Nadhani wewe ndio mshamba. Hili kombe la shirikisho limeanza kuwa dogo mwaka huu? Hivi watu hamna kumbukumbu au akili ndio hamna? Ni nani walifanya uchawi uwanjani kule Afrika ya Kusini msimu uliopita kwasababu ya kombe hili? Lile goli la Sakho mlilolisherehekea mwaka mzima limetoka kombe gani? Watu mbona hamna kumbukumbu? Huu ni uzezeta au kitu gani?
@YunusuKantangayo Жыл бұрын
YANGA NIKITUGANI WEWE KAMWE HUNA CHOCHOTE NENDENI MKACHEZE NA MATOPORO WENZENU NENDA HUKO WEWE NI MNAFIKI KILANJA