Rose mamangu nakupenda sana unanibariki na nyimbo zako
@mysoulproclaimsthelordmygodmam8 ай бұрын
Asante Yesu. Sifa kwa Yesu. Mungu Azidi kukuinua Dada Rose kwa Utukufu Wake Mkuu. Amina.
@JenniferBahaty15 күн бұрын
Yesu karibu moyon mwng baba
@ELEENNGOLIDA3 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi ili nasi tuinuliwe kupitia nyimbo zako mtumishi wa mungu
@rehemamwasomola436222 күн бұрын
Rose mtumishi wa Mungu yesu Akuinue zaidi pole na hongera kwa yote uliyopitia
@MwanahamisNikoras10 ай бұрын
Nami nasema karibu yesu nakupenda sana dada mungu azidi kukuinuw
@jenifferkinangai20206 ай бұрын
Hallelujah 🙏 this was so powerful full of Anointing
@dorcahnyabo471311 ай бұрын
mungu karibu kwangu niondolee umasini na unyonge bwana
@missionkabodministries66356 ай бұрын
Rose Muhando chombo cha Yesu ubarikiwe na Mungu !
@joycehaule971711 ай бұрын
Nakupendaaaaaa natamani YESU AJAPO MAWINGUNI ASIKUACHE....
@magrethmgandalucas19839 күн бұрын
Ubarikiwe dada rozi Mungu atutie nguvu sote
@gahrigeberhard11 ай бұрын
Mungu azidi kumuinua.huyu mama anaupako wa hali ya juu.mungu akulinde mama
@dicksonminja433310 ай бұрын
Noooo Rose nilikua nawe nikikuombea nikimtukuza Mungu kwa ajili yako Thawabu ya kazi yako itang'aa mbele za Mungu milele Uwe na moyo Mkuu ukazidi kuitenda kazi ya Bwana kwa unyenyekevu. Angalia nyuma wako wapi walioimba nawe zamani? Upepo wa ibilisi uliwachukua. Huduma yako ni muhimu Sana kuwapeleka wote kwa Kristo. Barikiwa Sana Rose
@rosemaryokose32544 ай бұрын
MAMA ROSE BEST MINISTER EVER U ALWAYS BLESS MY HEAR
@marykiwoi78218 ай бұрын
Karibu Yesu maishani mwangu na kwa familia yangu, kazi na biashara yangu. Nataka kukuona kwa afya yangu
@JosephineKiyuga7 ай бұрын
Karibu Yesu maishan mwangu na mtoto wangu pia🙏🤲
@elizakilahala3358 ай бұрын
Mungu akubariki laiti ningekuwa huko ningeomba na kulia maana naangalia tu kwenye simu nasikia upako
@RehemaStannley5 ай бұрын
Barikiwa nabwana Roz
@MonicaAlbertyАй бұрын
yesu tutendee sisi tunaosoma😭😭😭😭
@TomWasike-ji3gl7 ай бұрын
Live longer mama,ili uendelee kuvua wengi blessings 🙏🙏🙏🙏
@raelonchuru467811 ай бұрын
Hii iko sawa kabisa done with anointing 🙏🙏🙌🙌
@HanifaOseni10 ай бұрын
3:25
@saidaegwaga197811 ай бұрын
Najifunza mengi sana mama kupitia maisha yako,ainuliwe Mungu alieko nasi wakati wote
@bettykandy839311 ай бұрын
Through Rose Muhando, I have just subscribed, just to hear these great gifts I hear from Rose.😅. Gather here if you did the same.
@user-Ambani11 ай бұрын
Me too
@florencengwavi693911 ай бұрын
Me too God blessings be apon this woman of God Rose
@lynnettegeneous10 ай бұрын
God is spirit,and those who worship Him shall worship in truth and in spirit,this is a true worship mama,I'm fully touchy
@iddymanyama193210 ай бұрын
Mungu nimwema kila wakati nabarikiwa sanaaa nikiwa Dar tegeta Ameeeeeen Rose
@rebaccaewoi888211 ай бұрын
Karibu kwangu mungu nimechoka baba🙌🙌😭😭😭
@SarahAtieno-wz4zv5 ай бұрын
Through this song i have seen God's blessings be blessed mommy
@ChausikuZephaniah24 күн бұрын
Namshukuru sana kwa kuwa umeponywa na Mungu
@ChausikuZephaniah24 күн бұрын
Nabarikiwa na Baba
@MathaNondo9 ай бұрын
Mungu aendelee kukiweka mam
@Alan-g2t11 ай бұрын
Mama, hongera sana kwa kazi ya mungu, Mungu akulinde, ila mi ushauri wangu Kwa hao waimbaji waliovaa suruali hairuhusiwi mwanamke kuvaa suruali, na upo madhabahuni kabisa mnapoteza utukufu wa Mungu.
@MrAtaVictor7 ай бұрын
Where is it written???? The gentles and ladies are smart and presentable
@MrAtaVictor7 ай бұрын
Holy spirit is in control 😢🙏🙏🙏🏾
@annetnanyoki5 ай бұрын
Kweli kabisa ila makanisa siku izi,ni mungu atuhurumie,
@annetnanyoki5 ай бұрын
@@MrAtaVictorhaipaswi mwanamke kuvaa mavazi ya mwanaume iko kwa bible
@EllyJacksonAkyoo-op7jc3 ай бұрын
Yesu akutunze mtumish❤
@hghh605610 ай бұрын
Be blessed my mtumishi wa mungu i fill you pain 🤲😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MichelineNingabire10 ай бұрын
Yesu Kristo Karibu kwangu uniponye magojwa yote yalioni ndani ya mwili wang
@rembomary481011 ай бұрын
Asante hallelujah. Mungu akubariki. Rose
@RubaR-nr5wz11 ай бұрын
Amen dadangu Rose mungu Yuko nawe ak unavyoimba na unavyotoa maneno yako kwangu nimeshindwa na kujizuia machozi yanatoka mungu ameweka muhuri juu yako akuinue zaidi
@RechowiliamNdosi10 ай бұрын
mungu wambinguni sana dad rose aendelee kukutumia kama apendavyo kwa ajili yawake
@lutherkingkweka301611 ай бұрын
Mungu pokea utukufu Mungu pokea utukufu Mungu pokea utukufu ❤❤❤❤ glory to God 🎉❤
@pilimcdonald653710 ай бұрын
acha mungu akubariki kwa huduma hii🤲🙏🧎♀️
@SarahMaina-bb3fe11 ай бұрын
Mungu na akazidi kukuneemesha rose muhado i love your ministry you are going far hakika ama kweli mtu akimtumaini mungu mungu anampa kibali
@Batman00128khl11 ай бұрын
I love rose muhando I thank God for remembering you,God also remember me.
@dunsonmutiso13096 ай бұрын
Kipawa in another level. May the power of Jesus Christ 💥🙏 come down. Meet everyone in their point of faith.Tuinue kukujua zaidi
@kaniniedna010 ай бұрын
Hata wakudharau mungu uko nawe Rose siku zote mungu yuko nawe
@Janeth-y5m10 ай бұрын
Nakupenda dada rose nyimbo zako zimeinua imani yangu
@IshmaeloGodson11 ай бұрын
I'm blessed so much...in my life nataka kumuona huyu Rose even if just for a minute...she is the legend of gospel aki
@joycehaule971711 ай бұрын
Wewe Rose you have really GOD be blessed the woman of Faith...
@ShedrackKibee4 ай бұрын
May God be glorified
@mercylinemmbone965310 ай бұрын
Mimi Rose nimeyapita haya habari ya Ayub ndio imekua nguvu yangu ,,, Romas 2:28,,,,all things happen for our good,,,baada ya pigo kubwa LA mwisho kunipata Huo usiku mungu kaninenea niende kesha na katika kesha alininenea kwamba hata aibu kubwa Yesu alipata Kwa hayo yote alibaki kuwa mwana wa Mungu,,,,God glorified him and God was exalted in his shame,,,,hata wazazi,ndugu walinigeuka na aliyenitia Kwa majanga mengine n mtu wa uko dadangu,,,,akaenda akateka nyara ministry yangu ya uimbaji na uombezi,,,kanipiga vita kunitoa madhabauni,,,hata kanisa lilinitenga hicho kipindi Huwa kichungu saana,,,,,mungu ainuliwe ,,,
@tiyoygrace357410 ай бұрын
Am blessed...😢
@jenniferawor939610 ай бұрын
This is the best worship service ever. Holy spirit in full control. God, bless you Rose and all worship team.
@lizliz278010 ай бұрын
I am crying in spirit. Thank God for her life.
@dianahshikanga734411 ай бұрын
Yesu karibu kwangu usinipite ooh Jehovah 🙏🙇🥲🥲 mungu akupe neema mommy yesu anakupenda Zaidi yayote🙏
@elizabethkatile484911 ай бұрын
Mungu ninaheshimu mafuta yaliyo ndani ya mama yangu Rose naomba nami uniinue
@salimnzomo170411 ай бұрын
Blessing voice, may God see you through mama, 🙏 na iyo back up iko safi
@heavenishome2011 ай бұрын
I love you Rozy. May God increase His energy in you. Never grow old Rose. May your throat grow fresher day by day. Nakupenda sana dada. Remain strong sweetheart😊👏👏👏👏👏
@lumosinewton933311 ай бұрын
🙌🙌🙏🙏 amen
@ericgisemba915711 ай бұрын
Karibu kwangu mungu mizigo ni mzito nakuachia baba
@kyungudaisy163311 ай бұрын
Oo hallelujah!! Karibu kwangu Yesu,NAMI nakuitaji karibu Yesu 😪😪
@abbygaelsharon49711 ай бұрын
Powerful 🔥 karibu yesu kwangu pia🙌 #Mama Rose Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi
@patrickkhairaАй бұрын
Karibu kwangu yesu I surrender all to you
@harrietboruwa650110 ай бұрын
Hallelujah hallelujah Glory glory glory Glory glory be to Lord Amen 🙏🏾 😢UBARIKIWE sana tena sana MPAKA uchangale mukono wa mungu 🔥🔥🔥🔥
@janewambui757610 ай бұрын
Nakupenda rozie.
@EverlynKenneth11 ай бұрын
Hallelujah 😢😢❤ utukufu kwa BWANA YESU, NAPENDA SANAA MAMA❤❤
@selinemuthengi348411 ай бұрын
Rose muhando may God bless u,huduma yako yanibariki sana.
@EznahNyamoita11 ай бұрын
Wooi mumy mungu anakupenda
@ceciliaatieno239911 ай бұрын
In Meru but heavens tv is what we tune to everyday at work purposing one day to attend the service 🙏
@rebaccaewoi888211 ай бұрын
Maisha yamenishinda mungu niokowe mimi🙌🙌🙌🙌😭😭😭
@nigananurunjema11 ай бұрын
Uko wapi? Mpokee Yesu akuweke huru.
@JACKLINEMUENI-vh5lc11 ай бұрын
Ooooooiiiii MUNGU asikie kilio chako pata amani ❤❤❤❤❤
@shukran-jx7pf10 ай бұрын
Okoka hutajuta tena
@rebaccaewoi888210 ай бұрын
@@shukran-jx7pf Amen 🙏
@rebaccaewoi888210 ай бұрын
@@nigananurunjema Amen 🙏
@BethuelofficialTz11 ай бұрын
I managed to watch till the end . Blessed Rose
@stanleykathurima806211 ай бұрын
Rose dada wetu katika kristo . Langu kwako ni wewe ni wa roho ukiwa wa roho hivyo. Basi fahamu kumbumbuka vita ni kwetu wote waliozaliwa kwa roho. Asante kwa kutoa msamaha kwa hiyo jamaa asiye na hekima. Ujanja ako naye wa kukupaka tope.lakini yeye ndie atanuka.hayo mavi anakukupaka na ajue hayo asante k2ako rose our lady of this generation God be with you.
@justinemasue662310 ай бұрын
When the intensity of the battle is strong there is always a great comeback,,,❤❤❤❤❤
May God give you strength dada Rose.Be courageous.
@joycehaule971711 ай бұрын
Mtu YEYOTE anaye sababisha watu waingie Rohoni wazame wamuelewe huyo ana Mungu sana....
@GraceLubagumyaАй бұрын
Ni kweli kabisa,nimekuelewa,tunachokihitaji ni neno tu,na si vinginevyo, dhidi ya mapenzi ya Mungu.
@marymbugua887511 ай бұрын
I was so blessed to be in this service. I loved the worship.
@aaronmailuofficial25111 ай бұрын
Yesu ni mwema🎉🎉🎉🎉
@EliMsuya11 ай бұрын
Mama Rose God bless u
@michaelmbui822611 ай бұрын
I love Rose Muhando and her ministration so much❤❤. Yesu Karibu kwangu🙏
@rosendinyo245411 ай бұрын
Oh Yes Karibu Yesu kwangu 🙏Napenda huu wimbo wenye upako mguu
@nyabutojoel198311 ай бұрын
A day to reckon in my life always in the mighty name of Christ Jesus Ameeen
@lilianowti547711 ай бұрын
Kweli,utabaki na Mungu,tujifunze kuinua Imani Kwa Bwana
@namulalanebart11 ай бұрын
Very powerful praise and worship session.Glory to God man of God
@AsteriaMontgomeryАй бұрын
Imeniliza sana mungu mwema sana
@rosekadzokillian970011 ай бұрын
AMEN, Eeh Yesu karibu kwangu
@VirginiahMutindi11 ай бұрын
Love you mama Rose❤❤.You are such a blessing in this generation.
@kakisap10 ай бұрын
Oh yesu karbu kwangu ❤..... I'm in fasting and this is the only vedio, worship that is helping to me in worship part😢😢...and truly God's presence is with me 😢.. thank you for this platform be blessed 🙏
@EznahNyamoita11 ай бұрын
Nashukuru vile mungu alikusaidia nami mungu atanikumbuka
@JACKLINEMUENI-vh5lc11 ай бұрын
Ukakumbukwe kuanzia sasa
@AgnesNyivaTV10 ай бұрын
Powerful worship mungu atatenda♥️👏
@vicentgodda335711 ай бұрын
Hata Mimi nimeguswa nimeabudu Mungu pamoja. Usikate tamaa ilibidi iwe hivyo ili umtegemee YESU KRISTO pekee. Wewe ni shujaa. Tuliobarikiwa na huduma yako hatuacha kumuombea. Nafurahi kukusikia leo. Sikuweza kukutana nawe mapema kule Dodoma.
@kanyangabindindo49017 ай бұрын
Hallelujah Amen in Jesus Christ the son of the living God Amen
@husa884911 ай бұрын
Mungu akutiy nguvu wewenimtumishi wakweli siwalematapeli wacumawulete nakupendabule naninakuombeya mama usikatetama
@gracemwakabenga27515 ай бұрын
Yesu karibu kwangu
@pstdorcaswatetumutua69512 ай бұрын
yesu karibu ndani yangu
@sarahakango723711 ай бұрын
I was blessed to attend this service. Thanks Prophet for this daughter of God