ANKO SHAMTE AFUNGUKA KUACHANA NA MAMA DANGOTE/WACHA ABAKI KAMA STORY

  Рет қаралды 25,918

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y Күн бұрын
Kichwa cha habari na marlezo ni vitu 2 tofauti😂😂😂😢
@ShamsaHassain
@ShamsaHassain 6 күн бұрын
Jecha kama jecha❤
@AmigirlandNjbbrother
@AmigirlandNjbbrother 3 күн бұрын
Kaka yangu Allah akujaliye Maisha marefu sana naakushimamiye kabisa
@ShamsaHassain
@ShamsaHassain 6 күн бұрын
Yaaani mm mawio bila Huyu mtu siinjoi jmn uwiii
@syliviamwakitwange3621
@syliviamwakitwange3621 2 күн бұрын
Jecha sauti yako iko vile vile km kwy mawio.Unajua sana
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 8 күн бұрын
Kumbe uncle Shamte anajua kuigiza balaa bonge moja la muigizaji mashallah
@RayChausa
@RayChausa 8 күн бұрын
Yuko vizuri❤❤❤❤
@LovenessDaud
@LovenessDaud 8 күн бұрын
​@@RayChausaKumeanza kuchangamka😂😂
@Hafsa-nc6oo
@Hafsa-nc6oo 7 күн бұрын
Msiangalie ni waongo
@Hakuzwe
@Hakuzwe 7 күн бұрын
Nice.unajibu vizuri sana Uncle.You are very smart.
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 7 күн бұрын
Sasa kama ata TV kubwa Kama zamaradi mnakuwa waongo waongo Yani kichwa cha habari kinasema vingine ndani maneno mengine Nani atawakubali
@ashaali7154
@ashaali7154 7 күн бұрын
Hakuna waongo kama hawa media za TZ aibu tupu. Wanasumbuka tu kupishana kuleta uongo na ujinga kwa watu.
@Manswabu
@Manswabu 8 күн бұрын
Sasa na nyinyi tv kubwaa lakini mnakua kama wajinga kichwa cha habari ni tofauti na kilivyo eti kaachana
@bakarikilangilo5197
@bakarikilangilo5197 7 күн бұрын
Nitakuwa nasoma comment kabla ya kuangalia video.. Thanks ndugu. Ni wapuuzi kwakweli
@graceamadi1096
@graceamadi1096 7 күн бұрын
Misleading headline, shame on you. Mbona uncle shamte yuasema ndoa yake na mama dangote iko sawa
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 8 күн бұрын
Huyu bwana alandana sana na lawyer President wa TLS.
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 7 күн бұрын
Ki uncle shante kimeezeeka sana ndevu za kijivuuuu
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 5 күн бұрын
😂😂😂😂
@channyanjen9047
@channyanjen9047 8 күн бұрын
Asante Sana baba
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 7 күн бұрын
Umepaukaaaa
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 7 күн бұрын
Mama dangote akamatie au abanie hapohapo asiachie chombo akaze nut.kuleni raha maisha mafupi.
@graceraphael-tj7nf
@graceraphael-tj7nf 7 күн бұрын
Acha kuigiza
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh 7 күн бұрын
Yaaniii mmekua mafala
@shakilaAqram
@shakilaAqram 7 күн бұрын
Yan ujinga tuu Media kubwa upumbavu tuu
@SalmaNinga
@SalmaNinga 8 күн бұрын
Kumekucha
@dublea4118
@dublea4118 7 күн бұрын
Nonsense Headline
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 7 күн бұрын
Mshakuwa wanafk nyoo
@monicamwainunu7908
@monicamwainunu7908 7 күн бұрын
Mimi nilianza kulia niliposoma kchwa cha habari
@McT-m1m
@McT-m1m 7 күн бұрын
Huyu baba. Msitaraabu
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 40 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 17 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
MGENI WA MAWIO YAMKUTA HAYA KWENYE SHUGHULI YAKE | IPI KATOKA PAMBE
0:29
Zanzibar Moto Modern Taarab
Рет қаралды 2,5 М.
ALICHOSEMA KUSAGA KWA MILLARD “NI TAJIRI KULIKO MIMI”
11:51
Millard Ayo
Рет қаралды 46 М.
GIGY MONEY THE REALITY - EPISODE 03
27:39
ZamaradiTV
Рет қаралды 18 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Diamond Platinum and Zuchu make appearance on 10 over 10
13:04
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 336 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 40 МЛН