ALFRED MUTUA & MAFUTA YA NGURUWE (Lard): Weekend Update (Ep 80 part 1)

  Рет қаралды 21,049

Iko Nini

Iko Nini

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@dogsplanet_0001
@dogsplanet_0001 6 ай бұрын
Ian Yuko sharp, quick responses🤣
@kilionmike4974
@kilionmike4974 6 ай бұрын
Leta Juliani apa ajibonge!
@sanga_mlatino
@sanga_mlatino 6 ай бұрын
Finally mmepata kuwa sponsored. Hongereni. I am proud of you
@reubenkamau7070
@reubenkamau7070 6 ай бұрын
Please protect Rapcha with all might🤣
@SOFTGUYERA2024
@SOFTGUYERA2024 6 ай бұрын
When an affluent man loses his wife to a poor man, he can't recover from that.
@PabloM254
@PabloM254 6 ай бұрын
Abaku unapenda kuchokoza Alfred Mutua sana 😂😂😂
@brianchepkwony5590
@brianchepkwony5590 6 ай бұрын
This guy's are funny Asf 😂 Raptcha the Goat
@BryanK254
@BryanK254 6 ай бұрын
"Sizzla Kanyonji" is insanity 🔥🔥🔥
@simonkaraku
@simonkaraku 6 ай бұрын
Weekend update iko nini..you guys never disappoints iko nini
@antonynyaga3304
@antonynyaga3304 6 ай бұрын
That shiit story is funny. Fist of protection 😂😂😂
@colemkosti3388
@colemkosti3388 6 ай бұрын
Nguruwe haitupwi ,,no part goes to waste NONE
@sirmoochix
@sirmoochix 6 ай бұрын
Some Asian countries wanakula kila kitu ya nguruwe ...Kwanza matumbo yake
@MorioNgori
@MorioNgori 6 ай бұрын
IKO NINI...😂🔥🔥
@Offroad.k
@Offroad.k 6 ай бұрын
There someone who converted a public toilet in Kamiti road near canopy into an auto spares shop and an Mpesa. It's still written PUBLIC TOILET at the top. 😊
@ibrahimrotich9719
@ibrahimrotich9719 6 ай бұрын
Considering last conversation, Mutua alikuwa amedirect choo kwa msee in coastal home. Sahii anasema story na choo kwa park. Anyway naoverthink maybe
@vincentbuoga6866
@vincentbuoga6866 6 ай бұрын
Very proud meeting you in mater Hospital Hapo Casualty dept ...... Kumbe we Ni mrefu hivyo 😂😂😂😂
@kariukiMS
@kariukiMS 6 ай бұрын
Hiii nayo mliamua mbavu zivunjike😂😂😂
@TheRonoTV2024
@TheRonoTV2024 6 ай бұрын
Hio story ya Raptcha nafikiri ni ephysema imemshika coz alikua na history ya kuchoma fwaka. Pole Bazuu.QR.
@G_dan
@G_dan 6 ай бұрын
Hizi riba zenu hunimaliza sana😂 Iko nini🔥
@antonynyaga3304
@antonynyaga3304 6 ай бұрын
"Akili iko kwa Choo" na dude of naare iko serious ikiongea hio story 😂😂
@teddythoya7476
@teddythoya7476 6 ай бұрын
Iko nini
@sospetermaina983
@sospetermaina983 6 ай бұрын
Big up Iko Nini. Nimependa hii show yenu sana😊. Apo kwa story ya choo national park, this is a true story. Around 2009 apo nilienda Nairobi National park. Ilikuwa neighbors wangu walikuwa wanapelekwa na mzae wao wakanishow tunde pamoja. Sasa, tukiwa kwa park ndani tumbo ikaanza kuleta shida. Tumbo ilinipeleka hadi kuna time walisimama ati wapige giraffe picha nikafungua mlango eti nihare apo kwa kichaka😂😂😂. So ndio wakaona niko serious tukaanza kutafuta choo. Luckily after driving 15 mins kwa that rough park road tukapata designated choo place watu walikuwa wamepanga line ya kuingia. Nilienda kama nimeruka iyo line nikaacha wanaija fulani apo wakiteta. That's the day I almost shat on myself 😂😂😂😂 So ata kama Mutua is incompetent just like this whole Kenya Kwisha gangster government is... Apo kwa choo inaeza saidia kiplani😂😂😂
@PabloM254
@PabloM254 6 ай бұрын
Ungemezesha kwa bush, ndovu na simba zishangae who's the new king in town.😂😂
@TIEYIEN
@TIEYIEN 6 ай бұрын
Yot
@IkoNini
@IkoNini 6 ай бұрын
😬
@derrickasunda8842
@derrickasunda8842 6 ай бұрын
😂😂 Rapture is a blessimg 😂😂
@KaliyaAgain
@KaliyaAgain 6 ай бұрын
Darkest secret ya Ian The Legend hata si ile ya kuondoa chokoraa, kuna ingine alisema juzi "coming out of the Zizi la ng'ombe"-ati akiwa teenager aliwai mezea minyama ocha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Iko nini!🔥
@dimajor5563
@dimajor5563 6 ай бұрын
Ian's pun game aaaaaaaaah walete mwaaaas sasa wa miccheque wakimbizane
@JosephWasai
@JosephWasai 6 ай бұрын
Iko nini 🔥🔥🔥
@kennethgithinji5631
@kennethgithinji5631 6 ай бұрын
Hiyo Baze you Uthiru!!!
@gregoryoruko
@gregoryoruko 6 ай бұрын
Waa rapture my laughter 🎉😂😂
@uhondo
@uhondo 6 ай бұрын
Jehova witness hata kidney ya mtu hawachukui. Even blood is a no.
@justustiego.tiego.365
@justustiego.tiego.365 6 ай бұрын
Kuna dau, jahazi, meli na meli kebu.😂😂
@jacksonontonyilifts5610
@jacksonontonyilifts5610 6 ай бұрын
Eti wako na haja,, Ian joh 😅😅
@TomOndeng
@TomOndeng 6 ай бұрын
Mbona tulikua tunaita female animals GK? I wonder
@prof8157
@prof8157 6 ай бұрын
It's spelled jike which is a swahili word for a female animal
@sweet_poison3594
@sweet_poison3594 6 ай бұрын
Guys your podcast is sick😅😅😅
@IkoNini
@IkoNini 6 ай бұрын
Asante sana 😁
@from_mara
@from_mara 6 ай бұрын
Mumeona ya 🐢🐢🐢 tortoise
@Oracle_Zeus
@Oracle_Zeus 6 ай бұрын
Ambia Raptcha akunywe maji haha. Constipation.
@yossihayun
@yossihayun 6 ай бұрын
Wakiwa watatu hua ni hat trick
@Githinji_the1
@Githinji_the1 6 ай бұрын
Napenda Iko Nini but betting is not my cup of tea bana. But show iko lit as always.
@kennedyodero7075
@kennedyodero7075 6 ай бұрын
You guy my guy 😅😂 combination Kali sanq
@mercypedha5519
@mercypedha5519 6 ай бұрын
Hii wimbo tena !!! 😂
@antonynyaga3304
@antonynyaga3304 6 ай бұрын
Rapcha tutawajengea Choo Rapcha; hii Kura ni yako 😂😂😂
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 6 ай бұрын
It might sound gay, but i just Love you guys 😂😂😂 best podcast!
@EricRickdees
@EricRickdees 6 ай бұрын
05:17 @Mwaf, Actually, the proper pronunciation ya Yacht ni "YOT" 👊🏽
@mercyndulu1025
@mercyndulu1025 6 ай бұрын
Ian thiongo ati a what ate his what 😂😂😂😂😂
@jsph3209
@jsph3209 6 ай бұрын
Hiyo ya uhurupark ni raft 😂😂😂
@mutumankonge3069
@mutumankonge3069 6 ай бұрын
Nope, no part of the pig is thrown away 😊
@Real_Talk_Podcast_Ke
@Real_Talk_Podcast_Ke 6 ай бұрын
Rapcha 😂😂😂
@manasseoloo2444
@manasseoloo2444 5 ай бұрын
Liver ya nguruwe na matumbo ebu enda kwa slums watu wanapikiwa hizo vitu.
@Mzalendo2295
@Mzalendo2295 6 ай бұрын
You guys 😂😂😂
@ianosoro4811
@ianosoro4811 6 ай бұрын
piggy bank🤣
@efrpbypass-ev5jj
@efrpbypass-ev5jj 6 ай бұрын
ti kugrab choo🤣🤣🤣
@abelmakori
@abelmakori 5 ай бұрын
The headline is misleading😂😂😂
@K.blvck_ish1
@K.blvck_ish1 6 ай бұрын
Asante ya punda ni makende😂😂
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@blessed112
@blessed112 6 ай бұрын
Memories I tell you. My dad use to listen to the radio every morning loud too that song amka kumekucha would be playing😂it was annoying.
@josephkimani2089
@josephkimani2089 6 ай бұрын
Eti chafya ni nini ? 😂😂😂
@TheRonoTV2024
@TheRonoTV2024 6 ай бұрын
Uislamu ni anti-science and anti-progress . Ati sasa watakua na shida na kidney za nguruwe?😂😂 Such medieval religions do not belong to the modern era.
Ep 70 part 1 COPS, CORRUPTION & EACC The Weekend Update
54:20
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 783 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
Ep 77 part 1 NATIONAL & FAMILY DUTIES The Weekend Update
57:01
Sacrifices of the Kenya criminal underworld || Rapcha tha Sayantist
14:45
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 141 М.
What If Russia and NATO Went to War Tomorrow?
24:05
THEE ALFA HOUSE
Рет қаралды 38 М.
Life In Your 30's | Is it really that bad? FT Cris Njoki, Patricia Kihoro and Victor Peace
1:12:19
Edwin Sifuna - Jirongo why did you print money? It was Goldenberg money
1:16:39