ALIKIBA: "Nimeacha Harusi, Masogange Kaniumiza, Alikuwa Rafiki Yangu"

  Рет қаралды 28,879

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

ALIKIBA: "Nimeacha Harusi, Masogange Kaniumiza, Alikuwa Rafiki Yangu"
Mkali wa Bongo Fleva, AliKiba, amehudhuria kwenye hafla ya kumuaga mwanamitindo maarufu na muuza sura kwenye video za wasanii, Agness Masogange, iliyofanyika katika viwanja vya Leaders uliopo jijini Dar.
Alipopata fursa ya kuzungumza msibani hapo, Ally Kiba, ametoa nasaha juu ya watu kushikamana hususani katika nyakati za shida, huku akijitolea mfano yeye mwenyewe kuwa japo yu harusini lakini ameweza kutoka na kuja kuhudhuria kwenye hafla ya kutoa heshima za mwisho kwa mlibwende huyo.
lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit MASOGANGE globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 28
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 жыл бұрын
Powerful speech..Ally kiba thanks
@maryamammar1702
@maryamammar1702 6 жыл бұрын
Msikiye kijana wa kiislam alivyo zungumza kwa busara Masha Allah
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Maryam Ammar hapo hajazungumza lolote la uislam..wangeacha kuimba kwanza
@abdallahsuleiman6581
@abdallahsuleiman6581 6 жыл бұрын
kiba umeongea maneno mzr bt umekosea neno 1 kama ww muislam hukupaswa useme bwana yesu asifiwe
@leahchallomachibya1791
@leahchallomachibya1791 6 жыл бұрын
Abdallah Suleiman Wewe ndo humjui YESU
@kingkasuku9703
@kingkasuku9703 6 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa busala kila cku
@faidhaothman1914
@faidhaothman1914 6 жыл бұрын
Sahihi kaka etu Ally mungu akupe hekima na busara
@bernadethambuga2411
@bernadethambuga2411 6 жыл бұрын
umenena vizur...keep on going king kiba
@ladyaisha8248
@ladyaisha8248 6 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka.
@ahmadkibamba7245
@ahmadkibamba7245 6 жыл бұрын
hakika umeongea jambo kubwa mno tumkumbuke mungu kwa kila wakati,umenena maneno mazito mno
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Ameen Inshaallaah ALLAH atup mwisho mwema axnt Alikiba kwa maneno mazuri ya ukumbusho RIP AGNES masogange
@maimunapili7366
@maimunapili7366 6 жыл бұрын
Ruqaiyah Ali inshaa Allah atujalie mwisho mwem#ameen
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Maimuna Pili AMEN
@hasinahasan948
@hasinahasan948 6 жыл бұрын
Haifai ndugu zetu wa kiislam kuchanganya dini 2 mfano tunavyosema Assalam Alaykum na bwana yesu asifiwe na tuseme habari zenu kwa jumla inatosha
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Hasina Hasan amekoseya sana ikisha kalizalilisha vaz la kiislam. Kwa nini asingevaa suti tu
@jumaboy6608
@jumaboy6608 6 жыл бұрын
Nice one umenena maneno mazito
@idayakey6886
@idayakey6886 6 жыл бұрын
King kiba umetisha sana kwa maneno mazuli
@neemaking12king59
@neemaking12king59 6 жыл бұрын
Maneno mazuri sana hayo king kiba
@jumaathmani9379
@jumaathmani9379 6 жыл бұрын
Nakujuwa tokakitambo hunagamajingambo unahekma unaadabu kwelihakika umelelewa ktk maadiliyakiislam munguakuongoze ktk ubusarahuo huo
@roberttagaya3498
@roberttagaya3498 6 жыл бұрын
Huyu Kiba ana busara na hekima sana.
@godfreychristopher4733
@godfreychristopher4733 6 жыл бұрын
Unabusala sana kiba,ongera kwa ilo
@asmaafamau5139
@asmaafamau5139 6 жыл бұрын
Godfrey christopher swadakta
@feisalmbago6038
@feisalmbago6038 6 жыл бұрын
kiba saf maneno ya mawaidha yenye mafundisho...
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 6 жыл бұрын
huyu jamaa anaakili sana
@georgeshija1276
@georgeshija1276 6 жыл бұрын
ndio Mwana nakuitaga mfalme
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 6 жыл бұрын
Kiba umeongea sana,jee ww umejiandaje na mauti yako,maans mziki ni kharamu
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Qaboos said maneno mazur sana ulosema
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Tufanye yote nini? Ali kiba ungesema mu stop kuimba
TANASHA: ALIKIBA HATUJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
1:25
Wasafi Media
Рет қаралды 59 М.
Each found a feeling.#Short #Officer Rabbit #angel
00:17
兔子警官
Рет қаралды 7 МЛН
WHY IS A CAR MORE EXPENSIVE THAN A GIRL?
00:37
Levsob
Рет қаралды 21 МЛН
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 105 МЛН
Diamond Platnumz - Sikomi (Official Video)
4:03
Diamond Platnumz
Рет қаралды 68 МЛН
ALIKIBA KWENYE BABY SHOWER YA MARIOO NA PAULAH
1:43
Crown Media
Рет қаралды 119 М.
Each found a feeling.#Short #Officer Rabbit #angel
00:17
兔子警官
Рет қаралды 7 МЛН