Mimi ni mshirika wa TAG section ya Tunduru mjini namwomba Yesu ainue watu watakaolikemea na kusema maovu yaliyondani ya TAG maana ni mengi sana Yesu akifunua wachungaji wetu wanatupinga sana jambo ambalo ni baya sana. Barikiwa kaanani bible church natamani niwe mshirika
@mariahyera373727 күн бұрын
Toka kimbia huko, mimi nilikimbia huko na sasa nipo Kaanan, ninamuona BWANA kwa viwango vikubwa.
@EdwinMbwilo-fj6bf27 күн бұрын
Kaanani bible church huku Tunduru mjini halipo. Kanisa hii wanazingatia utakatifu kwa viwango vya juu sana. Yesu awabariki sana.
@jeanmjimmy27 күн бұрын
Bwana atukuzwe kwa kukuokoa na jehanam ya milele maana ungelikufa ungeingia jehanam. Ungelikuwa kama Yuda. Dhambi ya Yuda imeandikwa kwa kalamu ya chuma.