Shekhe, kweli shida za waislamu zinazotukabili kama jamii. Twahitaji hii topic kuleta shida baina ya sunni shia?. Ambo maadui wanaingamiza dini yetu kutumia hiyo. Vijana wanapotea na kila balaa hakuna shekhe ana ongea hayo. Eeh Allah atuongoze
@omarsakawa20702 жыл бұрын
al akh huoni kama hili pia ni tatizo kubwa la watu kuwatukana maswahaba?
@ramadhanomar80932 жыл бұрын
Acha upuuzi wako wewe...kuna adui gani wa uislamu kuliko mashia
@alisudiramadhan31513 жыл бұрын
MashaAllah
@mohdbalwi99363 жыл бұрын
Mashia na wakristo wote wale wale tu,wakristo wanamtukana mtume na mungu wanaamini yesu, mashia wanawatukana maswahaaba wa mtume abubakar na omar na othman na muawiya mpaka mama yetu khadija ,but SUNNI wanampenda yesu na maswahaaba wote result 2-0 SHIA CHRISTIAN wote watoto wa baba mkubwa na mdogo woote pagains
@mohdbalwi99363 жыл бұрын
Eti wanadai AHLULBAYT wakati kabila lako ni makonde tabu sanaaa hii