BINTI LISA - PART 87

  Рет қаралды 20,944

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Mara baada ya hapo, familia nzima ya Wanjiku ikawa na shughuli nyingi!

Пікірлер: 296
@violetmulya
@violetmulya 3 ай бұрын
Kenny amefanya nikamkumbuka hensi WA Alvin yupo wapi jameni😢 then having a friend like alvin is just a blessing i love the way he is protecting chestar❤
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 ай бұрын
Hans yupo amekuwa mwenyekiti wa K.M.International
@violetmulya
@violetmulya 3 ай бұрын
@@lilianeerica3318 ni muda umepita bila kutajwa, alafu kipenzi changu Jacky yupo hai ni furaha ilioje🥰
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
​@@violetmulyaAlhamdhulilah
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
❤❤❤ as ant ankojy familia muko poa tunaendelea piteni namimi niko apa tim kipori uhondo tayali tunahondomola jack kimaro karud tumpongeze kwa makofi👏👏 tunetena furaha tele acha tuhondooo km tuko pamoja gonga nakwangu tuungane🌹🌹 🏃
@Anzazinyanje-bz6xb
@Anzazinyanje-bz6xb 3 ай бұрын
Anko mungu akupe chenye unataka uzima na maisha marefu tuzidi kufurahia kazi zako
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
Amin
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 3 ай бұрын
Amina
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 3 ай бұрын
Hodi hodi wana familiya ya ankoj nawapungia mkono ndo naingia ❤❤❤❤kwako ankoj wale tuna penda ankoj simulizi gonga like hapa
@sadatsadiq5183
@sadatsadiq5183 3 ай бұрын
🎉❤
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Eid mubaraqa WANAFAMILIYA wezangu nilikuwa naisubili hapa kila muda nachungulia haya wangapi WAMEBOEKA kumkosa LISA LIKE 10 ✌️
@FatmaMohammed-eo6qd
@FatmaMohammed-eo6qd 3 ай бұрын
Takabal Allahu waminkum
@azzocirty306
@azzocirty306 3 ай бұрын
IDD MUBARAK TOO
@MuzznaMo12
@MuzznaMo12 3 ай бұрын
tupo
@saodashabani2652
@saodashabani2652 3 ай бұрын
Tagqba Allah waminkum
@Ukhtytifah
@Ukhtytifah 3 ай бұрын
Taqaballa Allahu minna wa minkum
@saumukambi8562
@saumukambi8562 3 ай бұрын
Mm nakupa bg up uishi miaka Uone vijukuu na mkuuu mmoja arithi kazi yako.❤❤❤❤❤❤
@TsfighoCjkgoyy
@TsfighoCjkgoyy 3 ай бұрын
Eid mbarak to all Muslims ankojey mwenyezi mungu azidi kkupa nguvu na subra kwenye kzi yko pamoja na jomba wanjoo maua ynu ndio hyo 🎉🎉🎉
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
Mpe na haya mauwa yangu 🎉🎉🎉❤
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Naingia kwa kulia😢😢😢 nimekuwa wa mwisho tena😢naomben like za kufuta machoz
@AjrasMobile-q8j
@AjrasMobile-q8j 3 ай бұрын
Bint lisa imerudi kua tam upya kama zamani nmefurahi Jack kua hai asante sana ankoj upewe maua yako🎉🎉
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Da,hakuna mtu aliyeniuma kama Jack kwa kifo chake,nililia sana,nimefurahi sana leo,sijui Alvin na mzee Tikisa watafurahi vipi 😭😭
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz 3 ай бұрын
Wee nmecheka sana et mzee tingisha
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
@@ZabibuHassan-ci5vz 😂😂😂😂 hivi ni Tikisa eh 🤣🤣 ah samahani Zabibu
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 3 ай бұрын
Kila kwenye chuki kuna msamaha jack atasamehe na atarudi kwa familia yake na vile naona mzee Tikisa anaweza rudiana na mkewe iwe familia kamili Tena❤❤ ni maoni tuu
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg hata mimi naamini hilo,sababu Jack ana hasira sana sasa,hata ungekuwa wewe,ila muda unatibu,atasamehe tu yataisha
@Fathum763
@Fathum763 3 ай бұрын
😂😂😂😂tngisha
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Bi wanjiku we noma,achahizo c kwamdomo mchafu huo. usimzaru mtu usiemujua mwisho waubaya niaibu
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
😊😊😊
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 3 ай бұрын
No 11 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love Asante sana Ankojay 🙏 be blessed
@OmanBahla-i5g
@OmanBahla-i5g 3 ай бұрын
Nimechelewa ila tukopamoja wapenzi twende kaziii!!¡!😀😀😀♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🙏
@binthassan9191
@binthassan9191 3 ай бұрын
Wanaume kama chesta kwenye karne hii yetu ya sasa hakuna walizikwa kitambo 😂😂
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 3 ай бұрын
Kweli kabisaa
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
Wanaume Malaya watesaji wanawake wadharauji wanawake wenye kibri au ni vile yuwajutia kumtesa charit je kama angekufa jela angejuta saa ngapi usimtese mtu kwasababu Kuna neno msamaa jitahid kuwa mwema Moja Kwa Moja unae mdharau siku Moja huenda akawa malikia siku Moja Dunia duwara
@binthassan9191
@binthassan9191 3 ай бұрын
@FatumaRamadan.Mwalim absolutely right ✅️
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 3 ай бұрын
Jamani jamani hivi surprise mie hoi ❤️❤️Ankojay ubarikiwe sana , ila leo nimekuwa mwisho jaman nawaombeni like😢
@Salhah-v9h
@Salhah-v9h 3 ай бұрын
Ww anko jay. Tumekusikiliz. Kweny ubol. Zaid😂😂😂😂 daah. Ikikipand. Nilitamani. Kisiishe. ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@جيهانسالم-ج3خ
@جيهانسالم-ج3خ 3 ай бұрын
iyi simulizi iko inapoteza laza jamani kama lumewona kama mimi semeni basi yani bila kivuruge kwenye simulizi hainogi wangapi mumemukumbuka rodey like apa iyani anabooo sana
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 3 ай бұрын
Umeongea my Rodney anachabgamsha banah nimemmisi sana
@MamaFei-o2i
@MamaFei-o2i 3 ай бұрын
Yani apo umeongea poent daa mm mwenyew inanishocha saivii Rodney wangu nimemis lkn hata sioni dalili ya kulud apa ikifika mbk 90 Rodney hatajwi Tena naacha kusklizaa
@MamaFei-o2i
@MamaFei-o2i 3 ай бұрын
@@MarimGodifrey kbsa yani nimemss kwel Rodney
@saumunyadzua
@saumunyadzua 3 ай бұрын
Kabisa Rodney alifaa kua na Pamela charity na Chester lisa na Alvin wake jamani jomba wajo basi fanyaambo yako Rodney prudish akili zake
@fallymetoo191
@fallymetoo191 3 ай бұрын
KHERI YA EID - AL - ADHA'HA Wapenzi wasikilizaji wa Ankojay na Ankojay mwenyewe 🙏🏼
@susynjambi
@susynjambi 3 ай бұрын
Hi
@JosphineJeptanui-u4i
@JosphineJeptanui-u4i 3 ай бұрын
Jamani leo at list nimewai❤️❤️❤️ thanks Anko jay the king of simulizi
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 3 ай бұрын
Jamani watu wa viporo mpo Kama kweli wewe ni familia ya anko jay gonga like ❤
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 3 ай бұрын
Lazima charity ataolewa na Chester wangapi wananiunga mikono🙋 na like🎉🎉❤😂
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 3 ай бұрын
Hii ni sapries ya eddi kwa Anko jey maua yako🎉🎉🎉
@maresianazengo6317
@maresianazengo6317 3 ай бұрын
Waoo Jack wetu karudi mpaka nimelia machozi ya furaha du❤❤ sana Jack wetu
@khadijamohd5741
@khadijamohd5741 3 ай бұрын
Tulofurahi Jack kurudi tujuwane
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 3 ай бұрын
😂😂😂😂akoj umenivunja mbavu na kicheko isee hapo kwa ubora zaidi hongera kwako
@PopoHiga
@PopoHiga 3 ай бұрын
Nimeipenda hii bora zaidi Leo nimecheka bora zaidi
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 3 ай бұрын
Wale tulio kisia ni jacky baada ya charity kumuona tujuane hapa kwa like❤❤❤❤❤
@SusanNeema-re3hr
@SusanNeema-re3hr 3 ай бұрын
Nimekua wa 8 ....anko asante sana nawe unajua kutufurahisha kweli 🎉🎉🎉
@BethMdoe
@BethMdoe 3 ай бұрын
Hahahaa asee ni ubora zaid❤
@StellaMalando
@StellaMalando 3 ай бұрын
Asante anko jay nimechelewa sana jamn leo hadi 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹
@nusibamohammed3995
@nusibamohammed3995 3 ай бұрын
Timu viporo jaman kujen huku nipeni like zenu❤❤❤🎉😊
@mariamsaidi1658
@mariamsaidi1658 3 ай бұрын
Mzee choka ni shetani Kabisa 😢
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 3 ай бұрын
Nikama Kelvin Moshi
@lucykarii6860
@lucykarii6860 3 ай бұрын
Liankoj simulizi nilikubwa sana natunalipenda sana sana ❤❤❤😂
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 2 ай бұрын
Nice story be blessed my wetu kipenzi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MargaretMuguti
@MargaretMuguti 3 ай бұрын
Asante anko jay.......wiki imeanza vizuri kwa hii simulizi
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 3 ай бұрын
❤❤❤ jack is alive🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉
@Ahmada15
@Ahmada15 3 ай бұрын
Kweri mama❤😅😅💃🏻💃🏻
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 3 ай бұрын
Dah anko umeamua jamani we ninma ubalikiwe much love❤❤❤❤🎉🎉🎉
@FatmaHaji-u9k
@FatmaHaji-u9k 3 ай бұрын
Ahasante kipenzi Cha wote
@NancyKwimba
@NancyKwimba 3 ай бұрын
Tunasikiliza kwa ubora zaidi
@MercylineKatana-h8f
@MercylineKatana-h8f 3 ай бұрын
Hakika nime furahia jack yuko Hai Kwa ubora zaidi😂😂😂
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 3 ай бұрын
Wakwanza mim hapa you tube like zenu tafadhali 🎉🎉🎉🎉
@candidamushi-se9mb
@candidamushi-se9mb 3 ай бұрын
Mambo ni boraaa zaidiii❤❤❤
@sabrinarashid7990
@sabrinarashid7990 3 ай бұрын
Shukran uncle jay Mmungu akupe umri mrefu inshalah
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 ah! ila Ankojay 🤣🤣🤣
@hdhjdh775
@hdhjdh775 3 ай бұрын
❤❤❤❤ Asante sana Anko wetu 🎉🎉🎉
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 3 ай бұрын
Nirudishieni rodney anaikasirishe Sasa naona jack asharudi
@fatumakama8760
@fatumakama8760 3 ай бұрын
Nakwambia nimemix mno
@MishyYusuph
@MishyYusuph 3 ай бұрын
Japo nimechelewa ila nimo, Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@anunalamin6472
@anunalamin6472 3 ай бұрын
Anko bwana nimeipenda hio ya ubora zaidi nimecheka kaaa mbwa
@ankojay_
@ankojay_ 3 ай бұрын
😃😃
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
​@@ankojay_tunaomba Lisa Leo tusherehekee kumpata jack na idi pamoja please love ❤si wajua ww ni Bora zaidi twakupenda Kwa ubora wake zaidi shika mauwa yake hayo 🎉🎉🎉
@سيدا-ص1ز
@سيدا-ص1ز 3 ай бұрын
Sumulizi ya lisa sasa nitamu kama zamani jamani wenzangu simunaona kabisa kwa ya leo tamu sana kwa jack kuwa hai imekuwa bora zaidi sana tu ubarikiwe musumuliaji wetu bora zaidi
@AnnaMundia-d3o
@AnnaMundia-d3o 3 ай бұрын
Leo nimefurahi sana Jack yuko hai ..thanks ankojay
@MoniraMonira-dg3cd
@MoniraMonira-dg3cd 3 ай бұрын
We mkaka ubarikiwe InshaAllah ❤❤❤❤❤
@periswairimu2545
@periswairimu2545 3 ай бұрын
Eid Mubarak,hee jamani nimechelewa wapi,😂😂😂bona hamnitii wacheni uchoyo
@حليمةيوسف-ل9ت
@حليمةيوسف-ل9ت 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂halooooo k.i.m.international.....ank jay umrweza hahaaaaaa hongera
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 3 ай бұрын
Tunakaa mkao wa kusubiri sehemu ya 88 kwa ubora zaidi 😂😂😂❤❤❤
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 3 ай бұрын
Ila uyu baba ni mbwa huyu kha!! 😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Tena ni mbwa mbaya asiye na akili hata tone😢😢
@Mariam55-hz8if
@Mariam55-hz8if 3 ай бұрын
Anakera sana huko mbele atakuja kujuta upuuzi wake
@monia_nduwimana
@monia_nduwimana 3 ай бұрын
Asante kwa simulizi bora zaidi😂😂😂🎉
@Loy-g2m
@Loy-g2m 3 ай бұрын
Alvin anapiga nyieeee 😂😂😂
@NurahMummy
@NurahMummy 3 ай бұрын
😂 😂 😂 😂anapiga tena anakupiga na dharau😅😅
@Loy-g2m
@Loy-g2m 3 ай бұрын
😂😂😂
@elizabethkeli956
@elizabethkeli956 3 ай бұрын
Hii inakaa nzuri zaidi ❤❤
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 3 ай бұрын
Wacha tuone vita ya ndugu inaishia wapi sasa
@CarolyneWetala
@CarolyneWetala 3 ай бұрын
Mimi pia niko kwa ubora zaidi 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 asante anko jay kwa ubora zaidi na. Zaidi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 ай бұрын
Woow kumbe Jack hakufaa sasa huyo mamamkwe anamdhihaki naona atampigia saluti na hao wasichana wake..baba Chester naye akili kisoda anataka kuua mtoto anasahau mazuri anakumbuka mabayaa looo
@MariamJuma-o9z
@MariamJuma-o9z 3 ай бұрын
Anko jay simulizi bora zaidi shukran sana ❤❤❤❤💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
@annahnyansiaboka451
@annahnyansiaboka451 3 ай бұрын
Aisee hii ni kali sana uyu mama atakufa akiona mwenye kiti ni chake Wai basi 88 aki
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 3 ай бұрын
Asante sana Anko jay yani unatufuraisha sana ila tunataka tumuone chesta naye ❤❤❤❤❤❤
@fatumamatano8216
@fatumamatano8216 3 ай бұрын
Anko kwani ulitususia na movie mbna uleti tena saivi.
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Leo anko katurudisha kulee😂😂utam utam leo tumeckia sana alivin jmn wow jack iz back😅😅🤣bado kina kelvin watarud
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 3 ай бұрын
Asante Mungu Jack wetu hajafa 🧜🧜🧜
@AbelinJoselini
@AbelinJoselini 3 ай бұрын
Lisa kumnogile sasa......❤
@حليمةيوسف-ل9ت
@حليمةيوسف-ل9ت 3 ай бұрын
Idd mubarak kakangu mzuri anko jay
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Bi Wanjiku na wanae hadi huruma wanavyojivua nguo mbele ya Jack 😂😂😂😂
@Ahmada15
@Ahmada15 3 ай бұрын
Sana waca tusubili part 88..Anko Jay tupe muzingo
@مريمكينيا-ش8ح
@مريمكينيا-ش8ح 3 ай бұрын
Hatari
@speciozamikole2194
@speciozamikole2194 3 ай бұрын
Ubora zaidi😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 3 ай бұрын
Kwakweli hi 87 iko kwenye ubora zaidi sio zile za Ian na Pamela
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi 3 ай бұрын
Part za Ian na Pamela zilikuwa ziri sana, nilikuwa nazipenda sana🎉🎉🎉
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 3 ай бұрын
Yap part za Alvin na Lissa pamoja na hii zanoga sana Kwa kweli Anko ubarikiwe sana Kwa kweli
@ZuwenaIsmail-vb4md
@ZuwenaIsmail-vb4md 3 ай бұрын
😮HATA miye na sikiliza ktk ubora zaidi /nainjoy ktk Ubora zaid die nafurahishwa ktk ubora zaidi 😂😂😂😂😂😂😂bye bye 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 3 ай бұрын
Ancojey niseme asante sana
@monicahndirangu6764
@monicahndirangu6764 3 ай бұрын
EID MUBARAK ankojay family
@happyalberto8903
@happyalberto8903 3 ай бұрын
Waoooooh jack is back❤️❤️❤️
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 hafu ckuu ya mkutano atokee Jackson kwenye ubora zaidi😂😂😂 cpati pichaa watakavoshuka kwenye ubora zaidi😂
@Madameochu
@Madameochu 3 ай бұрын
Asante anko jay 🎉🎉
@donaldchacha
@donaldchacha 3 ай бұрын
Sehemu ya. Gerald na Jacky inafanana na kisa Fulani kwenye story Fulani nilisoma kwenye kitabu fulani
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 3 ай бұрын
kuchelewa ndio kawaida yangu tu aki
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 3 ай бұрын
Duuu nani amefurahia kuwa Jack yuko hai iseee hii ni tamu sana je bi wanjiko atalichukuliaje hili kuwa mtu mwenye walikuwa wakindharau ndie mwenyeketi wa k m I???mambo yanizudi kuwa motooooo
@felistahaule6789
@felistahaule6789 3 ай бұрын
Hakika tunaenderea kuinjoi simlizi ni pambe
@MaryamOthman-i5y
@MaryamOthman-i5y 3 ай бұрын
Eidy mubaraka wana family ya ankojay
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Ahmada15
@Ahmada15 3 ай бұрын
💪💪💪💪Jack amerudi🥰🥰
@Janetkamwangi
@Janetkamwangi 3 ай бұрын
Li anko Jay simulizi
@EstarFredy
@EstarFredy 3 ай бұрын
Ubora zaidi
@nyamvulafatuma5383
@nyamvulafatuma5383 3 ай бұрын
Tupo timu viporo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 3 ай бұрын
Mambo poa kabisa kaka Ankojay vipi na wewe mzima ❤❤❤❤
@MariahMariahmambo
@MariahMariahmambo 3 ай бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉 ubora zaidi asante Anko jay 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 3 ай бұрын
Maskini chestr mungu wasaidie awa wawhili
@wertqwe8326
@wertqwe8326 3 ай бұрын
Jamani anko jay nasubiria huo utambulishachi wa mweyekiti ambaye anaambiwa nimchafu na nitakataka duuuuuuh patamu hapo
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 3 ай бұрын
🤗😁👏👏👏👏 asantee
@YonasKessy
@YonasKessy 3 ай бұрын
Aante ankoj ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@victoriangasa
@victoriangasa 3 ай бұрын
Msikilizaji na msoma comment ndo anaingia kiustarabu bila kukanyagana💃💃😢😂😂❤🎉
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
Mm ndio nafika sahii mdogo mdogo bila tabu na mtumm mpenda amani❤
@victoriangasa
@victoriangasa 3 ай бұрын
@@FatumaRamadan.Mwalim karibu
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 3 ай бұрын
Asante
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 3 ай бұрын
Mzee khanda pumbafu zako Mzee mjinga sana wewe
@RahmataMuhsin
@RahmataMuhsin 3 ай бұрын
Hahahahaha nimecheka sana kwenye ubora zaid
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 3 ай бұрын
Awajui jack ndio mwenye company
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 3 ай бұрын
Weweee Binti Lisa imenoga bala 😂😂😂
@irne2926
@irne2926 3 ай бұрын
Yani anko nomeipena his borazaidi😂😂😂😂😂😂
@lonakirao5275
@lonakirao5275 3 ай бұрын
😂😂😂😂kila kitu kwenye ubora zaidi 😂😂😂😂😂
BINTI LISA - PART 88
3:02:21
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 21 М.
ENGLISH SPEECH | PALKI SHARMA: India's Right Path (English Subtitles)
14:44
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,1 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 102 МЛН
احتياجات الرجل النفسية د. امال عطية
23:05
امال عطية amaal attia
Рет қаралды 6 М.
BANI DA GATA..... 02
23:17
Abokiyar Hira
Рет қаралды 23 М.
HOUSE GIRL  EP 02 || love story 💕💞
18:38
BUSATI TV
Рет қаралды 281 М.
BINTI LISA - PART 86
3:11:03
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 23 М.