SIMULIZI FUPI, BIG SUPRISE: part 2 ( MWISHO )

  Рет қаралды 14,969

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 147
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Part 1 ya Big Suprise Bonyeza Hapa 👇 kzbin.info/www/bejne/aJK0knSCj72Umc0
@patiencembekelu240
@patiencembekelu240 Жыл бұрын
Pole sana Moreen kwa yale yote uliopitia.Lakini kama mama kiukweli yuko tayari kufanya lolote ili watoto wake wapate mahitaji yote .lesson learned to all of us 🤗
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Tunasubiri kwa hamu na gamu ,much love from 🇰🇪
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo na kusisimua
@ConsoSeba
@ConsoSeba 10 ай бұрын
​@@ziadamtebwa3712pppppppppppppppppppppp000000000000
@salmakim557
@salmakim557 Жыл бұрын
Asante sana Anko Jay kwa simulizi tamu na yenye mafunzo kibao. Kweli utamu wa asali haushimbishi ila wang'oa meno
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Kweli maisha kitendawili,watu huyapitia mengi,Mungu n mkuu n kila kitu huwa n mwisho tu, na ni vizuri mtu unapojijua n kubadirika huwa n shangwe kwa Muumba wetu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Daaaah,hao watoto walijisikia vibaya sana kwa kuzaliwa ktk mazingira mabaya ya kisodoma na gomora
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 2 ай бұрын
Wa mama wenzangu kunasimulizi sio zakuathiya watoto sio bien
@fadhaluhembwe
@fadhaluhembwe 3 ай бұрын
Mutukumbuke jamani munitumiye namba 4 milelle
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 Ай бұрын
Asante sana Ankojay
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 10 ай бұрын
Aki simulizi hii Ina inatiya huruma jamani sasa watoto wake wataonaje mama yao Aki hatuwezi mulaumu huyo mama jamani mashabiki ausiyo❤❤❤❤❤
@shazyqull2547
@shazyqull2547 Жыл бұрын
Thanks tumesubiri saaana aisee asante
@EpimackChami-g2f
@EpimackChami-g2f 6 ай бұрын
Kwanza maurun. Nikupe . Ongera kwa mpambano mzto
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 yeah kweli huyu mourine ni mpambanaji
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Asante Anko Jay nimejifuza kweli 🙏🙌😅😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Eee Mungu niepushe nakikombe hiki huyu dada amepitia hadi analala na babake ila ss wanawake tusemege na nyege zetu kwasababu umedanga mwisho umepata kivuli ungetulia tuu nahicho namxee mradi mambo yako yanaenda vixuri wanao wanasoma wewe unaishi poa lkn bado zakutawala hadi unaleta vijana lkn wewe ndounakuwa mkali kweli jamani tusemege nazo saingine kama mm natulia tuli
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Kweli kabisa 👍
@jabuali5739
@jabuali5739 Жыл бұрын
Mama anaweza jisacrifice 4 her kids happiness nice story bt alikosea kufanya km hobby after her kids succeeded
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Leo nimewahi mno😂,,Asante sana msimuliaji mr.Anko jay 😍
@maggiesadock
@maggiesadock Жыл бұрын
Jamani morlyne sivema kuwambia watoto wako mapito yako duh!😢😢😢😢😢 sawa kuwa ulitebea n'a baba yako mzazi jamani😢😢😢😢😢ila pole sana mommy
@mayasamayasa1205
@mayasamayasa1205 Жыл бұрын
Mama ni mama hata angekua vp❤❤
@AliBadi-p4i
@AliBadi-p4i 7 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PhilibetiJosaphati-vh1fb
@PhilibetiJosaphati-vh1fb 10 ай бұрын
mama nibola kusema ukweli kuliko watoto wasije wakayasikia kwawat
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 11 ай бұрын
unaanzaje kumchukua mwanaume na kumpeleka nyumbani kwa mume wake
@HaluwaMosi
@HaluwaMosi 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@issanuru9552
@issanuru9552 Жыл бұрын
Wakwanza jamani nimewahi❤😂😂😂
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Uyu dada ana roho ngum kuwaeleza mambo makubwa kama hayo
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Hatimaye
@salhakristina9434
@salhakristina9434 Жыл бұрын
Niliisubiri kwa ham sana
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Mama ana utu huyu awaeleza watoto khabar ndefu
@SalmaSalma-cb2pl
@SalmaSalma-cb2pl Жыл бұрын
Nzur sana jamani
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mh,maisha yoyote mabaya ambavyo Mungu ameyakataza nawe ukayafanya lazima utakipata cha moto
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Kwakweli
@cadeaualiza
@cadeaualiza 4 ай бұрын
Sasa anko ,iyi simulizi mbona ina historia kama ile ya utamu wa pipi ya kijiti?,ni moja au?
@salhakristina9434
@salhakristina9434 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢nimeumia sana 😢
@beatricesemiti5997
@beatricesemiti5997 Жыл бұрын
👍👍
@dorocasndunge1829
@dorocasndunge1829 Жыл бұрын
Asante sana anko j
@raiyaanyusufyusuf17
@raiyaanyusufyusuf17 Жыл бұрын
Simulizi zako haziboeshi ....endelea kututumbuiza
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Жыл бұрын
Jmn mbona ivo
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤🙏🇰🇪
@IreneNathan-i9m
@IreneNathan-i9m Жыл бұрын
Anko mbona this story inafanana na utamu wa pipi?
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
To be continued
@jabuali5739
@jabuali5739 Жыл бұрын
Atleast sijachelewa wacha niisubiri
@annakinyi218
@annakinyi218 Жыл бұрын
😢😢😢😢🤔🤔🤔
@mariamjuma743
@mariamjuma743 Жыл бұрын
Mbna hivo haitaki kufunguka mbna Anko J 😅
@maryammaryam5503
@maryammaryam5503 Жыл бұрын
Hata mimi nimeshangaa😢😂
@mariamjuma743
@mariamjuma743 Жыл бұрын
Twasubiri,,Anko j 😋 x uiachelie bas tuko ndani ya Anko j na simulizi zake tamutamu🥰
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Mko tayari niiachie.?
@zenasalum3107
@zenasalum3107 Жыл бұрын
Unatuchelewesha Anko j bahna😅😅
@aminah9557
@aminah9557 Жыл бұрын
​@@ankojay_ weee Anko unatani mwingi sana😂😂
@joykatakana1099
@joykatakana1099 Жыл бұрын
Tuna kupenda pia anko bt huyo Mourne haja toa funzo lolote kwa wa toi wake bali n aibu tupo akwende kabxa na mchukia kwa maneno yake alio yaongea mbele ya watoi wake tena wakubwa ghaiiii naona aibu 😂😂
@kisaagustino3278
@kisaagustino3278 Жыл бұрын
​@@joykatakana1099 yaan nifezeha tupu nibora angenyamaza tuu
@StellaMalando
@StellaMalando 2 ай бұрын
Duuuh jamn lazima awaambie kilicho kipitia ili wajuwe mama yao alipitia nini..
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
❤❤❤
@catewanjiru5378
@catewanjiru5378 7 ай бұрын
Jamani ss wazazi twafanya watoto wetu wapitie maisha mangumu sana ee mungu wasaidie madem wanao pitia maisha kama aya anko zidi kutupa fuzo nzuri kama hivi bt tamaa mbaya 😢😢
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Daaaaah,nashindwa hata nicomment nn
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Duuuuh,huyu mam alikuwa mziki mwingine kbs,ktk simuliz zote za anko j alizosimulia hii ,,huyu mam alikuwa chuma kingine kwa umafia na huo uchangudoa kweli watoto mlipata mama
@QueenElizabethmamy
@QueenElizabethmamy Ай бұрын
,😂😂😂😂😂
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
STRENGH OF A WOMAN.Things women go though for the sake of their children.waoh moureen for the courage to tell your children the truth that set you free.happy happy life in you marriage.
@MaSI-p5o
@MaSI-p5o Күн бұрын
Yani we anko jay kwa hali hii haki umechemsha,mama wwngine niwazimu kabisa.
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Daah Mungu tusamehe😢😢 makosa yetu na utusaindie wanawake wote duniani
@racheluwda6552
@racheluwda6552 9 ай бұрын
Mama ni mama hatakama ni yko vip😢😢😢❤❤❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@HuaweiY-wx7we
@HuaweiY-wx7we Жыл бұрын
Mmh Ila Moroni haina maana ya kueleza vyote hivyo kwan angesema ya muhimu tu wale ni watto
@rizikinyamz3383
@rizikinyamz3383 Жыл бұрын
Much love from this side🇰🇪🇰🇪 tunajifunza mengi big up🥰🥰🥰
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Sikuzote ukweli huacha mtu huru mnaosema asingewaambia hapana bora awaambie tuu waumie wajue mamayao maisha waliolelewaa
@NeemaNeem-ex2oi
@NeemaNeem-ex2oi 2 ай бұрын
huyu mama atakua hana akili timamu hawezi kuwahadisia watoto mambo kama haya
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 2 ай бұрын
Hata kama ba to balimushitukiza haikuwa bien kusema iile maneno
@rizikih6898
@rizikih6898 23 күн бұрын
Hauna aibu kusemulia watoto Mimi siwezi
@VeronikaJerome
@VeronikaJerome 26 күн бұрын
Simu tamu sana Ina fundisha visuri sana
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 2 ай бұрын
Haikuwa bien kubasimuliya batoto
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 6 ай бұрын
Kuna wazazi wengine hawanaga Siri kwa watoto wao
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 7 ай бұрын
Mmh ww mama atari iyo sio stori yakuwapa watoto
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Laana kali Sana kutoka kwa wazizi kuhuwa watu maisha hiziyo pendaza watu na mungu asende anko I
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 Жыл бұрын
Much ❤love Anko, for beautiful stories and educative lessons,
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Thank you
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 4 ай бұрын
Pole sana
@janethdaud201
@janethdaud201 Жыл бұрын
Kweli morine maisha ni msumeno,hukata huku na huku .Anko asante kwa simulizi.💅
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mh! kiukweli unapoonesha mwenzako kidole kimoja vitatu vinakurudia mwenyewe,huyu baba Moreen ana mambo
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@EpimackChami-g2f
@EpimackChami-g2f 6 ай бұрын
Iv uyo mama afai ata kuwa kwenye ii dunia afe2
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kumbe tuko wengi wa marudio 😅😅😅
@Mopao17
@Mopao17 Жыл бұрын
Mmmhhhh jamani huyu mama hakutakiwa kabisa kusimulia watoto maneno mengine makali uwiiiii
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Kweli kabisa 👍
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Shukran sana mr Jay we still having a good lesson day by day through all your stories much love 😘😘
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Thank you so much
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Jamani Leo nimechelewa🤔🤔🤔
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@dashuushu6883
@dashuushu6883 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@AminaChazy
@AminaChazy Жыл бұрын
❤❤❤
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Huyo mzee ni mtu mzima kisheti
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Asante sana
@rehemacharlesmasingija7470
@rehemacharlesmasingija7470 Жыл бұрын
Nimeisubiri kwa hamu sana hatimaye 🇸🇪
@ataamansi8941
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Anko Jay hii nakupongeza ina uhalisia si mambo ya kufikirika,👏 duu sasa umeanza KUWA makini katika story, pia sauti yako katika usimuliaji ni kipaji cha kutufanya tufurahie 👍
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Жыл бұрын
​@@ankojay_ asny sanaa Imenitoa machozi❤
@sparkbingabon3312
@sparkbingabon3312 Жыл бұрын
Sie wa Congo ndo tuna sema mzigo ukiwa mzito lazima utuweee kweny kinyesi kwaiyo iyo adithi ya uyo mom ili mzidi uzito ndo aka hamua kusema kwa wanae
@Mopao17
@Mopao17 Жыл бұрын
Mmmhhhh jamani huyu mama hakutakiwa kabisa kusimulia watoto maneno mengine makali uwiiiii
@sabinamasangwa293
@sabinamasangwa293 Жыл бұрын
Asantee sana anko mungu akuzidishie kipaji chako hicho Zaid na zaidi🙏🙏🙏
@uwimanalidiascheilla3256
@uwimanalidiascheilla3256 Жыл бұрын
Woow Leo nimewahi😅😅haya acha tusikiliz surprise ya anko jay na Lisa mwala
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Tunaisubiria kwa hamu,, Asante anko jay kwa burudani maridhawa tunaenjoy mno
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
thank you anko jay for the good narration i really learned
@mercymusundi8779
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑
@nawmijdodk733
@nawmijdodk733 Жыл бұрын
Shukran sana kwa muendelozo🙏🙏🙏🙏
@dayanaamoit6951
@dayanaamoit6951 Жыл бұрын
Safi Sana Anko J, simulizi nzuri sana ina mafunzo mengi sana👏
@halimahaji3856
@halimahaji3856 Жыл бұрын
Tupo kumalizia big surprise, na anko jay
@رحيمةتنزانيا
@رحيمةتنزانيا Жыл бұрын
Nimeumia sana😢😢😢😢😢😢
@williammukhwana8905
@williammukhwana8905 Жыл бұрын
Nimejifunzi mengi sana bro
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Anko jay unajua vittu vingi
@hawasaid2670
@hawasaid2670 Жыл бұрын
nimeumia sana 😭😭😭😭😭😭
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Finally, Amudulillah am d first
@sabinamasangwa293
@sabinamasangwa293 Жыл бұрын
Asanteee anko pamoja sanaa
@anthobarengeke3200
@anthobarengeke3200 Жыл бұрын
Mama alienda mbali saaaaaaana kwa maelezo yeye nawanae. Asingefika huko Kate nakuchimba mpaka huko.
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
yaani navuta picha wanaye walivyo kuwa wanalia
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Mmm unahatari wewe!
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Mmmmm inaumiza sana jamani😢😢😢
@judyauko8134
@judyauko8134 Жыл бұрын
Pole sana Maureen. Hongera Anko J
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Tamu
@Amina-og4mh
@Amina-og4mh Жыл бұрын
Nilikua naisubiria ka ma chakula wallah ❤❤❤
DADA ROSE | SIMULIZI FUPI
1:57:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 28 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 99 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,4 МЛН
BIG SUPRISE: SIMULIZI MPYA, By Ankojay
2:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 26 М.
SIMULIZI MPYA: SELINA, part 1, By Ankojay
2:11:25
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 33 М.
MATESO YA BINTI YOLANDA
3:01:49
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 46 М.
PENZI LA MTANDAONI : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
1:20:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 13 М.
PENZI LA BOSS NAHREEN: SIMULIZI FUPI BY  D OEN @OenSimulizi
1:46:55
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 12 М.
SAMRAH: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
1:50:07
Simulizi Mix
Рет қаралды 11 М.
BINTI CINDERELLA - PART 02 - SIMUILIZI YA MAPENZI
3:14:31
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 84 М.
BINTI MINAH - PART 04
2:03:35
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 33 М.
ONE MISTAKE - PART 02 - SIMULIZI YA MAPENZI
2:21:06
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 19 М.
BINTI SARAPHINA
2:30:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 48 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 99 МЛН