Nampend uyu dadaa❤❤❤❤Siwa mm shabik yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ngumbaohalimah65 Жыл бұрын
Huyu dada siwa nampenda haezi ishi kwa shida na mbinguni akachomwe moto😂😂😂😂 sauti tu mie hoi😂😂😂
@suzancharles1639 Жыл бұрын
Huyu dada ni fireeeeeeeee
@ChrissJongo Жыл бұрын
Sawa kabisa Mambo yakuwekeza ndo abali ya mjini
@AnnaLudwick-d1c Жыл бұрын
Nampenda.uyu dada jamani
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Khatar 😂😂😂ila kweli
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Wiiiiiiiiiiiifiiiiiiiiiiiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Mzuri huyu dada
@AnnaBenjamin-fb7gc Жыл бұрын
Yani amina wewe😅😅😅😅😅😅 ndiomaana nakupenda siwa wangu
@arya-star53 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Umeshinda tabiaaa siwaaa😂😂😂
@rayahamisi118 Жыл бұрын
😂😂😂sasa kujibiduwa ivyo veepee
@Zamzam-bt9ns Жыл бұрын
Siwa lkn😂😂 nakupenda lkn ukipunguza kusema
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
sauti iko chini sana
@HalimaHassani-p8k Жыл бұрын
Nimefrahi sana baada ya kujua kabila lako muyao wa tunduru wayao tuko vizuri
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
😅😅😅😅Dada wa makabila a. K. a bint kikala😅😅
@naernnn8961 Жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💃💃💃💃💃👌👌👌👌👌👌👌🤣🤣🤣
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Huyu jamani sio Lobina au nimekosea
@mwajumaramadhani4167 Жыл бұрын
Siy lobina
@awaahassan936 Жыл бұрын
Niyeye lobina korongo
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
@@awaahassan936 asante ndio Lobina Korongo sauti na sura nikajisemaea ndie huyu Mrs Mwl Zawadi au Mrs TomLondan 🤣🤣🤣
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
@@mwajumaramadhani4167 ndie yeye
@milanopharmacy Жыл бұрын
Huyu ndo Siwa kweli hii Dunia hunaishije kwa shida
@fathimadaid3429 Жыл бұрын
Watu wa ulaya huwa wanataka ndoa huku ili wapate cheti cha ndoa kuna fungu wanakosa kama hana ndoa ndio waludi kujibebisha akipata cheti basi
@salimakida95 Жыл бұрын
Ulizia kwanza dadangu kabla ya kusema,cheti cha ndoa bongo kitasaidia ninj marekani?tena nchi za nje ukiwa huna ndoa ndio unapata misada kuliko ukiwa na ndoa