ALIKIBA at the Safaricom "GEM" Awards in Nairobi, Kenya

  Рет қаралды 227,002

Alikiba

Alikiba

Күн бұрын

Пікірлер: 495
@gaaddafidastubbornbwoiy628
@gaaddafidastubbornbwoiy628 6 жыл бұрын
Yaani King wee nakurank na nakupenda kwa sana.....nakufagilia... +254 wapi likes za king
@yongjibaa8537
@yongjibaa8537 6 жыл бұрын
Mr Alii k i wish you life ahead
@armandocassius829
@armandocassius829 3 жыл бұрын
You all prolly dont care but does anybody know a trick to log back into an instagram account..? I was dumb lost the account password. I would love any assistance you can give me.
@simoninzumi2888
@simoninzumi2888 6 жыл бұрын
Kama unaikubali #makimuga gonga like hapa
@barakashomary451
@barakashomary451 6 жыл бұрын
Kama unampenda kiba like hapa
@fatuma254k5
@fatuma254k5 6 жыл бұрын
King kibaaa uko juu
@edwardbedson4450
@edwardbedson4450 6 жыл бұрын
Gonga like team kiba wanamusapot mofire
@euniceadhiambo9672
@euniceadhiambo9672 6 жыл бұрын
Ona vile anaheshima kwa stage big up Ali mob love from +254
@meggcbeib6036
@meggcbeib6036 6 жыл бұрын
Team kiba wapi.. gonga like
@raoulbyamungu3251
@raoulbyamungu3251 6 жыл бұрын
we are here all watching
@stevengerrldmsei6806
@stevengerrldmsei6806 6 жыл бұрын
Nice
@raoulbyamungu3251
@raoulbyamungu3251 6 жыл бұрын
here we are my dear. always the Best team in East Africa
@isackmsafiri9691
@isackmsafiri9691 6 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@cathymwamela196
@cathymwamela196 6 жыл бұрын
Wewe ni mfalme wa bongo,, forever King👑
@enobyeederaider5662
@enobyeederaider5662 6 жыл бұрын
siku zote anayejua anajua tyuuh no matter what,,,big up #KingKiba
@themanwithnoname5824
@themanwithnoname5824 6 жыл бұрын
Hiyo ndiyo maana ya mfalme .. Nyimbo za zaman lakini .. Ni pasua kichwaaaa..... Respect to yu brother
@selemaniddy6605
@selemaniddy6605 6 жыл бұрын
Yap
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 жыл бұрын
Ally kaka angu ukivaaa suti ni unapendeza achaaaaa😍😍😍😍🔥 mwenyewe ata kubali tu
@alliyahya1097
@alliyahya1097 6 жыл бұрын
Ally eeeeh!!! umetisha mzazi respect kwako bro bonge la shoooooo hata nyimbo pia ulizo pafom Nouma sanaaa uvaaji wako umependeza mambo kidogo t umependeza balaaaa cyo heren cjui cheni yate ya nn.....
@mikemissedcall9606
@mikemissedcall9606 6 жыл бұрын
Kazi nzuri bro n malingo hauna hata kidogo kama wale..... Zidi kupepea n laheri kwa maisha yako na mchumba wako
@estherboke782
@estherboke782 6 жыл бұрын
toko nikiwa mtoto 5yrs old nilkupenda bure til now cz song zako hua tunazi watch na kusikiza kw pamoja ssi zote mum dad na wadogo wngu hyo ndo sababu ya kkupenda #kingKiba
@kloppmaniaynwa7977
@kloppmaniaynwa7977 4 жыл бұрын
He is a legend of the legends.....
@nyash2542
@nyash2542 3 жыл бұрын
DJ ako sawa show iko sawa artist ako sawa funs wako sawa yani party kama party💥💥
@raudhwatul_jannat496
@raudhwatul_jannat496 6 жыл бұрын
hizo songs just give me goosebumps za nikumbusha ujana wangu....king kiba mofayaaaaaaaa...yaani mashairi yakuelewa na yenye maana sio fujo tu
@deebrown7908
@deebrown7908 6 жыл бұрын
Sf sana kweli Ngoma zako zazamani uwaninzuri sana Like👍 yako bas fans wake wa king kiba 👑💥
@mzeeabu2292
@mzeeabu2292 6 жыл бұрын
Nawapenda kiba na dimpoz hadi naumwa..mnapendana kwa kweli.keep da love movin
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Kweli wewe ni pasua kichwa watakuelewa tuu hata kama wanajifanya wenda wazimu 😂😂 MOFAYA🔥🔥💪
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 6 жыл бұрын
Asha Ally yaaaan hyu jama mm naona aache tu muziki mana mda umeshamuacha alshindwa kuutumia ,
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Hosea Nobocka Bado anakipaji bwana mbona yupo vizuri akiamua
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 6 жыл бұрын
Asha Ally hahaaaahaaa ,kipaji bila kujituma na kuwa mbunifu ktk mzki bado haisaidiii kuna watu waliaminishwa kuwa mzki ni sauti tu ,kmbe syo akina Diamond wanasauti mbaya ila wao ndo wana show kibao nje ,akina Davido ndo sauti zao mbaya kama Kobe ila wao ndo ma superstar, muziki unahitaji mbwembwe nyingi xana na kubadlka badlka ,hapo alipofkia kiba muziki wake hauwezi vuka hapo mana hana kitu kipya zaidi ya marudio japo kipaji anacho
@tanstoretz
@tanstoretz 6 жыл бұрын
+Hosea Nobocka achezeshe dada zako uchi ndy ujue anakipaji?
@msaflus2492
@msaflus2492 6 жыл бұрын
+Hosea Nobocka na weye una nini.... yeye ana sauti kipaji na anajua kuvitumia vyema ...
@goodwingeorge4430
@goodwingeorge4430 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zinahusudiwa na watu wa marikaa yotee 🙏bleeesed king
@Evyhomezz
@Evyhomezz 6 жыл бұрын
Most talented musician on earth!! Will always be your number one fun.... His dressing style is always on point! Cutest smile....
@eimadtv1268
@eimadtv1268 6 жыл бұрын
King kiba pop it in come back to birmingham
@goldgold.
@goldgold. 6 жыл бұрын
I respect this guy. He behaves maturely and did his funs a pride to show an example of marrying. Now he has a beautiful wife and the family is blessed already. Well done kiba
@thomaspatrick4480
@thomaspatrick4480 6 жыл бұрын
Hakika allykiba ni mwanamziki hata nyimbo zake zinavutia kusikiliza
@salimdogorasta6808
@salimdogorasta6808 6 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥nakukubali maisha yangu yote
@dellfrank2834
@dellfrank2834 6 жыл бұрын
Wewe ndio KING utabaki kuwa KING hataiweje.
@EyazMusic
@EyazMusic 5 жыл бұрын
King Kiba
@shubaibe5802
@shubaibe5802 6 жыл бұрын
oyoooooo...king ndani ya Nai..umetisha ..mofayaaaaa
@zuhuramabrouk5184
@zuhuramabrouk5184 6 жыл бұрын
Kkoo home of the legend ...# MoFaYa +254
@karimissa763
@karimissa763 6 жыл бұрын
This is mooooo fayaaaaa...
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
Amina mama tuliza moyo wako king 👑 kiba ni shem letu hakuna wakutuibia
@brianwanjala5336
@brianwanjala5336 2 жыл бұрын
This guy is whole a vibe kip the fire burning king himself
@mussakizingiti3552
@mussakizingiti3552 6 жыл бұрын
mfalmeee atabaki kuwa mfalme tu huyu ndio mfalme kibaaa yoooooh
@consolathasagula6568
@consolathasagula6568 6 жыл бұрын
Pendeza & wimbo mzur ,saut taamu,hongera sn sn Kiba
@georgemorara4028
@georgemorara4028 4 жыл бұрын
All your songs are classics and timeless
@wanguindungurecheal
@wanguindungurecheal 6 жыл бұрын
King kiba tosha "sauti nayo " karibu kenya
@uwesutv9619
@uwesutv9619 6 жыл бұрын
HII NDIO MAANA HARISI YA NENO KING SIJAONA MFANO WAKOO MUNGU AKUPE AFYA NJEMA UENDELEE KUPELEKA MZIKI WETU MBELE
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 6 жыл бұрын
UWESU TV huyu jamaaaaa hana nyota kabixa ,ushauri wangu kwake aache mziki tu mana mda wake umeshaisha akauze tu mofays
@msaflus2492
@msaflus2492 6 жыл бұрын
+Hosea Nobocka 😂😂😂😂 we mwenye nyota ya mziki mbona huimbi!!! au nyota yako kutilia wenzako nuksi wkt we huna uwezalo!!
@raoulbyamungu3251
@raoulbyamungu3251 6 жыл бұрын
+Hosea Nobocka no sense no one like kiba in East Africa.
@alinoor9185
@alinoor9185 5 жыл бұрын
I'm from East Africa and I love king kiba song
@euniceadhiambo9672
@euniceadhiambo9672 6 жыл бұрын
One in a million kingkiba
@didaamohsin6440
@didaamohsin6440 6 жыл бұрын
loovee u kiba King... uko juu
@mwayoyomaida6757
@mwayoyomaida6757 6 жыл бұрын
Nice performance. Ilov the way you dance and sing ad the vocal on point. Keep it up. Welcome kenya once again
@abdulseif5365
@abdulseif5365 6 жыл бұрын
Sna mzee baba nakuelewa pga kazi
@hairiaabdallah9573
@hairiaabdallah9573 2 жыл бұрын
YE BABA I LOVE HIM OH MY GOD 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hansmahmoud5134
@hansmahmoud5134 6 жыл бұрын
Kazi kazini na qeuun wetu
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 жыл бұрын
hans mahmoud Queen😂😂😂
@irakundazawadi2021
@irakundazawadi2021 6 жыл бұрын
mziki mzuri watu wenye heshima zao ndo wameja kiba oyeeeeeeee
@nafasimyna9862
@nafasimyna9862 5 жыл бұрын
ALWATAN KIBA.... fuuuuuuundi mwili mzima
@donhussle948
@donhussle948 3 жыл бұрын
Wee 👑 kiba we ni mkenya banaa ...huna tabia za kitanzania. Ww ni mkenya hasili itabidii tukubadilishie passport birth certificate ...cc wakenya twakupenda sanaaa twakubalia kila kitu chako sanaaa
@allysiraji6935
@allysiraji6935 6 жыл бұрын
huyo ndo babawooo king of music no one like you bro
@danielymwangonda140
@danielymwangonda140 4 жыл бұрын
Nmefrh kusikia ngoma ya Mac muga imepgwa jukwaan live king wew ndiye mfalme brh
@diananyaga9995
@diananyaga9995 5 жыл бұрын
Nairobi ni Dunia ni shamba la Eden. We like you Alikiba.
@jp_9050
@jp_9050 6 жыл бұрын
His voice s amazing💜 me and my frıends loves him👏
@AzizWillyGreataziz1
@AzizWillyGreataziz1 6 жыл бұрын
Hatari sana
@sabrinaayoub7032
@sabrinaayoub7032 6 жыл бұрын
KING kiba BIG up sana KING wetu
@hadijakonyaki5163
@hadijakonyaki5163 6 жыл бұрын
We love you,we love your songs,and we love your lifestyles and your family too
@ametdiop7070
@ametdiop7070 6 жыл бұрын
pape.ndiaye kara
@hairiaabdallah9573
@hairiaabdallah9573 2 жыл бұрын
Il est juste magnifique Mash Allah.Qu Allah vous protège inchallah ainsi que ta famille Amine
@AzizWillyGreataziz1
@AzizWillyGreataziz1 6 жыл бұрын
First Person to watch this video
@johngasto7751
@johngasto7751 6 жыл бұрын
Aziz Willy good
@mosesmuchiri7205
@mosesmuchiri7205 6 жыл бұрын
Kudos
@mazeralewaa3172
@mazeralewaa3172 4 жыл бұрын
Classic sure kiba is the king
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 жыл бұрын
king kiba nyimbo zako haziishi utamu
@chaksechakubuta9149
@chaksechakubuta9149 6 жыл бұрын
Zaudat Makula kabisa
@abdiiuzzeabdiilitle2156
@abdiiuzzeabdiilitle2156 6 жыл бұрын
Zaudat Makula ume ona ngoma za huu msee wag 1
@stevengerrldmsei6806
@stevengerrldmsei6806 6 жыл бұрын
Nice
@fablovesaadi9879
@fablovesaadi9879 3 жыл бұрын
M0faaya🔥🔥 King Kiba❤ Mfalme wa bongo flava mambo chacha kweli
@jumaathmani9379
@jumaathmani9379 6 жыл бұрын
Huwanaisikiaga marakadhaa kamavile kwenye sherehe yamueshmiwa king then naapatena naisikia aisee nibonge labiti I wish ningejuwa ninyimbogani iliniisikilizetuu one love 👑
@evanciaernest515
@evanciaernest515 6 жыл бұрын
Juma Athmani inaitwa ##mwana
@evanciaernest515
@evanciaernest515 6 жыл бұрын
Iyo inayofuata inaitwa #sindelela
@ibrahimuabdallah1141
@ibrahimuabdallah1141 6 жыл бұрын
King him self nakukubali sana
@moneymoney7497
@moneymoney7497 6 жыл бұрын
Kuowa raha lini uliona king akicheka ujuwe round hii apana usala big up kaka 💛💙💜💚❤
@jaquelinemuriuki4228
@jaquelinemuriuki4228 6 жыл бұрын
Nairobi twakukubali king kiba,, na usinyamaze ivo aki,, acha kutuangusha
@manallove1
@manallove1 6 жыл бұрын
Heh hii ni place ya watu presentable n mature hakuna nduru na kelele ya tu slay queen.🤔
@mohandsuesweettreats3810
@mohandsuesweettreats3810 Жыл бұрын
I love Ali kiba ,chilled cute dude no dramas ,he doesn't fake or overdoo he's just himself ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@afro_abbuh9147
@afro_abbuh9147 6 жыл бұрын
Tuko nyuma yako king kiba
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 6 жыл бұрын
Iyo soundtrack Itavutia ukieka mashairi yako king wa melodies
@nassoropingil1414
@nassoropingil1414 6 жыл бұрын
Welldone king kiba... love it
@gabrielkasoi9391
@gabrielkasoi9391 6 жыл бұрын
Congratulations and all the best in your marriage king...... And we need a new song we tired of waiting or being given suctions of days........
@mariamabuu330
@mariamabuu330 6 жыл бұрын
nakupenda Alikiba jaman😘😘😘😘😘😘
@michaeljamesmdoe8031
@michaeljamesmdoe8031 6 жыл бұрын
Ali ni mwanamuziki wengine niwasanii, big up to you my bro . @moofile
@ramadhanzumba5216
@ramadhanzumba5216 6 жыл бұрын
👑 kibaaa
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 жыл бұрын
Wabongo muache unafiki ALLY atabaki Kuwa JUUUÙU
@sethimarcel3035
@sethimarcel3035 3 жыл бұрын
Nakukubali brother you are nomber one of tanzania you are king pasua kitchwa
@marriammarango7532
@marriammarango7532 6 жыл бұрын
Welcome kwetu Kenya hakuna matata😀😀
@mariesstella7129
@mariesstella7129 6 жыл бұрын
Hakuna wimbo tamu zaidi Kama CINDERELLA walaa😍😍😍😍NAKUPENDA ALI KIBA
@diskondeusi9219
@diskondeusi9219 6 жыл бұрын
namukubri Sana king kiba👑
@aishamrembo6769
@aishamrembo6769 6 жыл бұрын
Yaaani nyimbi zako haziishi utamu👌
@michaelmatias8376
@michaelmatias8376 6 жыл бұрын
pamoja sana kiba nakukubali sana
@AllyMshuza
@AllyMshuza 6 жыл бұрын
ALIKIBA NI MO FAYA
@zawadiomary8195
@zawadiomary8195 5 жыл бұрын
Aise kiba utabaki kuwa king, auna mpenzi Est Africa
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 жыл бұрын
king kibaaaaa aaaaaaa
@LiaLia-ns4wn
@LiaLia-ns4wn 6 жыл бұрын
kiba ni tosha
@everinabahati765
@everinabahati765 6 жыл бұрын
Wellcome moz tupo huko king k me ndo vans classic respect bro
@eliarichard9218
@eliarichard9218 6 жыл бұрын
nice king nakuelewa sana mzee baba ila ume tupa mtiani baba ngoma ya dimpoz adi view million 3 uta tuu toa tyuu ngoma mzee...
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 6 жыл бұрын
We are together king kiba nakubali sna
@zahraabdallah3585
@zahraabdallah3585 6 жыл бұрын
Am in love with Ali kiba's songs.
@mzeeabu2292
@mzeeabu2292 6 жыл бұрын
Dimpoz nakupenda bure...nikikuona nafurai.unakipaji cha kuchekesha kifanyie kazi
@kwizerains8774
@kwizerains8774 6 жыл бұрын
Congratulations King Kiba.
@khalidiabdallah1362
@khalidiabdallah1362 6 жыл бұрын
Karibu Nairobi Kenya yeah!!!!!
@hairiaabdallah9573
@hairiaabdallah9573 2 жыл бұрын
Elle a vraiment de la chance sa femme Mash Allah
@amisisteven8339
@amisisteven8339 6 жыл бұрын
7:24 minutes uhh aww Hadi Raha tuuu
@Evyhomezz
@Evyhomezz 6 жыл бұрын
God bless Kiba, he is so talented
@Themikestar
@Themikestar 6 жыл бұрын
King Kiba hatari sana. I salute.
@sakeenaalhajri5151
@sakeenaalhajri5151 2 ай бұрын
The really king on stage ❤
@euniceadhiambo9672
@euniceadhiambo9672 6 жыл бұрын
Alikiba say hi to my Queen #Amini
@alvinalfredy3696
@alvinalfredy3696 4 жыл бұрын
I miss to see this love from ommy and kiba.
@zulaikhamiya2160
@zulaikhamiya2160 6 жыл бұрын
I love you kiba
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 6 жыл бұрын
King kiba mzee wakubembeleza kama unamkubali king kiba usipite bila kugonga like hapa yeeeaaaa
@nuhuasani3722
@nuhuasani3722 6 жыл бұрын
Oui c'est tre bon courage alikiba 💪💪💪🔥
@emymacharia5439
@emymacharia5439 6 жыл бұрын
big up more fireeeee
@oscarjohn5039
@oscarjohn5039 6 жыл бұрын
pongezi nyingi 👏👏👏👏
@hassancoddy6713
@hassancoddy6713 6 жыл бұрын
Kali sana kiba congrats bro
@tumaininemes9814
@tumaininemes9814 6 жыл бұрын
Show tamu king......its good
Churchill Show S05 Episode 10 With Alikiba
12:59
Alikiba
Рет қаралды 401 М.
Alikiba- Album Launch (Only One King)
2:06:17
Mziiki
Рет қаралды 12 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
ALIKIBA in Zanzibar at Kendwa Rocks Part 1
15:30
Alikiba
Рет қаралды 70 М.
UTACHEKA NDARO NA STEVE MWEUSI WAKITONGOZA DEMU
8:37
Ndaro Tz
Рет қаралды 438 М.
Khaligraph Live On Churchill Show (Extended Version) - I Thank God For My Success
13:17
Alikiba Aló Studio Session 4k
14:11
Alikiba
Рет қаралды 19 М.
Alikiba performs "Wife wa Dunia" Live @ Koroga Festival 9
7:12
Capital FM Kenya
Рет қаралды 90 М.
Alikiba Live performance AFROFEST 2024 at Canada
32:46
Alikiba
Рет қаралды 59 М.
HADI RAHA! ALIKIBA APIGIWA SHANGWE AKIIMBA RUN DUNIA
5:01
EastAfricaTV
Рет қаралды 88 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН