No video

Amiri Rashidi Matumla akiwa kwenye sparring ♥️♥️💪

  Рет қаралды 5,734

Gerald The Boxing Coach

Gerald The Boxing Coach

Күн бұрын

Je, unataka kujifunza mchezo wa ngumi kitaalamu? Basi hakikisha ume-subsceibe kwenye channel hii kwa mafunzo ya kila siku pamoja na ushauri kuhusu mchezo huu.
.
WASILIANA NAMI:
SIMU | (+255)-748-926-000
IG:
FB:
.
.
boxing, boxing life, boxer, boxing training, boxing workout, fight night, knockout, boxing techniques, boxing tips, boxing highlights, boxing tutorial, amateur boxing, proboxing, boxing motivation, shadow boxing, footwork drills, boxing legends, upcoming fights, boxing community, ngumi, bondia, sparring, footwork, Gerald Betwel, Gerald Mheluka, Vitasa, Ndondi, Mawe, Jab, Encounter,
.
.
.
#boxing #BoxingTrainer #BoxingCoach

Пікірлер: 14
@ulamaaworiaa8879
@ulamaaworiaa8879 3 ай бұрын
ongera sana kijana amiri watu wote sparing
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 3 ай бұрын
Asant
@sabrysultansalum5864
@sabrysultansalum5864 3 ай бұрын
Hii kweli jeshini
@ousmanjuma3396
@ousmanjuma3396 3 ай бұрын
Amiri mzuri sana anakila kitu shida yake kubwa mikono yake haitoki hata mimi ailikera sana kwenye usiku wa mwakinyo alikuwa anamaliza game mapema sana na alipata nafasi nyingi sana za kumkalisha mpinzani wake lakini hakuzitumia na mazoezini hapi bado shida ni hiyo hiyo akiweza kufungua mikono kwenye chance anazopata naamini watu watakuwa hawamalizi mbele yake
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 2 ай бұрын
Asante kaka nitajitaid kufanyia kazi wakati mwengine
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 2 ай бұрын
Duhh! Sparring ngumu hiyo
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 2 ай бұрын
Pia ni nzuri sn kwa mabondia
@user-wb5xp8vh8v
@user-wb5xp8vh8v 3 ай бұрын
Anavitu kidogo tuh vya kujieka sawa anajua kukwepa sana ila arushi ngumi akimprove katika iloo atakuwa boxer mkali sanaa
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 3 ай бұрын
Tutajitaid kufanyia kazi icho ulichosema kaka😮
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 3 ай бұрын
Huyo amir bado sana
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 3 ай бұрын
Kwel kaka ndio maan Kila siku anajifunz ❤
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
Amiri Bado..? ...unafikiri hii chakacha Nini..?...we unaweza kurusha ngumi na kugangamala na watu kumi sparing..! ...Amiri uko vizuri kikubwa ni HISABATI tu
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 2 ай бұрын
Kama Amiri atatengeneza Target hakuna bondia yoyote katika weight yake atakaeweza kusimama nae.Kwa sasa bado anapoteza ngumi nyingi sana hewani.Hiyo inabidi arekebishwe ili awe profesional wa uhakika kama Ami yake Mbwana matumla
@geraldtheboxingcoach
@geraldtheboxingcoach 2 ай бұрын
Sawa mkuu nitajitaid kumlekebisha kupitia maoni Yako
VITASA | AMIRI MATUMLA VS REAGAN PACHO
38:11
Azam TV
Рет қаралды 27 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 41 МЛН
SELEMANI KIDUNDA Vs ADAM CDF CUP NUSU FAINALI
3:25
Gerald The Boxing Coach
Рет қаралды 1,7 М.
23 août 2024
2:37
Mardo Lissangi
Рет қаралды 31
JIFUNZE JINSI YA KUJIHAMI...
1:38
Master Mfaume
Рет қаралды 3,4 М.
Jonathan Haggerty vs. Superlek | Fight Highlights & Post-Fight Interview
10:57
1 septembre 2024
1:05
Fabrice Nsenga cena
Рет қаралды 4
Kid boxing competition in training camp
3:05
G3boxing
Рет қаралды 45
Ngome Vs Jkt
6:58
Gerald The Boxing Coach
Рет қаралды 1,6 М.
Amir Matumla Vs  Benard Kachumwita
1:51
Golden glovestz
Рет қаралды 489
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН