Produced By Haak Neel Production(T)ltd,Directed & Edited by Constantine +225 715 801 644
Пікірлер: 7
@maryrweyemamu78255 жыл бұрын
Amina watumishi WA Mungu,amani ndo mpango mzima bila amani,hatuwezi kumwabudu MUNGU wetu kwa uturivu.
@Hassan_Mengi9 жыл бұрын
Amani ni kitu mhimu kwa mtu... Amina
@georgecharles2619 жыл бұрын
Kwa kila mwenye pumzi ya uhai na akili timamu atarajiaye kesho kwa kutenda ajaliwalo, hana budi kuilinda amani hata wakati mwingine kuwa mnyonge ili mradi tu kesho yake ifike akiwa na amani. Watanzania tujiangalie sana.
@victormethod10626 жыл бұрын
Napenda uimbaji wenu AIC DAR ES SALAAM, maana ni kweli bila amani ni bure kabisa. Big up sana.
@muthamaedwardwambua99099 жыл бұрын
pongezi wanakwaya wa AIC DAR ES SALAAM for those good numbers