Tuombee tu hvyo mmi Ni shabiki Wa Yanga bt ligi hii ngumu ndugu lazima wachezaji wetu wajitume sana
@MalaikaBright-rv6yb18 күн бұрын
Nakuunga mkono @@Muna-en4yq
@abubakaliyahaya296818 күн бұрын
Uhakika
@hafia.05618 күн бұрын
Our leaders players and us one billions supporters allover the world. Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote eee. We really enjoyed it it's lovely and looked sugar muwaa cream maziwa chai cream maziwa ama vipi lakini Aaaa swaffy swaffy swaffy swaffy swaffy. Thank you very much all my people's 😅
@LucaiyaKyaka18 күн бұрын
Tunamshukuru sn M/Mungu kwaneema unazotuneemesha Alhamndulilah
@abdallahmuhalika67918 күн бұрын
Yanga bingwa❤❤
@BATULIMUSSA-j6w18 күн бұрын
I Love Alii semaji la mabingwa
@MohammedSanga18 күн бұрын
Yanga ya jerumani machine ni hatariiii sana
@AbasanjoYusufu18 күн бұрын
Nice one semaji
@AdamHamis-s2o18 күн бұрын
Ila wabongo bwana wametoka kwenye utani wameingia kwenye chuki na kashfa wanadhani Ndiyo sehemu salama ya kujifichia timu yao inapofanya vibaya na wachezaji wao wanaposifiwa zaidi na zaidi lakini uhalisia uwanjani hakuna kitu kolokwino bwana sifa nyingiiiiiiii Ndiyo maana nibebe zimezidi
@mzizirashid70917 күн бұрын
Jaman Afadhari Tumerudishiwa Heshima Yetu Mitaani Nyie Kumbe Ukipenda Kweli Unaumia Sanaa Yanga ilikuwa inanipunguza uzito mie 😂
@roudhamahmoud76318 күн бұрын
Skuizi nafrahi kuona mungu mbele🎉🎉🎉🎉
@RireBoy18 күн бұрын
Congratulations
@mariuskahwa334618 күн бұрын
Azizi Key a train how to accurately pass
@julianobihabansi400018 күн бұрын
Anapoteza sana mipira, zero ball recovering skills.
@errydeo886518 күн бұрын
@@julianobihabansi4000wat are smoking! Hana nini! ? Kaangalieni pass accuracy zake kenge we
@errydeo886518 күн бұрын
@@julianobihabansi4000😂😂what do U mean recovering skills,ts winning back the ball!
@hafia.05618 күн бұрын
Again and Again and Again let me ask everyone. Vipi wananchi wooote maziwa chai and sugar good good good stuff jibu lake swaffy swaffy swaffy swaffy good stuff 👍 😅yellow and Green vipi apo swaffy swaffy tuu hayaa Twendeee kazi all
@IsmailMnanka18 күн бұрын
Haipingwi kuhusu yanga kuwa bingwaaa
@christianjohnmwalugaja809018 күн бұрын
Ally Kamwe mbona Pakome hiyo falsafa ya Gusa achia mbona hatekelezi yaani yeye ni chenga2 mpaka anaporwa mipira. Same as Aziz K ni yule yule wa kuporwa mipira kirahisi this is shame to a player like him.
@Tassyomy18 күн бұрын
Tena Mbaya Zaid Tunampumulia Kwanyuma..😂
@sulehamad870018 күн бұрын
sio tano ni miguu ya meza tu
@RehemaKiwanga-w7y18 күн бұрын
Yanga,bingwa,31
@IsmailMnanka18 күн бұрын
Hawana jipya iPo siku wataliona changu na chachu
@BrownMwangasa-p9f18 күн бұрын
Kama unatoa siri Ally wataanza kutuloga
@remidusmwanandenje-yy5gs18 күн бұрын
💚💚💚💚🤚🤚🤚🤚🥳
@sautiyanoti524218 күн бұрын
Azizi kafanya nn leo😊
@rurama643918 күн бұрын
kakupakat ww😊😊
@janerouhassanjanerou793318 күн бұрын
Kafunga goal
@FloraChami-o7s18 күн бұрын
Kafunga gol na katoa assist ulitaka afanye nn zaidi ya hayo