🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Пікірлер: 19
@enocepaulkumba936219 сағат бұрын
Saf sana katibu mkuu! Hongera sana!
@SamweliAdamu-x7t15 сағат бұрын
Sema baba
@felixmsengi108419 сағат бұрын
Safi ila muwe mnamaanisha maamuzi, muungane kwa Jambo la katiba na kuwa weka wagombea wenye ushindani pia chukueni wasomi na wanaccm wenyewe hawana mawaa
@adelinelyaruu303614 сағат бұрын
Stronger together
@leonardramiye82072 сағат бұрын
Safiii sana addo
@PaschalKiteaKiteaКүн бұрын
Sawasawa ccm ndio chama pekee cha wezi majambazi mafisadi wahalifu sugu
@festokemibala583220 сағат бұрын
Kila aliye na mwenza mwalimu ajitafakari kama tunataka ukombozi wa kifikra!
@martinkisha6307Күн бұрын
Uko sawa
@salama1113Күн бұрын
angalau ww unaongea ukweli kuliko kiongozi wako
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Kumbe wanahubiri rushwa kumbe wawo ndiyo nambari one wa kuiba kura. Takataka kuna haja kupiga kura situnapoteza mda.
@albertkamala68435 сағат бұрын
>SABABU TOSHA UMMA KUUNGANA KUDAI KUFUMULIWA KATIBA..KIPENGERE KINACHOHUSU UCHAGUZI! >IELEWEKE KWAMBA, NI UBATILI KUFANYA UCHAGUZI PASIPO MAREKEBISHO..CHAMBILECHO, "NO REFORMS, NO ELECTIONS"!.
@obadiajuma43619 сағат бұрын
Niaibu
@joachimkalungwana8654Күн бұрын
Kwa Dr Slaa hapana naye anachuki binafsi na watu Kam aliyekuwa mwenyekiti wa chadema alisema mangapi ya kumsingizia!!!?Kama ni upanga ukate kote kote Hilo vipi acheni nanyi uchawa na mtu!!!
@johnsinyinza745023 сағат бұрын
Tobowa mtoto wapashe wazandiki hawo
@gowekogoweko5803Күн бұрын
Well said
@ThomasGai-kz5cuКүн бұрын
Clip ya Dr. Slaa umeisikiliza kweli? Ninachotamani haki itendeke ila wanasiasa acheni kuamini kuwa ninyi mnajua kila kitu au mmesoma sana kuliko wananchi wote.
@stewartdyamvunye-wz6rnКүн бұрын
Accidental president = rais aliyeingia madarakani kwa bahati mbaya na hakuwa amejiandaa. Hilo nalo neno!
@JacksonMartin-pb2vqКүн бұрын
Hayo ndio yamekaponza kale kàzee sasa hivi hana ushahidi anasota huko
@ChalesLukumaiКүн бұрын
Anaetakiwa kuwa na ushahidi ni nani? Msimamisheni kizimbani mumdai ushahidi. Mnaogopa nini?