Mungu atubariki Tanzania na atupe amnani mungu akubarika sana diamond 💎💍 plutonium Kwa kwenda mbali na kuheshmisha Tanzania am😅❤ Ami
@AbbyLopez-g3t23 сағат бұрын
My love for diamond is something else much love from kenya
@linaajjey33966 сағат бұрын
Nakupenda bure Simba. Watching from KE ❤❤
@KevinkireraKevin4 сағат бұрын
From kenya much love bro you are the king
@RashidHaleperAbdi-tk5plКүн бұрын
A true African icon who as taken bongo flavor to the the world stage simba much love from uganda #
@EsterJafari-tp1fm2 күн бұрын
Home sweet home umeipiga mwingi sana kuiwakilisha nchi Tanzania 😍🇹🇿
@JosephWamipango-k2f3 сағат бұрын
Mwijaku seme chocgote bc namsaniwako aendi mbaka kajara😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZeishaFuture15 сағат бұрын
Aliemuona ashrafu akim akitingisha kichwa agonge like hapa alafu mnashindana na huyu mwamba nyie mtuache kidogo😅😅😅😅😂❤
@eshumaelisaidi8886Күн бұрын
Kweli Tanzania Tunayoo Jembee Heshima Kwa Mond🙏🙏🙏🙏
@shantabeng5 сағат бұрын
Simba daima
@UwiringiyimanaErnestine-v1wКүн бұрын
Ongera simba tunagupenda❤❤❤❤
@swissvany552 сағат бұрын
This guy is on another level
@bk_one_black9 сағат бұрын
Simba mnyama mkali 🔥🔥
@MkanjimaAthumani23 сағат бұрын
I see Ashraf Hakimi shakes his head as listen Komasava song. Big up Mondi
@diazpiosto4551Күн бұрын
Hongera ....sana diamond ?show iko on fire.thank you for represent 🇹🇿
@Asmithaziz183Күн бұрын
Congratulations homes boy🇹🇿🇹🇿
@starlonejadamskp82247 сағат бұрын
❤🎉 🦁
@Festusogwankwa-cd2wfКүн бұрын
Much ❤️ 😍 💖 ❣️ love...
@ElizabethGodfrey-p9y9 сағат бұрын
Hakuna kama mond namkubal san hyu kaka❤❤❤
@errydeo886523 сағат бұрын
ICON OF AFRICAN MUSIC!C( introduction) ts not the first to perform for CAF elite! Jamani tuache ROHO MBAYA HUYU JAMAA IS AMONGST THE BEST! TUNAMDISS COZ HE IS OUR OWN( east Africans) Angekua mnigeria, Wote mikundu juu kusifia!!!
@ahz690722 сағат бұрын
Yeah....nabii hakubaliki kwao 😂
@Geogina-a2 күн бұрын
Diamond Dangote umefanya show nzuri sana, umekiwakilisha Taifa letu vizuri sana, show nzuri Diamond 💎 💚💚💛💛🇹🇿🇹🇿👍🏽
@richkheed-z8nКүн бұрын
Ssa mzungu myupi anaskia song ya kiswahili
@CamilasJohnКүн бұрын
We vp kwani unatakaje@@richkheed-z8n
@mlokaferdinand22 сағат бұрын
Music is the universal language@@richkheed-z8n
@mclee49319 сағат бұрын
@@richkheed-z8n wangap wanajua english music is about beat and melody
@brunobruntix5177Күн бұрын
Much love from willy paul you killed my brother
@malickylicky425422 сағат бұрын
I think will Paul is watching 😂😂😂
@hssnchannel18 сағат бұрын
alf anakataa ku perrform.kenya the people who supported you😢
@DJDoublecheck25419 сағат бұрын
Hata kama tuko na vita na wewe acha tukushw congrats .. keep it up bro
@ngangaamisi4790Күн бұрын
Simba from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mwenye asili ya 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 umekinukisha balaaa🎉🎉🎉🎉
@rehemamayemba131Күн бұрын
Umerogwa ww😂
@jumamkoka2267Күн бұрын
Hata mi cjamwelewa@@rehemamayemba131
@lyongonyagaa7 сағат бұрын
Mind no mnyama
@lorynpol92812 сағат бұрын
Hhee😂😂
@EliasThepastor19 сағат бұрын
Vizuri Sana Kaka mondi
@Amirtv265Күн бұрын
Singing or dancing. He's a great dancer
@jayaphineКүн бұрын
Diamond carried east Africa alone on his back
@errydeo886523 сағат бұрын
Still people clowns think he is shiT😂!!
@ahz690722 сағат бұрын
@@errydeo8865 fake people...
@hamisisifachembe642718 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥
@davidmtafungwa7211Күн бұрын
La masimba ❤
@mwanaharusiomar246822 сағат бұрын
Kali sana
@LeiyoLaizerКүн бұрын
Ooooh my god icon of Africa 🌍
@BukuruClaude-x6m7 сағат бұрын
❤twakukubalu
@geophreymanyama433518 сағат бұрын
Great
@allysalimu-w8w8 сағат бұрын
Willy Paul pumbavuuuuuuu ona show yakiume uyu ndo Simba
@IddiHaji-b1jКүн бұрын
Hongera sana Simba la masimba uko nafasi ya juu kimzk nakukubali sana
@AdiliMbunaКүн бұрын
🎉heavy brand
@aminakhaji257619 сағат бұрын
❤❤❤
@saidihamad-fj7bk2 күн бұрын
This is simba from Tanzania
@AfricanBoy1529Күн бұрын
Willy Paul 😂😂😂😂
@geraldlaurent6750Күн бұрын
Hafu bado unamfanisha mondi na vitu vya ajabu 😂😂😂
@Josephmwambe-r6n21 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@Kings12-y6r23 сағат бұрын
It's best 🎉🎉🎉🎉🎉😂❤😂😂😂🎉🎉
@sulemanmohamedy9015Күн бұрын
Ndiyo maana wakenya wanateseka namna hii
@MariamRamadhani-e5nКүн бұрын
We love you❤❤❤
@fredyMishoshoКүн бұрын
unajua sana kk, Achana na wanafik😂😂😂
@ElizabethMasitsa-pk9unКүн бұрын
Ukiwa mmoja wa wanafiki😂😂
@rodgersmwagu2399 сағат бұрын
Unyama sana
@AishaMaulidi-i6rКүн бұрын
Unajua baba❤
@felistermatundura111523 сағат бұрын
Mdomo nayo unafanya kama suruali yangu ya 2020😂😂😂😂
@fredlugome7952Күн бұрын
What performance ❤❤❤❤
@MussaHaruna-e7tКүн бұрын
Gud music
@francissoko4612Күн бұрын
Mbona sioni willy Paul hahaha takataka iko Kenya inaangalia wanaume wakiperform
@JamesJaisha20 сағат бұрын
Tujalibu sikunyingine aje pozee au wakenya mnasemaje
@omarishabani552422 сағат бұрын
Will njoo uone vile umewakosesha furaha wakenya wenzio
@HappynessJuma-m1xКүн бұрын
Niitieni yule jamaa wa kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂
@johnndirangu3158Күн бұрын
Mkorofi weee😂
@OmarHamisi-p1pКүн бұрын
Yule wa kuimba kasongo 😂😂😂
@ravelprince5121Күн бұрын
Yupi
@Zuhura.abdurehmanSuleiman20 сағат бұрын
Wow
@iam_amiiOfficialmusic20 сағат бұрын
@@Zuhura.abdurehmanSuleiman Shem zuh 😊
@chelahkenyah3596Күн бұрын
Hapo kwa kuingia ameiga will paul
@graceamadi1096Күн бұрын
Many musicians do so na diamond kaanza music before Willy, and he is very creative, so hakuna kuiga hapo kizuri ni kizuri tu kubali
@jumasungula8510Күн бұрын
Kuma kibengisa chafu kabisa roho mbaya ❤❤❤❤umekinukisha
@SamuelBukeyeneza-u9sКүн бұрын
❤❤❤❤❤🎉simba juu sana
@Daudicharles-pc9jfКүн бұрын
Who hear kipi diamond
@briancooper2051Күн бұрын
Aki walai tukisupport pozze atafika uku juu 😁😁
@denisouncho2513Күн бұрын
😂😂😂
@dennomwenyewe5264Күн бұрын
Kapisa atafika
@iam_amiiOfficialmusic20 сағат бұрын
Mnaota nyie amkeni mtakojoa kitandani
@sambae48292 күн бұрын
Once a lion always a lion booom 🎉🔥🔥 lkn uyo mzungu wa nyuma amezingua
@eliyasijackson2851Күн бұрын
🎉🎉🎉
@Jw.org-nx6lk17 сағат бұрын
Ila mondi hatari sana huyu jamaa😅
@AlksvJshdКүн бұрын
🔥🔥🔥
@Matukiotz23Күн бұрын
Mbn sijamuon will paulo pozz. From kenya au haiwahusu
@CamilasJohnКүн бұрын
Hana faida hapo
@Boy_mcheekyКүн бұрын
wakenya wamebookiwa majuu wote unaeza angalia penye nikita tipsy mc gogo breeder na hao wengine penye wako we are internatiobnal artists hatupagawi na show za kiafrika tumeachia wasiojua kingereza huku
@WiseoneclassicКүн бұрын
Wakenya wapo kikombaa wanauza mitumba na wengine koinange wanajiuza
@Boy_mcheekyКүн бұрын
@@Wiseoneclassicwabongo ndio wako kwa pdiddy wakijiuza wapate umarufu kazi nikupanua mikundudhe mtatuambia nini
@KulwaGugaКүн бұрын
@@Boy_mcheekykingereza ni lugha tu ebu acheni ulimbukeni
@hamadiayossyКүн бұрын
Alafu anatokea kichwa mviringo anachonga, pumbaaaavu diamond ni dunia nyingine
@dralex.e.shirima2732Күн бұрын
Ifike mahali sasa tuseme Diamond ameshindikana 😂😂😂😂
@ahz690722 сағат бұрын
Hiyo ni alama ya tanzania..maana hakuna kingine kinachotutangaza kwa ukubwa zaidi ya mondi
@luqmanomary3558Күн бұрын
Nlitgemea itaendan kulingan na tuzo lakin naon kama vile disco dancers tyu
@emmanuelmsheri-i3pКүн бұрын
Yuko wapi willy Paul sasa
@AbdallahSalim-f5uКүн бұрын
Diamond simba
@IjumaaJrКүн бұрын
Simba kama Simba hakuna mwingine zaid ya Simba...
@salmadabujjo-vg7hr18 сағат бұрын
MUNGU atakulipa simba kwa jasho lako unalotuonesha
@Patrickmcharo63Күн бұрын
Willy Pozee wetu yuko wapi 😂😂😂😂😂😂
@yahyamajidyahyahilalal-har8762Күн бұрын
Kibera slums maandamano 😂😂😂😂
@OmarHamisi-p1pКүн бұрын
Anaimba Kasongo yeyeeee 😂😂😂😂
@YusraMiss-lh8ztКүн бұрын
Simba la masimba zidi kupeperusha bendera kaka
@MashakaShabani-s5mКүн бұрын
Kwan kwa majirani zetuu wa kaskazini ni msanii gani aliyeenda kuwalisha huko morroco au wile😅😅😅
@jumahamisi4660Күн бұрын
Na ashilikiani na laisi kama wengine
@bakarimakomolaКүн бұрын
Hii ni CAF kweli? Mbona wazungu watupu😅
@georgeotete8970Күн бұрын
God is great
@AdamMponelaКүн бұрын
Mond unaweza dogo wafundishe nawengine bogo
@AmaniLashayoКүн бұрын
Simba kama simba hajawahi kutuangusha yele kenge posee yuko wapi
@FaustinJamsonКүн бұрын
Fundi sana huyu jamaaa
@DuliBrillant-mr8erКүн бұрын
Tusemen ukwel jaman mshaurin diamond abadilishe hizo style za kuingia yan show anayopga popote zinafanana ndo ivo ivo hazibadiliki
@errydeo886523 сағат бұрын
What! Utakua mkenya
@veronicamrope9242Күн бұрын
Ongera Simba tunakupenda❤️❤️
@JeromeNondoКүн бұрын
🇨🇩🇨🇩😄💪
@ShafiiMbinga-e9fКүн бұрын
Kaka nakukubali hadi nakosa cha kusema
@AlexNicodemo-ym7td9 сағат бұрын
Mwamba na nusu
@VenusteNiyongabo-r8iКүн бұрын
Wakenya mko wp
@amanimwalimu1293Күн бұрын
Simbaaa
@morisgonzaloКүн бұрын
Nadhan willy paul atakua kajifunza hapo kua anasafar ndefu kufikia alipo diamond apambane sn ache kutafuta kiki kupitia mgongo wa simba
@chaleboymusician528Күн бұрын
Ndo maana will p alistuka
@bazilmertus9217Күн бұрын
Sisi huku anatudharau mbona Hapo siskii mikono juu Luka juu
@ahz690722 сағат бұрын
Angalia aina ya watu walialikwa...si unaona suti zimetawala hapo😂 Ingekuwa ni show tamasha ungeona mtiti wake hapo
@CamilasJohnКүн бұрын
Simba kama simba lazima wasani wengine wa float hapo wa kenya lakini🎉