BINTI LISA - PART 75

  Рет қаралды 24,925

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Ай бұрын

Kulikuwa na ukungu nje. Taa za gari hilo hazikuwashwa, na mwanga kutoka sehemu ya maegesho ya gari nje ukaangaza ndani ya gari.

Пікірлер: 607
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
Timu binti lisa 🎉 naomba like zangu
@user-di5td5gt4u
@user-di5td5gt4u Ай бұрын
Weweeeee🎉🎉🎉❤❤❤❤
@suzanarogath2696
@suzanarogath2696 Ай бұрын
Anko jey unatisha kwa simuliz ya lisa
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Ай бұрын
Uchumba tunao hatunaa😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y Ай бұрын
💘💞💕
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
@@mwanamisikifogo869 tunawoo
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 Ай бұрын
Mimi namuunga mkono IAN NA PAMELA
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf Ай бұрын
Adi mimi sasaivi nimwendo wakugawana maumivu Rodney ana jipya
@JojoSrena
@JojoSrena Ай бұрын
Nami pia
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Ай бұрын
Sawa lkn wajue daniela nimtoto warodn hata wampedawa onedy isioko najina rodin dawa itaisha tuu
@user-cm6xi7lx9x
@user-cm6xi7lx9x Ай бұрын
iani amekosea sana kupotea kumbukumbu ya Rodney sijapenda😢😢
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Ай бұрын
Kwahiyoo unaunga mkono rodn kupewaa dawa yakupunguza akili kweli?hawa watajuta mbeleni
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i Ай бұрын
🎉🎉🎉 Asante anko mapesa mungu akubalik familia na Mimi wamwisho naomba like zenu ata 19 au 20 nampenda ote
@user-it5ej8eq6m
@user-it5ej8eq6m Ай бұрын
Amin
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
😊😊🌹
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Ай бұрын
❤❤
@samychance
@samychance Ай бұрын
Hatimae Leo nmewahi naombeni like bac❤ nawapenda mashabiki wenzangu🎉❤
@user-it5ej8eq6m
@user-it5ej8eq6m Ай бұрын
Love you too ❤
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
Ushapata my dear 🥰
@user-td2se4tf8v
@user-td2se4tf8v Ай бұрын
Ankojay mambo SI mambo hii ndoa kweli itakuwa salama??
@user-np1br9ym3w
@user-np1br9ym3w Ай бұрын
Mimi sijafurahia ndoa ya iani na pamela 😅😅 pia mama iani simpendi 😢
@javandaudi5553
@javandaudi5553 Ай бұрын
Ewaaa team Rodney gonga like😂😂
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Ай бұрын
Nenda mgongania huko utotoni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ElizabethNdaga-nr7nc
@ElizabethNdaga-nr7nc 18 күн бұрын
unaona eeeh 😂😂😂😂​@@lilianeerica3318
@nusibamohammed3995
@nusibamohammed3995 Ай бұрын
Timu viporo jmn mpo tujuane kwa like🎉❤🙌💪💪
@mariamsaidi1658
@mariamsaidi1658 Ай бұрын
Binti Lisa ni ya moto ❤️‍🔥❤️‍🔥🙏
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu Ай бұрын
Ni binti Pamela saa hiii ya Lisa iliisha zamani
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
Achaaa atesekee2 kwanzaa alimtesa sana lisaa wanguu tokaa mwanzo cjawahi kumpenda Rodney na zarau zakee tokaa mwanzo😏😏😏😏😏😏 mpuuzi 2 jee agerongwa kwa alivn sasa ingekuwajee muachee kumlaum Pamela na Lan Rodney kahalibu mwanyewe
@user-mc8rr1xi9w
@user-mc8rr1xi9w Ай бұрын
Tupo wengi mwanaume ana mdomo
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
@@user-mc8rr1xi9w 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Lisa kwasasa ni tajiri mwenye kiburi kwasasa Alvin hana jauli mbele yake😂
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
@@user-mc8rr1xi9w 🤣🤣🤣🤣🤣ilaa napenda pamle na Ian wawe wote ilii nachukizwa na wazo la lan na mama yake kumfanyia Rodney awe mjinga 😔😔😔😔😔😔so sawa ataa kama anachukizaa
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART Ай бұрын
​@@salmazwallo5920Kabisa yani,heri wangemtafutia doctor wa saicology akatibiwa akili,sarah alimharibu siko ile alipokua mlevi hata akalala nae kimiujiza bila Rodney kujitambua,shida ilianzia hapo,pia sioni Pamela akiolewa na ian,amejichukulia namba za madem kibao,alivin wa lisa hua hataki shobo Kabisa,pia hapendi kujiunga na hata marafiki wa lisa
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 Ай бұрын
Anko Anko uyoooo Anko Anko uyooooh asante Sana Anko tuna kupenda sana mungu akubariki mtu wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t Ай бұрын
Hapo kwenye kuunga mkono watu hao kati ya Rodney Iyan na pamera sioni zaidi ya Kumuunga mkono Jomba Wajo na Anko Jay 🎉🎉🎉
@MaryAlphoncedr4xo5yp8b
@MaryAlphoncedr4xo5yp8b Ай бұрын
Jamani sio Kwa ubaya ila natamani ndoa ya Pamela and Iani isifungwe maana ni hatariiii ila kusema ule ukweli team ya Rodney, Pamela and Iani hainogi Kama Ile ya Alvin and Lissa tujuane hapa tujuane hapa Kama yupo pamoja❤❤❤❤
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 Ай бұрын
Yaan nachefukwa mm sijui ata niwafanye nn pamera kawa chamasela wa hadithi mwenzie lisa alijua kujitunza angeenda kwq sam ata rodney asingepitia mateso haya kwenye familia yy ndo chanzo
@user-hj9bs3ei5o
@user-hj9bs3ei5o Ай бұрын
Kikwel story ya pamela inakera sanaaa me sijapenda ukatili wanao mfanyia Rodney ni her wakimtoa hizo akili wamtafutie familia mpya ten inayotoka nchi za njee ili asije kurud maan ataumia kitu walichomfanyia for real inaumiza ukijua nduguzak walikutoa akili na walikunyima hak ya kuitwa baba
@moeshajuma1271
@moeshajuma1271 Ай бұрын
Haibambi kabisa
@user-rw6tu9wn3m
@user-rw6tu9wn3m Ай бұрын
Haya yote yanayo mpata rodeny ni inay ndie aliye yampanga yote lkn atakiwa kujwa kwa kama huyo Pamela hakupangiwa yeye basi hata akimuowa tena watatumu wataachana tu
@user-rw6tu9wn3m
@user-rw6tu9wn3m Ай бұрын
Hamuoni Kelvin alivyo mulazimisha lisa kumuowa lkn kwa sababu hakuwa wake mbona ndoa ilishindikana nakarundi kwa mumewe walounganishwa na mungu wanandamu walijari kuwatekanisha lkn wakashitwa basi nikama huyu inay kama Pamela niwake basi waiishi milele lkn kama alipangiwa rodeny basi hata iweje atarudi kwa uwezo wa mungu aliye juu mbinguni na namuombea sana rodeny mungu amupushiye yote anayo pitiya maana ilipakwa iwehivyo mungu akusaindie bro
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 Ай бұрын
Mmmh Ian acha roho mbaya usipoteze kumbukumbu za Rodney sijapenda 😢😢😢
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 Ай бұрын
Lazima iwe hivyo maana sio salama kwa familia ya shangwe wakimuacha Rodney akizulula bola wamejirinda mapema 😂😂😂😂
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 Ай бұрын
Unajua mpaka machozi yamenitoka sijapenda kwakweli japo mkorofi lakini hapana bana
@annamwinuka6190
@annamwinuka6190 Ай бұрын
Kweli rodney anatilisha huruma ila nihatari kwa wengine mtu.gani kisa mwanamke aangushe nchi na hajawahi kumuomba msamaha pamela yeye ni kumnyanyasa mke wake alvin alikuwa mgonjwa lakini huyu ni kichaa tayari .
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
Umeonaa eeh yaani wengi wanamlaum lani na pamela 2​@@annamwinuka6190
@najatakajumulo9292
@najatakajumulo9292 Ай бұрын
Kweli kabisa Iani kaenda mbali sana.
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w Ай бұрын
Wanaviporo mm wa kwanza leo npeni like plz wapenzi
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 Ай бұрын
Nmemic mapenzi ya chesta na eliza jaman nijue hatma yako😢 kina suzzy ankol umewapeleka wapi😢😢😢
@ashaabdallah8040
@ashaabdallah8040 Ай бұрын
Bora nikamsike Chesta na Eliza ila Pamela na lani nimewachoka mwandishi kashindwa kutuchanganyia hadithi ndio maana anaenda na muhusika mmoja mmoja
@nashaldy1804
@nashaldy1804 Ай бұрын
Yaani ni kma umenipokonya maneno mdomoni...oops sorry maneno mkononi coz twa type hatuongei😂
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
​@@ashaabdallah8040 miye nisha kereka sana
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
​@@nashaldy1804mupaka naku cmt sina hata hamuya yaku cmt
@Fathum763
@Fathum763 Ай бұрын
​@@ashaabdallah8040akika iyo smbaya pia nzur
@BasheeromarBasheeromar
@BasheeromarBasheeromar Ай бұрын
Dah mwananetu Rodney hanatia huruma ila tuta mchukuwa tu mke wetu Pamela tuta rudi na kasi ya 5g IANI jipange
@moeshajuma1271
@moeshajuma1271 Ай бұрын
Hio siku nitafurai sana
@StellaSanga-wq4po
@StellaSanga-wq4po Ай бұрын
Yaani watu wengine bwana sijui mpoje
@BasheeromarBasheeromar
@BasheeromarBasheeromar Ай бұрын
@@moeshajuma1271 😂😂😂
@BasheeromarBasheeromar
@BasheeromarBasheeromar Ай бұрын
@@StellaSanga-wq4po Kwa nn
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu Ай бұрын
Timu Rodney hiv nyie ni wazima kwel mnataka kumchukua Pamela Ili mmtese akondeane tena mnatia hasira😂😂😂
@marryboimtoto9368
@marryboimtoto9368 Ай бұрын
We pamela oana tu na huyo nyoka natamani aje kukudunga masindano na wewe uwe taahira na ukoo wako wote wamasanja ndio mjue viburi vyenu na ujuaji wenu uwatokee puani.. mnakera sana
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Tena namm kama rodbey kipenzi chetu alivo sema kamwe wasiwe nafuuu nineno lamwisho la rodney kabra ajadugwa sindano
@missmontana856
@missmontana856 Ай бұрын
Acheni majungu uyo Rodney ni mshenzi na Familia nzima imekubali anataka kuleta machafuko kwa uchizi wake akafie mbelee
@sabrinarashid7990
@sabrinarashid7990 Ай бұрын
Shukran uncle jay Mungu akupe. Umri mrefu subiri zawadi yako ya birthday inshalah
@antoinetteilembo717
@antoinetteilembo717 Ай бұрын
Kwa nini mwandichi asitume vibande vingine hata kwa jack tujue alikufa ao bado ipo ai
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx Ай бұрын
Yaani kwakweli alianza poa but kwa hii part ya Pamela mmmmh naskia hadikutapika nahata huyo mama Ian sijui anasaport nin pamoja na hao wanamitandao sijui wanasapoti ujinga kweli uzuri nisimulizi sio uhalisia ,mwazo nilitaka kusema lissah mwala hataingia kwa hii simulizi but tulipofikia dooo Bora Lissa mwalah wetu jamni màna haboi wala hakeru😢😢😢😢😢
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w Ай бұрын
Mm cjafahamu huyu jack yupo wap ju Yule mume wa mamake c alikuja afichuliwe kama Yuko wapi jack jaman
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
​@@AAa-it7nx nisha shukizwa sana hadi na hisi ku umwa kwa kweli ila naliya na rodney sana kwa sasa 😭😭😭😭😭😭
@AbelinJoselini
@AbelinJoselini Ай бұрын
Tatizo tunasomewa sana comment na mapenzi yao ya primary ngoja tusubiri mbele
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Ай бұрын
Inaboa pamela na iyan wake tumemiss alivin na lisa bwana af kina kelvin na wale wakorofi wawili mapacha🤣🤣🤣
@AbelinJoselini
@AbelinJoselini Ай бұрын
Dah,afadhari mapenzi yao yamesuluhishwa kipengele hiki nacho kipite, tujue yafuatayo mweeh..... Na maombi yangu kwenye hili penzi pamela abebe mimba tena.......cjapenda walivyomuhkum Rodney 😢😢
@user-bc8so6tt8i
@user-bc8so6tt8i Ай бұрын
Mmmh Rodney
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn Ай бұрын
Jamani mimi hata like mmoja tu
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t Ай бұрын
Mungu akupe Utulivu na faraja kwa kazi yako nzuri ❤❤❤❤❤❤Tuwemo tuliowahi
@violethezekiel251
@violethezekiel251 Ай бұрын
Waooo! Asante kwa surprise nzuri
@ZuwenaIsmail-vb4md
@ZuwenaIsmail-vb4md Ай бұрын
Team iyani pamela Lissa na Alvin
@alineumutoniwase9667
@alineumutoniwase9667 Ай бұрын
Me natamani pamela aishi na Rodney akiolewa na iyani me iyi simurizi apana kweli sifwatiliyi tena
@JanethMgunya
@JanethMgunya Ай бұрын
Jamani namimi nime way leo
@lonakirao5275
@lonakirao5275 Ай бұрын
Mimi naenda na Pamela na Ian 🥰🥰🥰🥰
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt Ай бұрын
Tunakupata vzr anko jay wetu MUNGU azidi kukupa afya njema Kila siku itwapo Leo na kesho
@user-it5ej8eq6m
@user-it5ej8eq6m Ай бұрын
Amin
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt Ай бұрын
@@user-it5ej8eq6m thanks so much
@aukoselly9002
@aukoselly9002 Ай бұрын
Ukweli hadi simulizi imeanza kukera
@KhadijaKiwele
@KhadijaKiwele Ай бұрын
Anko anapenda kumalizia simulizi katika vipande vitata eti imeishia chumbani kweli jaman hiii haki😂😂😂😂
@nzeyimanaazama
@nzeyimanaazama Ай бұрын
Asante Anko wetu kutujali tunafurayi sna ubarikiwe sna Mungu akupe maishs marefu na afya njema.
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 Ай бұрын
Timu lisa tupoooo🔥👏👏👏
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Ай бұрын
Barikiwa anko wetuu❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 Ай бұрын
Cur fellow Kenyan much love❤
@user-be2nx5ks2l
@user-be2nx5ks2l Ай бұрын
Ankoj Mapenzi ni zawadi TU kutoka Kwa MUNGU kama lANI zawadi ya Pamelani sawa na kama Pamela ni zawadi ya Iani sawa maana hawajachelewa❤❤lANI and Pamela
@user-pz7im7nk7w
@user-pz7im7nk7w Ай бұрын
Hujui kitu kuhsu iani wewe huyo ni sawa Nan kelvin
@user-kj1bf6dt1s
@user-kj1bf6dt1s Ай бұрын
Kweli kabisa namchukia Ian na Pamela malaya hawa😢😢 52:26 n​@@user-pz7im7nk7w
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Leo imekuwa jumapili njema asante Anko mapesa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Anko nimemis sherry titusi Alvilisa❤❤❤❤
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i Ай бұрын
Pamela na Ian mie rahaaaaaaa😅 ,tearm Rodney ni mda wenu sasa mpaka mzuzuke mwaka huu wenu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakika ni wakati wa Rodney kuteseka maana anakiherehere tangu kipindi cha Lisa na Alvin alikuwa mtu wakuvuruga mambo 🤣🤣🤣🤣🤣
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i Ай бұрын
@@Evelynmoreen3655 saaaaana mpaka athemeeeeeeee😃😃😃😃
@user-mc8rr1xi9w
@user-mc8rr1xi9w Ай бұрын
Yani mimi nataka mpk anywe sumu ya kunguni 😂😂😂
@user-qq4ys4mc4g
@user-qq4ys4mc4g Ай бұрын
Kwa kweli Pamela na Rodney hawakupendana ule upendo wa kweli ni kwa sababu ya mtoto lkn iyani na Pamela wamependana kutoka ndani ya mioyo yao
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e Ай бұрын
Kwel kabisa
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 Ай бұрын
Kituchetu kimeregea njoniii uku kumenoga sana😂😂🎉🎉🎉🎉
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx Ай бұрын
Kwamfano pamela apate ujauzito akizaa hao watoto watakuaje jamni unamzalia ndugu mkubwa alafu unamzalia kaka mdogo kaaah😢😊inakera aisai
@user-su6bq2vy3m
@user-su6bq2vy3m Ай бұрын
Hiyo yake huyo Pamela ni laana hata
@user-rw6tu9wn3m
@user-rw6tu9wn3m Ай бұрын
Kweli kabisa Pamela hana maana
@saumunyadzua
@saumunyadzua Ай бұрын
Mjinga huyu Pamela hata bora angekua na Sam kuliko huyo Ryan wa mavi
@user-sm9xo4vw6z
@user-sm9xo4vw6z Ай бұрын
@@user-su6bq2vy3m toka mwanzo nilisema Pamela hana akili kabs kaz kujisifia kuwa n mzur tu wakat hana uzur wwt kwa rangi gan hiyo ya ukwaju🤣🤣🤣 aendelea kugawa tu ampe na mdg wake Rodney ndio kilichobaki ili amalize familia yote maan tyr kashatembea na wawili bad mmoja
@user-sm9xo4vw6z
@user-sm9xo4vw6z Ай бұрын
@@saumunyadzua 🤣🤣🤣🤣🤣
@Nailah736
@Nailah736 Ай бұрын
Watu huwa mnalala y tube vipi wee!! Asante sana anko jay kwa kutukumbuka sisi pia team viporo wacha tukae mwanzo
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i Ай бұрын
Asante anko mapesa🌹🌹
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
❤❤❤❤ anko please nimemiss Alvin and chester please 🥺🥺
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Ай бұрын
Huyu achana naye...watu wa vip hawashughulikiwi ..watu wasiolipia wanafaidi kuliko vip...
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
@@ruthwaithera2650 ukweli kabisa yaani ata VIP ata ina maana
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Ай бұрын
Chesta na eliza😂😂wa mchongo
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
@@UmayyaNkya-ze3ri nimewamiss sana tuuuuuu
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Ай бұрын
Wakwanza tena jamnuwiiii
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Ай бұрын
Asante Ankojay ❤❤❤ Be blessed from 🇰🇪🇰🇪
@fideanamadengwa3391
@fideanamadengwa3391 Ай бұрын
Ubarikiwe kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 Ай бұрын
Niko huku Lebanon nakwambia anko siku lisa haijawachiliwa akili yangu hukua imesimama ...kama sahi nakaa nkama nmezaliwa upya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-sm9xo4vw6z
@user-sm9xo4vw6z Ай бұрын
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Ай бұрын
Kitu moyo unapenda❤❤ cjui nisimame nirukeruke ama vipi😂😂 Watu wangu waviporo subirini niwapashie moto msije mkashikwa na minyoo😂😂😂
@Nailah736
@Nailah736 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Yani jamani usema ukweri sio sawa kumufanyia hivo rodney hata kama nimakosa ndomumufanye mjinga iani ulaaniwe we kaka naninawaombea musewe nafulaa ww napamela wako na tena daniera kamwe usije kumuita iani baba ako musaidie baba mzazi rodney kabakiza ww tu kwenye hii dunia usimuache baba ako daniela mungu akusaidie rodney wetu tunakupenda sana usjari
@user-rw6tu9wn3m
@user-rw6tu9wn3m Ай бұрын
Kweli kabisa
@victoriangasa
@victoriangasa Ай бұрын
Tulikuwa tunaisubiri kwa ham sana Timu viporo come back 😂😂😂❤❤🎉🎉
@KhadijaKiwele
@KhadijaKiwele Ай бұрын
Rodney jamani anachekesha na anatiauruma😂😂😂
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
Anatia huruma wallah.
@JozeFeeen
@JozeFeeen Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 ñimefui sana iyani kusema kweii
@GloriaAlly-ek3sw
@GloriaAlly-ek3sw Ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimewahi🎉🎉🎉🎉
@user-pz9kp4tx7z
@user-pz9kp4tx7z Ай бұрын
Bora Lisa wet ana msimamo hakuwah kulala na kelvn ila Pamela dah kazingua
@zezeshort
@zezeshort Ай бұрын
Kwahiyo ange vumilia kuona Rodney akiwa na sara we acha
@zezeshort
@zezeshort Ай бұрын
Pamela yupo sawa kabisa hata ingekuwa mimi ningefanya kama pamera tuu jamani duu
@user-mp1eo9nr8p
@user-mp1eo9nr8p Ай бұрын
Ila sokwandugu wamumewe wazamani
@user-hj9bs3ei5o
@user-hj9bs3ei5o Ай бұрын
@@zezeshortalikuwa nae lakini hakuwahi kulala nae
@user-pz7im7nk7w
@user-pz7im7nk7w Ай бұрын
Ian ni bom linalosubil muda wa kulipuka
@user-fv5se6iu9r
@user-fv5se6iu9r Ай бұрын
Ian sio pow hadi ndugu yako hukujali kumtetea ndugu yako roddney anatihuruma sana Ian nimwigizahi sana Pamela mdomo tuliiii😅😅
@zezeshort
@zezeshort Ай бұрын
Kwani lan kafanya nini mbona yupo sawa
@user-sg1ec1mj6x
@user-sg1ec1mj6x Ай бұрын
Tumechoka hii simliz imekuwa ya Pamela Na iani inaboo😂😂😂
@moeshajuma1271
@moeshajuma1271 Ай бұрын
Wasema polepole
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Ай бұрын
Ulipo tupo anko j ❤❤❤❤
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤asant kwa mzigo wa chap chap mkweee.
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w Ай бұрын
Wana viporo mpooo waa tunaendelea
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml Ай бұрын
Asante sanaaaaa Ankojay nafurahi sanaaaa.... usiku mtulivu
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey Ай бұрын
Nimewahi naombeni like vipenzi vyangu
@speciozamikole2194
@speciozamikole2194 Ай бұрын
Kwangu imegoma kufungua nisijue kwa wengine
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 Ай бұрын
Ubarikiwe Ankojay ❤❤❤Ahsante sana 🎉🎉🎉🎉
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉Anko wetu mapesa upo vizuri🎉🎉🎉🎉
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 Ай бұрын
Yaan sijapenda hii hukum ya rodney kwakweli huu ni ubinafs kabisaa na kumnyima haki za msingi daniela kiukweli mtunz hapa kwa ian na pamera umefel mno hawa ilikuwa wote wamkose pamera aende kwa sam ibak tuu daniela kuwaunganisha😢😢😢
@user-vm5gq7nz3s
@user-vm5gq7nz3s Ай бұрын
Hoyoooooo mpaka raha
@MishyYusuph
@MishyYusuph Ай бұрын
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@Chiboleloice-jc1bt
@Chiboleloice-jc1bt Ай бұрын
Yoooo jomba wajo kwenye swala la umrii kama Lisa na Pamela wanalingana basi wanalingana na Ian ( basi utakua umetupiga parefu watu gan wasio kua hao....😂) Maana nakumbuka Lisa alikutana na Alvin akiwa na 24 Kash Kash nyingii Hadi kuwa na watoto wanao ongea na kusoma miaka mi4 mpaka mi 5.... Bado Wana 26😂😂😂😂😂😂😂 Sema ndo kitabu kishaandikwa 🎉nice story
@ElizabethAlbert-yw6jp
@ElizabethAlbert-yw6jp Ай бұрын
Walikutana akiwa na miaka 20
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 Ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Ni wambieni nyie watu mnao waunga mkono hao wachafu wa wili muombe Mungu wachafu wenu wasijage kugeukana. Siku waki geukana humu ndani hamtanipona mbona ntapitia kila comment hata zikifika 1m 😂
@user-tk3cq4hl9g
@user-tk3cq4hl9g Ай бұрын
Natamani sana iyo cku ifike iani awe kigeugeu kama kelvin akili iwakae sawa
@elnatesha8090
@elnatesha8090 Ай бұрын
Wow na mm nipo top ten. Wasita❤
@user-qq4ys4mc4g
@user-qq4ys4mc4g Ай бұрын
Mimi namuunga mkono iyani na Pamela Rodney atuondolee kiwingu
@Joycetatu
@Joycetatu Ай бұрын
😂😂😂Raha sasa. mm ndo hua nateseka nkikosa smulizi.bila smliz hua kaz haziendi😂
@AdijaDusabe-ru9mt
@AdijaDusabe-ru9mt 3 күн бұрын
Nampenda pamela ila alivyo mfanyia rodney sio vzuri kbx
@sososonia1956
@sososonia1956 Ай бұрын
Jamani acheni ushabiki maandazi, Ian & Pamela hawana kosa hata ingekuwa wew Rodney alichomfanyiya Pamela hakuna mwanamke ambay anaweza kustaamili , muacheni Pamela ale raha , kupendwa raha bana 😅❤ sijuw mnamuoneya gere Pamela nin😅😅😅😅 Rodney kaharibu maisha yak peke yak , he deserves what he got , na awe punguwani haswaa😊😅😅😅😅 team Pamian oyeeee🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-gp1si5rn9p
@user-gp1si5rn9p Ай бұрын
Wambie Rodney anachukizaaaa sanaaaa
@sososonia1956
@sososonia1956 Ай бұрын
@@user-gp1si5rn9p Sana Yani mpaka anaisaliti familia yak wakati ndiye mweny makosa , sote tunajuwa kuwa yey njo amemsaliti Pamela 💔, ingelikuwa Pamela ndiyo kamsaliti sote tungekuwa upand wa Rodney, afu msifananish ishu ya Alvin na Lisa maana Alvin yeye amelazwaga akili but Rodney kafanya yote kwaakili zak timam 🤣🤣🤣🤣 sasa anajuta na kumuoneya wivu Pamela sababu Ian kamzidi kila kitu 😀😀😀 🤣 naamin Pamela angelikuwa na mtu wahovyo Rodney asingefanya hayo yote, poor Rodney 🤣🤣😀
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Sasa kwann wamuzulu mtt wake ety asimujue rodney nawao wazae wakwao bas kila kitu wanacho shaawa pia anazo shida daniela nimtt wa rodney shaawa zarodieni jamn mnafanya adi tuongee upuuzi timu iani munaboa sana
@sososonia1956
@sososonia1956 Ай бұрын
@@Merrylukas-uz6sr angelikuwa baba Bora angefocus kufanya kaz ili amtunz mtoto ila sasa hafanyi chochote zaidi yakuharibu familia
@user-nu8or5ks9b
@user-nu8or5ks9b Ай бұрын
Mnafanya makosa sana nyinyi Ian na Pamela penzi lens like livurugike mpaka mkome
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Ай бұрын
Ww iani kwa kwel umyama yaan mke wa mwenzio umchukue na umwaribu mwenzio pia na ww.Jesca nawe uyo ni kka ko lakn waungana na iani kumfanyia unyama kka ko,,kwa kwrl mungu atawalipa kwa ili Rodney mungu atakulipia kka ngu 😢
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq Ай бұрын
Nafikiria tu nn itakua mwisho wa pamela na Iani😅😅😅 maana
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Jamani mm hatimae nimewahi timu lodneh tujuane atuachi mke ss lazima pamela tumchukue tu wanao kubaliana namm tuchuabe
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o Ай бұрын
Team viporo atimaye imefika 🎉🎉🎉🎉nipeni like 3 nawapenda❤❤❤❤❤ Team anko jay maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@catherineluboneka7359
@catherineluboneka7359 Ай бұрын
Asante Ankojay kwa full uhondo
@user-nv1eo2en5q
@user-nv1eo2en5q Ай бұрын
Mwandishi Sasa tuamie kwa Chester tumeshiba Pamela na ian
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Ай бұрын
Hongera sana mkweeee❤❤❤❤❤
@user-tk3cq4hl9g
@user-tk3cq4hl9g Ай бұрын
Yaani mtu yupo tayari kumfanya ndugu yake kuwa zezeta kwaajili ya sifa, utukutu na mamlaka duuh pole Rodney ndy maisha haya,😭
@racheluwda6552
@racheluwda6552 Ай бұрын
Much love this simulizi Ankojay my God bless you ❤❤🎉🎉
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 Ай бұрын
Twende mbele tulud nyuma acha Rodney apatwe maumivu alimesa had aloven kisa salah😢
@angelinamwakadi5226
@angelinamwakadi5226 Ай бұрын
Hapa Pamela ndo alizingua. Hakupaswa kua na Ian from the start
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Ni malaya 😅
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi Ай бұрын
Iyani ana makosa Rodney ndio ajielewa mara Sarah nlikuwa ashaoea Pamela
@zenahasan7603
@zenahasan7603 24 күн бұрын
NWALA. HAIKER. PAMERLA. AKIPATA IJAUZITO. KUTOKANA. NA. MTIRIRIKO. WAMAISHA. IYANI. NI. BINAMU. NYAMA. YA. HAMUUUUU. WACHENI. JAMANI. USISICHEZE. NA. MAPENZI. WAPENI. M🎉🎉🎉🎉❤ WARARAAAA PAMERLA. HAJAWAHIIKUPENDWA. NYEE. ZAMUYAKEEE❤❤
@ZuwenaIsmail-vb4md
@ZuwenaIsmail-vb4md Ай бұрын
Sasa ni mwendo wa iyani na Pamela 😂😂😂😂😂
@NishimweAisha
@NishimweAisha Ай бұрын
Anko jey napenda sana simurizi zako nikiwa kazini Huwa nasikiriza TU simurizi zako napenda muno sauti yako mungu agutanguriye kwakazi hiyi ya kutu irimisha ni aisha wa burundi niko Dubai kwa sasa
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
Ila leo na liya na rondey ila mungu ana kuona ila mwandishi badilisha maandishi plz kwani siyo poa kuwa naengemeya upande mumoja 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Ай бұрын
Kwahiyo maandishi alioandika kwa myaka mi 2 abadilishe kwakuwa umesema😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 acha twendelee kuburudika maana hii simulizi unapanda na kushuka mara furaha mara huzuni
@user-kj1bf6dt1s
@user-kj1bf6dt1s Ай бұрын
😭😭😭, haya ndio madhara ya kuchanganya familia kimapenzi mpuuzi ww Pamela, mwanamke gani ww usiekua na aibu utatazama vipi familia, hata ww Ian pia unasemekana una akili lakini ni matope kabisa😏😏
@jamilanahimana-wc4nd
@jamilanahimana-wc4nd Ай бұрын
​@@user-kj1bf6dt1sacha makasiriko watu wafurahie mapenzi kwasababu rodney kayavuruga mwenyewe amemtesa san pamela😂
@ornellaniyongabire4487
@ornellaniyongabire4487 Ай бұрын
Jaman umuu ndani hamulali😢😢😢
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Ай бұрын
Mama iyan hapo hujatendea rodin haki eti Daniela asimjue babake hapo hamjasema hakuna mtu hapendi kumjua babayake hatakama aliua mzazi lkn babanibaba abadan iyan hutakuwa baba wadamu wadaniela mnadanganyana tuu huyo atakua naatambiwa nawexake babayako nifulan yani hapo hamjafanya lolote watuwazima hovyoo hata mumupumbazeee mwisho atajuamwanae tuu kwani Alivine ilikuaje naimekuajee sahii huyo mungemfungia tuu mpka akili imkae sawa lkn sio kumpunguza akili kumbukeni Kenya zima Inajua rodn anamtoto napamela mkumbuke hiyoo..anafanya mambo kienyeji namtoto anakua
@user-tk3cq4hl9g
@user-tk3cq4hl9g Ай бұрын
Damu ni nzito kuliko maji mama iani bado haelewi nyau huyu
@lonakirao5275
@lonakirao5275 Ай бұрын
Wala Viporo hoyeeeeee😂 nawapenda bure 😘😘
@wertqwe8326
@wertqwe8326 Ай бұрын
Asante broo jay 🇰🇪❤
@thomskawinner4692
@thomskawinner4692 Ай бұрын
Hii simulizi niya BINTI LISA. AU YA PAMELA NA IANI , this is becoming annoying😂
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-yg9et7mp7i
@user-yg9et7mp7i Ай бұрын
Asante sana Anko jay very nice voice much wonderful work 🔥❤❤❤❤💯💯💯💯💯🙏🙏
@marry-dh9bm
@marry-dh9bm Ай бұрын
nimewahi pia mambo zenu wana familia wa ankojey
@NanaHsn525
@NanaHsn525 Ай бұрын
RODNEY ulijiharibia mwenyewe tulia uonyeshwe nn maana ya upendo😂😂😂😂,Ankoooo asante sana kipenzi
@bettywayera8501
@bettywayera8501 Ай бұрын
Pole Rodney,,kurudi tena mtoto wa miaka kumi. Ankoj niko na wewe.
@ElizabethNdaga-nr7nc
@ElizabethNdaga-nr7nc 18 күн бұрын
sijapenda kabisa walivyo mfanyia rodney ata kama rodney alikuwa na roh mbay kiasi gan wasinge fikia kumtoa akili jaman inasikitisha sana😢😢😢😢
@zenahasan7603
@zenahasan7603 24 күн бұрын
OYAAAA. PATRIK. SAWSA. UKWELI. USEMWEEE👍👍👍
BINTI LISA - PART 76
3:04:20
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 24 М.
SIMULIZI FUPI: MAPITO YA FLORA, By Anko Jay
1:32:10
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 34 М.
Climbing to 18M Subscribers 🎉
00:32
Matt Larose
Рет қаралды 36 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 47 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 74 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 53 МЛН
SARA: SIMULIZI YA SAUTI.
2:07:00
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 40 М.
IS THE MOMENT OF WORSHIPING JESUS STAY CONNECTED.
25:09
APOSTLE ELISHA DEULI TV.
Рет қаралды 1,2 М.
JINSI YA KUJINASUA KUTOKA KATIKA LAANA YA FAMILIA (PART 2) || PASTOR GEORGE MUKABWA || 16-10-2022
1:36:41
UTANIUA WE KAKA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:39:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 28 М.
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 33 М.
#LIVE: KWA ISHARA HIZI, MTAFUTE MUNGU KWA BIDII  // Monday 24,2024
1:18:53
ISABELA
1:59:43
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 32 М.
BINTI LISA - PART 88
3:02:21
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 16 М.
The clown snatched the child's pacifier.#Short #Officer Rabbit #angel
0:26
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1 МЛН
🤷🏻‍♂️She Took His Skittles And Discolored Him😲🥴
0:33
BorisKateFamily
Рет қаралды 10 МЛН
vfx editing #shorts #funny
0:10
Sj Animation 2
Рет қаралды 24 МЛН
Wait for the last one! 👀
0:28
Josh Horton
Рет қаралды 106 МЛН