SIMULIZI FUPI: UTAMU

  Рет қаралды 34,856

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Hii Ni Simulizi Fupi Ambayo anweza kusikiliza mtu yoyote sababu imebeba mafunzo mazuri sana katika kuelimisha jamii

Пікірлер: 151
@gracenapella668
@gracenapella668 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwa hiyo watu wa Mtwara ndio tulivyo??? Baba na Mwana..... "chaumbile nnungu chakumemena....." ankojay 🤣🤣🤣
@salmakim557
@salmakim557 Жыл бұрын
Anko Jay, samahani sana kama nimekua nikukosesha hela kwa kuskip advert. Asante kwa simulizi tamu 🥰
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
🙏sawa, basi nikuombe now uwe unayasubulia, maana tangazo likiisha, simulizi inaendelea automatic
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
​@@ankojay_oooooh,samahan hata mie sikufahamu samajan
@polinlizzlizz
@polinlizzlizz Жыл бұрын
Leo one like kwangu please
@shahzananhafidh6858
@shahzananhafidh6858 Жыл бұрын
Ama kweli unajua kutuletea vitu motomoto kweli hongera sana ankoj ,,,,njoo vacation mombasa kenya 🇰🇪 nitakupokeq na kukusimamia kila kitu had urudi tz karibu sana kenya
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Anko jay nimefurahi kwa ulivyo sema kuhusu matangazo kuanzia sasa ntafanya hivo 🎉❤ 1:21:26
@EdinaEdina-tn4go
@EdinaEdina-tn4go 14 күн бұрын
Anko jay, vipi kuhusu simulizi 1:26 ya
@suzanaminde281
@suzanaminde281 6 ай бұрын
Ankojey unatukosha na story zako tuendelee na Alvulisa bana tumalizie utamu
@cesiliakessy3691
@cesiliakessy3691 Жыл бұрын
Simulizi hiii ya jina hili Angekuwa lissa mwalla We jua tu Angekuwa Lissa mwalla😅😅😅😅😅😅😅😅 Imeenda hiiiiiiiiii
@LaykaSuleyman-pm7iz
@LaykaSuleyman-pm7iz Жыл бұрын
Anko j wangu uyo jmny 😊 love your voice
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Umskin ,usitufanye kufanya maamuzi magumu pia Mungu atusaidie sana kwa haya maisha,santii kaka Jay
@MmangaIbrahim-yl5eu
@MmangaIbrahim-yl5eu Жыл бұрын
Huyu anko akianzq kucheka tu najua kumekucha 😅😅😅😅maana qna kicheko kengine hichoo
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Жыл бұрын
Umeona eeh 😂
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Жыл бұрын
Wee Lisa Mwalla yupo juu huwa afichi kitu😂😂 .. anko j Mwambie Lisa
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Kweli yuko juu
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 11 ай бұрын
Part 2 plzzzzzz Kama iko jamani
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 11 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Жыл бұрын
Watano mim leooooo💃💃💃💃🤗🤗🤗🤗 asanteeee anko jay ❤️❤️ 🥰🥰🥰
@StellaMalando
@StellaMalando 2 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri yenye mafunzo mazuri sana ❤❤❤❤ Anko J 🥰🥰 love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
@safiya9319
@safiya9319 Жыл бұрын
asante sana anko jay kwa simulizi ya mafunzo.hongera
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
I thank God I have been going through alot in ma life bt nilijiapiza kuna kz sitoweza kuzifanya ya uchangudoa na kuuza club sijisifii ila kuliko kufanya hizo aina mbili ya kazi Bora niombe mungu aniondoe kwa hii Dunia nachukia tena zaidi shukran mr Jay much love and God bless you
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Hi guys? We to think the results over what we are doing in this world, we need to reject offers even if we are broke
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@بدوربالعبيد
@بدوربالعبيد 5 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Жыл бұрын
tamaa mbele mauti nyuma
@AfrahAfrah-o4o
@AfrahAfrah-o4o 7 ай бұрын
Mapita tumeumbiwa binadamu lakini kutembea namumewamtu ambae amekutendea wema naww unatembea namumewake ulimuone
@عهُد-ب6ظ
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
Hakika tamaa mbaya ingawa makosa mengine yanapo fanyika huwa ni kwasababu ya mafunzo kwa wengine
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Hi mom ata ukibadilisha Jina nakutambua tu I miss ma love
@عهُد-ب6ظ
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
@@Pretty22750 please sio kupenda ila ikibidi nani my love
@leahmajaliwa6575
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Mashaa Allah nzuri ila napenda simuliz ndefu kam seson sijui kwanin ila naisi msimuliaji ananikosha moyo natamani nimsikie
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Saaaana kwa kweli
@salomesaedy8186
@salomesaedy8186 Жыл бұрын
Wa kwanzaaa leoooooo
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
🎉🎉🎉 Safi
@AyshaTanzania-b2s
@AyshaTanzania-b2s 6 ай бұрын
Ankojay jamani mpaka tunaamukusiliza simulizi yonyote kwajili lisa apatikani❤😂
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Hapo sasa utamu utamunii ,,ahsante msimuliaji naenjoy zangu mie😊😊😊😊,woyoooooo
@EvaEva-cd9tj
@EvaEva-cd9tj Жыл бұрын
Ankojay mimi nakupenda bure ❤❤❤
@selfamitche3530
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Wow amazing story shukran sana jay ❤
@roselambert6700
@roselambert6700 Жыл бұрын
Haya haya mzigo hewani tunasikiliza thanks @ankojay❤
@jenniferlicko4736
@jenniferlicko4736 Жыл бұрын
Anko Jay nimengia ndani ya nyumba japo Kwa kuchelewa aaaaaaaaahhhh weeeeeee nitamu kweli mno any way acha nikupe masikio 😂😂😂😂😂😂
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Dah 😳 umdhaniae ndiye kumbe siye maskini mwa J oooh
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Ndivyo ng'ombe akivunoka mguu machungani hurudi zizini kwake Pole
@DignaDaudi
@DignaDaudi Жыл бұрын
Unajua kusimulia jamani unanikoshaa sanaa we anko j
@ShukuraniMapunda-lz3un
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Hongera, tunaomba wakili wa moyo 3
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Utamu haya twende nao mpaka mwisho
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 4 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah ❤️❤️❤️🇴🇲🇴🇲❤️
@safiya9319
@safiya9319 Жыл бұрын
hongera anko jay🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Sasa kwa mwenendo huo ugonjwa utakupitia kando kweli?
@EdinaEdina-tn4go
@EdinaEdina-tn4go 14 күн бұрын
Anko jay, vipi kuhusu simulizi ya halima
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Simulia bhana kila kitu usifiche chochote
@ZainabMosa-n3n
@ZainabMosa-n3n 4 ай бұрын
Asante sna kwa smlzi nimejifuza mungu akubariki sna kka akupe maisha marefu na afy njema
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Yani akojay asate sana mana tunaijoi sana🙏🙏🥰🥰🥰
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi 10 ай бұрын
yani simulizi hiii imenigonga moyo,je t'aime bcp anko,tu me manque
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 7 ай бұрын
Fuzo kubwa sana yaani nimejifuza mambo megi masikini huyo dada alikosa kila kitu inauma sana😢
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Ama unajua kutufurahisha Anko jay Asante 🔥🔥🔥🔥
@dhuhasaid636
@dhuhasaid636 Жыл бұрын
Ankojay 😊new voice leo imetulua mahalaa pake 👌 😊
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉chukua hiyo kaka Anko 🙏🏻🙏🏻 ❤❤
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
To be continued
@olivabata287
@olivabata287 Жыл бұрын
Wow nice story nice voice
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Asante anko na juma hiza kwa colabo yenu my god bless both o you
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Tabia mbaya sana ya kuwa na mahusiano baba na mwanae
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Shatani Hana mume moja hanatumia mwanadamu kama jombo che sitareh tu ili hupotea husione mungu
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi 10 ай бұрын
merci anko j
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh Жыл бұрын
Mkataa pema papaya pana mwits
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Saaana
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 Жыл бұрын
Thank you❤ Ankojay napenda sana
@HappyMshanga-xx1ob
@HappyMshanga-xx1ob Жыл бұрын
Bila shaka mtunzi Lissa mwalla😂😂❤
@puritylobun5313
@puritylobun5313 Жыл бұрын
Sasa mambo si ndio hayo..yaani mambo ni bam-bam 😂😂😂
@JanethRweyendera-oo2wk
@JanethRweyendera-oo2wk 10 ай бұрын
mambo kaka
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Kila siku miee top 32 duuh haya UTAMU hupi huo tunasikiliza ilitujuwe huo utamuu asante kwa simulizi ankojay🥰🥰🥰
@ElizaSada
@ElizaSada 3 ай бұрын
Sawa sawa sawa ❤❤❤❤
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Nimeandika mara 2 aiji utaweza maisha moja mpaka wasp
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Santee anko akee simulizi nzur
@AfrahAfrah-o4o
@AfrahAfrah-o4o 7 ай бұрын
Uyudada anajuakwamba alikuwa anjitambua kwani wewe siulikuwa namikayakujitambua kabisa bora angetembea namtato nasio baba mwenyemba nammewamtu kosa
@FadhilaJumanne-l8k
@FadhilaJumanne-l8k 4 ай бұрын
Daa asante dada
@joykatakana1099
@joykatakana1099 Жыл бұрын
Mm cwezi sema n masikin coz mungu kanijalia kila kitu so hata nikiwa pesa sina cwezi fanya hiyo kazi heri nife njaa au nife nikiwa masikini wa pesa kuliko kujiuza
@salomesaedy8186
@salomesaedy8186 Жыл бұрын
Fantastic story🎉
@isaac.hakizimana
@isaac.hakizimana Жыл бұрын
It’s like i’m not the first one here this time
@aminahassan3588
@aminahassan3588 Жыл бұрын
Ànko jay asante kwa kutukampany na simulizi zako
@MariamWilliam-qx9ge
@MariamWilliam-qx9ge Жыл бұрын
Kwakweli nazipenda sana Kwa sababu sinaerimisha😅😅
@lovenessyesse9053
@lovenessyesse9053 Жыл бұрын
Haya sasa utam ngoja nisikilize nijui niutam wann
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Anko jay chura ana nesanesa
@ShukuraniMapunda-lz3un
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Hongera tunaomba wakili ya moyo
@fahadabdalla2858
@fahadabdalla2858 Жыл бұрын
Mm nimewahi leo
@radjabonassydieudonne4443
@radjabonassydieudonne4443 Жыл бұрын
Bingwa wawooooo uyo,
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Ahsante anko Jay tunapata mafunzo from zanzibar ❤
@shanikiwele3111
@shanikiwele3111 Жыл бұрын
Daaah ankooo ety mi wa 42 Leo 😭😭
@shazyqull2547
@shazyqull2547 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@Mopao17
@Mopao17 Жыл бұрын
Hi Anko Jay idd mubaraka Kaka tuko pamoja
@LeylaMcha
@LeylaMcha Ай бұрын
Wao anko jman tunainjoy san
@mishelygodlisten1171
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Hiii wiki n yangu top 20 anko twende kazi
@loisebasilica7506
@loisebasilica7506 Жыл бұрын
Tunajua ankojay ww nikiboko yao❤❤❤ much love
@williammukhwana8905
@williammukhwana8905 Жыл бұрын
Waah amazing stroy
@annakinyi218
@annakinyi218 Жыл бұрын
Utamu tena jay ok wacha nikuskie jay ❤❤❤❤
@brigdk
@brigdk Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ much love Anko hapa saudi Arabia
@DicksonDickson-my2yy
@DicksonDickson-my2yy 11 ай бұрын
Ukovizuri
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Kunguru hafugiki 🤔
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 Жыл бұрын
Malaya hata afanye hiyo kazi miaka 10 hajawahi ridhika kapata hela hata ya mtaji aache kujiuza anazeeka akiwa anajiuza
@furahaneema920
@furahaneema920 Жыл бұрын
Asante Anko jay ngoja tusikilize🥰🥰 Jana ulisema tusiwe tuna skip act Mimi nilikuwa sijuwi uwa na skip matangazo
@babyangele3847
@babyangele3847 Жыл бұрын
ankojay naomba utulete ako simulizi za kutisha jamani kama ZA majini ama uchawi please tuu
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Sawa
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄jmn nanivyo ota na hayo Bora ata atuletee za ujasusi I'm addicted from this story plizzz Jay can you do something 4us???
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
​@@ankojay_mmmmh,mim napenda tu za kipelelez na za mahaba
@maryworkman635
@maryworkman635 Жыл бұрын
Anko Jay jamani kama kweli vile ukasema kweli MUNGU ni fundi Lo! Kijana wewe kajaliwa na sauti nzuri, simulizi nzuri nzuri kila siku, kuna dadangu kila siku alikuwa akiniyandiki text, na kwa mbiya siku moja akaniudi juu amezidi hanipi nafasi bwana, nilimtumia simulizi ya Anko Jay Lo😂 mbaka leo hajawahi kunisumbuwa yuko busy na simulizi🤣🤣🤣🤣 nakwambiya nilishukuru MUNGU 🙏🏽kweli na mimi piya Lo nasikiza simulizi kwa Amani l l❤️ you Anko Jay and your voice is killing me nikisiya sauti yako roho yangu inakufa kwa raha 😄 much ❤Anko Jay 🇰🇪
@LilianDama-d4b
@LilianDama-d4b Жыл бұрын
Qa1 za za
@LilianDama-d4b
@LilianDama-d4b Жыл бұрын
A
@judyauko8134
@judyauko8134 Жыл бұрын
Shukran sana Anko Jay
@fjggoxfh9502
@fjggoxfh9502 Жыл бұрын
Anko samahani kuhusu kile ulitafusili cakukuingizia kipat mm bad sija elewa
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Nitaelekeza tena usijali
@rayarashid3428
@rayarashid3428 Жыл бұрын
Wacha niskilize utam gan huuu😂
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Жыл бұрын
Jamn Lisa mwala mbona kimya jmn
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
😂 😂 Kumbe wa jina jamani
@AliBadi-p4i
@AliBadi-p4i Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Жыл бұрын
Asante sana ankojay ❤
@CeciliaChuwa-q2k
@CeciliaChuwa-q2k Жыл бұрын
AMIGERY PART 1 : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
4:11:41
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 27 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН
SIMULIZI FUPI; CHUMBANI (wakubwa tu)
1:35:31
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 160 М.
ISABELA: SIMULIZI FUPI
2:34:54
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 43 М.
BINTI TESSY
1:49:06
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
BINTI MINAH - SIMULIZI MPYA
2:03:46
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 60 М.
Träna Svenska - Ringa till jobbet och förskolan och sjukanmäla barn
27:48
BOSS MTOTO - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:02:12
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 146 М.
The One Key Sign You're Doing Enough as a Muslim
9:51
Empowered Muslimah
Рет қаралды 1 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН