaders attend the burial of Ngumbao Jola, Ganda MCA’s uncle in Malindi.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
#NTVToday #NTV #NTVNews

Пікірлер: 384
@ishhaelohim4820
@ishhaelohim4820 5 жыл бұрын
As ante Sana Baba RAO .2022 Una faa tu Kuwa nahodha wa Hii Meli ya nchi ya Kenya. May the Almighty God Jehovah help you.
@simonaswani8555
@simonaswani8555 5 жыл бұрын
You can't hate this lad, dopest politicians for decades
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 5 жыл бұрын
ODM hoyee sana, pwani mzima sasa team mzima yakina kingi na joho na wabunge wote kaeni pamoja
@maryamjey6340
@maryamjey6340 5 жыл бұрын
Baba Oyooooo💃💃...Coast for baba !!!asopenda ameze wembe😅😂
@alfredokumu8655
@alfredokumu8655 5 жыл бұрын
That's Agwambo Tinga. My all time favourite dad. Asante baba Kenya tuko imara
@tinasanta4080
@tinasanta4080 5 жыл бұрын
Asante baba kwa kuja kwetu nyumbani kusindikiza uncle wetu tuliyempenda
@steveziro359
@steveziro359 5 жыл бұрын
Tina uko kila upande wewe😂
@tinasanta4080
@tinasanta4080 5 жыл бұрын
@@steveziro359 mwenye aliuliwa ni mdogo wa my mum my dear
@steveziro359
@steveziro359 5 жыл бұрын
Ooh! Pole Sana!
@wycklifeochieng9900
@wycklifeochieng9900 5 жыл бұрын
Mambo tina
@benjohnson1763
@benjohnson1763 5 жыл бұрын
Sorry for your uncle Tina
@andrevdheuvel4340
@andrevdheuvel4340 5 жыл бұрын
Babaaa babaaa baabaaaaaaaa huyoooooooooooooooooo👏👏👏👏👏👏👏👏
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
MUNGU 🙏🙏🙏🙏AKUPE MAISHA MAREFU MR RAILA AMOLO ONDINGA MUCH LOVE YOU 🇰🇪🇨🇿
@TT-nu5ky
@TT-nu5ky 5 жыл бұрын
Fake idiot leader
@jamesmwaniki7371
@jamesmwaniki7371 5 жыл бұрын
@@TT-nu5ky It's shameful that a boy with wet nose can insult Raila. It shows you need to read post Independence history to understand that you might not support him but insult is No...No.
@breechinginlet652
@breechinginlet652 5 жыл бұрын
Raira tunakuonea 18
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
@@TT-nu5ky UR MOTHER AND YOUR DAD NDIO IDIOT MAM MBWA NDIO UKAZALIWA WEWE IDIOT USIE JIJUA KUKOMAA MWILI BADALA YA AKILI ALIE KWAMBIA UANGALIE NINANI?? POPO KWELI WEWE AKILI YAKO NI KOPO LA KWENDEA CHOONI TU HUNA JIPYA.
@husseiniman7598
@husseiniman7598 5 жыл бұрын
BABA. AMENENA. SHUKRAN
@gracekimani7000
@gracekimani7000 5 жыл бұрын
Raila smart wakiwa prezo Uhuru,pongeze kwenu Kwa kupenda kenya
@dankago8668
@dankago8668 5 жыл бұрын
BBI for peace, love and unity
@alexmuya8541
@alexmuya8541 5 жыл бұрын
Wewe ni mchoyo sana saitani ww ata 50bob huwezi saidia yeyote mkenya nugu ww kazi yako ni kusema pesa za wenyewe zinakuhusu nini ? Si heri hizo anapea wakenya kuliko ww zako hupelekea wachawi nugu ww
@adamali438
@adamali438 5 жыл бұрын
Baba hapo kwa huo wimbo haki umenijazi uko juu
@iddmusa2127
@iddmusa2127 5 жыл бұрын
RAO YOU have no past development records, having been MP for Kibira and no even single toilet or road , nothing at Kisumu. Etc... 2022 utanyoroshwa tu. Sisi ndiyo wapiga kura...
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 5 жыл бұрын
Watu hawajui Baba yuko serikalini na dio ananyoosha serikali mdogo mdogo nyie mnaokataa baba shuki zenu na ukabila kapelekeni kwenu manyumbani
@georgeakasha764
@georgeakasha764 5 жыл бұрын
jarsa duba baba ndo rais wa kenya kwa mgongo ila uhuru ni rais wa kenya kwa camera, yaan hapo ruto hana chake ataenda kulala tu 2022 maana hizi familia mbili zinafahamiana muda mrefu sana.
@gracekimani7000
@gracekimani7000 5 жыл бұрын
Naunga mkono bbi ,hats km sijaona na macho
@josphatmutuku9590
@josphatmutuku9590 5 жыл бұрын
baba ur always da best
@thegreenfieldsfoundation
@thegreenfieldsfoundation 5 жыл бұрын
ndio baba
@saidomari5909
@saidomari5909 5 жыл бұрын
Hehehe baba you are the man
@peterthuku4481
@peterthuku4481 5 жыл бұрын
hata wewe peana pesa mtoshane
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 5 жыл бұрын
Pesa gani yenye watu wanakula halafu wanainukiwa na mashida miingi
@francojapanis1029
@francojapanis1029 5 жыл бұрын
I love Raila!
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
Hunishindi mmi love sana bba hatari
@gjopoji4511
@gjopoji4511 5 жыл бұрын
finally..raila for 2022
@joshuaomae2359
@joshuaomae2359 5 жыл бұрын
Please mr baba tell us something new......
@Riozman
@Riozman 5 жыл бұрын
I thought my Right earphone is sploit!
@kelvinonyango1897
@kelvinonyango1897 5 жыл бұрын
Marió Krop Jr mine too
@mosesmwangi1718
@mosesmwangi1718 5 жыл бұрын
Haiyaaa me tooo
@jamesomemo5372
@jamesomemo5372 5 жыл бұрын
Kumbe siko solo
@allanwamae4762
@allanwamae4762 5 жыл бұрын
Saame😂😂. I’ve been trying to stretch it out for the last few minutes..😂
@sundaytsuma6601
@sundaytsuma6601 5 жыл бұрын
Me too 🤣🤣
@khadijamohanani6476
@khadijamohanani6476 5 жыл бұрын
Baba hoyeee
@RaphaelOsano
@RaphaelOsano 5 жыл бұрын
So Baba thinks the corruption narrative will sell??? He will be in a rude shock. If truly he knows somebody has stolen from the public coffers,why can't he just walk to the DCI and record a statement that will lead a legal action to against those he pupports to be corrupt??? Upuzi mtupu
@muvevithomas2858
@muvevithomas2858 5 жыл бұрын
I see bsba nikweli siasa za BBI zimeanza,we are ready for the right change, now give us BBI report so we can study what is recommending.
@Riozman
@Riozman 5 жыл бұрын
Wewe nayo pea wananchi pesa Wacha uganga bure!
@jaredmutego6884
@jaredmutego6884 5 жыл бұрын
tunakuombea uwe mzima maana tunakutambua sana wewe ni sauti ya mwannjii
@cmber4975
@cmber4975 5 жыл бұрын
Legend
@JerusalemTruthWitnessJn8-32
@JerusalemTruthWitnessJn8-32 5 жыл бұрын
Mbona watu wa kibra wale hiyo pesa lakini akileta kanisani unatuambia tukatae? Raila speaks with both sides of his mouth na anachukia kanisa Sana. He should retire like yesterday and get his pension.!
@husnisunkar8477
@husnisunkar8477 5 жыл бұрын
2019 maneno ni yale yale
@johnboscomauloboscolly5539
@johnboscomauloboscolly5539 5 жыл бұрын
great
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Baba utabaki juu Tiibm
@nicholasngetich5378
@nicholasngetich5378 5 жыл бұрын
Big Brothers Initiative ,,BBI
@owinoemmanuel9379
@owinoemmanuel9379 5 жыл бұрын
Lazima itapita
@josphatmutuku9590
@josphatmutuku9590 5 жыл бұрын
baba baba huyoooo- niseme nisiseme.................sema
@marcusmuriithi
@marcusmuriithi 5 жыл бұрын
BBI shall FAIL MISERABLY!!!!!!
@alphamasaf154
@alphamasaf154 5 жыл бұрын
You wish, don't you, Ruto sympathiser think about your life not Ruto
@benmathnzuki4044
@benmathnzuki4044 5 жыл бұрын
Kikuyu angusheni who cares ,for me BBI is a yes
@alphamasaf154
@alphamasaf154 5 жыл бұрын
@@benmathnzuki4044 kikuyus are the most selfish people in Kenya, tribal and greedy for leadership, they use and dump , BBI is the way
@kenyanowchannel3235
@kenyanowchannel3235 5 жыл бұрын
WaKikuyu mko kona mbaya,mbona hamuoni.
@benmathnzuki4044
@benmathnzuki4044 5 жыл бұрын
@@alphamasaf154 wakwende nauko kwaza wenye wametekwa na ruto,unaeza sikiza mtu mzima Kama nyoro ama waruguru akiogea Kama mtoto,no facts ,upunzi mtupu
@brianowino1387
@brianowino1387 4 жыл бұрын
If you want a good politician is raila odinga coz I have never hard him saying or telling Kenya about development he has done.This man should take Uhuru as his running mate
@marthachepkorir112
@marthachepkorir112 5 жыл бұрын
GOD BLESS BABA
@edwingitonga2261
@edwingitonga2261 5 жыл бұрын
Useless and nonsense speach from someone who people have die because of him..... Takataka saitani
@mustaniraali3402
@mustaniraali3402 5 жыл бұрын
Baba unnimaliza na wimbo wa Wapewape
@elvismunene362
@elvismunene362 5 жыл бұрын
Ati mazishi ya...kiiidriiiidiidijijii😂😂😂😂😂
@lucyvibesgermany
@lucyvibesgermany 5 жыл бұрын
I thought am the only one who heard that...abiii oo I go tire
@Felix-sc8ku
@Felix-sc8ku 5 жыл бұрын
Baba nawe Tialala ni za nini kwa mazishi?
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
Kwani nini mana ya Tialala sipati picha
@eliadzybwayo8320
@eliadzybwayo8320 5 жыл бұрын
Ndo mjue amekuja kusambaratisha jubilee tu
@brianowino1387
@brianowino1387 5 жыл бұрын
Eliadzy Bwayo bwana ataruto akienda matanga huwa anatusi Raila. Raila alishavumilia sana ndio maana ameanza sasa
@corneliusmambili8536
@corneliusmambili8536 5 жыл бұрын
hahahahaha
@pastorwairiukokomu1234
@pastorwairiukokomu1234 5 жыл бұрын
Umesema hujui BBI imebeba mini?hizi porojo xingine ni xa nini.Ngoja kivumbi mxee
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
Maoni yenu hayo mtajua hamjui 💃
@danielomori4086
@danielomori4086 5 жыл бұрын
You are my president period
@Djeyz00
@Djeyz00 5 жыл бұрын
Joho naye aomba katiba ibadilishwe apate cheo.miserable party 🍊
@Djeyz00
@Djeyz00 5 жыл бұрын
@Mazera Nyamawi ya mungu mengi.labda hata utadedi nayeye.akili ya mugoka hiyo inaongea.nyote wa majani
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
@Mazera Nyamawi bro salimia gerto
@josephkamau2137
@josephkamau2137 5 жыл бұрын
Kweli kabisa Baba...wameiba nchi wakamaliza hadi misitu...
@brianowino1387
@brianowino1387 4 жыл бұрын
I like the story inachekesha aki!
@kinara5365
@kinara5365 5 жыл бұрын
Baba ni comedian....afadhali amechekesha sisi
@mildredjael1338
@mildredjael1338 5 жыл бұрын
Hiyo ndio BBI kupanda chuki kwa ruto kwa wakenya,,,,uongelei pesa za reli na Slay wa kuchovya NYS????hizo si pesa wananchi wanafaa kula???sio pesa za potea kwa watu wachache??? Heshimu mungu kwa kusema ukweli,,,,D.P. has help out many youth on TVET we thank him ,,,badala ya kupoteza vijana kwa siasa chafu ya chuki,,,
@gmwangithuoh1384
@gmwangithuoh1384 3 жыл бұрын
Sawa mzee story kwako kura kwa ruto
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 жыл бұрын
God help kenya
@hassanabdirahman7746
@hassanabdirahman7746 5 жыл бұрын
God bless Baba
@paultelengech6982
@paultelengech6982 5 жыл бұрын
What kind of stupid words do these leaders echo
@noahkiptoo7895
@noahkiptoo7895 5 жыл бұрын
Igwang seset
@obarelida
@obarelida 5 жыл бұрын
ritualist, how many luos are you going to sacrifice
@kinara5365
@kinara5365 5 жыл бұрын
Your faith is weak...unaamini nguvu za giza zimeshinda zile za Mungu
@mebakarimohamed686
@mebakarimohamed686 5 жыл бұрын
😂😂😂💯♥️
@irenewachira3914
@irenewachira3914 5 жыл бұрын
Baba sacha kuonyesha wanaichi matusi....ish
@robertkimongo976
@robertkimongo976 5 жыл бұрын
Mara ya kwanza.......ukasema watu wakatae pesa.....sahii unasema zichukuliwe........You are among 10 most richest people in Kenya,where did you take your money..... Acha poroja baba
@linnuxndiwa6492
@linnuxndiwa6492 5 жыл бұрын
Kwani unataka akugawe fanya kazi pia upate
@eliadzybwayo8320
@eliadzybwayo8320 5 жыл бұрын
Awa ni watu wakutufunika tu uso lakini ni wezi wakubwa sana
@susankaburu140
@susankaburu140 5 жыл бұрын
Siata yeye apeane kwanini hufwata Ruto aliona ata akisema asitoe church bado anakubaliwa .porojo
@osymachen8826
@osymachen8826 5 жыл бұрын
Wewe mzee when someone eats sukuma January to January, since 1970s till 2019 it will never make any change.Your politics, propagandas are the same ,u will never change ,we are tired of your petty and cheap politics mzee.Bure kabisa
@iddmusa2127
@iddmusa2127 5 жыл бұрын
Wanainchi hawali maneno matupu mzee Raila.. Wananchi wataka maendeleo ya kujenga Daraja, shule, barabara, hospitali mbegu za upanzi mauzo ya mazao NK.
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 5 жыл бұрын
Sasa unaambia Baba nini ambia raisi wako ambae ako mamlakani na dio anafanya kodi zetu zinaimbiwa kila siku na dio ingewajengea hosp,shule na kadhalika
@elijahmokandu
@elijahmokandu 5 жыл бұрын
@@jarsaduba2626 .pia bila utangamano hakuna maendeleo.Weka Kenya mbele sio ?
@wersonfox6444
@wersonfox6444 5 жыл бұрын
shetani mzee
@technifier857
@technifier857 5 жыл бұрын
Baba ni mwizi mkuu pia.
@victorsudi2687
@victorsudi2687 5 жыл бұрын
Alitomba mamako
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
@@victorsudi2687 pamoja 👊🤣🤣🤣
@victorsudi2687
@victorsudi2687 5 жыл бұрын
@@Io-xz8bi amaniaje ruto dio mwiziiii
@lillianak7885
@lillianak7885 5 жыл бұрын
@@victorsudi2687 kabisa akuna mwizi mdog na mkubwa
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 5 жыл бұрын
@@victorsudi2687 tena jambazi
@albertjames6845
@albertjames6845 4 жыл бұрын
7:34 😆
@ernestmumo1344
@ernestmumo1344 5 жыл бұрын
😂
@marionoletiptip1112
@marionoletiptip1112 5 жыл бұрын
New stuff plz ,hii Wimbo ya mwizi tumezoea juu hakuna mahali mtampeleka ni mdomo tu.
@juliusnjure
@juliusnjure 5 жыл бұрын
Am on BBI if it is addressing one vote one man for equal representation.
@aloiseodhiambo9854
@aloiseodhiambo9854 5 жыл бұрын
That is not news it has been there. You would have said to tame rigging
@susankaburu140
@susankaburu140 5 жыл бұрын
wacha tuwakalie nyinyi ni viti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@benmathnzuki4044
@benmathnzuki4044 5 жыл бұрын
Sio lazima usupport who are you
@ajaabidba4079
@ajaabidba4079 5 жыл бұрын
Ata this current constitution ni yeye alitulazimisha tena anasema ni Mbaya kwa ubinafsi yake tubadilishe
@benmathnzuki4044
@benmathnzuki4044 5 жыл бұрын
@@ajaabidba4079 sijui wakati mwingine uwa mnareason aji,sijai ona mtu analazimishwa kuvote yes
@mtnm7516
@mtnm7516 5 жыл бұрын
Mwizi akipatikana anashtakiwa kisheria. Sivyo mengine kumsema mwenzio ni siasa tu. Wacoasti jameni mkono mtupu ...
@peteromitto910
@peteromitto910 5 жыл бұрын
Twajivunia Raila kuitwa Baba, ni lini huyo Ruto wenu ataitwa Baba ama just ndugu pia?????????? kuitwa Baba na wananchi ni sifa na heshima kuu kwa Taifa. Raila atasalia kuwa shujaa nchini na itachukua muda mrefu zaidi kenya kumpata kiongozi kama Raila baada yake.... wengi watakaokuja baadaye watapa nchi ishatengezwa, wao ni kula, kusherekea na kujigamba.
@blackmassacre787
@blackmassacre787 5 жыл бұрын
Ni kwa sababu yeye ni mzee kushinda Ruto na Uhuru combined
@peteromitto910
@peteromitto910 5 жыл бұрын
@@blackmassacre787 mbona kibaki ama moi wasiitwe Baba? kubalini kuwa hio ni sifa ya kipekee ambayo wananchi walimtuza raila kama kielelezo kuwa ni kiongozi shujaa, twajivunia uhuru wakujieleza, vyama vingi, demokrasia kwa ujumla kutokana na ushupafu wa Raila kupigania mwanchi mkenya since 1981.
@blackmassacre787
@blackmassacre787 5 жыл бұрын
@@peteromitto910 sijakata lakini naongeleo katika ulingo wa kisiasa yeye ndio mzee zaidi having contested for the seat so many times and losing.He has more political experience in terms of hardness and perseverance that is the reason I hope I have answered you well💁
@peteromitto910
@peteromitto910 5 жыл бұрын
@@blackmassacre787 Well...its okay.
@alumanjr.4747
@alumanjr.4747 5 жыл бұрын
Pesa chueni ni yenu 😂.
@marymutua305
@marymutua305 5 жыл бұрын
Ati mumetumia 10billion on BBI, plz. Punguza mzigo hatutaki BBI, munagawanya viti. Deputy PM watatu, ahhhh!! Kazi gani watakua wanafanya na sisi ndo tunawalipa.
@aloiseodhiambo9854
@aloiseodhiambo9854 5 жыл бұрын
Wewe ota tu hapo utajua haujui
@marymutua305
@marymutua305 5 жыл бұрын
Mimi naota ama Raila Odinga??
@susankaburu140
@susankaburu140 5 жыл бұрын
10 billion bure kabisa kazi yao ni kuhalibu pesa n watu madera wa malizwa na flood
@theelephant5974
@theelephant5974 5 жыл бұрын
BBI is a joke. Pure reaction as opposed to PM's proaction.
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 5 жыл бұрын
afathali yeye anaiba na analetea wanaichi wewe zako unapereka wapi odiot wewe una kitu la kusema.
@aloiseodhiambo9854
@aloiseodhiambo9854 5 жыл бұрын
Una support uizi and the country is broke are you out of mind
@susankaburu140
@susankaburu140 5 жыл бұрын
si ata yeye ni mwizi heri huyo ameiba na analundisha kwa wanainchi.anataka zikae kwa bank ama?
@noahkiptoo7895
@noahkiptoo7895 5 жыл бұрын
Anapelekea mamako
@aloiseodhiambo9854
@aloiseodhiambo9854 5 жыл бұрын
@@noahkiptoo7895 I told you kales what's wrong all abusive language all the time. No we can't elect your man. Debates hamjui mutaongoza nani???
@paulpogba4326
@paulpogba4326 4 жыл бұрын
washa kutusi baba kahaba ii
@josphatgichuki161
@josphatgichuki161 5 жыл бұрын
Hii ni mazishi au ni siaza?? Kenya iko na shortage ya wajinga!!.
@vand922
@vand922 5 жыл бұрын
How about churches? Hypocrisy ee
@josphatgichuki161
@josphatgichuki161 5 жыл бұрын
@@vand922 Another problem.
@noahkiptoo7895
@noahkiptoo7895 5 жыл бұрын
Harusi
@abumosa9682
@abumosa9682 5 жыл бұрын
Tumechoka na upuzi yako na porojo.. we sense your poor ambition hatukutaki ukae ukijua. Lord of poverty
@morrisonmufwoko7418
@morrisonmufwoko7418 5 жыл бұрын
Kwani Raila anahubiri umaskini au ni siasa za kumalizana? Sijawahi kusikia Baba akisema umaskini ndio Sera. Badala yake nafahamu wewe unafanya siasa za kishabiki eti Ruto akisema no reasoning. INABAKI kua ukweli sio porojo za kisiasa.
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
@ abumosa 968 Hebu tueleze unamaanisha nini na Lord of poverty? Usipayuke bure tu bila kufikiria.
@victorotieno1039
@victorotieno1039 5 жыл бұрын
abumosa 968 raila has been been in the government for only 5 years ,,,ruto was in the moi gvment and now has been in the jubilee gvment for 7 years ....so in your simple mind you think ruto has made Kenya rich??
@izzoeisaac7062
@izzoeisaac7062 5 жыл бұрын
ile ujinga hii mzee ame jaza wa kikuyu wont allow jaluo jinga jeuri lead this nations
@kenyanowchannel3235
@kenyanowchannel3235 5 жыл бұрын
Heeee.... political dominance ....... is coming down soon.
@izzoeisaac7062
@izzoeisaac7062 5 жыл бұрын
@@kenyanowchannel3235 you need kikuyu to be president ask baba why he is ass licking uhuru
@noahkiptoo7895
@noahkiptoo7895 5 жыл бұрын
Kikuyu
@VJMASTERMIND
@VJMASTERMIND 5 жыл бұрын
I would like to comment but...djddkjjjkkkk
@aliceoluoch5950
@aliceoluoch5950 5 жыл бұрын
Only God knows every one's date, you kill today, well, your date is on the way, and is a must. What do you benefit as a leader after killing your fellow's, respect God the creator.
@dettoxhap1329
@dettoxhap1329 5 жыл бұрын
Hizi nyimbo zako .....fanya collabo na platinum
@susankaburu140
@susankaburu140 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣noma sana
@lillianak7885
@lillianak7885 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂spare my poor ribs
@josephinejosephine1455
@josephinejosephine1455 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mcdee007justitbro6
@mcdee007justitbro6 5 жыл бұрын
elphas kama huelewii kiswahili fungo choo chako kinatowa nzii mno pambavu
@miriamannamakhanu7592
@miriamannamakhanu7592 5 жыл бұрын
😂😂😂
@josephineatieno2600
@josephineatieno2600 5 жыл бұрын
Adabu jamani
@kaffsbigboy3311
@kaffsbigboy3311 5 жыл бұрын
A bitter man, you guys changed the one thousand note to cap corruption, is the notes still operational?
@georgeotieno5547
@georgeotieno5547 4 жыл бұрын
Baba
@bilsontv1022
@bilsontv1022 5 жыл бұрын
Gideon moi is being killed here
@ajaabidba4079
@ajaabidba4079 5 жыл бұрын
Wana kanu ni wajinga
@Djeyz00
@Djeyz00 5 жыл бұрын
Change of genre again.this guy isa chameleon kam watermelon 4real.aint a time his monies is seen.better go n chill with Moi
@wafulamwanzia4702
@wafulamwanzia4702 5 жыл бұрын
Baba.....twakupenda sana Kenya mzima
@colonelghadafi.4806
@colonelghadafi.4806 5 жыл бұрын
Mbona Aisha jumwa cmuoni😁
@AminaCuisine692
@AminaCuisine692 5 жыл бұрын
Si hii ni mazishi jamani
@bilsontv1022
@bilsontv1022 5 жыл бұрын
When UhuruRuto said we have a problem with our judiciary you denied,now you agree in 2019?
@ngisian
@ngisian 5 жыл бұрын
Your Beef with Dr SR will be sorted soon.
@fisherwoman546
@fisherwoman546 5 жыл бұрын
Aiiih!!
@francisgachigi8511
@francisgachigi8511 5 жыл бұрын
What's wrong baba, how do you blame courts when the Constitution give accused right to bail. Hiyo ni katiba sio mahakama. You are inciting Kenyans against our judiciary. Address that in your bbi project
@morrisonmufwoko7418
@morrisonmufwoko7418 5 жыл бұрын
My good country man please. Àre you leaving on the moon or in Kenya? Our country is totally corrupt. All institutions. For me if BBI can address issues of corruption then I support.
@jammiengraciousinnovations2117
@jammiengraciousinnovations2117 5 жыл бұрын
He just said we need to visit bail to murder victim
@evancejohn1294
@evancejohn1294 5 жыл бұрын
Pongezi baba
@abdallaruwa1530
@abdallaruwa1530 5 жыл бұрын
Baba waona yawenzako hebu angalia wale vijana uliowachochea kwenye uchaguxi na wakauwawa kwa bunduki jee haki Yao iko wapi Sasa
@dicksonoichoe1440
@dicksonoichoe1440 4 жыл бұрын
BBI is what we wanna support to the fullest
@lillianak7885
@lillianak7885 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Mimi naogoja BBI cannan ilizama na mamba + tergass 😂😂😂😂 sioni mtu wa kukibizana na tergass
@peterthuku4481
@peterthuku4481 5 жыл бұрын
Lillian Akwam usitusi mamba kabla hujavuka mto
@lillianak7885
@lillianak7885 5 жыл бұрын
@@peterthuku4481 😂😂😂😂😂 ume ona kaa nime tusi mtu oneni huyu
@bettyoluoch9774
@bettyoluoch9774 5 жыл бұрын
Hiyo song yawa 😂😂😂😂😂😂
@abdimalikali1930
@abdimalikali1930 5 жыл бұрын
Eeh Maneno yale no yale
@mosesmwaura7122
@mosesmwaura7122 5 жыл бұрын
Mshenzi mkubwa Kenya ni raila
@juliasngiraMoranHonest
@juliasngiraMoranHonest 5 жыл бұрын
Jst to inform you Ruto gives because he knows what it means to lack unlyk wewe mchoyo you can't understand wat it means to give
@AminaCuisine692
@AminaCuisine692 5 жыл бұрын
RAO oughts to be a primary school teacher
@everlynondego8113
@everlynondego8113 5 жыл бұрын
too late, he's already an engineer.
@MufasaToday
@MufasaToday 5 жыл бұрын
Caption is on 6:45
@omarbachu1074
@omarbachu1074 5 жыл бұрын
Zilizopendwa!
@felixmaru
@felixmaru 5 жыл бұрын
Mtu mbinafsi huyu....shenzi sana
@paulinhoodhizohngongroad7283
@paulinhoodhizohngongroad7283 5 жыл бұрын
Baba yako anajua kizungu maggot
@griffinsomondi7422
@griffinsomondi7422 5 жыл бұрын
Unatafuta Mme ww
@rosemarykatogomusanga1619
@rosemarykatogomusanga1619 5 жыл бұрын
Mbumbabu wewe. Wewe ndio shenzi Nr one
@wycklifeochieng9900
@wycklifeochieng9900 5 жыл бұрын
It's you who is the biggest fool ever,,, respect your elders
@patrickndaro372
@patrickndaro372 5 жыл бұрын
@@griffinsomondi7422 😂😂😂
@kipdizzo3575
@kipdizzo3575 5 жыл бұрын
Despot
@sydneyjuma6804
@sydneyjuma6804 5 жыл бұрын
But Uhuru must know very well where Ruto gets those Millions...
🇵🇰 Pakistan - Prime Minister Addresses General Debate, 74th Session
50:40
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 30 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Who Wants to be a Millionaire US: First Million Dollar Winner with John Carpenter
19:07
Motherland Darren's Sessions
Рет қаралды 3,9 МЛН
She Recognizes Death (Incredible Acting) | Meet Joe Black
5:54
Popcorn Picks
Рет қаралды 2,3 МЛН
Why DP William Ruto was locked out from Uhuru-Raila meeting at Bomas
4:46
Raila Odinga: The King of political manoeuvres
6:24
NTV Kenya
Рет қаралды 33 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН