ALIKIBA - African Football League Opening Performance At (Mkapa Stadium)

  Рет қаралды 283,816

Alikiba

Alikiba

7 ай бұрын

Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
Listen to Alikiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/alikiba
Apple Music: / alikiba
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
KZbin: / alikibaofficial
Spotify: open.spotify.com/artist/2nGoK...
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.
#Alikiba #AFL #FifaWorldcup

Пікірлер: 435
@EmmanuelNoel-je7fo
@EmmanuelNoel-je7fo 5 күн бұрын
King kiba anatisha mfano wasanii bongo
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 7 ай бұрын
Kaka mm ninyanga sema ulikosha sana uwanjani na nilienda uwanjani kwajili yako ata rafiki yako choro nilimwambia naenda taifa kwajili ya alikiba tu ❤❤❤
@SynoslaOfficial66
@SynoslaOfficial66 Ай бұрын
Yooo brother from ather mother you are the best in africa number one allways kazi yako yamikono yako imbarikiwe na mwenyezi mungu king is allways number one unamujuwa simba ❤🫶🫡🎁🚗✈️🔥🔥🔥🔥🏢 una tufurahisha nasi tunataka tukumpe mpese wendereye kufanya music kwenye unataka ifike popote unataka . duniani we love you brother
@lisiasjoram
@lisiasjoram 7 ай бұрын
Mimi jamani mtu wa kumi kuiona hii naombeni like king kiba Yoooooooh Yeeeebaba
@kvnprince6517
@kvnprince6517 7 ай бұрын
Kingkiba oyeeeeeeeee🍾🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmakupe9462
@emmanuelmakupe9462 7 ай бұрын
🎉🎉🎉Ndo mm hapa twende na kiba kwa kiwanja
@OmegaKingKas
@OmegaKingKas 7 ай бұрын
Alikiba yooooo❤❤❤❤❤ nakubali mnyama 🎉🎉🎉
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 7 ай бұрын
Hii performance Niliisubiri sana kwenye akaunti yako, kwa lengo la kukuongezea views 💯
@bukulutheboss5141
@bukulutheboss5141 7 ай бұрын
Salut sana king kibaaa hii ndiyoo maana kuwaa simbaaaaa
@ishaissah8536
@ishaissah8536 7 ай бұрын
Ilibamba kinoma🎉🎉🎉🎉maua yako king
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 7 ай бұрын
ali kiba King of Tanzania tunakusikia Sana my brother 🙏🙏👍
@fatumajuma4459
@fatumajuma4459 7 ай бұрын
Haki mungu akubariki king ❤❤❤❤❤ umeiheshimisha Tanzania.
@SaideAliSangomes-cc7sj
@SaideAliSangomes-cc7sj 7 ай бұрын
Huyu jamaa sio mtu nijito afai yebaba unyama ni mwingi sana 👑🇲🇿
@baysadam235
@baysadam235 7 ай бұрын
Historia imeandikwa jnaaa unyama ulikuwa mwngi snaaaa Mfalme mwaka huu Umeuwaaa kabissaaaa🇲🇿🇲🇿❤❤
@jamaa2760
@jamaa2760 7 ай бұрын
Kazi Nzuri, endelea.kutubeba, waimba nyimbo za matusi jifunzeni kwa.ALIKIBA, husikii tusi
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 7 ай бұрын
Only one King umependza snaaaaaaaa mzee baba hongera sana King 🤴 🙏
@aureusngonyani4299
@aureusngonyani4299 7 ай бұрын
Hongera sana King kiba kwa kujua kucheza na nyakati 🎉 Simba ni upande mzuri sana kwa sasa
@Chida
@Chida 7 ай бұрын
Hii iko International saana KingKiba ni 🔥 🔥 🔥 mazee
@kherysentongo4717
@kherysentongo4717 7 ай бұрын
Balaaaaa sana jana sound ilikua nzuri sana
@user-od4ye6du5n
@user-od4ye6du5n 7 ай бұрын
Mpeni mauwa yake king kiba🎉🎉🎉🎉❤❤
@fanuelmwambwiga9003
@fanuelmwambwiga9003 7 ай бұрын
Msanii bora wa mwaka 2023. Ni Alikiba #unstoppable👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 7 ай бұрын
Na vipi aliyeko rwanda na tuzo kashinda tumuweke namba ngapi chezea Mondi wewe
@estherpaul635
@estherpaul635 7 ай бұрын
the king 🤴 simba mwenyewe,I love you for freee❤❤❤❤❤❤❤❤
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 7 ай бұрын
Lazima tudumishe asili Zetu I am proud of you Kaka mkubwa Much Love From Kwale Kenya 🎉❤
@silversindjalabakeni2533
@silversindjalabakeni2533 7 ай бұрын
King Kiba Yeeeebaba kutembeya vifuwa bele nimoja ya alicho tu julisha mfalme naapa tunakiona 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 7 ай бұрын
Wakwnza kuona Hii gonga like Apa Kama una mkubali alikiba ✊✊✊ Simba Nguvu Moja ✊✊✊✊
@Perfect_bway
@Perfect_bway 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/kKSxk35se8yKatksi=9av-IOAh2ztGF36c
@GuystoGastro
@GuystoGastro 7 ай бұрын
King kiba I love your ✆ production's
@HiginoFernandoPedroFernandoPed
@HiginoFernandoPedroFernandoPed 7 ай бұрын
Naboa
@mohamedmussa3931
@mohamedmussa3931 7 ай бұрын
No one can erase history, but we can rewrite it and strengthen it from our experiences. King kiba🔥🔥🇹🇿
@mbaruksaid5775
@mbaruksaid5775 7 ай бұрын
Unyama mwingi sanaaa kwa alikiba na na simbaaaa❤🔥🔥🔥
@user-mj8ql1rg3b
@user-mj8ql1rg3b 7 ай бұрын
Weeee Mfalume uyhooo waonheche King watakoma muaka huuu
@AsaniAnsufati-jc3yv
@AsaniAnsufati-jc3yv 7 ай бұрын
Wewe ni king 👑👑👑👑 waoneshe mwakahu mpaka wakubali mimi niwa kumi Na moja naombeni like 50 kwa washabiki WA king 👑 kiba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 7 ай бұрын
Mwenzake yuko rwanda kashachukua tuzo yake uko
@hildahmunah4165
@hildahmunah4165 7 ай бұрын
best male artist in east Africa yupo rwandaaa 😂😂😂
@user-ev6us9ll6h
@user-ev6us9ll6h 7 ай бұрын
Hiyoo
@SanzeyZakayo
@SanzeyZakayo 7 ай бұрын
Haijalishi
@annasaimon2270
@annasaimon2270 7 ай бұрын
​@@albertkadyanji9722 yaani hatujali wala nn
@griffinjahazi2167
@griffinjahazi2167 7 ай бұрын
The best ever since my childhood
@mdta8161
@mdta8161 7 ай бұрын
King kiba ni moto wa kuotea mbali
@user-ps2ho6hh9g
@user-ps2ho6hh9g 5 ай бұрын
Hii ndo show kubwa kuwai kutolea Tanzania ni show mwaka 2023
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 5 ай бұрын
Hii ilikuwa bonge la shoo unyama mwingi sanaaaaa
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 7 ай бұрын
Greatest of all time
@AthumaniNyawamaAlly
@AthumaniNyawamaAlly 7 ай бұрын
King kama king nakukubali wewe ndiyo kioo cha taifa kwa ujumla basi tu
@abasrajab2562
@abasrajab2562 7 ай бұрын
King Kiba ni mmoja 2 kwa hii dunia
@fahimahnyota8938
@fahimahnyota8938 6 ай бұрын
Unishi maisha marefu apa duniyani na ahera,big up
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 7 ай бұрын
Mimi ni chilani yako kutoka kenya surali
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl 7 ай бұрын
Nakubali san💯💯❤️❤️🔥🔥🔥
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 7 ай бұрын
The only artist I know and pay close attention to him whenever he drops a brand new vid. The best performance ever 🔥🔥🔥🔥
@Perfect_bway
@Perfect_bway 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/kKSxk35se8yKatksi=9av-IOAh2ztGF36c
@dcmonline23
@dcmonline23 7 ай бұрын
King himself🤴 the best ever🙌🔥🔥🔥
@fareedtz7864
@fareedtz7864 6 ай бұрын
Tanzania to the world
@leejems142
@leejems142 7 ай бұрын
Mkubwa atabaki kua mkubwa t ❤❤❤
@ibrahamis8795
@ibrahamis8795 5 ай бұрын
afu unakuta mtu anakuja fananisha show ya mfalme wa muziki na mla nganda😂#Marvelous# king kiba
@SuleimanAli-jv3lt
@SuleimanAli-jv3lt 7 ай бұрын
It's really impressive good king kiba all the way from Zanzibar
@Perfect_bway
@Perfect_bway 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/kKSxk35se8yKatksi=9av-IOAh2ztGF36c
@SaidWasaki-iq3qd
@SaidWasaki-iq3qd 7 ай бұрын
💯💯💯💯💯💯💯✅✅✅✅✅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌🙌🙌🙌kali sanaaaaaaaa
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 7 ай бұрын
King 🤴 umetisha sana nakutafuta King 🤴 nije nipige picha na wew King 🤴
@kingdogootz
@kingdogootz 7 ай бұрын
Bora yako King 👑 ulisanuka ukahamia SimbaSC sasa hivi unakula zako tu maisha
@user-lb4xo9oe4t
@user-lb4xo9oe4t 7 ай бұрын
how king is the king
@MTKBOSS
@MTKBOSS 7 ай бұрын
The King ❤
@sheruajafari1676
@sheruajafari1676 7 ай бұрын
Hongera king 👑 kiba
@amzasadikimamadou6066
@amzasadikimamadou6066 7 ай бұрын
King ni king tuh batika yo mon champion🎉🎉🎉🎉🎉
@Xavierdecristo
@Xavierdecristo 7 ай бұрын
King kama king na ubora wake 👑👑👑👑
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 7 ай бұрын
Sijuti kuku penda King Kiba ❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌
@user-um4fk5ls3v
@user-um4fk5ls3v 7 ай бұрын
Kweli wewe ni King 👑 kiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌❤❤❤
@MichaelMwakibolwa
@MichaelMwakibolwa 7 ай бұрын
KING KIBA🎉🎉🎉
@Mansalumusic
@Mansalumusic 7 ай бұрын
Yeaaap kama unamkubali huyu Mwamba gonga like tusomane
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 7 ай бұрын
Proud of you 👏 king 🤴
@parfaitwitangila1908
@parfaitwitangila1908 7 ай бұрын
King kiba 🎉
@user-he7fz9dv3r
@user-he7fz9dv3r 7 ай бұрын
King kama king hauna baya❤
@MrQuepper1
@MrQuepper1 7 ай бұрын
First views from Ethiopia 🇪🇹 😍 👏
@mambelwaamedeo4330
@mambelwaamedeo4330 7 ай бұрын
Yhn a najuwa sana kweli
@bravotzee218
@bravotzee218 7 ай бұрын
Ww ndo msanii Bora tz all the time
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 7 ай бұрын
Love King kiba much love Kong's music...
@byaombembella5585
@byaombembella5585 7 ай бұрын
Wa Kwanza au😄😄🇰🇪
@sergebaleke695
@sergebaleke695 7 ай бұрын
Wow musani ambae namukubali King Kiba 4life 🎉
@BILI_BROWN
@BILI_BROWN 7 ай бұрын
Mkubwa hua ni mkubwa tu☝️🦁
@tatishitungulu7483
@tatishitungulu7483 7 ай бұрын
I'm proud of your performance bro ,, u made it , congratulations
@Jay.k.v
@Jay.k.v 7 ай бұрын
Nimeikubali sana ❤❤❤❤❤
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 7 ай бұрын
King kiba 4life 🤴
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 7 ай бұрын
My number one African super star is from Tanzania ❤ #KINGKIBA
@abushirsingh1410
@abushirsingh1410 7 ай бұрын
Hii haijawai tokea tangu dunia iumbwe......congrats king👑👑
@omarysalum7247
@omarysalum7247 7 ай бұрын
Alikiba Yanga huyo ❤😂❤
@shiromatteo7100
@shiromatteo7100 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤napenda kiba
@irenealex729
@irenealex729 7 ай бұрын
Wakati wa Mungu ni wakat sahihi
@omaribangu8331
@omaribangu8331 7 ай бұрын
Noma 🙏🔥🔥🔥💯💯🇨🇩
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 7 ай бұрын
Hii ni kubwa kuliko umetisha broh king👑
@TOO-MUCH-MUSIC
@TOO-MUCH-MUSIC 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤kali san king of Music 🎉
@Perfect_bway
@Perfect_bway 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/kKSxk35se8yKatksi=9av-IOAh2ztGF36c
@balaaMnyama-zy4jq
@balaaMnyama-zy4jq 7 ай бұрын
nomaa sana king❤
@user-pu1xw6pg9p
@user-pu1xw6pg9p 7 ай бұрын
Saf,sipingi hii pafomansi.
@andreanmutwiri7998
@andreanmutwiri7998 7 ай бұрын
only hills don't meet this performance is thrilling mpaka nkona goose bumps
@christophelusombo
@christophelusombo 7 ай бұрын
King come to France 🇲🇫 please
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej 7 ай бұрын
King 🙌🙌
@fareedtz7864
@fareedtz7864 6 ай бұрын
this is Tanzania and this is Simba and this is Azam tv 🎉
@user-tb3uf8kz9c
@user-tb3uf8kz9c 7 ай бұрын
Hongera sana a kiba
@MsamariaRoges-rg4zu
@MsamariaRoges-rg4zu 7 ай бұрын
Alikiba nimsenge kweli okuimba vtu vya maana anaimba sumu Sasa sumu inausiana mambo yampila
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj 7 ай бұрын
I like that song and performance
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 7 ай бұрын
Atoke uko mwenzake yuko Rwanda 🇷🇼 kuwakilisha inchi.
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 7 ай бұрын
Yupo anatangaza ushoga uko
@user-eo2lf3uh3n
@user-eo2lf3uh3n 7 ай бұрын
King 💪
@iddyyahya707
@iddyyahya707 7 ай бұрын
Kaka hongera kwa Hilo pia hongera kwa kuchagua Tim sahihi kwako na yenye mapenzi nawe
@harontallamkoskei9056
@harontallamkoskei9056 6 ай бұрын
King kiba 🙌
@SalminIddIssango
@SalminIddIssango 2 ай бұрын
Pesa ni makaratasi Crown fm & tv
@user-tb3uf8kz9c
@user-tb3uf8kz9c 7 ай бұрын
Daah Allah akujalie ww kiumbe
@mbaleylwanga8077
@mbaleylwanga8077 7 ай бұрын
congratulations mkubwa🇨🇩
@michael_gentel_man4054
@michael_gentel_man4054 7 ай бұрын
King kiba ❤❤
@TyekeTV
@TyekeTV 7 ай бұрын
Alikiba huyu Naye ni mkenya Kwa kweli🇰🇪😂😂 ama aje wanangu wa tz😂
@alpharajsuphian6654
@alpharajsuphian6654 7 ай бұрын
King 👑
@SangoJuma-sz6dj
@SangoJuma-sz6dj 7 ай бұрын
Aweeeee king kiba
@NdoileSelemani-zj6dl
@NdoileSelemani-zj6dl 7 ай бұрын
King of the king king king
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 7 ай бұрын
Simba nguvu moja ❤ 🦁 ♥ 💪
@xcebaJm
@xcebaJm 7 ай бұрын
Pendeza Sana bro kiba
ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA SIMBA DAY 2023, MASHABIKI WAITIKA..
8:42
ufmradiotz
Рет қаралды 441 М.
Eccentric clown jack #short #angel #clown
00:33
Super Beauty team
Рет қаралды 24 МЛН
Заметили?
00:11
Double Bubble
Рет қаралды 2,5 МЛН
Cat story: from hate to love! 😻 #cat #cute #kitten
00:40
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
2:59
MariooOfficial
Рет қаралды 2,3 МЛН
Alikiba - Mnyama (Simba SC Anthem)
2:59
Alikiba
Рет қаралды 3,5 МЛН
Alikiba - Mahaba Studio Session
10:50
Kings Music Records
Рет қаралды 161 М.
HADI RAHA! ALIKIBA APIGIWA SHANGWE AKIIMBA RUN DUNIA
5:01
EastAfricaTV
Рет қаралды 63 М.
Asik - Body (Lyrics Video)
2:42
Rukh Music
Рет қаралды 721 М.
POLI - Mama (Official music video)
1:18
POLI
Рет қаралды 4,3 МЛН
Adil - Серенада | Official Music Video
2:50
Adil
Рет қаралды 95 М.
aespa 에스파 'Armageddon' MV
3:33
SMTOWN
Рет қаралды 29 МЛН
Селфхарм
3:09
Monetochka - Topic
Рет қаралды 1,2 МЛН
Diana Ismail - Kezdeser (Official Music Video)
4:01
Diana Ismail
Рет қаралды 898 М.