Mizengwe mna jua kwa kweli. .sijawahi kuangalia show yenu nisifurahie
@feytwist97394 жыл бұрын
Tunaomba nyengine tafadhali😂😂 you guys are fav comedy crew!!!! Yaan mkwere sumaku safina maringo mcongo pamoja na mzee wetu matata😂😂🤣 aiseee nawakubalia kinyamaaa😂😂😂 u guys made my day!!😂😂 post more of them pleasee😂😂🤣
@rizikijohn33394 жыл бұрын
Mkwele original
@Ram_1893 Жыл бұрын
Kazi nzuri 👊
@barakakazungufali43164 жыл бұрын
Napenda Sana mafundisho yenu Yana nijenga akili na pia najifunza Mambo mengi;
@paulodani28174 жыл бұрын
nawakubaluli sana jamn
@frediricknandonde16903 жыл бұрын
Sasa kazi inafanyika vizuri leo😂😂😂
@andrewmsalali43952 жыл бұрын
Eti m kazi ya uandishi wa habar nmeacha sikunyingiiii......
@issadadi55052 ай бұрын
umbea sijaanza leo ujue 😅😅
@feytwist97394 жыл бұрын
Shout out sana kwa director Benedict lusese✌💪
@lusese14 жыл бұрын
Thanks so much my brother, siwezi kukuangusha, enjoy. naziweka sana ingia itv tanzania pale utaziona paooja na vipindi vingine.
@isayajustine37924 жыл бұрын
Nakubaliana
@feytwist97394 жыл бұрын
@@lusese1 am there already
@lusese14 жыл бұрын
Have you seen?
@gooddeeds1624 жыл бұрын
benedict lusese mnatuwekea lini nyingine mpya ? Maana mnakaa sana bila ku upload
@guulajini35964 жыл бұрын
Yulee mzee nouma sanaa😂😂
@zuhurahassani99144 жыл бұрын
Analia anahunganisha na sarakasi duhhhh
@TALLUBOY4 жыл бұрын
Hil kund ni balaah sana Akuna group au kundi Kama hili haw watu baraah
@mdeeboy8464 жыл бұрын
Amalia,anaunganisha na Sarakasi.. Hahahaaa
@najmasalimsalim27414 жыл бұрын
Hahaha
@veronysiwale7832 Жыл бұрын
Analia mpk anaonganisha sarakasi 😂 haaaahaa
@dullahmsomali946410 ай бұрын
Jamani jamani mimi
@salummohammed32412 жыл бұрын
Blaza eeh🤣🤣
@mwaserarashid54512 жыл бұрын
Mm siachi kuangalia mizingwe ninapo maliza kazi zangu nikiangalia nikiwa riadh
@abubakarshariff35543 жыл бұрын
Eeh kila mwanaume ana ujanja ujanja 😂😂😂😂
@johneliezeri97864 жыл бұрын
Mkwere, Masingo ni noma
@leonardemmanuel92493 жыл бұрын
Ushauri wa malingo uko powa saana
@ilhamb1287 Жыл бұрын
Mke wangu akianza kulia anainganisha mpaka sarakasi
@annakashelo96083 жыл бұрын
Kazi ya uandishi nimeacha siku nyingi
@user-wc9zg6hk5s4 жыл бұрын
Saaaaaanaaaaaaa tuuuu mba vuuuuuu zangu
@abdulnaseermrisho43424 жыл бұрын
''kata kichwa,kata kichwa nakwambieni,mimi umbea sikuanza juzi wala jana,umbea nimeanza tangu mtoto,watu mna kaa kaa tuu hata hamgombani'' matata
@mathayowilson15254 жыл бұрын
BABUUU BABUUUUU...TOA UKWELI, BABU YUKO HAPO NDANI...BABU UMNVI HAZIJAONGEZEKA HAPO..
@pdwanakaza2411 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jacklineshedafa91894 жыл бұрын
Hakika mnanikosha
@nassortwahir1394 жыл бұрын
Mama yangu na wote nyumbani tunawapnda ila mbona you tube hamzipandishi kwa haraka
@teedullah57083 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Matata
@user-hb8vi9fx6g3 жыл бұрын
MKO SAWA !
@agnesssanga65442 жыл бұрын
Aaan nasoma comment tu Mbavu sina 😂😂😂😂
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
Asa mke wako unaniumiza mie
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
hakuna wakushinda na nyie ktk bongo hii
@emmanueljudas45224 жыл бұрын
Mbavu zinauma..hahaha
@hadijaabdallah58794 жыл бұрын
Hahaha jamani
@franciskavyega2804 жыл бұрын
Watu mmekaa hamgombani wala nn hahaha
@calvinkitaly93764 жыл бұрын
Hahahajaj mbavu zangu
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
😄
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Hadi muhuzee ubeya shidaa😂😂😂😂😂
@ayoubuseifu88104 жыл бұрын
Nzuri
@fahadfahmy4 жыл бұрын
Maringo saba hizo Rasta umefuja.
@sarajaphet65494 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@salimramadhani52374 жыл бұрын
maringo ananifurahisha sn
@jeniferjohn60834 жыл бұрын
Yap
@lupakisyoteddy63034 жыл бұрын
Mko juu xana tenaa xanaaa
@edisonmoris38964 жыл бұрын
huwa nawäkubal
@user-tx3bq7fo5j4 жыл бұрын
Eti Matata wapo wengi
@bernadkomba64534 жыл бұрын
Oyaaa
@bernadkomba64534 жыл бұрын
Nimeipenda kwakweli, yabwina sanaaaa
@issamsumi5384 жыл бұрын
Mi ∆acha ^niende| jera^°= •ulaiani aaaaaaaa√√√√√√ {Mkwele bwana,}
@hamisahamisa58964 жыл бұрын
🤣🤣🤣🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@malcomg10044 жыл бұрын
Muvi za kibongo bna,mtu anakuja na panga halaf jamaa amekaa tu
@lucasmhagama81664 жыл бұрын
Just comedy acha kupuyanga kitendo cha kusema Wabongo tayari unaonesha kuwatukuza wengine mbona nao wanakosea
@lucasmhagama81664 жыл бұрын
Just comedy acha kupuyanga kitendo cha kusema Wabongo tayari unaonesha kuwatukuza wengine mbona nao wanakosea
@lucasmhagama81664 жыл бұрын
Just comedy acha kupuyanga kitendo cha kusema Wabongo tayari unaonesha kuwatukuza wengine mbona nao wanakosea