Tatizo ya vita congo DRC au Africa nzima ni wazumgu wote na kagame na museveni
@JohnKarangwa-y8c2 минут бұрын
Hii vita iliandariwa zamani kwanzia wakati wa ukoloni na baado inaendelea. shida ni utajili wa Congo na wa Congo wenye walishindwa kuandaa strategies za kuongoza na kurinda uchumi wa nchi yao. fdlr, m23, ... ni vitu vilipangwa na wezi wakutafuta jinsi ya kuiba mali za Congo tu, m23 ilikamata kwanzia mipaka ya Uganda, sasa hiyo FDLR inakabia Rwanda kupitia mpaka gani ?!! waliisha enda Congo mala nyingi kukomesha fdlr, inainuka kutoka wapi ?! muwe munaangalia kwanzia mzizi, m23 inatowa wapi vifaaa vikari vya kupigana ?! kama haina misada ya Rwanda na Uganda ? Rwanda kwa uchumi wake haiwezi kujinunuria vifaa na ndege vya vita. kuna watu wakubwa zaidi nyuma ya ile vita wanatumikisha Rwanda na Uganda kwa kutumia jina la m23 kama kisingizio
@FrtiEhh2 сағат бұрын
Iyo niwongo mtupu Congo iko nakabila ngapi? Nikupenda kupora asirimali ya Congo, mbona wanyamulenge wako katika jeshi nagouvernement,na makazi mbalimbali.
@isaacmwenebatuСағат бұрын
Hacheni kutoa historia msio hijua. Mulenge ni mlima wa kabila la kifuliru na sio jina la hao watusi. Sasa Kama wao ni wakongomani, kwa nini waendelee kuuwa watu hadi sasa? Ni wanyarwanda wote na wachokifanya, watalipa damu na uhai wao.
@familytube23763 сағат бұрын
Kwa nini wa congo abayo wako kenya Rwada Tazaniya hawaja ita M23 kuwachunga?
@familytube23763 сағат бұрын
This all about minerals kumbuka Rwada ina julikana kama ichi ya Chai na tobacco .kila mara ina tamani mali ya Congo kwa jiya yoyote.wana taka Sud kivu iwe yao kwani Mubelegi abaye aliye gawa hana akili.tuliya kwako kangame