Ali Kamwe atakiwa kuilipa kampuni ya Sandaland Bilioni 3 baada ya kuziponda jezi za Simba

  Рет қаралды 15,691

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@MWANAHAMISIOTTO
@MWANAHAMISIOTTO 2 күн бұрын
Mbona simba wanawabeza jez ya yanga wanaziita batik
@Khalidniya380
@Khalidniya380 2 күн бұрын
Mashabiki ndio wanaongea ila sio msemaji wa Simba Ahmed Ally huwa anadielewa saana haongeagi hovyo hovyo
@WakaliFashionTz
@WakaliFashionTz 2 күн бұрын
Siyo batiki wanasema vitenge
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Күн бұрын
huku mitaani sawa ila haifai kwa mtu wa kaliba yake na nafasi alionayo pale yanga
@DINASSOUR
@DINASSOUR Күн бұрын
Kampuni Ina thamani ya bil 3....mambo mengnne bn
@SefuHabibu-sn8cx
@SefuHabibu-sn8cx 2 күн бұрын
Halipi hata sh Mia hakuna chochote punguzeni njaa
@festocharles1855
@festocharles1855 2 күн бұрын
Kwan kampuni inaitwa sanda au sandaled
@charlessomeke8992
@charlessomeke8992 2 күн бұрын
Yaani mambo ya mpira unaleta kelele ahamed ally alivyo sema yanga wametoa vitenge naye tumshitaki?
@mwadinimwadini6069
@mwadinimwadini6069 2 күн бұрын
Kamanzuri kwanini Simba wenyewe wasinunuwe
@MohammedMagulu-j2t
@MohammedMagulu-j2t 2 күн бұрын
Jazz mbaya kweli kwani uongo aendezaka uko sema kamahana hela aseme akopeshwe.
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 2 күн бұрын
Bill 3 kwa kesi gani au ndy anataka kufidia mauzo 😂😂😂😂😂😂😂 huu ni utani wa jadi ue kapanic bwana sanada
@BabuDikwela
@BabuDikwela 2 күн бұрын
Hata mm naona 😂😂
@kuhususheria4408
@kuhususheria4408 2 күн бұрын
Utani wa jadi ni wa Simba na Yanga. Hapa kadefame kampuni ambayo ni 3rd part, hii itamletea shida
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Сағат бұрын
Kwanza ni hela Ndogo sana wangesogeza kdg iwe B.5 kbs
@daroumouayadi1378
@daroumouayadi1378 2 күн бұрын
Sio kawuli ya kamwe labda ni ukweli
@ManenoPapalu-ku3vl
@ManenoPapalu-ku3vl 2 күн бұрын
Leo ndo nimeamini allykamwe anawanyima usingizi
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 күн бұрын
Iyo ni biashara ya mtu
@kuhususheria4408
@kuhususheria4408 2 күн бұрын
Kawanyima usingizi Sandaland? Awatukane Simba sio biashara za watu
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂usingiz ???
@kawisakawisa868
@kawisakawisa868 2 күн бұрын
Pole bwana kamwe😢
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 2 күн бұрын
Biashara imedoda ayooooo makoloa wazenguvumoja yakunyeaaaaa
@JohnGoryo
@JohnGoryo 2 күн бұрын
Tatizo ally anaropoka sana
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 2 күн бұрын
Kulikoooo ally 🤮
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Ko Ahmed haropoki???
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 2 күн бұрын
Duu awezi Lipa 😂😂
@evdsam7286
@evdsam7286 2 күн бұрын
Alikamwe alisema sanda, kampuni inayomshitaki ni Sunderland, waangalie wao ndio wasije kumlipa Ally kamwe fidia ya kumchafulia jina
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 күн бұрын
Kwahy ww huon kama shutma zake zimekuja moja kwa moja kwa jez ya simba nani ambae hana akili hivo
@evdsam7286
@evdsam7286 2 күн бұрын
@@fasterwalker1464 Usijipe stress ndugu hamnaga kesi za hivyo, yeye apambane na jezi zake za nembo ya sanda watu walisema mapema kabisa kuwa jamaa kabugi hawezi pata wateja sababu ya kuweka sanda hapo mbele badala ya Sunderland, ni anatafuta huruma tu mashabiki wa Simba wanunue hizo sanda zake
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 күн бұрын
i@@fasterwalker1464 ivo ni unavohisi na kuona ww...sisi tunaangalia jina halisi la company waliosajili😂
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Күн бұрын
​@@fasterwalker1464Kama ni kesi Ally Kamwe anashinda, kwenye hayo maelezo hakuna sehemu imetaja simba kwa jina.
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 күн бұрын
Hawana akili wao ni sanda kwan pumbavu wamlipe wao sasa hzo ngoja
@timetravellor5367
@timetravellor5367 2 күн бұрын
Ilo chafuliwa ni sanda sio sandalendi
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 2 күн бұрын
MIMI KAMA WAKILI, APO AMNA KESI SABABU SHTAKA ALINA MASHIKO YOYOTE.
@hijazhija316
@hijazhija316 2 күн бұрын
Umesoma chuo gani mweshimiwa
@dannydannizo8099
@dannydannizo8099 2 күн бұрын
​@@hijazhija316😂😂
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 2 күн бұрын
@hijazhija316 Tumaini
@mohdswahili7219
@mohdswahili7219 Күн бұрын
Bwana hatulipi zayanga piya mumesema vijora
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 2 күн бұрын
Hivi huu upuuzi wa kudaiyana mabilioni bila muendelezo utaisha lini😂😂😂zile b5 za chawa sijui zimeishia wapi
@latifarichard3370
@latifarichard3370 2 күн бұрын
Kwani ametaja club au Jina la mtu 😅😅
@miyongatz7283
@miyongatz7283 2 күн бұрын
kwani wapi alisema jezi ya simba?
@stellachalamila7455
@stellachalamila7455 2 күн бұрын
Wapumbavu sana wanaingiza utani nakama wanataka hivyo nawao wawewakwaza kunyamaza wasizingumuzie jezi zetu
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 2 күн бұрын
Utani wa ngumi tu huuu😂
@collinndabi1914
@collinndabi1914 2 күн бұрын
Zingatia bwana sanda 😂😂😂😂 hakuna kesi
@calvintheone299
@calvintheone299 2 күн бұрын
Hawalipwi ata kidogo😂😂😂😂😂😂
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 күн бұрын
Kwani unalipa wewe 😂😂
@abditech14
@abditech14 9 сағат бұрын
Duh wanachukia mpaka utani😂😂😂
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 күн бұрын
Wanatafuta kisingizio tu..😅😅 Sio wamekosa soko...ni kwamba jersy ni mbaya kweli😂😂
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 2 күн бұрын
Duu wanataka hela tu 😂😂😂
@RosalinaMakenzi
@RosalinaMakenzi 2 күн бұрын
Bwana nyie hamna ubunifu siku zote kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 күн бұрын
Njaa mbaya 😅
@Naomiwilliamu
@Naomiwilliamu 2 күн бұрын
Sawasawa iwe fundisho na ajirekebishe 🇹🇿🇴🇲
@richardjuma1623
@richardjuma1623 2 күн бұрын
Je akisema alimaanisha sanda ya kuzikia vp
@amaniashery7762
@amaniashery7762 23 сағат бұрын
Hawa jamaa wanatafuta kumlipa Ali pesa za usumbufu sanda na sandaland
@gabapentin8070
@gabapentin8070 2 күн бұрын
Hamlipwi 😂😂😂 shindeni mechi zenu bana
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
Nani kafungwa 3 back to back😂😂😂😂😂😂😂😂
@sleymanshaffih-vj5pq
@sleymanshaffih-vj5pq Күн бұрын
Kwaiyo ally kawazuia mashabiki wa kolo kununuwa jezy zao sio?
@SelinaBahaga-oj9uz
@SelinaBahaga-oj9uz 2 күн бұрын
Ubaya ubwela😂😂😂
@jemimabakari
@jemimabakari 2 күн бұрын
Mbona jezi za Yanga zinapondwa?kwendeni huko
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 күн бұрын
Kwamashabi sio msemaji
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
@@AishshibnShibaniww muongo mbn Ahmed ally anaponda kwan ni nan matako ww
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 Күн бұрын
Dah ali kamwe aombe samahani Sisi simba hatuna mchezo 😂😂😂😂😂😂
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Күн бұрын
Yanga mkanyeni mtoto wenu alimwita juma mgunda andazi akasamehewa sasa anarudia tena anazoea
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Ww mwenyew kitumbua na huna la maana kenge ww😂😂
@mdl6463
@mdl6463 Күн бұрын
Kama amesema Sanda hakuna kesi hapo kama amesema Sanda land atashitakiwa 😂😂😂😂😂
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab Күн бұрын
Njaa tu😂😂😂
@JamesWisdomtz
@JamesWisdomtz 12 сағат бұрын
Kwani kamwe yeye anasemaje
@Zaburi-
@Zaburi- Күн бұрын
Kampuni inaitwaje???😀😀au alimaarufu ndio jina la kampuni
@damaschasiri
@damaschasiri 4 сағат бұрын
Alli kamwe asiogope akuna kesi hapo kbs alli kamwe ali taja sanda ya maiti akuna mtu anaitwa sanda
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 күн бұрын
Ali Kamwe kasema Sanda SIO Sunderland.... Company Sunderland Ila ndo wawache kuropokwa..... kusema sema jezi ni mambo ya kizamani watu wanawekeza wasifanye mas-hara.......
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq Күн бұрын
Sanda ni vazi jeupe laini watukome watuachie kamwee wetu
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 күн бұрын
Hamna kesi hapo 😂
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 2 күн бұрын
👏👏👏👏👏
@hijazhija316
@hijazhija316 2 күн бұрын
"..... ,Miti yote hutereza"
@johnkatabi9793
@johnkatabi9793 Күн бұрын
Sandaland ndio sanda kumbe
@Mwanatanga
@Mwanatanga Күн бұрын
Ushabiki tuu wa Simba yanga ila sio kilipishana Hela 😂😂
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Күн бұрын
Nae Bwana Sanda, mtu yupi wa kumpeleka mahakamani? Amtwange tu ngumi ya uso waishiane😅😅😅
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 Сағат бұрын
Sasa alikamwe hyo B3 anatoa wapi😂😂 si bora ahukumiwe kunyongwa tu
@CjTiMb
@CjTiMb 2 күн бұрын
3 billions is crazy bro is broke 💀😂😂😂💀
@anwarmsabah8668
@anwarmsabah8668 Күн бұрын
😂😂😂
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 Күн бұрын
Sasa hapo kesi nini 😂😂😂😂
@mackysuphian
@mackysuphian Күн бұрын
Biashara imebuma wanatafuta pakufia😂😂😂😂
@sadathahmada9066
@sadathahmada9066 2 күн бұрын
Kwani kuna mtu anaitwa Sanda? Maana kasema Bw. Sanda. Wapi kataja neno Simba? Mbona simple sana hii. Japo pia wanasheria hawajui kuwa kuna kitu kinaitwa "Utani wa jadi?".
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 күн бұрын
Leta ujuaji sasa 😅😅😅
@barakamabagara8318
@barakamabagara8318 2 күн бұрын
Hujui sheria kaka kaa kimya
@kuhususheria4408
@kuhususheria4408 2 күн бұрын
Kajaa kwenye mfumo
@LeylahSunday
@LeylahSunday Күн бұрын
Huyu nae hana jipya, kwani huu si ni utani wa jadi
@victorianduna1683
@victorianduna1683 2 күн бұрын
Aaaah weee hatutakii
@AthumanChimbuli
@AthumanChimbuli 2 күн бұрын
Mtoto kautakaaaa😂😂😂😂
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 күн бұрын
Huu ndo ubaya ubwela
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 2 күн бұрын
Hahaha, ubaya ubwela
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 2 күн бұрын
Ubaya ubwelaaa😂😂🔥🔥🔥
@MathaMsumi-l1b
@MathaMsumi-l1b 2 күн бұрын
Ubaya ubwela 😂😂😂
@djfunk255
@djfunk255 2 күн бұрын
Apo najua hatolipa na kesi haitoenda popote ila huo ndio ubaya ubwela lengo ni kuatoa kwenye reli tu 😂😂 mwaka wetu huu acha tutembee kifua mbele tu .
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 2 күн бұрын
Sasa mwanangu anazilipaje izo bilion3 anazo?
@freakboy1804
@freakboy1804 2 күн бұрын
Ali komwe
@emmanuelmtalis1590
@emmanuelmtalis1590 2 күн бұрын
Daaah kamdomo kanaponza 😂
@noahmgaya6687
@noahmgaya6687 2 күн бұрын
Hajuwi brand za watu hizo.sasa hiyo ataacha kulopokalopoka hovyo na kuchafuwa box's za watu.
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Katajwa mtu au nguo ya mait ww matako
@jumamalilo749
@jumamalilo749 2 күн бұрын
Ameyatimbaaa
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 күн бұрын
Kidomo domo apunguze alipe tu 3 b
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Msaidie mropokaji mwenzio maana nawe unaropoka sana
@CapteinChui
@CapteinChui 2 күн бұрын
Akome
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Na ww koma mbwa ww
@baracknyerembe2192
@baracknyerembe2192 2 күн бұрын
Asa uyo dogo anaitoa wap bilioni TATU 😂😂😂😂😂
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Күн бұрын
Acheni ushinge nyie makorooooo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 күн бұрын
Kamwe Acha kiherehere
@GloryEmma-l9l
@GloryEmma-l9l 2 күн бұрын
Hii dogo hafai kuwa msemaji kabisa huwa ni mtukanj na mtopokji....haoni mwenzio huwa anavheza na bongo za mashabiki
@samkitwima7933
@samkitwima7933 2 күн бұрын
Kuna mropokaji zaidi ya Ahmed Ally kwenye mpira huu?? Tulia kama hun chkuongea mvivu wa kufikiria wewe🚮🚮.
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
Ww mwenyew mropokaji hujuiwunaongea nn
@kulwasaid4388
@kulwasaid4388 2 күн бұрын
Mdomo umeshaponza bichwa ukoo 😂😂😂
@devisjeston
@devisjeston 2 күн бұрын
UShamba huoo
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 күн бұрын
Hao wanasheria wa sanda ni moja kati ya wanasheria wajinga kuwahi kutokea nchini. Kamwe hatalipa hata senti moja, na hataomba radhi wala hatafanya chochote kati ya wanavyotaka. Ni kwa sababu za kisheria pia zinamlinda kamwe.
@SelemaniMsuya-q8n
@SelemaniMsuya-q8n 2 күн бұрын
Kama wewe ulivyo mjinga
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 күн бұрын
😂😂😂
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 2 күн бұрын
Kamdomo kamdomo 😂😂
@MWANAHAMISIOTTO
@MWANAHAMISIOTTO 2 күн бұрын
Aende hukoooo
@PhilimonGeorge-wg8ms
@PhilimonGeorge-wg8ms 2 күн бұрын
Atakoma kinaropoka sana ichi kidogo
@jumasalim3226
@jumasalim3226 2 күн бұрын
Alipe huyu mpumbavu anatania mpaka anavuka huku yanga inafungwa huku msemaji kawa kama dada poa
@LatifaCharles
@LatifaCharles Күн бұрын
ATA ww ufungiwe mbn unaongea ujinga tu
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 Күн бұрын
👏👏
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 29 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 97 МЛН
Steve Mweusi Ft xouh Shauri Yako (official Video Video)
3:43
Steve Mweusi
Рет қаралды 155 М.
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
Azam TV
Рет қаралды 798 М.
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
4:06
Zuchu
Рет қаралды 1,7 МЛН
The Mafik - Chukua [Official Video]
3:30
The Mafik
Рет қаралды 25 М.
#zandaani MOMO AJITOA KUMSAIDIA DUBE YANG IMRUHUSU
7:56
Wasafi Media
Рет қаралды 36 М.