Today I gave my life to Jesus while listening to this song. I am saved, AMEN! God bless whoever is watching this video! 🙏🌅😇
@angelmagoti11 ай бұрын
Amen 🙏 to God be the glory
@MunyiBonface10 ай бұрын
Hallelujah!
@hoglamumbee3449 ай бұрын
Ooooh Haleluya
@maleyamanda54119 ай бұрын
Glory to God ❤
@elijahsaro66118 ай бұрын
Amen
@julienwachira11 ай бұрын
2023, umekuwa mwaka wa kutengwa, kufinywa, kurejeshwa, kuinuliwa, kubarikiwa na Yesu. Kweli amefanya. amen and amen… mbarikiwe sana Angel & team Zoravo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I feel the power of GOD in this song. we have been through a lot 2023 but here we are 365/365 and we gonna see 2024 in Jesus name ❤ MUNGU akubariki na kukutendea muujiza kila anaesikiliza wimbo huu kokote ulipo kuanzia sasa hata mataifa yajue NI YESU AMEFANYA
@tabithamutunga393011 ай бұрын
Amina na Amina 🙏. Happy new year in advance
@angelmagoti11 ай бұрын
Amen 🙏
@IrineHadassah10 ай бұрын
Happy New year,im blessed
@collinsmasakha102110 ай бұрын
Pp😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅
@beatricenandongwa10 ай бұрын
🙏
@joycehaule971711 ай бұрын
Hizi nyimbo za upole ukiimba ndio zinapenya mnoooo hadi kwenye moyo uwiiiiiiiiiiiiiiiii Angel uinuliwe na Baba wa ma baba wote , nyimbo kama hizi kwa sauti yako unafaji+ mno waliochishwa na mizigo ya. Dhambi unawasogeza miguuni kwa Yesu uwiii NANI AMEFANYA YESUUUUU
@denism.63092 ай бұрын
❤❤❤I have listened to this song this day for more than 20times.. until now🎉more grace
@even288321 күн бұрын
Deni la Dhambi zangu yeye amelipa, Amen
@SawaYeah11 ай бұрын
LYRICS Angel: Deni La Dhambi Zangu Yeye Alilipa Kachukua Aibu Yangu Yeye Kajitwika Sasa Niko Huru Na Ninamwimbia Uhai, Pumzi, Nguvu, Afya Kanizawadia Uhai, Pumzi, Nguvu, Afya Kanizawadia Eh, Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Oh, Deni Amelipa Yesu! Deni Amelipa Yesu! Oh, Nani Amefanya, Yesu! Lile Ombi Langu, Nani Ametenda Yesu! Nilipoumia Nani Aliniponya Yesu! Oh, Nani Amefanya, Yesu! Pale Msalabani Nani Amefanya Yesu! Pale Msalabani Nani Ametenda Yesu! Pale Msalabani Nani Amefanya Pale Msalabani Nani Amefanya Yesu! Pale Msalabani Nani Amefanya Yesu! Zoravo: Deni La Dhambi Zangu Yeye Amelipa Hati Ya Mashitaka Yangu Imekwisha Futwa ~Now Listen~ Kwa Kupigwa Kwake Yesu Sisi Tumepona ~Wangapi Wamepona~ Kwa Kuchubuliwa Kwake Sisi Tumepona Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Ni Nani Amefanya Yesu! Ni Nani Ametenda Yesu! Yeah, Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Pale Msalabani Oh, Nani Amefanya Yesu! Pale Msalabani Nani Ametenda Yesu! Pale Msalabani Nani Amefanya Pale Msalabani Nani Amefanya Yesu! Pale Msalabani Nani Amefanya Yesu! One, Two, Everybody! Look At Me, Look At Me, Tikisa Miguu, Tikisa Miguu, Tikisa Miguu, One, Two, Everybody! Nisikie Vigelegele Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Everybody Now, Nani Amefanya Yesu! Ni Nani Ametenda Yesu! Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu! Nani Amefanya Yesu! Nani Ametenda Yesu!
@angelmagoti11 ай бұрын
Amen 🙏
@jacksonthomas497110 ай бұрын
Safi sana Mwandishi umeandika vyema kabsa
@nsubilimwaipopo8218Ай бұрын
Be blessed
@careenjaphet-p3qАй бұрын
❤🙏
@jackylineaseyo947310 ай бұрын
What a powerful song , indeed it's Jesus who has done it on the cross
@dorcaspallangyo9544 ай бұрын
Hakika ni Bwana yesu amefanya.. hakika ametenda
@jacklinekiptanui2 ай бұрын
God bless you man of God and woman of God for touching souls through music ministry ❤❤...God has surely done it
@kondelalukuba3896Ай бұрын
Mungu awasaidie ujumbe huu ni uponyaji wa nafsi zetu
@geosatv1664Ай бұрын
Halafu sis we ni Muimbaji mkubwa Sana na najua kwa uwezi alio kupa Mungu bado unanyimbo nyingi tyu za kuimba ,,,, ziimbe dada
@Bravegirl202410 ай бұрын
Oh my God, this girl Angel her voice has gotten darker,rounder, bigger and the anointing has also gone a step higher.. she is blessed .❤ Kazi nzuri jamani.
@evagaicugi5550Ай бұрын
Came straight here from ticktock 🎉
@estherbettyfavourАй бұрын
Hallelujah... Yote alimaliza Yesu 🙌🙌
@AnnaSarungi-y7h10 ай бұрын
Zoravo never dissapoint in any collaboration, powerful song,powerful vocals,Glory to God,Hallelujah❤
@Y-therero10 ай бұрын
I love this song because it speaks of my IN - CHRIST realities. He finished the work so completelt, so perfectly. I am forgiven, I am righteous, I am nolonger condemened . I have his fullness. Colosians 2. Asante Yesu!!🎉
@charityjoseph82083 ай бұрын
Huu Wimbo nina ushuhuda mkubwa nao hakika mungu alinitendea mungu awabariki sana watumishi wa mungu @Angel magoti. @zoravo mungu asiwapungukie katika huduma yenu hakika yesu amefanya❤
@MunyiBonface10 ай бұрын
HOW MANY CAME HERE FROM TIKTOK😢😢😢
@annenjalale678911 ай бұрын
Alifanya, anafanya na atafanya. Such a good song. But zoravo is my most played on my KZbin siku hizi. God bless you man of God. If there is no other soul, be informed you bless me all the time.
@happinesschristopher749211 ай бұрын
Afya mifupani mwangu ,kwenye seli,nyama ,damu ,misuli na kila kilichomo ndani yangu,Ni Yesu amefanya
@happymerry8675Ай бұрын
Dada unajua kuimba
@janethlyeluu67564 ай бұрын
YESU AMETENDA❤️🙌🙌🙌🙌🙌
@lucynjau3218Ай бұрын
Keepp it up Angel you are a great Singer, proud of you dear❤
@Kelie_AnyikoKeАй бұрын
My favorite 🎉... Mi amenifanyia😅😅😅
@AloyceMnanka3 ай бұрын
Hakika tunapozimia mioyo MUNGU huleta ujumbe wa faraja mbarikiwe kazi nzuri
@conniesamba-20004 ай бұрын
this song😢😢🙌🙌🙌🙌
@B-dismas11 ай бұрын
Zoravo God bless you brother 👌🙏🙏Yesu ametenda Kweli 〽️✨
@annastazianicolaus.11 ай бұрын
Hallelujah huu mwaka wangu wa kichekoo kisichoisha haya ni majira yangu yesu amefanya haya yoteee 🙌🙌.
@yusuphjohn403011 ай бұрын
Yesu amefanya🙏this is so nice many congratulations to you guys 🙌
@amaizingworld254310 ай бұрын
Salvation is by Grace through faith...The Good news of the Gospel... salvation can't be found in keeping the law for however think can obtain by law.. keep it all without braking even one law
@lucysamsonmoza396411 ай бұрын
🙌🙌🙌 HAKIKA YESU NI YOTE KATIKA YOTE 2024 MY BLESSED YEAR ❤
@neemamazimba68055 ай бұрын
Wimbo mzuri sana, mnarikiwe watumishi wa Mungu.Hakika ni Yesu amefanya...
@Carol-0-Mwangi11 ай бұрын
I got my daily declaration🙌🙌.Kweli ni Yesu Amefanya.Thats a powerful message,more blessings Zoravo and Angel Magoti
@dolineadhiambo739710 ай бұрын
Yesu Ametenda!
@Aydanhinton-l_jay10 ай бұрын
Indeed God has done great things. Can't get tired for listening this song..AMEN
@jasnetamtekele825610 ай бұрын
Amen watumish kwa wimbo mzul MUNGU azid kuwatumia jinsi apendavyo🎉 yaan kla nnapousikiliza najisikia kutubu tu😢😢 kama si yesu pale msalabani nngekua wapi kwer yesu amefanya 🙌🙌
@MinisterSilas11 ай бұрын
At the cross,Jesus worked it out for us.. Wow this is a very powerful declaration.May this song minister to the hearts of many
@angelmagoti11 ай бұрын
Amen 🙏
@evakatani63611 ай бұрын
Hallelujah such a powerful song I receive God's blessings in Jesus name 🙏
@victoreddieofficial260511 ай бұрын
Nyimbo zako ziko na uhai sanaaaaaa.... Yesu yesu ❤❤❤❤❤
@jasnetamtekele825610 ай бұрын
Isaya 53: 1- 12 mubarikiwee watumish
@commonsensebeliever672311 ай бұрын
Make the lyrics BIG so I can use it to lead worship! Love IT!
@neemakahangwa222411 ай бұрын
Asante Yesu umetenda ❤️wimbo wangu wa kufungulia mwaka 2024
@enocksasingwa291911 ай бұрын
SHALOOM SHALOOM KAZI NJEMA IMEJAA UTUKUFU. SIFA UTUKUFU ZINA WEWE MUNGU WETU. CONGLATULATION ANGELA
@angelmagoti11 ай бұрын
Amen Glory be to God
@PaulMalyosi11 ай бұрын
Its amazing 🌹💕 good combination between us nice song Great 👍
@DorcusJoseph-e3b3 ай бұрын
Ameen san mung hufany nakutenda pale tunapozimia mioyo nimebarikiw san
@saramonyo12066 ай бұрын
❤❤mbarikiwe waimbaji wote kweli yesu amefanya haleluya
@kamanapetermayenje624911 ай бұрын
He did it and he alway do,thats my Jesus
@benadetamasanja39668 ай бұрын
Asante eeh YESU WANGU 🙏
@gyanpoul397810 ай бұрын
Wawoooo just wawoo sure Jesus has done again and again
@amonphilip590211 ай бұрын
Hii ni injili dada ...nawapenda sana 🙏🙏🙏😭😭😅
@monicahwarimumucheru-hakan435611 ай бұрын
Zoravo umebarikiwa juu na chini ! Tunatambua uwepo wa bwana huduma yako! Na energy iko another level Unajua ni nani unaabudu
@iamsolomon468210 ай бұрын
i love this song so much. The voice, and the singing is so graceful and soothing. Sending much love from Ghana
@angelmagoti10 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@janejohn924611 ай бұрын
Huyu dada ana saut nzur sana yan nilimpnda kuanzia waymaker cover aiseeeww❤❤god bless you
@lidyadaudi820011 ай бұрын
Nimebarikiwa na huu Wimbo pls ushushe Audiomack🙏🏽Mungu Azidi kukuinua.
@lawrencekiplimo77813 ай бұрын
Powerful worship
@bestinashadrack708511 ай бұрын
Hallelujah nice song nawapenda sana❤❤
@hellenmathu38598 ай бұрын
I love your ministration, you bless my hear
@neemaneychricious64935 ай бұрын
Haleluyaaaaa Yesuuuuuu ametendaaaaaa
@octavinaalphonce689811 ай бұрын
Odoo upo kwa AJILI yangu angel wangu unanifanya nipende kuimba
@barackawithokiswaga268611 ай бұрын
Zoravo jamaani!!!❤❤❤
@CatherineKadenaye-ke5ow11 ай бұрын
This is so powerful I just feel it deep down in ma soul..God bless u Angel & Zoravo
@joycehaule971711 ай бұрын
Angel nakupenda unadikia na KUTII sana
@NaomiFaustine-y7h9 ай бұрын
Amen barikiwa Angel
@denniskyamani11 ай бұрын
Amen am really blessed God is Good to us everyday🔥🔥🔥
@josephrumanyika715711 ай бұрын
Be blessed Minister of God @angel Magoti, Yesu amefanya.