Wasani najua wanajua kuyimba lakini naomba niseme kiukweli jamani tuseme Alikiba nyimbo zake zilikuwa nzuri kuliko zote duniani voice yake King kiba 👑💥 🔥 mimi nampa Maua yake 🌹🌹🌹🌺🌺🙏🙏🇹🇿🇹🇿✊✊
@nabilasalim4168 Жыл бұрын
oh my! this is where talent lives 💌❤ he never disappoints, 20yrs down the line his still the king💯
@raytoura-sn1tl Жыл бұрын
Muangalie marioo anavyofurahia Mash Allah
@omaribangu8331 Жыл бұрын
Nahisi hii ngoma ameandaliwa vizuri xana
@insightfultom1971 Жыл бұрын
Whaaat , unyama huo. Yaani hivi ndivyo hit zinavyoundwa!!
@petironabii7632 Жыл бұрын
King nakubali sana ❤❤
@bonfacebonafide012 Жыл бұрын
#OnFire wimbo huu naupenda jamanii.. unaniweka na mimi on fire kinoma ❤😅
@chemicaliealvadon7669 Жыл бұрын
Supporting from Kisii, Kenya 🇰🇪
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Inanikumbusha akirecord hands across to the world
@arleneilunga9202 Жыл бұрын
I asked myself why this man still be on time everyday and this is the answer from my question it’s because he’s a talented man and he respects god🙌 I’m proud to be your fan too Kiba shine again 🔥🔥🇨🇩
@Fresko.onaicimoD_music Жыл бұрын
Motooo kama pasi Kiba
@francisparmuat5501 Жыл бұрын
Kali sana bro
@baysadam235 Жыл бұрын
Unyama mwingi sanaaa big Bro King tunakupenda Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@rashidamohamed9927 Жыл бұрын
Boss wangu nikitembea navimba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏💪💪💪
@DJOJOZKENYA Жыл бұрын
I just love your songs from mapenzi to on fire truly you are the of tz music ❤❤🇰🇪✌️🎶🔥🔥
@nicolaus7051 Жыл бұрын
King kiba for lever
@officialalikibaone Жыл бұрын
Una ngoma nying sana za zaman zile tena kali afu hutoi daah kama ile sista duh hawashikiki maringo na mikogo kibao..... Ile krank tamu sana ali
@shamtembwando1392 Жыл бұрын
Niliona clip yake tokea 2018 akiwa na kina cheed nadhani inaitwa "beatifull"
@justusngwambu448 Жыл бұрын
Naumiaga kichwa sana nikikumbuka clips kama zile pamoja na ile aliwai imba na patoranking inaitwa 'my love for you '
@officialalikibaone Жыл бұрын
@@justusngwambu448 dah ngoma kama ile mzee si hatar kabsa nilidhan ndo itakuepo kwenye album na patoranking lakin wap
@justusngwambu448 Жыл бұрын
@officialalikibaone nilitarajia iwe ivo pia, sasa nashindwa izi ngoma mbili zilipotezewa ivo tu tukiona au kuna mpango gani.
@gangtv5076 Жыл бұрын
No essay jaman daah mmeona Ali akitafuta melody si mchezo 🙌🙌🙌🙌
@ammyskills5588 Жыл бұрын
Thanks sana my brother King Kiba,,, huwa najifunza vitu vingi sana via your studio session 🙏🙏
@lilfreezy8983 Жыл бұрын
Kings Music be the best 😍😍😍... tunangoja na hamu 🇰🇪
@robbykofficial9901 Жыл бұрын
Much love to my favorite musician ❤.
@mwoms7746 Жыл бұрын
Kiba always hit me hard with his music. Much love from Uganda
@samirmswahili Жыл бұрын
King
@lemminoofficial8331 Жыл бұрын
More than a talent 🔥
@farajiwanted8257 Жыл бұрын
Alikiba For Really 🔥
@lukadee Жыл бұрын
Wow amazing 🤩🤩
@ibrahamessiah360 Жыл бұрын
Brilliant from +26
@itzbarsh3324 Жыл бұрын
My king👑 these vocals ar way out of this world🔥
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
The king of bongo flavour❤️👑,likes for love🎉🎉
@tygamk1680 Жыл бұрын
Kjngkiba ngoma Mpya imba kifaransa mwanzo mwisho watoto wake
@supertallone1902 Жыл бұрын
@AliKiba
@official_kingnabiryOg Жыл бұрын
King Ni only one King kiba 🔥🔥🔥🔥
@AdremaneZabulaADREMANE-eu3xe Жыл бұрын
Lete ngoma King
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
Your flowers from me 🌹🥀🌷🌹🥀🌷🌺🌸yani ngoma Kali my favorite 🇰🇪🇰🇪
@johnmshenga1998 Жыл бұрын
We are waiting for you k🎂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤟💪
@tosh8921 Жыл бұрын
Look how this guy is calm and humble❤️💯
@EmmanuelMwambaji-vk2th Жыл бұрын
Yes bro this man is humble. Maturity yake Iko juu.
@TheN69VEVO Жыл бұрын
Kiba ndio mwandishi bora Afrika Mashariki
@vanemmy6043 Жыл бұрын
iyo ni opinion yako dude
@babelmuhammad3376 Жыл бұрын
That’s right
@kingtozi Жыл бұрын
Uongo Ww unamjua rayvanny, mbosso, harmonize,?? Hizo number chafu kwa uandishi
@hashimurajabu2089 Жыл бұрын
Uhakika
@hashimurajabu2089 Жыл бұрын
@@kingtozi uongo pia kwako maana opinion yko unaona hao ndo waandishi wazr Ila kiba atabakia bora ijapokuwa nawao ni bora
@UfundiSaidi-em2fb Жыл бұрын
You deserve to be the king 👑
@mwinyimwinyi9171 Жыл бұрын
The guy is smoking shisha 💪
@bienfaitvictor47 Жыл бұрын
❤🇨🇩🇨🇩 WE love you bro
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
KING OF VOICE
@rashidomary5033 Жыл бұрын
Dahh talent z talent
@collinswambani8972 Жыл бұрын
Alikiba tu the world🤴🤴🤴
@mariaokiring1519 Жыл бұрын
Kiba the best.. Mola kamjalia kipaji Cha uimbaji🙏🏾🙏🏾🙌
@josephmollel4526 Жыл бұрын
Anakuja mwamba on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ismailrendra3619 Жыл бұрын
É o REY da música africana
@Chida Жыл бұрын
KingKiba on fire 🔥 🔥
@jacklydepanzi8169 Жыл бұрын
Vrement THE POWER OF SONG 💪
@hashimurajabu2089 Жыл бұрын
Hii ndo siku zilirecordiwa nyimbo mbili ingine ft Mario soon tunaiona this June 🔥
Nitafute kuna vingi tutashauriana zaidi.Napenda kukuona ukikua zaidi na zaidi.Kiuchumi,Muziki,Creativity, Umiliki wa jukwaa.Napenda kukuona unakuwa kama Celin Dion,Usher Raymond, the late Michael Jackson.
@robertlodoywan7325 Жыл бұрын
King of music 🎶
@devinngoji7838 Жыл бұрын
King Kiba, my all time favourite bongo artist
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Kujifunza Kiingereza zaidi haikufanyi uonekane limbukeni but it's so important in today's world. Pia jarib kubadilisha kidogo style ya uimbaji,umiza kichwa katika creativity, Fanya kitu cha kitofauti zaidi,fanya international collaborations na wakina Rihanna,Chris brown,Shakira etc.kuwa versatile kama Marioo
@jeffjeff8147 Жыл бұрын
Kama kiba hangekuwa versatile unadhani hangekuwa anasikika for 20 years now?
@POGMESSITV Жыл бұрын
Kama unajua sana kukiko Alikiba mbona hatukufahamu wewe duanzi apa Kenya.😂 Shabiki abaki kuwa Shabiki na mwacheni Alikiba abaki kuwa Alikiba. Tutamshabakia ata aimbe iyoooo mwanzo mwisho na pia hatoshobokei bora collabo ila collabo bora
@sameery277 Жыл бұрын
Sana kaka haipingwi dady
@boccdastan7467 Жыл бұрын
Kuna wasanii weng na Kuna #alikiba
@OnesmusMusyoka-jv4ci Жыл бұрын
Kiba bora
@mudykaila7437 Жыл бұрын
bravo
@zakariamachibula1776 Жыл бұрын
🔥🔥
@Lando_Anthony Жыл бұрын
Talented king himself 🎉
@djmoolah2553 Жыл бұрын
KUMBE ILISHAKUWA HITS KABLA HAIJATOKA
@KelvinOfficial. Жыл бұрын
Noma sana
@whoyzambicioso2713 Жыл бұрын
❤❤❤
@muntueric-oy1ty Жыл бұрын
Alikiba amefata nyayo za Diamond Platnumz kutoa behind the scene video kutrend😢😢😢😢
@Kingajang0 Жыл бұрын
❤️🔥❤️🔥
@shavybrand8225 Жыл бұрын
Nomaaaaa
@lizoname Жыл бұрын
Nikweli jamaa anaimbasana Ali
@officialsamireal2216 Жыл бұрын
On fire💣
@omarkipotwile9052 Жыл бұрын
Sasa mi hapa na comment nini, kama mpaka Abba, Toto Bady, mimi mwenyewe tunatikisa vichwa tu kwa melody murua kabisa
@Jibrilmohammed-p3s Жыл бұрын
Inabidi uwe unatowa hata ngoma za maisha sio kila sku mapenz