Al Ahli Tripoli 0-0 Simba SC | Highlights | CAF CC 15/09/2024

  Рет қаралды 406,395

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 420
@emiliamlolere5748
@emiliamlolere5748 2 ай бұрын
Azam ni moja tu, Azam mwamba wao. Thanks much for the quality and fastest highlights ❤
@AizackMoneka
@AizackMoneka 2 ай бұрын
Anae ❤ipenda ❤simba sports club ❤Like 🎉🎉🎉
@GODFREYMBOGE
@GODFREYMBOGE 2 ай бұрын
Simba defence is going to be something else
@Ngobeicaptain
@Ngobeicaptain 2 ай бұрын
Like what sir? 😂 Didn't you see people getting all those free headers.. really?? Chemalone almost clumsily giving a penalty.. let's be honest.. Simba needs to pulling up their game!
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
Respect sanaaa simba yangu moyo ulikua na pressure ❤❤❤❤
@amanmalima940
@amanmalima940 2 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Ww hujui maandiko wala uweza wa mungu , yesu anaposema yeye ndio njia na kweli na uzima maana yake yeye ni Mwalimu . Na hakika katika kweli yeye ni mwalimu kwamaana anafundisha njia ya Mungu . Na somo hilo madhumuni yake kila atayemfundisha mwishoni mwa somo awe amejua yakwamba MUNGU NI MMOJA WA KWELI NA PEKEE NA YESU KRISTO NI MTUME WAKE (only for sons of Israel)
@athumanimakange9346
@athumanimakange9346 2 ай бұрын
Wewe ukishaokoka inatosha, sio lazima sisi😢
@nusaania2950
@nusaania2950 2 ай бұрын
Wueh
@naslimtz1247
@naslimtz1247 2 ай бұрын
Sio kwel
@halleltv
@halleltv 2 ай бұрын
Wote tunapaswa kuokoka, Kama ilivyo Mara ya kufa ni hukumu
@MathewConstantine
@MathewConstantine 2 ай бұрын
Like kwa Wana lunyasi 🦁🦁 hapa
@abdallahmindika1641
@abdallahmindika1641 2 ай бұрын
Hiii team ingekutana na sisi yanga yaaani naona kabisa tungekula kamba zakutosha maana tunajifanyaga kupanda juu kama vile kila kitu chetu mfumo aliotumia mtani kiakili nimeuelewa vizuri saana waarabu sio wakuwafungukia kwao yaaani bora uzuie kwako utafte matokeo mbinu nzuri snaa❤❤❤❤❤ watani hongereni kwakel mimi sina unafki mechi imekua kama fainali sidhani kama tutakuja kuona mpira wa hivi tena kama siku hiii' congrats simba congrats yanga wote nchi moja mungu awe na sisi mwanzo mwisho team zetu ziweze kufika mbal❤❤❤
@AronMassawe
@AronMassawe 2 ай бұрын
Kwenda zako simba wa mchongo aunijua yanga kuliko gamondi ww?
@AronMassawe
@AronMassawe 2 ай бұрын
Yanga imeshawapiga waarabu wangapi ugenini ? Au unalopoka tuu unashindwa kuongea kitakwimu bhana !!!?
@SharoonBernadi
@SharoonBernadi 2 ай бұрын
Umeongea point kabisa
@getrudeegervas6694
@getrudeegervas6694 2 ай бұрын
wew hujui maana ya utani wa jadi
@stevenelias516
@stevenelias516 2 ай бұрын
Kwenye ukweli lazima uongelewte tuache ushabiki maandazi kaongea pointi sana
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 2 ай бұрын
Congratulations, Simba SC. It wasn't that easy!
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Congratulations Azam TV
@hillarymuhidini5030
@hillarymuhidini5030 2 ай бұрын
Safi plan ya ugenini imetimia, tunaomba plan ya nyumbani pia itimie...God is good
@IvanSeleman
@IvanSeleman 2 ай бұрын
Hatoki mtu j pili kwa mkapa Simba nguvu moja ❤❤❤
@abakuriatv3351
@abakuriatv3351 2 ай бұрын
Hii timu inaweza pata matokeo Benjamin Mkapa a very composed team sijaona maajabu yeyote ya Simba hapa
@JosephatMassae
@JosephatMassae 2 ай бұрын
NDO MAANA YA TIMU KUBWA !! SIO WALE CBE WALIOCHEZA NA UTOPOLO !! CBE WANACHOJUA NI KUSHIKA MITUTU YA BUNDUKI KWENYE VITA MPIRA WAPI NA WAPI!! NDO MAANA UTO WALICHEZA KAMA WAMEBEMENDWA😀😁
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 ай бұрын
Mnyamaaaaa mauwa tunawapeni jamani mmefanya kazi nzuriiii mnoo sasa ni mwendo wa kuwaangamiza kwa Mkapa🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 2 ай бұрын
Asante mashujaa wetu🦁🦁🦁🦁
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 2 ай бұрын
Thank u Simba for representing TAnzania properly
@adamusabuni6173
@adamusabuni6173 2 ай бұрын
Nyie watanzania hamjui mpira nyamazeni hii mechi ilichezwa kwa akiri sana mnataka kulinganisha na timu ya jana iliyocheza na vyura ulinganishe na hii ama kweli hamuwezi kuujua mpira
@PillyKassembo
@PillyKassembo 2 ай бұрын
Kamara uwii 🌹❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@michaelsukwa4371
@michaelsukwa4371 2 ай бұрын
Hongera sana Simba sc
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤ AL HAMDULILLAH ❤❤❤❤❤ WAKIJA MKAPA TUWANYOSHE HAKUNA CHA MABULULU WALA MABUZUZU AMINYWE MPAKA MAVI YAMTOKE.
@kaitiramaingu4578
@kaitiramaingu4578 2 ай бұрын
Tuache kubeza na kudharau jasho la wengine wanapopambana. Sisi tunaona mchezo ulikuwa rahisi, Mwalimu na wachezaji wetu walionesha bidii sana. Hongera sana SSC.
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 2 ай бұрын
Ubaya Ubwela 💯🔥🔥🇹🇿💪
@tumainielisante3768
@tumainielisante3768 2 ай бұрын
Mechi nzuri sana mno!! Approach ya mwalimu ilikuwa nzuri sana,Tunawasubiri kwa Mkapa
@HatemAlkilani
@HatemAlkilani 2 ай бұрын
هل ستلعبون بالحكم في مكابا،؟؟؟
@runzi7398
@runzi7398 2 ай бұрын
Mlitaka kututoa kwenye mchezo kwakuleta vulugu uwanjani sisi tupo kwaajili ya mpira upigwe this is SIMBA
@HalimaKarm
@HalimaKarm 2 ай бұрын
Mtawafanya nn hao
@rosehusein
@rosehusein 2 ай бұрын
Ht km wame droo lkn simba wamecheza vzr sana
@OlarivKirika
@OlarivKirika 2 ай бұрын
Kweli huku shirikisho ndo Kuna utamu msimu huu.Halla Lunyasi. Leo mmeuonyesha umma wa afrika kwanni tupo top ten. #SimbaNguvuMoja#
@me-oc3tl
@me-oc3tl 2 ай бұрын
A team that cannot be said to have been competitive because if it had been a strong team, it would have allowed the men to play together, but the referee intervened in this matter and this forced the opposing team to take a bad side. It was a weak team and Al-Ahly’s capabilities were stronger and better. There were two penalty kicks that were 100% correct and it was His treatment is good in all aspects, but it is normal for a crowd to defend its team after being wronged by penalty kicks, and this is the correct crowd reaction. 👍🏻👍🏻
@anandennko3383
@anandennko3383 2 ай бұрын
Ebu tuondlee laaana you know nothing about football
@kingsmansforexsociety895
@kingsmansforexsociety895 2 ай бұрын
we shall see in next leg spare ur words
@me-oc3tl
@me-oc3tl 2 ай бұрын
@@kingsmansforexsociety895 Why didn't you say it the last time? When you're unlucky, you resort to the referees, and I trust my words, and Al-Ahly will be subjected to bad refereeing when they advance like the match that was missed. Are your words true? Why didn't we see anything, and even if Al-Ahly loses, it will be proud that they fought and fought until the last minute against a team dressed in fraud? To reach a place is easy for a strong team to get without cheating, and I used to respect your team, but I was shocked by your fans and your team that laughed at you with lies so that you would not attack them because of the bad team. We treated you only with goodness, and we respected you a lot, but we did not see anything in return.
@me-oc3tl
@me-oc3tl 2 ай бұрын
@@anandennko3383 I do not really know your team, nor have I heard about it in order to judge whether your team is strong or weak. As a person, I only saw a match in which it was weak and resorted to the referees to wash away its shame in front of its fans. It is natural for me to take a bad character against it, that your team seeks your sympathy with lies so that the public does not attack it, nor do we. I say that as a Libyan, nothing happened. Rather, we worked with you and the team treated it as a constant for a Libyan team. We had harmony between the two departments, but after the match we were shocked by the news that did not happen and did not happen in order to hide the poor performance of the team. I am an Ahly fan and I respect you very much.
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 2 ай бұрын
We got a crowd in Dar es Salaam too, the worst is yet to come 🙂🙂
@MerisianaWilliam
@MerisianaWilliam 2 ай бұрын
Naipenda simba
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 ай бұрын
Asante Mungu kuijalia simba kupata sare ugenini imani yangu ni kuwa simba itaingia makundi kwa nguvu kubwa ,,,japo mpinzani wetu ni mgumu,,ila simba itashinda
@simbampya8917
@simbampya8917 2 ай бұрын
Simba nguvu moja @simbasc
@PillyKassembo
@PillyKassembo 2 ай бұрын
❤❤❤ simba 💪💪1
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 ай бұрын
Hongera Simba, yaani hapa hawa majamaa wana vichwa hatari.
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 2 ай бұрын
Tukutane kwa Mkapa 🦁💪
@HatemAlkilani
@HatemAlkilani 2 ай бұрын
الحكم كان نجم المبارة بلا منازع الي متي المهازل التحكيمية يا ماما افريكا؟؟
@vinny.morales
@vinny.morales 2 ай бұрын
Am Yisrael Chai ❤️🇮🇱
@emakulatapaulo
@emakulatapaulo 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@allyhatibu5097
@allyhatibu5097 2 ай бұрын
Oyoooo no 1 viewer
@lazarokotema-me5oo
@lazarokotema-me5oo 2 ай бұрын
Asante.simba
@HabibatySefu-t8i
@HabibatySefu-t8i 2 ай бұрын
Ukiacha ushabiki ukiangalia vizuri hapo chemaron hakumgusa iliugusa mpira ila yeye akajiangusha ili iwe penat na refa aliona hilo
@SamsonMasalu-y5f
@SamsonMasalu-y5f 2 ай бұрын
kwa simba hii du sijui
@bwiremgeta
@bwiremgeta 2 ай бұрын
❤❤🦁🦁🦁
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 ай бұрын
Tunamshukru Mr Gharibu Mzinga waache waje nahis Lupaso atatangaza mwamba wa umalila sauti ya radi
@lazarolakara979
@lazarolakara979 2 ай бұрын
Welcome Benjamin mkapa 3😮😮😂😂
@EsterWillson-n7z
@EsterWillson-n7z 2 ай бұрын
Che Malone🎉🎉🎉❤
@AlexSegereti
@AlexSegereti 2 ай бұрын
Pamoja Wana simba
@nuruosward8161
@nuruosward8161 2 ай бұрын
Hii ilikuwa club bingwa Amaaaaaaa maaana weeee hii sio shirikishooooo😂😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 ай бұрын
Shirikisho na Club bingwa tofauti iko wapi? Mambo mengine mnatakiwa kufikiria
@LeonardBadili
@LeonardBadili 2 ай бұрын
​@@MrTop-wj7noHuoni tofauti acha kujizima taa basi
@LovelyBlueLake-vv3ed
@LovelyBlueLake-vv3ed 2 ай бұрын
game dume🔥
@MamboLeo-g8y
@MamboLeo-g8y 2 ай бұрын
Pray for Palestine people
@RizikiLugoma
@RizikiLugoma 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa mechi ilikua nzuri sanaa
@RashidSudi-v5z
@RashidSudi-v5z 2 ай бұрын
Joshua ajitasimini sana
@RealInno-g2u
@RealInno-g2u 2 ай бұрын
Simba❤❤❤ Hiiii ndy mexha yenyew
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Tuache utani Waarabu wanajua na Nguvu ya kushangilia. Timu kama sio uzoefu unapotea kwa vibe hili.
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 2 ай бұрын
Kwa ajili ya uchovu ndio maana matokeo hayakua mazuri tutafanya vizuri mechi ijayo wanlunyasi
@LeonardBadili
@LeonardBadili 2 ай бұрын
😂😂😂 daah! bongo sihami
@laurentmyeule859
@laurentmyeule859 2 ай бұрын
Mmmh hii mechi ilikuwa Ina pressure sana aseee
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 2 ай бұрын
Simba wachezaji wake wakitaka kushinda wasiwe wachoyo wa kutoa pasi wachezaji wanao cheza mbele wakiacha uchoyo na kutaka razima afunge yeye tu basi itawapa hasara kwenye mchezo wa marudiano
@zacmediatz
@zacmediatz 2 ай бұрын
Likes za Camara tunaweka wapi
@patricklubela9116
@patricklubela9116 2 ай бұрын
Ilikuwa penati sema refa kahamua kufanya fear tu
@runzi7398
@runzi7398 2 ай бұрын
Haujui mpira unaropoka tu uliguswa mpira ndio maana mpira ulielekea nje pasipo kubambikizwa kwa mpinzani,ila mpinzani ndiyo kauvaa mguu wa chemalone hakuna penalty pale hakuna janja janja pale 😂😂😂
@RahimMahadi
@RahimMahadi 2 ай бұрын
N kwel kabsa Inabd wakirudiana ukawe refa ww
@boxdad
@boxdad 2 ай бұрын
Simba tuna makipa bora
@PillyKassembo
@PillyKassembo 2 ай бұрын
Subiri mje uku mtajua hamjui
@RaphaelJoshua-uk7ok
@RaphaelJoshua-uk7ok 2 ай бұрын
Ukweli Simba Leo wamecheza gem nzuri sana
@Sangwa250
@Sangwa250 2 ай бұрын
Al Ahly tripoli kwanguzo ya roho yangu
@SarahMathias-v1g
@SarahMathias-v1g 2 ай бұрын
Ubaya unatisha Asanten sana mabeki wetu mmefanya kaz
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 ай бұрын
BRAVO SIMBA, KWA MKAPA HATOKI MTU
@saliminmakenzi781
@saliminmakenzi781 2 ай бұрын
Hatari sana Hawa vijana wa ubaya ubwela mmepambana mno kesho tutawapokea airport mashujaa wetu😅
@petermsechu1519
@petermsechu1519 2 ай бұрын
Toka Lini Mmeanza Hiyo Tabia ya Kupokea Wachezaji Wenu😂
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 2 ай бұрын
Watatukuta Kwa Mkapa tutaelewana.
@munerik-ii3514
@munerik-ii3514 2 ай бұрын
Just know that it will be hard for Simba , Alahly T has best defender from Rwanda
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 Күн бұрын
Did you see it in Dar es salaam? Simba is the best team in africa
@receptioneacopdar
@receptioneacopdar 2 ай бұрын
Simba hawapiti msimuu huu ,wameshambuliwa hvyo
@chongeranzeimanakabaziro
@chongeranzeimanakabaziro 2 ай бұрын
Simba kajitahidi
@JohnLyakurwa-v8y
@JohnLyakurwa-v8y 2 ай бұрын
Tunacheza vizuri nyuma na kati ila hatutengenezi nafasi kama utopolo
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 ай бұрын
Tengenezeni kama sanda
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Walitengeneza 10 wakapata 1 😂😂😂😂 ,utani tu
@MustafaRashidiitvnawapatanikiw
@MustafaRashidiitvnawapatanikiw 2 ай бұрын
❤❤ simba
@salimkuziwa8958
@salimkuziwa8958 2 ай бұрын
Chama la Wana. Asaanteeni sanaaa
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 2 ай бұрын
Hii timu kwa ilivyocheza ni bora kuliko mamelod.
@EmmaMzalendo
@EmmaMzalendo 2 ай бұрын
❤❤
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z 2 ай бұрын
Tunamshukuru mungu
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 ай бұрын
Tz club bado tunaonyesha ss ni wakubwa 😂😂😂
@LeonardBadili
@LeonardBadili 2 ай бұрын
😂😂😂 usiongee ukamala
@NataliaMboya
@NataliaMboya 2 ай бұрын
Hii ni shirikisho au ni. Klabu bingwa hongera benji la ufundi hongera jeshi letu kwa mkapa hatoki mtu
@paschalduwe817
@paschalduwe817 2 ай бұрын
Azam burudan kwa wote
@EdsonNoah-st4ie
@EdsonNoah-st4ie 2 ай бұрын
Ubaya Ubwela a,k,a makolo tatizo Lao wanapenda kwa mkapa kuwachosha waganga tuu kucheza mpira AAAAH
@asedimaketa8694
@asedimaketa8694 2 ай бұрын
😂😂😂 Fala sana wewe daah!!!
@selestinchristopher4726
@selestinchristopher4726 2 ай бұрын
Waganga c babako ndo analoga
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 2 ай бұрын
*simba huwa inazuia sana alafu inakuja kufwaaa mwishoni kama leo kidogo tuu waarabu watupasue*
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 2 ай бұрын
Ungepasuka wewe tu
@jimmybrownkabingabinga9008
@jimmybrownkabingabinga9008 2 ай бұрын
Uongo mtupu......mechi ya leo ilikuwa ngumu ukilinganisha na matemba ya jana. So far, hakukuwa na mechi yenye msukumo na mvuto mkubwa wiki hii kama ya leo. Big up Simba SC
@LeonardBadili
@LeonardBadili 2 ай бұрын
​@@jimmybrownkabingabinga9008Huna timu acha kujitetea
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 2 ай бұрын
​@jimmybrownkabingabinga9008 kila mtu ashinde mechi zake brow!😅
@BabaHassani
@BabaHassani 2 ай бұрын
Kama fainal vile
@JumaFakki
@JumaFakki 2 ай бұрын
Hawa inabd tuwafanye kitukibaya kwa mkapa
@EmmyCharles-hn9wb
@EmmyCharles-hn9wb 2 ай бұрын
Simba wanatakiwa wazuie hizi freehead wanazopiga timu pinzan
@KabomomoMooketsi
@KabomomoMooketsi 2 ай бұрын
Mungu ibariki simba jum pili tupate gor
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 ай бұрын
Ubaya Ubwela!
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 ай бұрын
Ubaya uboya
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​​@@EliaMkumbo-wn7bmKAFIRWE KAMA NYIE UTO MNGEPIGWA 9
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 2 ай бұрын
Awaleo walikutana pipa namfuniko 😂😂😊
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 ай бұрын
Nyoe mmekutana na team azina viwanja mkacheza chamaz.kila mwaka mnapewa team kwao zina vita
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 ай бұрын
@@muhamedjaffar5653 shirikisho ni timu za chini sana hata uwezo wenu ni mdogo sana mlikutana pipa na mfuniko
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
​@@EliaMkumbo-wn7bmwewe ni mwanaume au mvulana maana daaa😂😂😂😂 ,kati ya mechi ya juzi na ya Jana ipi ilikuwa mbovu?
@colethakomba110
@colethakomba110 2 ай бұрын
❤😂
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 2 ай бұрын
Sasa kwa mkapa mnyama atafanya ubaya ubwela
@abdallahmakasi3139
@abdallahmakasi3139 2 ай бұрын
Munatuboa bhana munareply Mambo wakati match inaendelea Mara muoneshe mashabiki wakati match inaendelea munatuboa Sanaa badirikeni bhanaa
@banecxog3251
@banecxog3251 2 ай бұрын
Acha kujichoreshaaaaa😅😅😅😅😅😅
@abdallahmakasi3139
@abdallahmakasi3139 2 ай бұрын
@@banecxog3251 mzee......!!
@hashimuseif
@hashimuseif 2 ай бұрын
Kwamkapa hatoki mtu,Simba nguvu moja
@AgostineBadi
@AgostineBadi 2 ай бұрын
Watanzania wengne atujielew unavosema Simba inakuaibisha ulitaka wafanyaje kwajins ulivoona tuache ushabiki waajabu tuwe naupendo nachako atakama ikiwaje
@lucymmary2518
@lucymmary2518 2 ай бұрын
❤❤❤❤ubaya ubwelaaaaaa❤❤❤❤
@KeziaKaita
@KeziaKaita 2 ай бұрын
Mussa ni golikipa mzuri sana Mungu amrinde
@YulithaYoram
@YulithaYoram 2 ай бұрын
Hongeren Simba tuko pamj Hadi sku mtakapowafunga Hawa watu
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 2 ай бұрын
*jaman huyu budu sijui budo kila nikimwangalia namwona kama ntibanzonkinza alie kunywa uji wa moto wa jeshini au nikama maharage yaliyo goma kuiva huruka ruka tuuu na huyo barua ndio hakuna kabisaaa ila ateba ni fire*
@EmmanuelCharzy
@EmmanuelCharzy 2 ай бұрын
Siku hazilingani mbona sis watz hatunaga dogo jamani wewe siku zote umefanya vyema tuh??
@saumsaid1966
@saumsaid1966 2 ай бұрын
Kacheze wewe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
KACHEZE WEWE MAHARAGE YA KUIVA
@geofreymnl9143
@geofreymnl9143 2 ай бұрын
Watu wataanza kua makini n shirikisho kuliko club bingwa
@GeofreySemadinga-l2z
@GeofreySemadinga-l2z 2 ай бұрын
Walahujakosea palipo nasimba ndipo hufuatliwa sana
@renatusthomas7819
@renatusthomas7819 2 ай бұрын
Mwakolaaaa
@bluegreenmedia7950
@bluegreenmedia7950 2 ай бұрын
Huyu Manzi Thierry ni man of The matche kwel
@newsupadates
@newsupadates 2 ай бұрын
he is from rwanda bro
@shanmlawa
@shanmlawa 2 ай бұрын
Anajua🎉🎉
@JosephatMassae
@JosephatMassae 2 ай бұрын
NA HII NDO TOFAUTI KATI YA MECHI YA CHANDIMU Vs CBE. NA MECHI YA JANA KATI YA SIMBA NA TRIPOL BONGE LA MECHI MPIRA UMECHEZEKA KAMA FINAL NA UWANJA UMETAPIKA!? SASA TUWAULIZE NYIE UTOPOLO ILE MECHI YAO NI KLABU BINGWA AU NI CHANDIMU!? MANAKE WACHEZAJI WAO NI KAMA WALIBEMENDWA 😀😁😂
@Francylau
@Francylau 2 ай бұрын
Wamejaaa ili washinde yaaan simba n kubwa ina tishaaaa😂😂😂
@SEBAKIRWAHA
@SEBAKIRWAHA 2 ай бұрын
Sure kabsa
@RashidimAbdallah
@RashidimAbdallah 2 ай бұрын
Tunashukuru Mungu kwa kila jambo
@shabanlue7253
@shabanlue7253 2 ай бұрын
Tungekua sisi yanga hii mech tungefungwa nyingi
@HatemAlkilani
@HatemAlkilani 2 ай бұрын
سنهزمكم علي ارضكم و امام جمهوركم الأهلي الزعيم فوق الجميع دائمآ💚🤍💚🤍💚
@RamseyBoy-pl1ei
@RamseyBoy-pl1ei 2 ай бұрын
Forget about that my friend 😅
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 ай бұрын
Good luck😂😂
@jephtephlon2366
@jephtephlon2366 2 ай бұрын
Stop dreaming my freind in broad light 😂😂😂😂, we will see if so😅
@NehemiahDaniel-v3e
@NehemiahDaniel-v3e 2 ай бұрын
😂 😂 😂 Sorry your absolutely wrong our simba motto ubaya ubwela no al ahly tripoli will be safe
@HatemAlkilani
@HatemAlkilani 2 ай бұрын
@@NehemiahDaniel-v3e سيمبا حقيقته مضحكة . اكتشفنا أنه مجرد دجاجة لمس تستطيع لم الكرة في الملعب ، لولا التحكيم لخسرت يا ضعيف
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07