ALIKIBA atambulisha Dance Yake Fiesta Concert Mwanza Part 1

  Рет қаралды 81,924

Alikiba

Alikiba

Күн бұрын

Пікірлер: 176
@nainairiadha7833
@nainairiadha7833 7 жыл бұрын
Nakukubali king we ndo mfalme wa bongo freva no one like u well done.......
@simonmtuka6082
@simonmtuka6082 7 жыл бұрын
dah mziki mzuri ndiyo huuu xaxa na mwanamziki mzuri anayejua na kuujua mziki ndiyo huyu #unstoppable_ kipusa_pasua_kichwa
@rashardpodo8851
@rashardpodo8851 7 жыл бұрын
jamani live band raha sanaaaaa... kiukweli kiba we ni 🔥🔥🔥🔥 daaah! nlikuwa nakuchukiaga ila itabidi nkupende tu amna namna
@daudidaniel734
@daudidaniel734 7 жыл бұрын
wanamuita kipusa pasua umetisha sana King kiba King of bongo freva mwaka huu watakoma tuu yaaaaa
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 7 жыл бұрын
Duh! Huu jamaa number 0 a.k.a pasua head. Big up sana King, respect from Rwanda
@ronnynike2689
@ronnynike2689 7 жыл бұрын
Hataree sana huyu king hatuchok kuchek show zake yan
@abdulrahmanhassan3334
@abdulrahmanhassan3334 3 жыл бұрын
Unavyonishangaza sauti yako haikati njiani na upo kwenye live band show..👏👏👏👏
@ibrahimmzee3237
@ibrahimmzee3237 7 жыл бұрын
Uyu jmaa hii saut live ...daaah noma kiba
@hajiali8378
@hajiali8378 7 жыл бұрын
King music Tz wakujua vzur balaa lako big up to u Broo kipenz cha watyu
@saadaabduly6213
@saadaabduly6213 7 жыл бұрын
duuh wewe ndo king wa tz bhana hapana chezea wapasue kichwa na watasubir xanaaa
@rashardpodo8851
@rashardpodo8851 7 жыл бұрын
sautiiiii..... doooooh! kiba sasa huwa unaenda studio kufanya nn si bora uwe unaimba tu hivo hivo
@zafaranimrisho2111
@zafaranimrisho2111 7 жыл бұрын
rashard mswadiku haaaaa
@sultanalghaothy1543
@sultanalghaothy1543 6 жыл бұрын
Kwakweli kiba live saut yako bombaaa
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 7 жыл бұрын
Namkubaliiii king kiba kama na ww unamkubaliiii gonga likes hapa
@dionizshaban6578
@dionizshaban6578 6 жыл бұрын
nom à kiba
@sophiakakondele8107
@sophiakakondele8107 6 жыл бұрын
penda sana kubwa la wana
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 6 жыл бұрын
Jaman nani kama kibaaaaaaaaaaaaaaa kama unamkubali mfalum kiba gonga like yako tuendelee na show letuuuuuuuu
@maryammouss9285
@maryammouss9285 7 жыл бұрын
OMG look at the performance and indeed the love from his fan's.
@alvinsamir2013
@alvinsamir2013 7 жыл бұрын
@#AliKiba mzee Baba ilo linaitwa "#UNOMOONWALK" King wao . . . . and from now on let me call u #MrShowBizz jst lyk R. kelly cause u kill it & u Pop In It
@badboy2577
@badboy2577 7 жыл бұрын
Huu ndo mziki unaotambulisha afrika kimataifa.Live,Real and African
@philbertprimus1652
@philbertprimus1652 7 жыл бұрын
Da! Kiba ni hatar xan, yan mpaka mtu unasisimka,king is best one
@beberulakikinga7980
@beberulakikinga7980 7 жыл бұрын
KIBAAAAA we n nyoookoooo unatelezaa kama umemwagwa mlenda kwa steji 😂😂😂😂😂😂na m npo kula course apa ya kuteleza mamaeee 😉😉😉😉😉
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 7 жыл бұрын
dahhh mm najitolea kwa king kumpa mdogo wang bcz anajuwa huyu basi tuu
@harunahussein6717
@harunahussein6717 7 жыл бұрын
Nafurahi kuona umejua kushambulia jukwaa kwa live Band....... Keep it up brother
@faesha9029
@faesha9029 5 жыл бұрын
Ukijua umejua tu dah king kiba from tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@michaelbwana4901
@michaelbwana4901 7 жыл бұрын
Alikiba anazifanya live.Diamond naye anaweka cd akifuatilia,,Kiba juu
@jonaspeter9847
@jonaspeter9847 7 жыл бұрын
Bonge la show #kingkiba
@willysamwel6091
@willysamwel6091 7 жыл бұрын
alikiba noma sana huyo ndo king wa music siyo hao magumashi mengi kuimba hawajui kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa say yooooooooooooooooi say yoooooooooo
@mwinyiadno9495
@mwinyiadno9495 7 жыл бұрын
King always a king #kingkiba ama kweli wewe ni pasua kichwa,nimependa performance yako real vocal as You are
@lumierekalonji6613
@lumierekalonji6613 4 жыл бұрын
Tu es meilleures vrement je confirme ça aujourd'hui que mon Dieu te bénisse parce que tu présentes votre pays 💪💪💪
@domitionmagulu8389
@domitionmagulu8389 7 жыл бұрын
Pamoja sana mfalme wa bongo flavaaaaaaaa
@rosam7310
@rosam7310 7 жыл бұрын
King kiba you're they best king ever👌👌👌
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 жыл бұрын
Well done king kiba umeuwa kinoma nomaa
@mjtv3887
@mjtv3887 7 жыл бұрын
Wadau...hii ndio inaitwa live performance
@wilsonjames9040
@wilsonjames9040 7 жыл бұрын
Waambie haooo
@abdallamasoud7384
@abdallamasoud7384 7 жыл бұрын
ww ni king na utabaki kuw king kibaaaaaaaaa wakuacheeeeee
@bashiluabdalha5262
@bashiluabdalha5262 7 жыл бұрын
King kiba nd habaleeee ya mjiniiii
@thedylembris4701
@thedylembris4701 7 жыл бұрын
Kipenzi cha watu ni ger huyoo yeeoooooooo
@drmtangi3649
@drmtangi3649 7 жыл бұрын
Daaah! kweli mwanza walifaid kitu live show.
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 5 жыл бұрын
I'm here again for live band
@ojmlowe9584
@ojmlowe9584 7 жыл бұрын
No janja janja kitu live mwanza wamefaidi kinoma
@kurwijiramaregesi28
@kurwijiramaregesi28 7 жыл бұрын
I am proud of you! Keep always high!
@ginnimoreno6239
@ginnimoreno6239 7 жыл бұрын
kajiandae performance
@keysaldiwani4927
@keysaldiwani4927 5 жыл бұрын
aisee mi namfagilia mondi ila hii show man co yakawaida ulikula nin hii cku mpk saut ikawa safi kias hiki...uko vizur san mzee baba keep it up
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
Sijutiiii kabisaaaaa 😘😘😘👆👆👌👌👌💪💪💪💪👊
@mxhamataabdallah2359
@mxhamataabdallah2359 7 жыл бұрын
nakubali ssana king kiba
@shemsabinthussein944
@shemsabinthussein944 7 жыл бұрын
Mwanzaa ilitufunikaa Arushaa aseee hahahahahahahahhahaha ila chugaa tulitishaaa hatariiiii
@j-rox
@j-rox 7 жыл бұрын
Huyu jamaa Sauspeter Mabina from #Mwanza ....wampataje Kiba....
@sponsor7882
@sponsor7882 6 жыл бұрын
BETTER THAN MOND ON LIVE
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 7 жыл бұрын
Dah.... king anawezea saaana kitu slow music ma star........... 👊
@ahmadimbega5467
@ahmadimbega5467 7 жыл бұрын
Mwanamuziki
@rabiaoman9535
@rabiaoman9535 7 жыл бұрын
Kiba very good
@gracebimz7935
@gracebimz7935 7 жыл бұрын
Nampenda king jmn
@leekhamis3003
@leekhamis3003 7 жыл бұрын
Kiba ww noma nakukubali sana hujawahi kuniangusha
@henrytullyrichard9282
@henrytullyrichard9282 7 жыл бұрын
laainiii kama unanawaaa penda sana kiba
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 7 жыл бұрын
He is the best Tanzania has ever had
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 7 жыл бұрын
King 4real ulituacha hoi mzee
@canny255
@canny255 7 жыл бұрын
Such a great performance! Hope #FungaMwakaNaKingKiba (DarEsSalaam) will happen again this year!😉
@abedileite4725
@abedileite4725 5 жыл бұрын
Alikiba the king.
@salumungtu7516
@salumungtu7516 7 жыл бұрын
Said Sana,,, hiyo ndo show sasa,,, nice
@shafiilikalala3879
@shafiilikalala3879 7 жыл бұрын
wewe ndo king of bongo flave
@shabaniddy9472
@shabaniddy9472 5 жыл бұрын
Tishaaaaaa san .mwamb
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 4 жыл бұрын
Dahaa hii show king kib aliuwa sana yan kweli hakuna anayemueza liveband kwa bongo
@stellakimea5531
@stellakimea5531 5 жыл бұрын
Unajua sana mkuu
@clintonkaingu4343
@clintonkaingu4343 5 жыл бұрын
Uko juu brother
@tumainlwinga5898
@tumainlwinga5898 7 жыл бұрын
Yani kati ya watu walo perform live na sauti zikasikika yani unapomsikiliza unahisi upo nae karibu au anakuimbia sikion ni king kiba .hii ndo tunaita real live concert
@stevenkomanya1442
@stevenkomanya1442 6 жыл бұрын
Daaaah king kiba ww ni nomaaaaaa
@stellakimea5531
@stellakimea5531 5 жыл бұрын
Hatari sana kiba
@abalfadhilabdulqahari3018
@abalfadhilabdulqahari3018 5 жыл бұрын
Kibaaabeeeeeeeeeeeeeee
@jacobmsule5191
@jacobmsule5191 5 жыл бұрын
Team mond tujuane...cc tunapenda burudan
@justinkasuku1460
@justinkasuku1460 7 жыл бұрын
ilikuwa nooma saaaanaa...
@magialbert9436
@magialbert9436 7 жыл бұрын
so nc kib uko noma sana
@princekassim4089
@princekassim4089 7 жыл бұрын
👑👑👑💪💪💪💪💪💪💪💪💯💯💯💯💯❤ Asante Sana kwa burudani mzuri king of music Tz
@breackychangwe7326
@breackychangwe7326 4 жыл бұрын
24/03/2020
@shakilamwai9486
@shakilamwai9486 5 жыл бұрын
Kibaaaaaaaa
@jumashaban3671
@jumashaban3671 7 жыл бұрын
king aaaaaaaa! we mwishp
@stellakimea5531
@stellakimea5531 5 жыл бұрын
Yeeeebabaaaaaaaaah
@aminamangenya3426
@aminamangenya3426 7 жыл бұрын
Unaweza Kiba👏👏👏
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 6 жыл бұрын
Hakikaaaaa king kibaa nomaaaaa sanaaa wapige majungu yaoo sie hatupo naoooo!! King KB pg kz kaka lake
@karimissa763
@karimissa763 7 жыл бұрын
King moto!!!
@vailethnyondo1608
@vailethnyondo1608 5 жыл бұрын
Sana kiba
@sweetyfaridahsweety8700
@sweetyfaridahsweety8700 7 жыл бұрын
Kiba mtu wangu
@alfanialfanomali360
@alfanialfanomali360 5 жыл бұрын
King atabaki kua king 2
@ashnaanabdullahiali3926
@ashnaanabdullahiali3926 7 жыл бұрын
God bless you🙏 kingkiba 👑
@gazaomar8493
@gazaomar8493 3 жыл бұрын
Alikiba kiba mfalme wa wafalme
@chriskasemba2936
@chriskasemba2936 7 жыл бұрын
Waouh! 👏👏👏👏👏👏
@justinkibonge8426
@justinkibonge8426 6 жыл бұрын
Kingkiba fire
@tonikadushi9466
@tonikadushi9466 7 жыл бұрын
The back vocals wasn't good i think the singers should be changed.... as Ali doing more live shows his performance and voice becomes superb
@bernadethamlundebartlett387
@bernadethamlundebartlett387 7 жыл бұрын
Kiba you are Blessed
@sonthadei422
@sonthadei422 7 жыл бұрын
Duuh alivyoimba makmugani.. Inapenya mpaka rohoni
@amosramjaane314
@amosramjaane314 6 жыл бұрын
Jeshi la m2 mmoja
@hermankamarikigalavaidaywa1213
@hermankamarikigalavaidaywa1213 7 жыл бұрын
WE NOMA AISEE
@tmdreality4602
@tmdreality4602 7 жыл бұрын
You are the coolest Ali
@gustavemasazavevo9701
@gustavemasazavevo9701 7 жыл бұрын
Bonge la show
@eplace3428
@eplace3428 7 жыл бұрын
Fireeeeeeee
@ashamlosi1899
@ashamlosi1899 7 жыл бұрын
Next level kibakuli
@duniajacque776
@duniajacque776 7 жыл бұрын
Nihataliiii wiiiiiii
@jafarijaffu7286
@jafarijaffu7286 7 жыл бұрын
big up king kiba
@rahmashaban8967
@rahmashaban8967 7 жыл бұрын
noma sanaaaaaaa duuuh hatariiiiiii
@athamsonmkoma6374
@athamsonmkoma6374 7 жыл бұрын
Good job king
@vannlydripboyelunity8889
@vannlydripboyelunity8889 5 жыл бұрын
ongera best kiba
@muhammadnufailmuhammadnufa4261
@muhammadnufailmuhammadnufa4261 6 жыл бұрын
Khaaa kiba ajali ya kino hyoooo
@hawamndeme4760
@hawamndeme4760 7 жыл бұрын
We need the whole performance plz
@appaulinairembazumutima2211
@appaulinairembazumutima2211 5 жыл бұрын
Kabisa
@paulchalela3925
@paulchalela3925 5 жыл бұрын
Fire
@nelsonmaeda8836
@nelsonmaeda8836 3 жыл бұрын
#King u'r so hardworker
ALIKIBA Fiesta FINALE in Dar es salaam.... Sebene  Part 2
18:59
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
DUNIA (Ep 43)
22:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 272 М.
Alikiba Alivyowafundisha Mbeya Kucheza Sebene, Tigo Fiesta Classic
10:18
ALIKIBA serenades Dodoma with Wife Wa Dunia Part 1#SeduceMe
22:11
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН