Wewe jipende,toka huko kwani ulitolewa Juu ya mti huna kwenu, wacha ufala
@RMM2222Ай бұрын
Kwani hadi sahii uko hapo
@annetManyonge-gw7rhАй бұрын
Mimi tunaongea nikiwa kwetu hata kama tunalala njaa ni kwetu huu ni ujinga wa hali ya juu ato mume wangu ,jinga kabisa run for ur life
@margaretmshana3268Ай бұрын
Wewe mwanamke limbia sana na usigeuke nyumba unataka kujua kitu gani zaidi watakuua . Inajieleza hawakupendi sasa unataka nini kifo?
@user-wq6gx1es4bАй бұрын
Eti sina mahali pa kuenda kwani ulitoka wapi shida iliyopo hapa ni huyu mwanamke amekataa kushirikiana na familia kwa uchawi wao
@centrineomar5958Ай бұрын
Shinda hapo ukitaka kujuwa ukweli utakufa tu
@user-dj1io8uy5fАй бұрын
Wafungwe atawakihama bado wanamfanyia watu hivo
@CarolineGatuaАй бұрын
Unakaa na mtu wa bangi,utakufa
@AnneNaswaАй бұрын
Huyu mauchawi yanamuongoza,,,ndo maana anatapatapa
@CarolineGatuaАй бұрын
Kaa tu huko utapata kwa kwenda,na ni kwa kaburi host tu
@naomybokid9088Ай бұрын
Jitafudie maombi maombi mama juu hawa watu n kama wako na mpango wa kujumaliza
@lydiazablon6934Ай бұрын
Kwani ww mbaka saa hii huko uko Bado ukifanya nn unalida ndoa ww mama jipende
@lydiazablon6934Ай бұрын
Huyu wanamke anipedi mm Ile siku tu ndio ningeodoka kwani una familia members ata Moja ww
@loseeal3440Ай бұрын
Huyo anaeza muua juu anatumia mpaka mbangi
@benjuma8941Ай бұрын
This lady is confused she should collect her clothes from the husband and leave that place before she is killed. Prayers can dismantle the their tower of babel of Uchawi and set them free but j believe the mother in law is the cause of all these.
@user-eq9xt7qi3nАй бұрын
Hapa hakuna chamaombi WWE utoke kwake ungalie maisha Yako hio.ndio usalama wako