Albino: ''Niliuzwa kwa wauaji kwa shilingi milioni 2 pesa za Tanzania''

  Рет қаралды 3,827

BBC News Swahili

BBC News Swahili

5 жыл бұрын

Katikati ya ziwa Victoria Barani Afrika, kuna kisiwa cha Ukerewe kaskazini magharibi mwa Tanzania sehemu ambayo ni kimbilio kwa Albino ambao kwa miaka kadhaa wamekua wakitengwa na kuuawa nchini humo.
Kisiwa hicho ni miongoni mwa maeneo machache katika kanda ya ziwa ambayo hajakumbwa na mauaji ama mashambulizi yoyote ya albino. Kwa mujibu wa chama cha albino Tanzania kumekua na mashambulizi 180 ya albino na 75 kuuawa nchini Tanzania.
Christina alikimbilia Ukerewe baada ya kunusurika kuuawa kufuatia jaribio la kuuzwa kwa wauaji na mjomba yake. #Albino #tamaa #ushirikina #tamadunipotofu
Picha: Eagan Salla

Пікірлер: 2
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 жыл бұрын
Pore sana.
@azamansur7086
@azamansur7086 5 жыл бұрын
Astaghafirullah Allah atujaalie tuwezekua na mioyo ya kibinaadam mungu atuepushe na balaa hili la mauaji ya albino nao ni binaadam Kama sisi
Wazee wasingiziwa uchawi na kuuawa kwasababu ya ardhi
52:03
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,2 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
Siri ya maisha ya mrembo wa Instagrama aliyefungwa jela
4:23
BBC News Swahili
Рет қаралды 968
"Hayupo tena na sisi, najua atakuwa na furaha kwa Mungu."
3:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 1 М.
Mwanangu mwenye jinsi tata aliniambia ‘ninaweza kujitoa uhai’
37:22
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 8 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:19
BBC News Swahili
Рет қаралды 9 М.
'Nalipenda jibu la hapana kuliko ndio'
41:52
BBC News Swahili
Рет қаралды 573
'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'
48:51
BBC News Swahili
Рет қаралды 3,3 М.