AMBWENE MWASONGWE ASIMULIA ALIVYOKUJA DAR KUUZA DUKA "NIMEISHIA LA SABA, NILIKUA NACHUNGA NG'OMBE"

  Рет қаралды 24,146

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 10 ай бұрын
Mimi Mwenyewe Ambwene Namkubali Sana sanaaa hata kuna kipindi Niko Pregnant Mwaka mpya wa kumaliza 2010 na kuongia 2011 Kwenye Mkesha wa Calzmatic Emaus Pale Ubungo Aiseee alikuwa akipanda Madhabahuni Kuimba Mwanangu aka wa anafurahi Sana Tumboni anarukaruka Anacheza Tumboni mpaka nafeel furaha ndani ya moyo wangu,Na Huyu Mtoto ni Baraka Sana kwangu na ana hofu ya Mungu Sana Sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@StanMbega
@StanMbega 10 ай бұрын
Amina,ubarikiwe
@ngoshamsabato1747
@ngoshamsabato1747 10 ай бұрын
KUTOKA USA 🇺🇸 AMBWENE MWASONGWE 🎉NAKUKUBALI SANA KAKA HUDUMA YAKO IENDELEE🙌🏿🙌🏿
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 10 ай бұрын
Vido vidox you are the best presenter,unajua Sana unachokifanya,unajua halafu unajua tena💪💪💪💪
@SelemanMuhamed-ir5zl
@SelemanMuhamed-ir5zl 10 ай бұрын
Abwene the best . Najisikia Furaha kumuona Abwene akizidi kumtumikia Mungu. Mungu akuzidishe zaidi na zaidi
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 10 ай бұрын
Kwa mala ya kwanza nilimufahamu kwenye nyimbo ya Majaribu ni mtaji huyo wakati sikuwa nauwezo hata wakujilisha wala kulipa kwa wakati kodi ya chumba kimoja ambacho nilikuwa nakodi nilikuwa katika maisha Magumu sana.nanyimbo ile ilikuwa pendwa kwangu na leo nina kila kitu nilichokuwa na omba Mungu wakati yule.Kiukweli toka moyoni na furahi sana kila ninapo muona huyu baba.asante Ayo tv Tunafatilia vipindi vyenu tukiwa Zambia
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 10 ай бұрын
Majaribu ni Mtaji...wow! Ulinifariji sana kwenye uvuli wa mauti. Wonderful.
@deborahjustinerwambogo8490
@deborahjustinerwambogo8490 10 ай бұрын
Hajawahi kuchuja,Wala kuwa na skendo mbovu. Yaani miongoni mwa waimbaji wa injili wasiochuja❤ chukua maua yako kaka. Kyala akubhonekele
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 10 ай бұрын
Mungu akubariki na aendelee kukuinua, umekuwa mfanzo wa kuigwa.
@RoseJoseph-y8b
@RoseJoseph-y8b 10 ай бұрын
Am always blessed with this man o God❤❤
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 10 ай бұрын
Safi sana Ambwene, Mungu akuinue zaidi,napenda sana nyimbo zako
@giztony2009
@giztony2009 10 ай бұрын
One of the best interview ever!
@atudave1076
@atudave1076 10 ай бұрын
Host yuko vizuri sana sana ! Mungu akubariki
@eliamtani2840
@eliamtani2840 10 ай бұрын
yaani hapo Ayo Tv, mtangazaji anaejua kufanya interviews vizuri ni mmoja tu ukimtoa Millard mwenyewe, na si mwingine ni VIDO VIDOX, VIDO VIDENGA. One of the Best Interview 2023. 🙌🙌🙌🙌
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 10 ай бұрын
je na yule alie mhoji Kikeke
@eliamtani2840
@eliamtani2840 10 ай бұрын
@@winnerjudith2007 ngoja tumpe mda na yeye tumuone kama ata maintain au atakuja kazingua. But he's good too.
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 10 ай бұрын
Waooooooooow Mtumishi wa Mungu, Ambwene anajibu maswali Kwa hekima sana.
@andreakulisha5144
@andreakulisha5144 10 ай бұрын
Ambwene Mtumishi wa Mungu, tunakupenda sana
@christinamwangoc4779
@christinamwangoc4779 10 ай бұрын
Namshukur MUNGU kwa ajili yako, nakuheshim sana.
@irakozeshakiru1131
@irakozeshakiru1131 9 ай бұрын
Yani wewe ninabi wangu nyimbozako zinanitunza zinanifaliji sana ubalikiwe sana ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@gracewankara8004
@gracewankara8004 10 ай бұрын
Ombi langu wimbo wangu Bora wakati wotee❤❤
@gilbatvienja7204
@gilbatvienja7204 7 ай бұрын
Tuliko toka ni mbali in the best kwangu mungu ni mwaema
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery 10 ай бұрын
Ambwene nyimbo zako zinainua imani ni pamoja na mimi ubarikiwe sana
@tusiimerwihura634
@tusiimerwihura634 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,wewe ni kioo changu,najifunza vingi kupitia wewe una unyenyekevu katika wokovu na Mungu anawapenda watu kama wewe,nakuombea ufanikiwe huku duniani ila mwisho wa siku uje uione mbingu,uketi pamoja na Baba Mungu,ufurahie matunda ya unyenyekevu wako kwa Mungu
@eaglemaris327
@eaglemaris327 10 ай бұрын
Best interview
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 10 ай бұрын
Ameuliza vizuri amejibu vizuri 🙏
@NeemaJulius-qo2xz
@NeemaJulius-qo2xz 10 ай бұрын
Mungu akutunze
@priscillahmushi4475
@priscillahmushi4475 10 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu,Mungu akuinue zaidi nyimbo zako zinavusha wengi
@AmaniEzekiel-fl6cl
@AmaniEzekiel-fl6cl 10 ай бұрын
I love this man of god
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 10 ай бұрын
spelling ya god sio sawa it is God or GOD
@patrickwilondja759
@patrickwilondja759 6 ай бұрын
Wimbo huu kweli unatiaka moyo na kuzidi kumwomba Mungu anipe nguvu ya kuvumilia mitiani ya misuli ya imani
@adelinachengula8519
@adelinachengula8519 10 ай бұрын
God bless you
@NdituTV
@NdituTV 10 ай бұрын
The best interview, ambwene vs vido
@MoajGraphics
@MoajGraphics 10 ай бұрын
Ambwene amekuwa baraka kwa kila mtu. Mungu azidi kumtunza
@petroprenge8716
@petroprenge8716 10 ай бұрын
Vido nimependa sana mpangilio wa maswali yako, nice interview!
@atudave1076
@atudave1076 10 ай бұрын
Ambwene! Majibu ya hekima sana sana.👏🏽👏🏽👏🏽
@matridasambali6432
@matridasambali6432 10 ай бұрын
Duh hongera sana bwana umejituma inavotakiwa
@NkundwaMwasenga
@NkundwaMwasenga 2 ай бұрын
Kiongozi hakika nakuelewa sana na ninamuona MUNGU kupitia nyimbo zako
@PatrickMafuru-m3z
@PatrickMafuru-m3z 10 ай бұрын
Tumekubalika ❤
@MsevenFokoro
@MsevenFokoro 10 ай бұрын
Nimebalikiwa leo
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa 10 ай бұрын
Hakika MUNGU azidi kukuinua zaidi mm MWENYEWE nakubari sana,,, napia alubm ya misuli ya imani
@maryowen7490
@maryowen7490 10 ай бұрын
ila wakaka wa kinyakyusa huwa wazuuuri sana aisee....MUNGU azidi kukubariki Mtumishi wa MUNGU Ambwene
@DavidWandabwa
@DavidWandabwa 10 ай бұрын
Nimejifunza mengi sana kutoka mtumishi pia vido umeuliza maswali mazuri na amejibu vizuri,mbarikiwe sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 10 ай бұрын
Awesome 🎉Ambwene 🔥🔥
@ceciliapatrick8217
@ceciliapatrick8217 10 ай бұрын
Vidox binafc nakupa maua yako unajua kumuhoji mtu vzur huna hofo unaujacr na umepangilia maswali yako 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺❤️
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 10 ай бұрын
Good interview vido🎉
@niyiesther6571
@niyiesther6571 7 ай бұрын
Ameeeen sisi hatushindani
@EvelinaDitram-xi9co
@EvelinaDitram-xi9co 5 ай бұрын
Wao vz
@SyliviaJohn-io5sz
@SyliviaJohn-io5sz 10 ай бұрын
Be blessed always Ambwene
@niyiesther6571
@niyiesther6571 7 ай бұрын
Ameeen..myimbo za mafumzo
@spensiozakato600
@spensiozakato600 10 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua sana na akutunze.
@Anselmekipandauli
@Anselmekipandauli 6 ай бұрын
Aksante Sana
@fridamgalla6033
@fridamgalla6033 10 ай бұрын
Upo vizr sana Ambwene unanibariki
@JudythAsiko
@JudythAsiko 10 ай бұрын
Blessings ❤🎉
@selemanisalum7283
@selemanisalum7283 6 ай бұрын
Nyimbo za huyu mwamba sijawai kuzichoka yaani nyimbo zake huwa nazisikiliza kila siku
@maribaisack2097
@maribaisack2097 10 ай бұрын
Bonge Moja la interview
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 10 ай бұрын
Man of God Unabariki wengi kwa huduma yako Mungu akutunze kwa utukufu wake
@daudpius130
@daudpius130 10 ай бұрын
Namkubali sana ambwwne
@yusuphlukas-k1d
@yusuphlukas-k1d 10 ай бұрын
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
@mlokozijofta8295
@mlokozijofta8295 10 ай бұрын
Nilijua nyimbo za Ambwene nikiwa mdogo uwa zinakitu na ukikijua unafika mbali
@sijaonalujinama
@sijaonalujinama 10 ай бұрын
Nice one
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 10 ай бұрын
Ayo na kampan yko Mungu awatunze kwakwel mna vpindi vzr sana
@eaglemaris327
@eaglemaris327 10 ай бұрын
Maswali ya kikubwa sana
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 10 ай бұрын
Boaz Danken cjamsikia kaka
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 7 ай бұрын
Unawaumini waisilum kwa maelfu.wapagani.kweli ukifungua kanisa utawaacha hao
@NdealetsaNkashuma-pv7xe
@NdealetsaNkashuma-pv7xe 10 ай бұрын
Kaishia la 7 WAKATI NIMESOMA NAE CHUO TIA MBEYA ALINITANGULIA DARASA MOJA?
@stevenmnzavajoseph
@stevenmnzavajoseph 10 ай бұрын
Alikuja kusoma QT baadae, akaenda chuo kusoma certificate, Diploma na Bachelor ya uhasibu. Amesema kila kitu hapo.
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 10 ай бұрын
Dhambi, tunajikwaa sote, katika nia kwa kuwaza, kunena n.k
@George-jz3jg
@George-jz3jg 10 ай бұрын
Asante Ambwene mwasongwe Kwa historia Yako iliyo nzuri na njema sana hasa kuichagua njia iliyosahihi ya kuipitia kwenda mbinguni TAG ni njia sahihi ya kumpeleka mtu mbinguni Asante nipo kwenye mapito lakini MUNGU anisaidie na kunitoa kwenye pito
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 10 ай бұрын
VIGEZO VYA MTU KWENDA MBINGUNI ANATAKIWA KUPITIA TAG?😂
@JBB875
@JBB875 10 ай бұрын
Hahaha dah umenichekesha TAG ni njia ya kwenda mbinguni😂😂😂😂😂😂😂😂😂, njia ya kwenda mbinguni ni YESU tu sio TAG my friend
@elizabethmpangala5950
@elizabethmpangala5950 10 ай бұрын
Yesu ni njia sahihi ya kwenda mbiguni sio TAG wala taasisi yoyote
@daudmtega9429
@daudmtega9429 10 ай бұрын
Matendo Yako na iman Yako ndio vitakavyo kupeleka mbinguni,dhehebu ni uongo tu.....
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 2 ай бұрын
Pole sana mpendwa unaweza kuwa TAG na kuzimu ukawa Kuni, NJIA NI YESU TU
MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
32:25
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 19 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 55 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,3 МЛН
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH AMBWENE MWASONGWE
58:42
Chumvi Ya Dunia
Рет қаралды 8 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17