Ukiachilia kuishi mbele kwa muda ila anaongea Kiswahili bila kuchanganya mbwembwe . Hongera kwako bro!
@funydog9424 Жыл бұрын
Kuwasiliana na watu wa nyumban mara Kwa mara na kurud kutembelea kumemfanya awe anaongea vzur
@salimtabu4703 Жыл бұрын
Jamaa anasound kama Idris sultans
@NoelChambo Жыл бұрын
Kabisa
@mwajumabinwa604 Жыл бұрын
Yeah 😂
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Kabisa …
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
100%
@water_music40 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kwel umejuaje hahahahah DNA ihusike
@peterhenry710 Жыл бұрын
one of my favorite channel madini mengi sana kutoka kwa mnyamwezi
@methodjasson2159 Жыл бұрын
safi sana allan kwa kupambania carrie yako na big up kwa lugha ya kiswahili vizuri sana❤
@sautisevarino1656 Жыл бұрын
Nimeipenda sana hii interview ,Big up SNS
@Oten_jr Жыл бұрын
Duuh kumbe ni miaka 6 aseeh ile interview ndo ilinifanya nimjue huyu jamaa tangu kipindi hicho mpaka leo na namfatilia sana jamaa mpaka anakuja Tanzania anafanya ngoma na Gnako kiukweli jamaa mkali na nimfano mzuri wa kuigwa maisha yake yote Marekani ila bdo anakiswahili chake kizuri hongera sana ALLAN KINGDOM ✊
@FahadAli-ni5eu Жыл бұрын
Ana ngoma kali na patoranking huyo
@chaggaogtz8125 Жыл бұрын
Jamaa anaibless sana Tanzania,pia ana ngoma na G Nako
@deomakomba8364 Жыл бұрын
Kimsingi nimependa sana mahojiano yako na Allan mwenye ye chembechembe za majimoto Ngoreme wilaya ya Serengeti mkoani Mara. Allan yupo vizuri, anaipenda asili yake. Safi sana Sky na Sns.
@Kasyetaderrick Жыл бұрын
Interview safi Kabisa big up chief , unajua sana !!
@RichWise671 Жыл бұрын
Kama umesikia sauti ya #Idris_Sultan🔥🔥🔥🔥
@omaryissah3133 Жыл бұрын
Duuuuu kabisa kk saut Ni Idris kabisaa
@malikasdiary3527 Жыл бұрын
Nilikuwa nangoja Hii comment hahahahah
@andrewmmbaga1665 Жыл бұрын
🤣
@swahili3603 Жыл бұрын
Big Up sana Brother Sky unajitahidi sana kufikia Engo ambazo Media nyingi hawafiki👍
@officialoscaroscarjrfan Жыл бұрын
Good work💯💯💥sky nakubali sana
@dn.n4983 Жыл бұрын
Big up ubsrikiwe wote
@sistersade9039 Жыл бұрын
Amazing interview and so much knowledge and impressive wonderful character 👏
@issakhan260 Жыл бұрын
Hii kitu kali saana nami nimemjua kwa kuendelea hivi manaaje unatusaidia kujua watu tunao paswa kujua Ahsante❤️🙏🙏🙏
@sehemunzuri Жыл бұрын
Performance ya All day ni one of the greatest performances ever!!!
@ashirafuhuruma6412 Жыл бұрын
Jamaa naskia tuu sound yako kumbe ndo wewe big up sana
@lilboyka Жыл бұрын
Nimemuelewa sana uy mwamba achanganyi kingereza oy saf sana mwana😄👊
@SavanahGemimah Жыл бұрын
Idriss Sultan Kakako hapa
@johnagak5305 Жыл бұрын
Iron sharpens iron salute to you both great interview
@soudbako5925 Жыл бұрын
Bonge moja la interview
@yojoruta3379 Жыл бұрын
Big up kwa mama wa Allan
@SaSa-n2t1w Жыл бұрын
Kweri nakupa big up ndiyo maana viongozi wakienda kusomea PHD hujiona watu bora zaidi na ndiyo maana hawawajuwi wazungu sisi tunaoishi nao ndiyo tunawajuwa
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Nimemupenda mama ake
@ezekiambise2595 Жыл бұрын
Ana sound kama Idris sultan
@salimtabu4703 Жыл бұрын
True
@ibrahimmsham1099 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa haujakosea bandugu
@stylishgenius9886 Жыл бұрын
Our blood
@Anuaryomary-su9cd Жыл бұрын
Shout ana kwa Allan for keep it raising 🎉🎉🎉
@gaitanokamage7366 Жыл бұрын
speech tone kama idris sultan
@ObligeeNdoni-pb4vs Жыл бұрын
Dogo anahakili sana, haya ndio mambo tunatakisikia sio wakina mwijaku sijui chawa ovyoo kabisa!
@ChoroTesla Жыл бұрын
nakumbuka ngoma ya all day ilitamba sana enzi hizo ile chorus ilikua bad sana aisee nakumbuka nilikua advance daaah sio mchezo
@BALEKECH2770 Жыл бұрын
Allan unasema kweli
@zaud6581 Жыл бұрын
Aaaha umeua sana nimeichek hiyo performance
@johnagak5305 Жыл бұрын
Big facts about Afro beats being number one 🙌
@SavanahGemimah Жыл бұрын
Diva mke WA sheikh WA Mchongo unaskiza Kaka mzungu Hapa ILA kiswahili
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Jamaa nimemuelewa sana ukikaa na mzungu unajiona kabisa mtu mweusi ni tofauti na mzungu. Ndio maana muafrika anaweza kuuza bandari bila kujali vizazu vijavyo vitakuja kuishi vipi,ila mzungu hawezi fanya uo ujinga. Waafrika bado sio binadamu aliyekamilika aisee
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🌺🌺🌺🌺
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Sauti kama Idriss Sultan, nakukubali sana Allan, na nakumbuka siku ulivyoojiwa na SNS. 😊
@benjo_brighter Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@drmdee Жыл бұрын
Mm ckujuaga mtz na nlikua namuona mtandaoni nkajua mkenya
@gibbs1320 Жыл бұрын
Wakurya nipeni likes zangu basi
@ksnjos001 Жыл бұрын
Waafrica wapo NAIVE sana hawajui kwamba wazungu hawapendi watu weusi...
@LadaSaidi Жыл бұрын
Katika mahojiano bora pamoja na haya huyu jamaa anajua kujieleza kuliko maelezo
@vt-kn6qf Жыл бұрын
Jirani yangu mm nipo North dakota Dickinson kweli Minnesota Kuna bari kichizi ila uku kwetu nikiama
@njoroboihastla Жыл бұрын
Nataka kuja huko namim🤣
@brackarpizzo8364 Жыл бұрын
mwana ana sauti ya Idris Sultan
@vkmalove1307 Жыл бұрын
Namjua huyumwana
@bonemwaminifu3935 Жыл бұрын
Sound kama idris
@thebestmusic1603 Жыл бұрын
Jama anaongea kama idris sultans
@emmanulvictory507 Жыл бұрын
Unaweza ukasema ni mdogo ake idris
@drmdee Жыл бұрын
Kumbe mtanzania?
@fredykephacy5166 Жыл бұрын
Nimempenda sn
@benorjangson7300 Жыл бұрын
Futur Ya Tz
@rodgersgregory7198 Жыл бұрын
27:00-27:10😅
@khasmamtega5963 Жыл бұрын
Afu haringiiii
@ibrahimngokoe2102 Жыл бұрын
Mbona kama pacha wake Idris sultan 😄😄
@Annie-tt8fi Жыл бұрын
Kama ningekua nasikiliza juujuu tu na siangalii ningedhani ni Idris sultani anaongea
@omaraliiddi1424 Жыл бұрын
Sns.....
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Muongeaji huyo hatari
@bontelcomedy8687 Жыл бұрын
Dar kwel walikua na Kanye salute kwa sky
@nawafmohdy3476 Жыл бұрын
Kam idris yn saut yke😃
@ydm87 Жыл бұрын
He sound like Idriss sultan
@saidmwasemu-do5tp Жыл бұрын
Na vp Owl city anatokea wap
@SaSa-n2t1w Жыл бұрын
Jenga Shule ili watu waepukane na umaskini
@thaddythaddeuc2724 Жыл бұрын
Somo la bule
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Uyu kaka nimempendaje?
@khalfanmohd5807 Жыл бұрын
Punguza upwiru dada 😂
@herbertygeofrey2724 Жыл бұрын
Mtafute akutoe upwiru uende nae ulaya 😂😂
@mcgeemwamba9303 Жыл бұрын
Gee Mwamba Ft Kado Kitengo Freesty battle kzbin.info/www/bejne/qqmxhmahpa-EbJI
@hassanabuu6 Жыл бұрын
Idrisasultan 😂😂😂 Extax USA gun🔫🔫🔫
@ntimimalamula2104 Жыл бұрын
Sasa sio mtanzania huyo ni msouth
@vt-kn6qf Жыл бұрын
Unachuki na wivu vya mdamu ni mtanzania kamili it better you read the constitution Brother . Ujanga pia ni karama ...unakarama ya ujinga
@jimmyx8412 Жыл бұрын
@@vt-kn6qf yupo sahihi,.. chalii ni msouth Africa kwasababu Africa tunachukua upande wa Baba