Askofu Kuria (Man kush) ni Mchungaji anayependa kutembea katika uhalisia wake: Si wa kujifanya wa kiroho sana, na tabia ya kuazima ndipo eti aonekane mbele za watu ni mtakatifu sana Ndipo tunaimba wimbo ule wa tenzi za Rohoni unaosema hivi"Nitwae hivi nilivyo"