Aliyekuwa gavana wa Nairobi afikishwa mahakamani Kiambu

  Рет қаралды 15,263

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko amefikishwa katika mahakama ya Kiambu na kukabiliwa na mashtaka 10 ya kuvamia ardhi isiyo yake katika eneo la Buruburu na kuwadhulumu watu kadha. Sonko alijisalimisha jana katika afisi za DCI ambako alihojiwa kuhusiana na tukio hilo na kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Muthaiga na akafikishwa mahakamani leo.

Пікірлер: 17
@kingangichamasii266
@kingangichamasii266 3 жыл бұрын
Ulimi yangu : by mejja
@maishjunior4651
@maishjunior4651 3 жыл бұрын
Badala sonko akule pesa zake pole pole kama waititu ni kupayuka tu.
@brownmaina2636
@brownmaina2636 3 жыл бұрын
Sonko should ask kidero what it means when you are being targeted
@faredamobilo3678
@faredamobilo3678 3 жыл бұрын
WEWE HUKO SAWA,MBONA WAROPOKA MANENO YA HUONGO ,WHOSE HAS POWER KUWA WAKATI HUU WA CORONA VIRUSES, WHY THIS,NAOMBA KUWA NA UTU NAUHURU ATUKIE KIASI RUTO NA SONKO WACHAOE KZ !
@samorahbanderas8767
@samorahbanderas8767 3 жыл бұрын
Nguruwe akijikangaa mwenyewe na mafuta yake😀😀😀 Kuna watu hawajui kutusi na hawajazoea kutusiwa ona sasa waenda kula Maragwe kwa mdomo wako tu! Jifunze kunyamaza
@babrambula9367
@babrambula9367 3 жыл бұрын
Sonko nilikuambia ufunge mdomo ukusikia,ona sasa umekewa makosa yote ya hii ndunia.only God nos what will happen next.
@faredamobilo3678
@faredamobilo3678 3 жыл бұрын
Yes ,ukweli unauma,na pia Uhuru haba Bahati HATA KIDOGO, naomi YAKO KATI ya Sonko!
@esaulibuku9176
@esaulibuku9176 3 жыл бұрын
All these freedom of expression in Kenya, thanks for the changes brought by the previous struggles of raila and matiba, you can't try this in Uganda
@florencemusyoka3754
@florencemusyoka3754 3 жыл бұрын
Very true! they are enjoying the fight of Hon. RAO and the Late Matiba(may his soul continue to rest in eternal peace). now they are misusing it.
@danielmutuku6206
@danielmutuku6206 3 жыл бұрын
God's time is the best .. Pay back time is now for Sonko having messed up with many peoples lives and went into hiding by bribing the poor with handouts ...Hope justice will prevail and you will never again see the light of the day ..
@martinmacharia4049
@martinmacharia4049 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂lunacy detected
@marykilwake6436
@marykilwake6436 3 жыл бұрын
Ulimi ni mbaya kweli
@wilsonkanyi5276
@wilsonkanyi5276 3 жыл бұрын
this is back days. Moi days but Mungu yuko no one will retain power permanent
@Kenypolitic
@Kenypolitic 3 жыл бұрын
hii ni mipango ya wanjohi
@harrisonmugo8693
@harrisonmugo8693 3 жыл бұрын
Gatete njoroge has grown big
@herstlersandaji1499
@herstlersandaji1499 3 жыл бұрын
😂
@christineokwiri4720
@christineokwiri4720 3 жыл бұрын
Utamu wa kazi ni PESA 🤣🤣
Businessman Jimi Wanjigi claims harassment by state agents
3:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 7 М.
Dennis Karani Gachoki ajisalimisha kwa idara ya DCI, barabara ya Kiambu
2:12
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 27 МЛН
Speaker Wetangula backs motion to impeach the DP
4:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 10 М.
CITIZEN NIPASHE WIKENDI - SEPTEMBER 29, 2024
24:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.
Maafisa gereza 7 wakamatwa kufuatia utoro wa magaidi gerezani Kamiti
3:39
Mandera yatuzwa mji bora uliostawi kimazingira duniani
2:47
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3 М.
Archbishop Ole Sapit says Gachagua ouster motion diversionary
4:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
Foreign Jobs: Reality or Myth?
26:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,9 М.
The Morara accident was a test || Engineer Evans Kimori
1:55:21
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 117 М.
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН