Hello team WM To support Grace and her mother kindly channel your contributions on 0711801856( jane wambui mwangi)
@samuelopati791612 күн бұрын
@@wambuiwamwangi nimetuma yangu kidogo Wambo
@millicentkitsao448912 күн бұрын
God bless you abundantly bro@@samuelopati7916
@joycenjeri465912 күн бұрын
Thanks dear Wambui wa Mwangi be blessed 🙏
@tabbyk466010 күн бұрын
Pliz also give the mums number for those who want to talk with them
@nellykatrina479412 күн бұрын
Huyu ni mtoto kabisa shes innocent... parents tuanzange kuongelesha our girls at early age... mtoto atakuwa tu but sio rahisi especially for the mom 😢
@SuzyMsoh7 күн бұрын
Aki mm nilifanyiwa hivo nilienda kuomba maji kwa boma ya mtu at my age 15years na huyo mtu alinrape sai katoi kangu kako 15years....mungu akafiche ndani ya mabawa yake asiwai onwa namaandui,i feel this girl😢😢😢
@estherwanjiku51959 күн бұрын
I know that gal fellowship the same church,am amazed coz when i saw that gal pregnant i was so disturb, wambui this gal need Justice
@nancywambui859312 күн бұрын
Wambui you are doing a great job 👏👏 much love namesake 😊, ata kama sina chochote one day ill help someone ...
@EmmahWangui11 күн бұрын
Amen 🙏🙏 in Jesus name
@ndutamburu29937 күн бұрын
Wooi Ngai this girl is very innocent 😢may God come through coz I can't imagine 😢
@judykariuki185212 күн бұрын
Wambui God bless you for quick response,this story is so traumatic but i believe God will entervene, Joyce Muchene God bless you abundantly 🙏🏻
@sonimuthoni71718 күн бұрын
Wambui even at your lowest God will continue to come through for you you have a golden heart ❤️❤️❤️❤️
@emilywangui12 күн бұрын
😢😢😢😢😢so sad wambo tafutia huyu mtoi justice ⚖ yake make sure mogaka amewekwa ndani ....ameharibu future ya huyu mtoto ....mpaka nimehurumia mama yake 😢😢😢wambo you are doing great job keep it up 💯
@joykama22712 күн бұрын
Imagine kuzaa mtoto wa mkisii😢😢
@nancywambui859312 күн бұрын
Khai 😳 😢😢@@joykama227
@veronicahnyambura169612 күн бұрын
@@joykama227🤣🤣🤣😂😂
@JaneNgure-l3u12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂was kisii nessesary be kind unafanya nicheke place sifai kucheka@@joykama227
@janenyawira455012 күн бұрын
Aki wewe🙆♀️@@joykama227
@JanisMuthoni12 күн бұрын
Wambuis thank you for everything,,,,then mpatie Ile shamba ya embu if possible
@MoreenMuthee8 күн бұрын
May God wipe away your tears ... Ngai niaiguaga mahoya mom .🙏🥹🥹😭
@maggynyawi25312 күн бұрын
B blessed wambui wa mwangi mimi nikikuona najua kila kitu itakua sawa now Grace is sorted already may God provides n appoint pple to stand with this family with❤
@SusanWanja-lj1xe10 күн бұрын
I tell I do fill the same yaani anaaza kazi hadi anaeda kuangalia wapi wamefika sasa mimi atanikiomba hua naambia God woooiiii akiwai pata any problems which it will never asimsahau aki
@maggynyawi2533 күн бұрын
@@SusanWanja-lj1xe ako na roho kubwa wambo follow up nayo hawezi sahau kwanza ikifika ni haki ya mtoto she is the best young mother may God protect her n add this love all the time ❤
@SusanWanja-lj1xe3 күн бұрын
@@maggynyawi253GOD BLESS 🙌 🙏 ❤️ HER FOR US
@Sarah-f4d12 күн бұрын
Mwajokia hanene ndaiganaga uguo ndina nda ya my firstborn tondu ndari 16 May God remember this girl
@NaomiGakuru12 күн бұрын
Ndagiire na 15 riu ge 27 year no Ngai no mwega
@Sarah-f4d12 күн бұрын
@NaomiGakuru Wakwe ena almost 31 but nie my mum was able nidashokire shukuru but tihahuthu guthoma wina mwana mucii
@itsziahofficial12 күн бұрын
Nii ndari na 15
@leahnjenga423612 күн бұрын
Same my case 😢
@dalizzdavies678312 күн бұрын
Woooiiieee Ngai...iguira ciana ciitu tha..
@thechosenone01-h5e12 күн бұрын
For those who is judging this girl,,whether she did it willingly or not the fact is she is under age ,,the man should face the consequences of his act nkt 💔💔💔
@zipporahnjogu12417 күн бұрын
Sure...Huyu ni mtoto badoo
@phyllisnjambi813512 күн бұрын
From the comments, I see that women blame this girl. It doesn't matter whether it was Grace's first time or second. What matters is that the girl is underage and the man is old enough to be her father. You can never tell the fear that engraves someone when one is being sexually assaulted.
@maggynyawi25312 күн бұрын
I love the way mama Grace say after prove her gal is pregnant alisema mtoto atazaliwa watalea,wengine hukibizana na Abortion wanaharibu watoto wao mapema may God provide for them its will b fine ,justice for Grace najua wambui wa mwangi akiwa she will fight for justice
@zipporahnjogu12417 күн бұрын
Wambui witù mūndū ùcio ndagīrīirwo nīī gùkirīrwo ona hanini
@CindyNjuguna-v6u11 күн бұрын
The girl's story is sad but there is the saddest part of the mom,Mungu aonekanie huyo mom....wooiye!😢
@rahabmwangi1395Күн бұрын
May God bless the brother... Good job
@MargaretteQuite-me3xs10 күн бұрын
Woooiiye 😭😭😭😭😭😭😭Mungu ambariki Na plot, tujenge aki
@IreneWaithera-fp8pl12 күн бұрын
May God give her safe delivery and may God bless you wambui
@mercunganga944812 күн бұрын
Plz wambui ,siupange vile huyu mama anaweza pata kashamba plz tukusaport,plz ,
@Susankeith-cv2hs12 күн бұрын
Wooiii Ngai wa muthini arahuka riu Andu aku nimehinyiririo muno maaah
@irenenjeri86819 күн бұрын
Sad story, but 16 year old is mature enough to know the consequences of sexual contact, should have reported or taken control immediately 🙂
@MKuria-y1w3 күн бұрын
Mum💜 wambui 💖wamukuu we will always love you for your good blessed jobs u a an Angel mummy Rathimuo🙏🏼 🇬🇧✈️🇰🇪
@ruthkaruru866212 күн бұрын
Wambui mungu asaindie huyu mama awekewe cereals na watafutie atleast nyumba iko na choo kwa nyumba
@CharitymwangiMwangi-u8q12 күн бұрын
It's so sad 😢😢aki mungu akumbuke watoto wetu huyo mugaka anafaa achukuliwe hatua Mtoto anafaa kukua shule saizi anangoja kujifungua😭😭😭mzazi pia nimgonjwa ....Mungu akumbuke hii familia🙏🙏🙏
@sarahnduta759912 күн бұрын
God have mercy of this nation....justice for grace
@marymwangi178212 күн бұрын
Uuuii very sad wambui make sure uyu mtoto amepata justice pls🙏
@daughterofzion-gm5en10 күн бұрын
This guy is supposed to be jailed maybe hio ndio kazi yke.may # justice for Grace
@angiec12912 күн бұрын
What a sad story may justice prevail 🙏🙏🙏She is being paid ksh4000 per month that means everyday analipwa ksh142😢😢aki some employers hawana huruma
@MelvinKuria-c1l9 күн бұрын
Wambu si pliz tumpeleke kwenye ulipeleka kale lingine,ile home
@LinnaNjeri12 күн бұрын
Am not judging her but the story is not add up kuna kitu pia haka kadem hakasemi ukweli 😔
@estherkimemia259910 күн бұрын
Yeah pia Mimi naona hivyo...
@Seatravel-d5p10 күн бұрын
Irregardless of the situation never sleep with a minor leave alone impregnating her.
@ElizabethKimani-p2j10 күн бұрын
Me too I'm not judging but hii story Iko na gaps
@joycembuti910610 күн бұрын
Bt ata kma uko na hizo fikira kuongea tu ukweli huyo mzee na huyo mtoto nani ako na akili huyo aende jela 30yrs period
@jamesgathaiya64506 күн бұрын
Kwanza i feel nikama huyu mrembo wetu walikua wanajuana na mogaka vizuri although she's very young she need justice
@JaneNgure-l3u12 күн бұрын
Yani haka kasichana kako very innocent,alafu fear ya kuuliwa coz aliona vizu,may God come through of this family,yani mwanaume mzima anaharibu life ya mtoto hivo too bad😢😢😢😢😢😢😢
@marymwangi27076 күн бұрын
Tukuwe friends na watoi wetu ndio whatever happens wanatwabia coz imagine huyo jamaa angekua HIV positive ingekuwa noma😢
@samuelmuchoki723812 күн бұрын
Sorry for Grace,We pray our God to bring Justice for the girl &God Abundantly Bless you MrsJane Wambui Mwangi for taking urgent action🙏
@jmmtm12 күн бұрын
Huyo police ako na hio case should be investigated with law enforcement agency..FIDA mko wapi.
@veronicahnyambura169612 күн бұрын
Hope this Perpetrator Mogaka should be Arrested, whether the gal knew what was going on, She is Still a Minor. Justice for her ### " Mogaka Should be Arrested"
@ElizabethKimani-p2j10 күн бұрын
I also agree the girl is a minor, justice for her
@JanetWakio-k5h11 күн бұрын
So sad 😢😢, anyway I'm new here and you got a new subscriber 😊
@wambuiwamwangi11 күн бұрын
Thanks and welcome
@virginiamwigani413412 күн бұрын
Wamboo GOD bless you sana and everything will be fine
@susanm16208 күн бұрын
Like done 542 ✅ here rewatching fully 59:20 also with ads on so sad story thank sharing 😭😭😢
@MaryNjeri-lv1ij5 күн бұрын
This is so sad Wambui heri ungeconfront hao polisi ufollow up
@hannahgitau684812 күн бұрын
Wooii ule mugaka alipatwa na katibu wa mazingira jiji la nairobi 😮, justice for grace .mzee mzima shame on him.
@bensonmwithi71498 күн бұрын
Yes huyo.
@ReginaShiru12 күн бұрын
😢😢Wanjiku was my schoolmate 😢very nice lady may God take control
@kiambu_Finnest11 күн бұрын
16yrs khaiii Very sad,mungu asaindie hii family
@periswanjiru947611 күн бұрын
Woie baby girl utapata justice
@rosaliamary427212 күн бұрын
Woooi she is so innocent..soo naive😢
@Martha-nduta12 күн бұрын
Aki she's very innocent woiye why would a grown up do that
@eudiasdaniel543012 күн бұрын
She sounds Soo innocent😢
@MariaWamuhu11 күн бұрын
It's very painful,huyu mama is very strong
@MuthoniGachoki-p7y12 күн бұрын
Teithia mwana uyu one kihoto gike
@annemuthoni369512 күн бұрын
mimi niko na nguo za newborn , baby shawls but niko mbali niko kamulu
@GraceKamande-x1i10 күн бұрын
I wish huyu kijana anaweza pata job poa atake care of her mum
@bensonmwithi71498 күн бұрын
Mogaka anajuana na hao makarao wa muthangari maybe kuna vile alicheza nao.may justice be.
@annwangeri748412 күн бұрын
Waah..Ngai akuhe hinya
@bensonmwithi71498 күн бұрын
Huyu mtu ni my neighbour na akona hii tabia.hata saa hizi ako hapa na he is doing work as usual. Do something before he dissappear.
@immaculate476512 күн бұрын
Bona alitoka kwao akaenda kuomba maji ....alafu akaenda kusumbaa hapo badala akunywe maji na arundi zake....hapo sijamuelewa kabsa
@nellykatrina479412 күн бұрын
I think huyu msichana alikuwa anaenda Kwa hio hotel juu ya njaa😢she's innocent haki
@liliannginakariuki69112 күн бұрын
Pia mimi ,nashuku huyu ,juu mbona hakupiga duru ,,na akusema kwao ndio aende aoshwo hizo uchafu
@ruthkaruru866212 күн бұрын
Hapo mara alikuwa anakuja mara hakuwa muona but may have a safe delivery@@liliannginakariuki691
@KarolWhites12 күн бұрын
Kusubaa does not justify defilement. Sleeping with a minor regardless of whether it is consented or not amounts to a criminal offence.
@EuniceLevy-d5d12 күн бұрын
Good reply @@KarolWhites
@JosephmuniuNganga12 күн бұрын
Pole sana sezi my God bless you ❤❤❤
@BenjaminWaithaka-pm5ux12 күн бұрын
I was in the police service some few years ago but there some things I couldn't afford to do in cases like this ones,what's a shame!!!It's so inhuman that such cases should take so long and they know the whereabouts of this criminal,nì ùrù muno Wambui,let's wait now that you have come into this serious case!Huyu mugaka afinywe kabisa!!!
@LucyNgaruiya-e9l12 күн бұрын
God is true judge,Ngai amacirire
@AnnWambui-iz8fl12 күн бұрын
Aki Mungu hurumia watoi
@samuelmuroki740911 күн бұрын
This is a police Case, is it reported.
@joycemuthoni239712 күн бұрын
Ooh God ingilia hapa Mungu wangu
@IMANI41711 күн бұрын
Hata kama haka kasichana mbona sikaamini kuna kitu kanaficha anyway huyo mkisii should face the Law.
@CatherineMwaniki-jw9ni12 күн бұрын
Hawa wanaume wanamake advantage ya watoto wa maskini haki.Afungwe huyu mtu na alee huyu mtoto
@tabbiewaithera529811 күн бұрын
Aki wanaume huruma irienda wapi
@janenjoronge376712 күн бұрын
No volume
@marygatungu491911 күн бұрын
Uuuii Aki watoto wetu
@MaryNdichu-kp1bx12 күн бұрын
Wambui Ngai niakuheyage hinya
@gracemwangi110912 күн бұрын
Oooh no So sad God come through
@janekinyanjui3112 күн бұрын
So painful that man must be in jail
@aminaali44612 күн бұрын
Huyo mwanaume nilimuona tiktok huwa anasema madazi ya mugaka ni tamu so kumbe ni shetani 😢
@lilianmanirakiza78758 күн бұрын
Weka yeye hapa.muanike
@samuelnjoroge-n2o12 күн бұрын
Wambui woooi saindia huyu mtoto tafathari😭😭
@margretnjuguna294912 күн бұрын
Ngai justice for grace
@charitiedestiny252512 күн бұрын
Justice for grace 😢
@PaulineKabiu-zj5uv12 күн бұрын
😢wambui kuna a gal in subukia Nakuru county very poor background 😢she was taken advantage in same case by a wellkown neiba Mzee old enough to be her guka she lured her wth name of providing food en he used the gal severally until she got pregnant but as the saying goes mnyonge Hana haki hkuna alifuatilia but the old man run away to nyandarua county mahali anajulikana alipo later she is again raped by another old man got pregnant n kwao wambui thina uumaga ta mwaki thy still HV other small siblings en I pity them thy HV to b rescured en helped to get education 😢
@wambuiwamwangi12 күн бұрын
talk to us on 0711801856
@Shiku-p2s12 күн бұрын
Subukia wapy
@PaulineKabiu-zj5uv12 күн бұрын
@@Shiku-p2s subukia mihango ya chini
@MaryNdichu-s5k12 күн бұрын
Barikiwa Wambui will try her best to reach her Aki it's sad
@thechosenone01-h5e12 күн бұрын
Weee aty ako nyandarua wapi 😳😳
@joycemuthoni239712 күн бұрын
Ngai wakwa iguira Andu Aya tha ndaguthaitha
@SheeMaryam.M12 күн бұрын
I wish wakona shamba we build them 2 rooms😢😢😢
@MargaretteQuite-me3xs10 күн бұрын
Aki 😭😭
@ruthnjaungiri465512 күн бұрын
Justice for Grace
@MaryJay-m5x12 күн бұрын
Hi wambo na mami wooi ngai ateithie mutumia ucio wooooi
@annlove5016 күн бұрын
2025, someone is earning 4k per month?? On top of that, the owner is a foreigner! SMDH
@elizabethnzuki62124 күн бұрын
Imagine
@254onlinemedi11 күн бұрын
This is not good mimi wangu alikua na 13 years but i thank God akutoka na mimba ama ugonjwa na mwenye alifanya hiyo kitu hata akuchukuliwa hatua aliachiriwa acha nitoke gulf nitakata hizo nini zake na niperekee serekali.juja police are useless people
@gladyskahuro799112 күн бұрын
This girl story is similar to mine,and almost 13years later mshukiwa hajawahi shikwa😢
@veronicahnyambura169612 күн бұрын
These Affordable Houses the Govt are building are for Who if not Pple with very needy Cases like these 🙆🤷😔😥
@janengina-be7ln12 күн бұрын
Wambui be blessed
@faithmunene50218 күн бұрын
Mugaka anafaa kuwa ndani saa hii
@naomiwangui548012 күн бұрын
Woiiiye this is soo painful
@JacintaWambui-o2p11 күн бұрын
Huyo mugaka ni threat kwa watoto
@MaryJay-m5x12 күн бұрын
Wamboi ucio muthuri ni kumaramari munjaruo niathitangwo
@annesilpherpermy244412 күн бұрын
Mogaka ni kissi sio jaluo
@kiragu375sawa612 күн бұрын
Woiii ngai tuma njìra
@AnastaciaNjoroge-cl3jz12 күн бұрын
Woiye,may justice prevail
@ZahraBabujibabu12 күн бұрын
This girl amezoea jigjig not sure its first time 😮😮
@Maggieclinton20411 күн бұрын
Team strong please be nice 😂😂😂😂
@tabithakamau260811 күн бұрын
Aki walai. Lakini pole kwake
@MargaretteQuite-me3xs10 күн бұрын
Ka ni mtoto wako ungesema ivo 😏😏😏😏
@AnnNjonge-k8k8 күн бұрын
Hehe nooo walai ka ilikuw th first day walaii kangeomba usaidizi evn if thy r poor,,bt enyewe thy is power of poverty ngaiii🥱🥱
@PriscillahNjogu7 күн бұрын
Sure sio mara ya kwanza
@CatherineMwaniki-jw9ni12 күн бұрын
Yes wambui nakutafta sana ata miki niko na hiyo shida but wangu ni19,alikua nimempeleka University last September. NIKOsaudi am so heart broken. Help me she goes back to her studies.
@annmugure682412 күн бұрын
Heri wako ni university..huyu ata situation ya kwao inahurumisha😢....
@Waithiramburu12 күн бұрын
Yours is an adult there's no case.
@irenemukaria662912 күн бұрын
Huyo ni adult no case alee tu akiwa shule
@rosemarywanjiku628811 күн бұрын
Aki ingine inauma 😢
@Cleanfreak25411 күн бұрын
May God bless you Wambui,we need to buy a land now and build a rescue centre for you wambui..Ngoro yaku ihana ta ya Jesu ma..