Fact kabisa..yanga ina wachezaji wengi hawatumiki yani wapo tu
@Abdulrahmanhassan185 сағат бұрын
Huwezi kusema usajiri wa mkude umefeli wakati kocha hampi nafasi , mkude huyo huyo ndio aliyewazuia viungo wa mamelod wakati aucho anamajeraa. Wachambuzi jifunzeni kutofautisha kati ya mchezaji anayepata nasafi na adiyepata. Kiwango Cha mchezaji kinazidi kuongezeka kadiri anapopata mechi za kucheza Kila mara japo kwa dakika 40 au 45 tuu mtu achezeshwi unamuitaje mbovuu.
@WallaceMhina4 сағат бұрын
sio lazima wote tuwe wachambuzi unaweza kubaki kuwa mshabiki na ili ufanikiwe kwenye maisha acha wivu, tulia tumia akili na wewe ufikie sehemu kubwa kimaisha unavyowesema wezako wewe ukipewa timu utaweza kuiendesha acha kuongea ujinga
@EvoniSanga4 сағат бұрын
Haongei ujinga anawakumbusha viongozi kuwa makini kwenye usajili maana kila siku kuchukua wachezaji walio achwa simba mkude baleke okra chama mwenda wann wote hao
@elvisnzovu82823 сағат бұрын
Tatizo ni viongozi wa Yanga kwenye usimamizi kwa wachezaji na kuendekeza ushikaji kwa wachezaji wengi.
@suleimanmwenyemvua995Сағат бұрын
Hapa wa kulaumu ni kocha Gamond.kwani hata wachezaji wote wazuri aliyowakuta kwa nabi mbona hawatumiki kaua vipaji vyote.huo ndiyo ukweli.... Hersi siyo Koch... Gamond kafukuzwa kutuharibia wachezaji wote waliosajiliwa je azzi k hafai je timu iliboronga....😂😂😂
@chiefnumborecords48196 сағат бұрын
Na isipo mfia ikija kufanya vizuuuri
@barbiepixie9215 сағат бұрын
Huyu nae ana mdomo jamani kha! Hebu tupumzishe
@DoryGeorge14 сағат бұрын
Yan yeye mda wote yanga tu
@isso8468 сағат бұрын
anaongea ukweli, asipoongea yanga haitobadilika. truth should be told
@suleimanmwenyemvua995Сағат бұрын
Na wewe basi mtangazaji huachi kuchochea singano Unapenda kutafuta kukejeli kwa maswali 😅😅
@chiefnumborecords48196 сағат бұрын
Ukweli mwengine ukiongea una fact ilass ukweli mwenginye unanyong'onyesha vipaji vya wazawa mzawa akisajiliwa yanga au simba oooh injinia kakosea mnataka wasajiliwe wachezaji wa njeee ivi kweli mbona unamzarau sana Hers said bwana chuma cha mjerumani inabidi nawe uwambiwe ukweli unakosea kaka mimi shabiki yako ila hapo umekosea tuuuu
@WallaceMhina3 сағат бұрын
@@chiefnumborecords4819 muulize huo mpira kaucheza au anaongea ongea mpira kwasababu Azam tv wameanza kuonyesha, hajui mpira naye kawa mchambuzi maneno mengi wote pointless
@imma_billy8 сағат бұрын
Huyu ana kitu asikilizwe. Na tupende kuambiwa ukweli, ukweli mara zote huwa unauma.