ALLY KAMWE ACHARUKA "MPENI BARUA YAKE | TUSHAMCHUKUA" AWALIPUA SIMBA/AZAM LIVE | ATANGAZA VITA MPYA.

  Рет қаралды 47,672

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 50
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 2 ай бұрын
Tatzo watu wanakimbilia hiyo kauli ya mwisho kwamb hamna kesi fifa lakin hawataki kusikiliza hayo maelezo ya mwanzo kwamba fifa wenyewe ndo wametoa siku tano kwa mchezaji akathibitshe kama pesa zake zimashaingia na hapo ndipo yanga itafunguliwa
@mrfinest_chiichaa
@mrfinest_chiichaa 2 ай бұрын
Pia niwaombe Fifa wawe na kifungu cha kuitetea club kama mchezaji anaeidai kama ameitendea haki club kwa kutekeleza wajibu wake kwa asilimia 100 na kama hajatimiza wajibu wake kwenye kiwango chake kutokidhi mahitaji ya timu basi nae ailipe club au akatwe kiasi cha madai yake anayodai yalipwe kwa club kufidia kutopata kile wanachohitaji kutoka miguuni mwake😊
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 2 ай бұрын
Yaan nimeskiliza East afrika radio nimeshangaa wanasema ali kamwe aache kupotosha sasa ni wapi wao wamemsikia ali kamwe akisema yanga imefunguliwa kusajil maan sis kama mashabik tulichosikia ni kuwa baad ya mchezaj kampole atakapothibitishia fifa kuwa kashapata hela zake ndipo fifa itakapo ifungulia yanga lakin wachambuz sasa wanavyokazia kuwa ali kamwe anakanusha mara ooh anapotosha duh!!
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 2 ай бұрын
Ana mawenge wenge huyoo mtoto kama kijana wa mtaani
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 ай бұрын
Chama akitua Yanga kolo mwafa
@TheodoryCharles-mg9sr
@TheodoryCharles-mg9sr 2 ай бұрын
Kilamsimu mnamsajili Chama lakini anachezea Simba
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 ай бұрын
@@TheodoryCharles-mg9sr Temu hii tatu mzuka mtaelewa tu.
@user-yu2xc2rh1b
@user-yu2xc2rh1b 2 ай бұрын
Walikuwepo kuliko huyo na wasaliti wote tuna puluwa
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 2 ай бұрын
Come come
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 ай бұрын
Waambie hao Ally viherehere
@user-mo7qi3do1x
@user-mo7qi3do1x 2 ай бұрын
Mnamsajili Kila msimu anachezea kwinginee
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 ай бұрын
Temu hii ndo mtaelewa tu
@pianotv6465
@pianotv6465 2 ай бұрын
Come come come😂
@anithaedgar1026
@anithaedgar1026 2 ай бұрын
Kubwa jinga hilo
@amosicommedy6917
@amosicommedy6917 2 ай бұрын
Nimemuona jeni kishai nimefurahi
@user-lw6on7dd7h
@user-lw6on7dd7h 2 ай бұрын
Simlisema ni mzee na amechuja ss karudi ujanani mchukueni kati ya mshabiki wa simba ambaye nilitaka chama haondoke simba ni mm
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Kwanza mtu mwenyewe Simba washammaliza utamu kila kinachoachwa Simba mwamchukua okra mmeona mnawakomoa Simba Kiko wapi chukueni TU
@RuhumbikaManyama
@RuhumbikaManyama 2 ай бұрын
Dah😅😅
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 ай бұрын
Wewe ally hatumtaki chama kazeeka mpira wa yanga wa kasi hawezi
@johndavid6047
@johndavid6047 2 ай бұрын
Chama hajazeeka bali makolo hawana kocha wa viungo ngoja aje wataelewa tu, sisi tunafanya kuwakomoa tu...I LOVE YANGA
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 ай бұрын
Duh jamaa unaelewaje anasema kocha wa viungo? Viungo vya mwili sio viungo mpirani?
@user-qq7dx3ez6x
@user-qq7dx3ez6x 2 ай бұрын
Tabia zakishoga
@AshaNchira
@AshaNchira 2 ай бұрын
Tena anadharau Sana safari ijayo itaisoma namba tuuu
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Namba ipi hiyo
@ashrafally144
@ashrafally144 2 ай бұрын
Ni prince Dube huyo
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 ай бұрын
Huyu ni mwanaume mke huropokwa tu kama mzazi ikiwa kwa wodi ya uzazi
@neemamwijage
@neemamwijage 2 ай бұрын
Leo hii kawa kijana hahaha
@MaigeMwigulu-p4d
@MaigeMwigulu-p4d 2 ай бұрын
hana maana yoyote huyo ali kamwe
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Chama hata akija yanga SS hatuna muda nae
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Lkn roho inauma bn
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Achaa kutufalia weee mttdogo ssna utazaa kww mdomo kuku wa kipareeee
@user-vz3bb3ch3z
@user-vz3bb3ch3z 2 ай бұрын
Kwa chama mtakua mmekula dume da mmetuua
@alitante4279
@alitante4279 2 ай бұрын
Anajitajid kuchekesha km ahmed Ali ila dah bdoo 😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Kweli washabiki wa Simba ni Hoya Hoya kumbe mnarizika kabisa na Ahmed Ali Badala ya kuwaza ubingwa
@alitante4279
@alitante4279 2 ай бұрын
@@robertphilip385 ndo kz yke hio kusemea timu na kusifia pmoja ma vionjoo ndmn akaitwa msamaji na sio mchezaji
@WillsonNzuyu
@WillsonNzuyu 2 ай бұрын
Sio chama ni dube
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Msengeeeee wewee
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Kwenda unawashwa wewe shoga wew kaliwe huko
@KINGSOFAS-m4m
@KINGSOFAS-m4m 2 ай бұрын
Wape majibu
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 ай бұрын
Hata haelewi unaongea nini
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 2 ай бұрын
Dube huyo
@IbrahimIssah-cw2md
@IbrahimIssah-cw2md 2 ай бұрын
Asdsassassaaa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 2 ай бұрын
Huyu simwelewagi kama choko fulani vile😂😂
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 2 ай бұрын
Choko anamjua choko mwenzake
@gersonsakalani2069
@gersonsakalani2069 2 ай бұрын
Ww ni choko unatakaje kumwelewa mwanaume mwenzio 😂😂😂
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 2 ай бұрын
Coz anakukera ndo mana humpendi😢😢😢😢😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Kuma nyoko wew baadara mkasajiri huko mwasubiri Simba waache waliochoka mbebe nyie
@user-sk9os1rc6z
@user-sk9os1rc6z 2 ай бұрын
Hhhhhh acha makasiriko
@MasanjaMasanja-mz3ll
@MasanjaMasanja-mz3ll 2 ай бұрын
Matusi tena😂😂
@JosiaJakson
@JosiaJakson 2 ай бұрын
Uyu dogo naye anamambo ya kizamani mbona haereweki ushamba uo
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34
Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
13:07
Azam TV
Рет қаралды 166 М.
ADANI DEAL IS DONE & RUTO'S GERMANY TRIP SECRETS
15:33
Iko Nini
Рет қаралды 10 М.