Ni kazi nzuri mnayoifanya. Naomba msichoke maana Bwana wetu Yesu yukaribu kuja.
@EvansOchwoga2 ай бұрын
Beautiful songs za kunikumbuza Mimi mbali keep on
@kingdavid58413 ай бұрын
Muungano may God continue using you in His vineyard
@janethjosephe89119 ай бұрын
Wimbo wa siku nyingi sana, in fact sijui uliimbwa lini; ila nimepata akili nikiwa nausikia. From late 1970's or early 1980's i have been hearing this song, today i have at least seen this post! God bless you men
@assahmwansasu6108 Жыл бұрын
Muungano mbarikiwe Sana nyimbo zenu Ni nzuri mnoo na huu wa Vita kweli Sasa tunaiona mungu atusaidie
@jakee204110 ай бұрын
Ameeen. Ameeen. Congratulations Muungano Christian Choir. Your all songs should be listened to as per the situation of this end time period. Many Blessings brothers and sisters in Christ. ❤❤❤❤
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Hiyo vita ndiyo imeanza ikiambatana na maasi ya ushoga kutapakaa duniani Watu kujitangaza manabii
@samueladauth8685Ай бұрын
❤2024 MUNGU awabariki
@realcleophas2 жыл бұрын
This is the East Africa Christian gospel choir culture and we should be proud of it.
@robertkimani28002 жыл бұрын
Wow, what a song! God bless you wana-Muungano. 🇰🇪
@shemguto38563 жыл бұрын
Kweli ujimbe imenifikia,AMEN
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Ubarikiwe nawe pia
@jmarube403 жыл бұрын
Always a blessing listening to muungano. A nice item. God bless
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Amen. Be blessed too
@salomejacob69532 жыл бұрын
Mliimba unabii huu mda mlefu mlichoimba ndicho hiki kimefika Vita ya har magedonia Vita ya dunia nzima itahusika
@EvansOchwogaАй бұрын
ameen
@williamkirway46203 жыл бұрын
Waimbaji mbarikiwe kutoka Haydom-manyara 30/1/2021 mungu awabariki nyote,utume wenu,ujumbe wenu umetufikia Kwa njia ya nyimbo.
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Nawe ubarikiwe pia
@alphayomaina3 жыл бұрын
My role model Muungano Christian choir. Always be blessed. I grew up all along with Muungano songs and the message will never go away from my heart. A living inspiration.
@samsoncheruiyot4487 Жыл бұрын
Great choir. Glory be to God.
@EvansOchwoga2 ай бұрын
Be blessed all
@mselimseli81572 жыл бұрын
Hakika sichoki kusikiliza na nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@truphosamogotu63683 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Nawe ubarikiwe
@glorymoses46413 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa sautii tamuuuu kama hizoo
@mungarothuva63462 жыл бұрын
God bless this choir may i Please get a full album of their songs from song no 1 to up-to-date
@staffordnelson905310 ай бұрын
Thank you!
@walterrogito6962 жыл бұрын
Barikiwa
@upwardlook86823 жыл бұрын
Am blessed
@brigidmonyangi97732 жыл бұрын
Kazi nzuri
@elijahnjambi88193 жыл бұрын
may God bless muungano choir
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Amen, be blessed too
@alexorioki85723 жыл бұрын
Be blessed
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
You too
@colvin96752 жыл бұрын
wimbo wa unabii
@jehoshaphat50873 жыл бұрын
Wimbo huu una utamu wa kipekee Wimbo huu ulitungwa meals gani..naomba kujua tafadhali
@jehoshaphat50873 жыл бұрын
Ulitungwa Mwaka gani** si meals
@josphattelengech7373 Жыл бұрын
Muugano choir reminds me of the good old days.God bless muugano
@muunganochristianchoir_Tz Жыл бұрын
1978
@janethjosephe89119 ай бұрын
@@muunganochristianchoir_TzInawezekana, nimekuwa nikiusikia tangu nikiwa mdogo sana sijaanza shule