Oscar acha upuuzi basiii, Uwe unauliza kwanza hayo maswali ya Matola kuwa kocha Msaidizi, Inaonesha huna kumbukumbu nzuri za mambo yaliyopita... yaan unakuwa kama mtoto...
@DanielChaula17 күн бұрын
Ina maana kama matola anawamonitor makocha basi ndio anaye tuhalibia