ANGEL FACES EP 42 WASICHANA WATATU WALIOKUTANA KWENYE UTAFUTAJI WA MAISHA NA KUWA MARAFIKI... FUATILIA KISA HIKI. #vincentkigosi #raythegretest #raykigosi
Пікірлер: 148
@fatma-jh2lf Жыл бұрын
Duuh nimekua namba tatu tuaomkubali doctor suzan gonga like
@PrettygirlPretty-ck9dj11 ай бұрын
Penda sana Dr Suzan ,una hekima sana,watu waliokuzunguka wana enjoy suzan
@aminakatana872111 ай бұрын
❤susun na mungu akuzunguke kwa wale wote wanaokuwazia mabaya siz uwaombee na uwapende pia much love you sana from kenyan
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Wa 13 leo tunao penda Angel faces wekeni like apa ❤❤❤❤from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯🇨🇩
@sambambawerawera11 ай бұрын
Leo wamenikocha sanatena sana
@Aishajsaid11 ай бұрын
Ombeni episode 3 kwa siku co kuomba like tu😅😅
@beckyokumu9839 Жыл бұрын
My best actress Dr.Suzan you're the y🎉❤🎉
@ancillarneema11 ай бұрын
Doctor Susan kua makini sana ju kati ya adui zako Jenifer ni mmoja wapo🎉🎉🎉❤❤❤
@danielkitui787011 ай бұрын
Wanawake sumu,,,wanatumia mili yao 😢😢 kutafuta pesa mali na kazi inauma
@ShimmyDarling10 ай бұрын
Suzan ile kwel ako xwa mashallah
@giannagianna-j7x11 ай бұрын
Dr suzan😘
@Roby-nw8sz11 ай бұрын
Jennifer ana tabia mbya jamaniiiii sijapenda Koo utaqamaliza madoctor wote Kaz kujitia kibur una dharau wenzako huna lolote Iko xku utaumbuka
@NshomaSayi11 ай бұрын
timu dr suzan tujuane❤❤
@BerthaEzekiel-ss2dq11 ай бұрын
Jamani hii mmeweza Sana sijapata ona hongereni
@MaryamMoosa-g5s Жыл бұрын
Nimewahi sjacherewa.sana
@ShaniLamay-ln6se11 ай бұрын
Daah dokta Suzan I love ue Maddame umeact vizuri sana
@KhalidAshjaie-cz7vg11 ай бұрын
madam Suzy mambo❤❤
@AminaMwavita17 күн бұрын
Big up ray
@MarthaAlly-y7s11 ай бұрын
Doctor suzani nakupenda
@schadrackanyimbu912011 ай бұрын
Congratulations Mr ray kigosi tangiya mwanzo nilisema kwamba séries iyi itakuwa Kali na tamu sana.😂😂😂 Tumesau tandi. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@YoungblackPeople-qf7vx11 ай бұрын
King kumbe ana goma la usevenzi ❤😂alafu mwongoo episode ya 41 alisema amekuta ajaliii ❤😂😂😂😂😂
@RosemaryStanley-k8g11 ай бұрын
Nzur Sana lakn wanachelewesha episode Kaka ray tufanyie wepes
@HappyKibure-iz9xk11 ай бұрын
Zuri sanaaaa mnajitaidi
@sambambawerawera11 ай бұрын
Rey leo ungeraaaaaaa sana ulipomfuma jenifa nimefurahi naanza kumpenda jenifa
@jaydantel68517 ай бұрын
Mke wa doctor Lewis kasimama kweli❤
@methodnkundumukiza636711 ай бұрын
Ni namna gan mtu anaweza kupata hii nyimbo?🙏
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Tuna kuwa na elekeya ku zuri saaana ongera Ray thegreatest ❤❤
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
Wapili2 ❤❤❤🇧🇮
@MwanaMisi-v3r11 ай бұрын
Huyu Jennifer anamadharau sana na hana chochot anacho kijuw zaidi ya umalaya tu😊
@dainamickdady413711 ай бұрын
Kingu umepata mwanamke anayekustahili
@JumaKona-i2b11 ай бұрын
Suzani yupo sawa
@lydiajoseph820711 ай бұрын
Mbn haichezi
@hamisijm843711 ай бұрын
Duu Atanacheka Aki kweli Mapenzi Ataufanye nn Uweziyaficha .. good working
@EmmanuelTango11 ай бұрын
Suzan nampenda mno ametisha
@RehemaSamwel-h8n10 ай бұрын
Uyu jenifa ananikeraa mnooooooo
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
Bado uja sema ❤❤ kingu
@user-gb3fk1yt8n11 ай бұрын
Kazi. Nzuri
@WaydaHaji11 ай бұрын
Kumbe Dr pius nawe unaendeshwa n mkeo
@MwanashaKopa11 ай бұрын
Weeeeh hatari noma
@onesmusfondo767911 ай бұрын
Kweli Dr.Jaison amepona,huna msala tna bro.....💪
@mishiabdul2834 Жыл бұрын
Next plzz ya 36
@AnnaSolomon-dc1st11 ай бұрын
Dr Jennifer kiboko hatak kupoteza kete😁😁😁
@VeronicaMaico-ik3ju11 ай бұрын
Ongera sana Suzan unajitaidi❤❤❤❤🎉🎉
@saummubi622511 ай бұрын
Doctor Jason kesi imeisha, ulivyomfumania Jennifer na Doctor Lewis 😂😂😂😂
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
❤❤❤ bonge muvi
@malkiamommy29311 ай бұрын
Jennifer uko n roh bay san wew san ww suzan kuwa makin natokea +254 😊😊😊😊
@fatma-jh2lf11 ай бұрын
Tuongezeni mda wahusika ni ndogo sana
@Fbmovie25411 ай бұрын
Dah ofisa wa serikali kachanganywa n watoto wa bongo flavor 😂😂😂😂😂 mie nacheka adi bc dah Ata wew unacheat ukifika Kwa mkeo unajitoa ufaau😂😂😂😂
@aminahissaa555111 ай бұрын
Suzan ni mtu mzuri sana anaekubaliana na mm aniambie
@giannagianna-j7x11 ай бұрын
suzan🥰
@jazminewatanzi185411 ай бұрын
The way I enjoy Jennifer 😂😂😂😂
@CharlesCharles-ri8rd11 ай бұрын
Uyo mmwnye kishungi uyo
@RAMADHANHASSAN-j3t11 ай бұрын
excellent
@msodoka_mc11 ай бұрын
Kama wewe umeona RAY alivyofumania Like apa😂😂
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
Hii muvi tam
@ZamdaRashid-w9t11 ай бұрын
43 ifuate jmn mnatycheleweshea mwe😢🎉
@Captainkweche11 ай бұрын
Movie inaanza kua moto😂
@AbusalimButchery11 ай бұрын
Jamani jennifer siutamaliza ma Dr wote hapo hospital khaa😂😂😂😂😂😂
@Fatmajereko-mz2rs11 ай бұрын
Pk anakera😂😂😂looo
@vanessaemanuel84911 ай бұрын
Doctor suzani ni malekiya wa hii film
@nacyfloflo949411 ай бұрын
From Burundi ❤😊
@FurahaDada-z3z Жыл бұрын
Wakwanza
@Judithopondo-fn9dr11 ай бұрын
Yanii apa kila kila dactari ako nawake weee
@aminahkimwana10911 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Judithopondo-fn9dr11 ай бұрын
Waaa nimoto
@yusterchesco881811 ай бұрын
Jenipha kiboko nahisi hata kazi alipata kwa stail hiyo Hana elimu yoyote anacheti feki huo jipu hilo😭😭😭🤣🤣
@StevenChacha-q9x10 ай бұрын
Sasa baki kwenye hii office ufanye kazi wewe,,pumbavu😂😂Dr jayson,,unachekesha wewe😂. Alaf tunangoja tandi ujue
@JadinMukali11 ай бұрын
Ww mukali bro
@kadkadzo754311 ай бұрын
Jennifer amekuwa Meri mela😂😂
@reginaIssa-m2j11 ай бұрын
Mmhh kimeumana 😅
@Rosemaryhamisi11 ай бұрын
Love u Sonia kisauti chako
@maryd153811 ай бұрын
Good job❤❤❤
@jumamgandi-wi1cp11 ай бұрын
Nmekua wa 12 leo duh...
@RukiyaButoyi-sk5nm11 ай бұрын
Sijapenda tabiya ya Jennifer anatabiya mbaya kweli
Jane mbona huna Utu jamani wamtafsh mwenzioivo 😢😢😢😢😢😢
@DalaAlee11 ай бұрын
Jaman bgp xan
@MichaelDj-f2b11 ай бұрын
Bonge la series🎉🎉🎉
@pur-ple-girll-3049 ай бұрын
How are you 😂😂inakuhusu😅😅😅
@MariaMagele11 ай бұрын
Mchepuko na mchepuko mwenzie😂😂😂
@MohamediJaziry11 ай бұрын
Kama kuna mwanamke anatabia kama za Jenifa basi natakiwa abadilike halaka sana mana tabia za haina hii mwisho hua ni mbaya na mala nyingi Rafiki zao wakubwa hua ni waganga wakienyeji huwaga wanahisi kilamtu aliembele yake ni mbaya kwake.
@Judithopondo-fn9dr11 ай бұрын
Joyson umemujibu poa
@ReginaRichard-r6b11 ай бұрын
Doctor Kitwe umbea umekuponza😂😂sema madam Lewis hana noma
@m.mmarckus629811 ай бұрын
Huyo madam mwenyewe kuringa saaaaana
@ReginaRichard-r6b11 ай бұрын
Aaahaahaa
@aminamohammed-rq7ew11 ай бұрын
Mmmh Jennifer kiboko nyie 😂😂😂😂😂😂😂😂
@kalou-td6pp11 ай бұрын
Bado nko na nyinyi
@Nahdiya-nr3de11 ай бұрын
Jane anabala kilamtu wapita nae jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@OmaryMohamedi-p9d11 ай бұрын
Suzi ameniuzi kuacha nyumba yake kwenda kuishi pamoja na Jenifer
@natogolamjema855411 ай бұрын
Jenifer CIO MTU mzr
@JumaKona-i2b11 ай бұрын
Ila jenifa huyu kimbunga hamna kitu huyu upepo tuu
@paulinaswai666111 ай бұрын
Yaan ww Jenifer utaja juta mpaka makamasi yakutoke kama una kideri😂
@Salhasameer-x3j11 ай бұрын
💕
@RoziDocta-cq6bb11 ай бұрын
Jenifer una tabia mbaya sana hufai hata kuw docta mhhhhhhh mpak nimekuchoka
@MatheenaSult11 ай бұрын
Haaaaaa😂😂😂😂Jennifer bwana tumache
@kilulamofi792611 ай бұрын
Jeison kunywa pombe kidogo leo
@TiphamaxMamag11 ай бұрын
Jennifer kayakanyaga kamtukana Mrs Lewis ajui kama yule nd boss kazi hana
@m.mmarckus629811 ай бұрын
Huyu king anamke mpole mtaratibu umalaya tu ukute hata hiyo mimba sio yake