Mi hapa nilipo nimeshaanza kujisikia haibu juu ya taifa stars sijui itakuwaje? Wenzetu hote wamekaza sisi tutatia doa sijui?
@officialsalim395511 ай бұрын
Fact
@nsusabudda295111 ай бұрын
Walipo tupo....
@aud54811 ай бұрын
Hakuna mnyonge humu asee
@JOHNJOHN-pu7wb11 ай бұрын
Mnyonge taifa stars.
@treyvissy985411 ай бұрын
Watangazaji wenu bado kuna vitu hawavielewi kama pale refa kaonesha offside so ni free kick yeye anasema goal kick .. hata pale refa kapoint penalty kick yeye anasema goal kick