KUTANA NA KIJITI KINACHO WAKA MOTO LAKINI HAKITEKETEI(UNBURNING FRAME) KUTOKA KWA WAIMBAJI WA KWAYA YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO NYASUBI KAHAMA SHINYANGA TZ.
Пікірлер: 11
@rommelmauma80813 жыл бұрын
Nyimbo nzuri zenye kuinua na kuendeleza maisha yetu ya kiroho. Kitu kimoja kidogo Katika utangulizi, kuna neno Chior badala ya Choir; yaani, limekosewa.
@mwitamsweta50748 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu katika kazi nzuri mnayoifanya Nyasubi SDA kwaya
@cosmasnalimi49008 жыл бұрын
Bwana awabriki Nyasubi Sda pamoja Na Pr Ray
@costantinemwelemi89058 жыл бұрын
mbarikiwe sana nyasubi na muende mbali
@mchungajiisaya1688 жыл бұрын
Mbarikiwe sana ndugu zangu Nyasubi... BWANA Awape neema yake katika kazi yenu nzuri.
@eduu15976 жыл бұрын
May God bless you much
@neemabath1387 жыл бұрын
Hongeren sana wanakwaya nyasubi
@agnesszacharia63766 жыл бұрын
barikiwen sana
@jameszakayo80578 жыл бұрын
Mbarikiwe nyasubi
@nyangiwarioba91977 жыл бұрын
Mbarikiwe sana pia msambaze cd zenu kila kona duniani