Tumfariji tumpe moyo lakini lengo kuu tumchangie aweze kupata matibabu kwenye hospital za juu kama Bungando Mwanza na hata Muhimbili Dar palipo na watu wenye moyo lazima tufanikishe lengo kuu la kumfanya arudi kwenye hali yake ya kawaida maana mda tunao changia chochote hata na naona wengi wanasema kuusu efu 60 na wakati awajaitoa wao hiyo ni hela nyingi akunaga mchango mdogo tuendelee kuchangia 🙏🙏✌🏿✌🏿
@NeemaAbell14 сағат бұрын
Tunatsmani kutoa lakini hatuna namba ya huyo bint
@Theylovebella3Күн бұрын
Uyu ana roho nzuri sana Tena comedian mzuri sana mungu amubariki
@BawiliLehani-m5oКүн бұрын
Jamani mi ningali nashangaha na magondjwa ya aline kwel😢😢
@goodluckofficialzКүн бұрын
Number One💪
@BoscoMzur20 сағат бұрын
Aline dada mzur sn ingawa sijawai kuishi naye pamoja
@ThomasMwenda-dy1ny20 сағат бұрын
yeyote ambae Ana number yauyo mtangazaji anitumie kwa comment please nimeumia sana 😭😭😭
@laliammunga5566Күн бұрын
Ila Sharo Tsh 60 Kweli 😢😢😢😢
@BeatriceBwisemene-q8fКүн бұрын
Wewe umeweka ngapi uko na zarau hela za mwenzako
@daynesakulu3169Күн бұрын
Pole sana mama , hakuna kisicho wezekana kwake Baba Mungu wa mbinguni, afrika tuna kufa kwa kukosa matibabu, kwanza vile mguu umesha jikunja ahiwezi kukujuka tena, hilo ni kosa la waganga. ,vile alikuwa ana toka inje ya kambi kwa ajili ya matibabu, pale Hospital wange mtafutia wajuzi wa kumfanyia Therapy , yaani mazoezi ya kukunja na kukunjua mguu vile kile kidonda kiko kwenye maungio kwenye goti, mtaalamu wa therapy ange tafutwa huho mguu ahunge jikunja , pole tena mama pale ambo mawazo ya binadamu inapo ishia ndipo ya Mungu ina anzia huwe una jimbea peke yako , tuma habari kwa watu wa Mungu wawe wana kuja kukuombea.
@kashindibinjustin7579Күн бұрын
Pole Sana Da Aline 😢😢😢
@LillyHarunaКүн бұрын
Asant sana kwakuwakulisha mchango kwa mdada huyo🎉🎉🎉
@CharlesMs25DaghalyКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Hongeren sana kwakumfariji mdada Aline
@JuliaSifaКүн бұрын
Dah Ila Hawa Watu Duuuuu Yani Unatowa Tsh 60 Kweli Sharo Nimelia Sana 😢😢😢😢
@BeatriceBwisemene-q8fКүн бұрын
Alafu wewe uko nacheka sharo wewe umeweka ngapi kyiiii
@estermsambyaКүн бұрын
Wewe je mtu utowa alicho nacho ndugu yangu tusiwe tunasema tusiyojuwa kbs
@NaomiCharles-f4lКүн бұрын
Msenge nini umetoa shingapi
@DeborahShantale-y7rКүн бұрын
Mungu akuzidishiye palipo toka izo paongezek zenyin kutowa ni moyo siyo utajiri 🙏🙏🙌🙌
@KizaTereza-g7gКүн бұрын
Aise uyu mdada apewe pole sana kweli ata na mimi na umiasana ila tuta zidi kumu ombea mungutu
@Katembo-sk4xmКүн бұрын
nipe namba ya anaye hoji please 😢😢
@DESTINY345yКүн бұрын
Pole sana dada naomba namba za mtangazaji
@John-ru9fnКүн бұрын
Ila Sharo Na Kitambi Hicho Chote Unamtumia Mgonjwa Elfu 60 Kweli 😢😢😢😢😢💔 Ila Ongera Kwa Kuwa Umesaidia
@NaomiCharles-f4lКүн бұрын
We msenge nini umetoa shingapi
@NaomiCharles-f4lКүн бұрын
😏😏😏
@Fatima-v9k6fКүн бұрын
From 🇧🇮 mutafute tv moz public tv ili apate musada 😢wa muchango 😢uyu dad
@AnnieMsafiriКүн бұрын
Mungu akupap ndie kwe sister
@olomweneelama1240Күн бұрын
Pole sana dada
@kashindisharlote5715 сағат бұрын
Pole Sana 😢
@Farajarobert2651Күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@ZabronMshikanaКүн бұрын
Nic🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mukelelwammunga6449Күн бұрын
Weka
@ReyTv-uv3zgКүн бұрын
😢😢😢
@TabisaInnocent-b5oКүн бұрын
Mbona hamkuweka namba
@RizikiRebeka-e9vКүн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@seraphinombeni993614 сағат бұрын
Tutachanga vipi mbona hakuna contact?? Tunaguswa ndiyo tunatamani kutowa msaada ila tutautowaje?
@louisekiza759Күн бұрын
Wekeni namba ya simu
@DJUMAKASHINDI-ys4jkКүн бұрын
Namb.
@samwelimtambala9390Күн бұрын
Swala kabwa atapata matibabu Mungu atamtoa mumikono ya watesi