Kila la kheri timu yangu pendwa kwenye hii Safari mungu awatangulie
@msowamhokole502812 сағат бұрын
Inapendeza kuwaona
@LazaroPetro-y1s12 сағат бұрын
Hawa jamaa comedy sana
@methodpeter-l8x12 сағат бұрын
We ally kamwe mbona ulidanganya uma eti utopolo ndio time ya kwanza kuwafunga waarabu nyumbani kwao? Ally kamwe bado unanuka maziwa ya utoton tukukumbushe msahaulifu mkubwa, waulize zamarek ya misiri nani aliwavua ubingwa kwao, achaga uongo hata hupendezi kama semaji la caf ahamed