Am 100% that waliuzwa watoto wa huyu jamaa. Ile 2.5 million alitumiwa ilikuwa ya watoto. Kama unafikiria kama mimi guys, gonga like
@teresiandulu2845Ай бұрын
Ama aliuza gar ama shamba
@ElizabethKamene-wm2uwАй бұрын
Very true
@SelkyCateАй бұрын
Maybe waliuza watoi
@gladysmartim4671Ай бұрын
Ameuza watoto huyu shetani
@sheilachepchirchir7654Ай бұрын
Iyo Si ilikuwa y mama emmah
@davidkariuki7951Ай бұрын
Macharia,bro take care,am afraid you might go missing 🥺
@CharityChaoАй бұрын
Macharia macharia macharia nmekuita mara tartu wachana na Alice kabisa.huo mama atakuuwa anaishi na muaji mkubwa tena mchawi
@evalyneacheing-ow2ewАй бұрын
Kabisa
@nashononami5061Ай бұрын
The power of 2.5 milion makes her disrepect her husband.....
@ElvinaNzai-p7cАй бұрын
😢😢😢😢😢😢
@Sharin-e5fАй бұрын
Nanipesa watoto wake waliuzwa.
@ceciliamusavi-c8wАй бұрын
That power 2.5m is soon becoming powerless.
@harrietwawira1248Ай бұрын
uko na agood guy alice lakini tayari umejichamganya na mauchawi ya njagi
@AliceNjeru-os1ybАй бұрын
🥺🥺🥺🙆🙆 yaan studio y senior ni y vita kila wakati😢😢 aki ii studio ifungwe siku moja watu waombe juu y ii studio 🙏🙏
@bridgiddeeАй бұрын
Macharia penda maisha yako!!!!wachana na yule mwanamke atakumaliza bure...hueda it's her plan umkubali na akumalize...just no rafiki yako ndo hukumaliza so be careful wanawake ni wengi...
@charity4908Ай бұрын
❗️❗️This young husband has to know his witch is a witch already. And if he needs peace, never to go back to her. Dangerous woman.
@ElizabethKamene-wm2uwАй бұрын
Macharia kama unajipeda plz I beg you keep distance with that silly lady
@MaryMwacharoАй бұрын
Macharia you are young,handsome and energetic,leave Alice alone. She is after property ndio akakuacha akafuata mchawi akifikiria Njagi ni tajiri kumbe ni illuminate
Anafaa aachane na yeye na kila kitu ata hizo vitu amwachie kabisaaa this is a demon in woman shape ... Pythoooo
@beckymaria2125Ай бұрын
Job 1yr ni 12mths so kama mzee alimcha na ball ya 2wks mtoto anafaa awe na 2 to 3 man's not 7mths huyo mtoto sio wake ,young man run for ur life🏃♀️😢
@RUTH-lz6mpАй бұрын
Very true 3months
@MuthamaMacelinaАй бұрын
Kwani hio ball ni ya watu wangapi? Mara Njagi, mara Macharia. Huyu mwanamke ni malaya kweli. Macharia jitoe.🏃🏃
@ElvinaNzai-p7cАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@eunitakesioАй бұрын
@@MuthamaMacelina WA macharia alizaliwa mimba ni ya njagi alimwacha na mimba 2weeks atamaliza 1yr na ako na mtoto 7mnths😂😂😂😂😂
@rhodamatalanga4556Ай бұрын
Senior Dave please help this hard working young man Macharia not to go back to this Malaya witch Alice. Tell Macharia the truth or else he could be implicated in this criminal activities that Alice and Njagi have been engaged in taking many lives. Macharia does not deserve Alice the witch and killer. Help him get his title deed, log book and children. “Ama watoto katolewa kafara?”. Pole Macharia.
@EstherWaithera-i8zАй бұрын
Kama Njagi hachungi mtoto wake anamtia mimba,wako ndio atachunga?
@bintikib254Ай бұрын
Atapeleka Kwa wangwana
@EdithGichukiАй бұрын
Surely Dave U went ahead n call njagi in Ur studio na wakiuana huko
@AliceMurungi-i3kАй бұрын
Dave anapenda vita sana na kuchangia mabaya, sasa unaweza itia mwanaume mwingine mwanaume na sio kwa police, hajui wakiuana kesi iko kwake
@GloriaKawira-w5uАй бұрын
Dave mbona unamshika macharia ndio atandikwe na huyo mwanamke surely,dave ww ni fala sana aki
@VeronicaMabonga26 күн бұрын
Macharia macharia macharia nimekuita mara ngapi kuja mimi nakupenda tuoane achana na huyo mchawi 😊
@BkrDjaloАй бұрын
Uyo mwanaume ungiitika utawasaidiya finish urudishwe bitu byako watoto umuachiye utaza wangine watakurogesha maisha yako yakuishiye
Hiyu mama alitoa Mama yake kafara. Oh my. Young man watoto watatolewa kafara.
@jacklinerudisi5116Ай бұрын
Dave nini Sasa achana huyu mwanamke agongwe unashikashika nini utaumizwa bure, huyu mwanaume apewe watoto wake ama waliuza na Njagi
@EstherMogire-u9iАй бұрын
Macharia wajana na uyo mchawi tena n malaya tafuta mwanamke mwingine kuna watu uku tuko single 😂😂😂😂
@aboudijaaboudijaАй бұрын
hajui kama amejiingiza kwa uchaw unless aangalie video zote😂
@EstherMogire-u9iАй бұрын
By the way 😂@@aboudijaaboudija
@savesadgenerationАй бұрын
Dave Yuko confident but hii kazi na a style up.....la sivyo game Iko chini... anyway na enjoy 😂
@elizabethkosgei4731Ай бұрын
aky Dave, mungu akulinde , kweli umeanza kuokopa mungu awezi kuuwawa
@annkamau8415Ай бұрын
Dave uxikumbali macharia wapatane na njagi haki watamloga
@manKim-c8wАй бұрын
Huyo madam ni fala . amepata good chance yakukula njagi but ako opposite😂😂😂
@annlovergalАй бұрын
Woiiii handsome 😘 boys Dio wanachezwa n kuchezana 😅masharia potelezea maisha Yako
@SmithtushАй бұрын
Leo mumeact vizuri..😊
@fayzkambagalentertaimentАй бұрын
Wah very handsome man alioa malenge ya mwanamke too bado macharia mek a step forward na utafute mwanamke mweny akili sio mtu anakulwa nje ya boma😮
@SamiraSalim-sx7ieАй бұрын
Macharia yani munavutana tayari una hemaa hivyo jee utaweza vita y njagi wallahi
@FayMutheuАй бұрын
Hawezi akh🤣🤣
@abigaelnamukhula2220Ай бұрын
Guys nauliza Mr macharia alisahau kuvaa boxer😂😂😂
@sienna-bn9hbАй бұрын
😂😂😂 macho wewe
@AliceMurungi-i3kАй бұрын
Karibu niulize😂😂😂
@evalyneacheing-ow2ewАй бұрын
😅😅😅😅😅😅
@beibyamore931Ай бұрын
Hii ndo nlikua natafuta 😅😅😅😅😅
@sarahmwangi3522Ай бұрын
My dea bbyboy Macharia keep off Alice if u love uaseĺf ,Dave hii ni ngori unajiletea
@annkiilu2510Ай бұрын
Macharia run for your safety, forward ever backward never.
@AminaRajab-nq9niАй бұрын
Dave n ww ciuache huyu mwanamuke apewe adabu kidogo
@CeliyKilobiАй бұрын
Macharia you are young achana na hiki kimalaya atakuuwa bure
@harrietwawira1248Ай бұрын
ujue macharia ajarogwa ako sawa
@sandraawourАй бұрын
kwani mzeee Ata boxer hajavaa,,, hio jeans haiguzii mayai😂😂😂
@centrineomar5958Ай бұрын
Hii shitombi mchawi wachana nayo itakumaliza na Njage
@LilianWasike-jo7wrАй бұрын
Na vile huyu macharia n mdogo kuliko bibiye mchawi
@evalyneacheing-ow2ewАй бұрын
Kabisa in mudogo sana
@annmwendwa2026Ай бұрын
Njagi ashapora documents 😢😢
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dwАй бұрын
Mama mjinga sana huyu c alituambia mimba niya Njagi,,,her beloved hubby
@stellamutegi9036Ай бұрын
DNA FULL STOP.macharia njitoe kwa hiyo mama tena macharia akienda mimba hilikua na miezi ngapi
@shikobig3591Ай бұрын
Dave,,, for your security, tomboa kashimo kadoga na uweke kaglass ya kuchungilia
@MeshylishaАй бұрын
Macharia leave that woman please nimuuaji akyyyy😢😢
@charlesongoro4811Ай бұрын
Funga mlangu mtu akisaingia Dave. Don't forget
@Yuca878Ай бұрын
Machari anadai mchawi apeleke wapi😢😢
@CONSOLATANECHESAАй бұрын
Macharia kama unajipenda plx tafuta justice ya vitu zako lkn huyu mwanamke achana na yy plz utajieka mali pambaya xn 🙏
@EdnahElijahАй бұрын
Macharia achana na hii Malaya ya njagi wanajuana na mchawi nguku wa nguli watakuroga ni hatari sana
@harrietwawira1248Ай бұрын
kwan hyu mwanamkw ni wazimu uchawi ni kitu baya sana
@EmmaMwaura-p4vАй бұрын
Macharia watoto hawajaisha zaa wengine achana na huyo mama
@Christine-c4cАй бұрын
Dev acha wapikane juu unaeza mshika hv kumbe amepepa kitu mbaya saa hii be careful
@CarlbaniceShiroАй бұрын
I pitty thiz mama mzeee mbna atese uyu kijana hivi..akh kuna wanawake upata chance poa lkny awaitumii vizuri😢😢ady nikama uyu mama alitoa mamake kafara wakapelekea wangole damu.uweee kidnapp loading..awa awatafika mahali tom alikua more fire 🔥 ata than awa watakuja kulia kama tom
@ceciliamusavi-c8wАй бұрын
How courageous can a woman praise husband B in slap face of husband A? Boldly telling him ....... Huyu amerokwa na mababu. Deliverance needed.
@CatherineGathukumiАй бұрын
Dave ukiita njagi kindly be having security there uwache ujinga juu unajua ni nani
@teresakarugu9932Ай бұрын
Ghai Sema pia ako na mimba
@faithkimuto9452Ай бұрын
Mtu anigongee Dave ngumi ya masikio please 🤜👂njuu anasumbua.
@ElenaWachiraАй бұрын
Juzi alisema ako na ball ya njagi sa tena amezaa mtoi aii sidhani ako na hao watoi wa uyu kijana..
@MusauColletaАй бұрын
Mama jiangalie kea kioo kabla uringe na bodyshape na sura, yote mali ua mungu
@CaroMwikali-h9eАй бұрын
Dave Wacha kushka macharia,hii Malaya igogwe kdg
@stephenomare3200Ай бұрын
Davy, Wewe unapatananga na wajawi tu......waaha
@eunicemwelu1810Ай бұрын
Kwani mnafanya mahesabu aje 1 year na 7 months...Senior dave ambia huyu jamaa asibishane na hao watam malizia
@charitywangeci4846Ай бұрын
Machaa run for your life 🏃🏃🏃 hawa watakua na njagi mungu atakupea mwingine
@salomewaithera9319Ай бұрын
DNA is that simple and the case is over .
@paulineodiyo6027Ай бұрын
Dave Wacha huyo mama aruabwe kofi . akili ifsnye kazi
@eunicenyawira-xu4goАй бұрын
Mwanamke unaacha jamaa anajierewa tena unachukuana na mjinga wakujililisha bule akwede kbx
@RonahMoraa-kz2moАй бұрын
Macharia run for your life, huyu si bibi uko naye ,kitu cha kwanza ni mchawi kitu ingine betrayal already ameharibu ndoa yenu,kama unapenda maisha yko wachana na yeye tu ama wakutoe kafara na njage
@jacintamumbi-c6vАй бұрын
Mungu akinge huyu mwanaume na damu yake asirogwe. Naweza omba aachane na kila kitu aede akiwa salama akatafute zingine
@esthernjonjo6858Ай бұрын
Saa Dave unashika mwanaume agongwe vizuri na huyu Malaya.
@JustusMwania-bj7xeАй бұрын
Yaani ni uchungu sana mwanaume kuongeleshwa hivo na mwanamke
@Christine-c4cАй бұрын
Waah hyu ata ana watoto waliuza na njagi
@Jane-h5u27 күн бұрын
Na vile ako na handsome man
@MuchiriAgnesАй бұрын
Alice ni mnyeri (Lucy Kibaki pat 2).hana adabu.Nguku wa Nguli anafanya kazi..😂😂😂,ishindwe pepo nyeusi.Njagi ameharibu kila kitu
@MercywambuimercywambuiАй бұрын
Hao watoi waliuzwa Tena wachana nahuyu mwanamke pls juu utapoteza uhae wako
@felistasgitau-nb4zgАй бұрын
This woman looks older than Macharia. Macharia is young and handsome
@PaulineNduta-i5yАй бұрын
Mwaka mmoja na mtoto ako miezi saba
@LorineMboyaАй бұрын
Jamani ,kumbe hata ww umeget hiyo maneno
@gladysmurage6649Ай бұрын
Naushow interviews wakujage wakiwa wamevaa boxer hii mkudu haileti shangwe😮
@rosenjeri6058Ай бұрын
Hii studio ni Kama ilirogwa!!vita vita vita!
@JosephineMueni-v4yАй бұрын
Njagi na Alice ndio waliuza mama yake
@aliceondimu3369Ай бұрын
Ok ile 2:5 million niyawatto nikweli.
@Rclm-l1lАй бұрын
Huyu Alice ni moto wa kuotea mbali wueh wakiwa na Njangi Mungu anawaona tu
@marklinenguye7091Ай бұрын
Which feelings? Uko mhot aje?
@gfgfg5629Ай бұрын
Mtoto anafaa kukua n 3months to 4moths n hao watoto wengine washauza watoto na.njagi
@MutaiIreneАй бұрын
Mbna anamlszimisha akubali mtoto ,Hadi anaanza vita waaaaaah
@bettywangui2572Ай бұрын
Macharia achana na mchawi usirongwe kama mama Emma muaji na kuuza viongo za watu
@MariaAtieno-yf4whАй бұрын
Hao watoto washarest in peace 🕊️🕊️🕊️ aki wanawake
@GracieKamau-e5i19 күн бұрын
Navile macharia ni mcute na mdogo lknii mke kasia bure kabsaa
@JoyceMugambi-s8gАй бұрын
I would like to know the whereabouts of the boy who was packed under the bed
@canaansignsenterprisesАй бұрын
Huyu jamaa na jina lake ni vitu viwili tofauti, naona hapa kuna mchezo, Dave sanitize huyu jamaa
@lucykagwiria8450Ай бұрын
Dave hataki mume mwenzake awezwe na mwanamke 😅😅😅😅😅
@ekiruekiru8728Ай бұрын
Senior Dave Hao watu waende in wasikuje kupigania hapo Tena mngada aanze kuja
@violetoketchАй бұрын
Mwaka moja ukiwa ije.yeye ana mtu uko.
@MaryWafula-yn8nuАй бұрын
Studio y Dave inaitaji maombi y kesha
@marklinenguye7091Ай бұрын
Huyu amewahi oleka pahali, the character shows
@Betty-wk3egАй бұрын
Macharia wachana na huyu mwanamke ameshikana na muaji
@PaulneNjorogeАй бұрын
Huyu mwanaume pia ako na mchezo mwaka bila kurudi nyumbani pia wanaume wanachagia mabibi utoka injee ya dowa yao mwaka
@elizakamau1652Ай бұрын
Dave unataka njahi auwe macharia innocent man surely.don allow njahi to meet macharia.
@DeanahOneaАй бұрын
Dave huyo mtu kabula afike ita police for you're safety mnajua tu njagi venye huwa Ana behave