Umeongea VIZURI SANA kuhusu suala la URAIA wa wachezaji, hili jambo ni AIBU KWA TANZANIA 🇹🇿
@JamesPaul-o2h10 күн бұрын
Mwamba Dunia sasa inataka watu tuwe wenye waledi mwamba kaa ufikiri vizuri hizo nchi ulizozitaja bado huna elimu nazo hizo nchi zina uraia pacha fikiri kwanza
@MgazaMhina10 күн бұрын
😂😂😂jaman Ambokile ni kigeu geu huyu
@mpeligwamoyo425410 күн бұрын
Mtu yeyote mwenye mipango ana mipango ya muda mrefu na mfupi,una kataaje mpango wa kututoa wa muda mfupi?watu wote wasiokuwa na uwezo wa kufikili,huwa wanajiona wako sahihi bila kujua kwamba huo ni uchumi,Bora ungesema kwakuwa hatuna vijana tunao waandaa Kwa sasa tufanye mpango wa kuwaandaa baada ya mpango huu
@NeemaDaniel-j3g10 күн бұрын
Kwenye swala la wachezaji wa kigen hapo umesema kweli
@RamadhaniSalumu-d2d10 күн бұрын
Mnajuwa tutapata faida watanzania
@kadirichannelonlinetv425810 күн бұрын
Huugi mkojo xyo upo vzr
@JumaAbeid-f1c10 күн бұрын
Angalien source vzr
@VenaceBoniphac10 күн бұрын
Huyu mdada kabila gani
@kassidpandu86610 күн бұрын
coco au kuku
@mpeligwamoyo425410 күн бұрын
Ujinga wa namna hiiii wa akina ambokile hautatufikisha popote,Huyu mnyakyusa ni mjinga kweli.kwanza aelewe kwamba hizo kanuni kwenye mpira zipo,ni sheria.kwanini unapiga kelele baada ya kutaka kutekelezwa?
@mpeligwamoyo425410 күн бұрын
Wamarekani walitoa urais Kwa waisraeli ili kupata utaalamu na kufundisha watu wao,wangekuwa na mawazo mngando kama wewe wasingefika pale walipo.Acha ujinga